Asante Mungu kwa neno la leo tar 02/01/2024. Nachukia usingizi ila nikianza kusoma nasinzia. Mungu nakemea usingiz kwa jina la Yesu mwana wa Mungu. Mwili usitamani kulala kwasababu muda umefika. Nataka kuwa mtu mkubwa na wa tofauti. Mungu uwe pamoja nami 2024 ili siku moja nije kusimulia matendo makuu ya Mungu. Usingizi ni umaskini hivyo siutak ucngz
@rehemamasoud2352 Жыл бұрын
Asante baba ,mwili wangu zingatia haya mambo mazuri,muda mchache..Asante Mungu kwa kunishtua ,Leo 01.06.2023 naanza kuzingatia
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Wschache Sana wanaweza kukubali ukweli kama wewe,ubarikiwe
@rosekieti7902Ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 niombee mponyaji wa mume wangu and financial breakthrough
@nicholasbwalya3650 Жыл бұрын
I connect from chingola zambia good news glory be to God Almighty powerful teaching 🙏 ❤❤❤
@zamberimturi5593 Жыл бұрын
Mtumishi nakubaliana na wewe kwa 100% kabisa kwani me kazi yangu ni dereva bajaji kila nikiamka alfajiri kuanza kazi huwa napata pesa nyingi sana na huwa siku hiyo nakuwa na morali ya kazi sana hta kufunga kazi cku hiyo huwa nachelewa na napiga pesa kweli tatizo linakuja pale ninapoendekezaga kulalia kitanda kwani nikichelewa kuamka huwa naamka mwili ukiwa unanung'unika na kuwa na hofu kwa sababu ya kuchelewa kuamka na kuhix kazi itakuwa ngumu kwa upande wangu Hivyo.bac kuanzia leo najikabidhi mikononi mwa Mungu kwa kuukataa ucingiz utakaoendelea kunididimiza kiuchumi Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🤚🤚🤚
@patrickkuwayawaya4402 Жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
Kweli mtumishi.Miaka 15 nyuma nilifanya kazi kwa bidii usiku na mchana.Sikuchezea muda pia nilijiunga na masomo ya chuo kikuu nikiwa na ndoa na watoto 2.Nililala masaa 4 kwa siku kwa miaka 10.Nilijikuta tajiri mkubwa kwa level za madirector wa makampuni makubwa kwa biashara ya kawaida.ASANTE YESU KWA KUNIWEZESHA NA KUNIPA MAONO.
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@butondodavid2105 Жыл бұрын
Siyo rahisi Mungu alitenda
@rachaelkeith5095 Жыл бұрын
🙏🙏
@JenniferShirima-co2im Жыл бұрын
Thanks so much but how you manage it coz ni kitu najaribu Sana kwenye maisha yangu
@myahudiog Жыл бұрын
😂😢🎉😊
@MichaelMkingami5 ай бұрын
Tangu nimeingia efatha mambo yangu yapo vizur hakika nimemuona mungu
@washangaze37085 ай бұрын
Amina
@thomasmusungu8399 Жыл бұрын
Mtu wa Mungu, hayo ni mafundisho ya kimsingi, asante mno, Yesu akubariki.niko kenya.
@deogratiasmapinda8288 Жыл бұрын
Huyu mchunngaji kwa somo hiki ameenda sawa na mawazo yangu mchunngaji ubarikiwe Sana maana utajiri uko mbele Amina
@rainardleonard8045 Жыл бұрын
Ukikua unaweza Elewa 🙏🙏Asante Mungu kwa Huyu Baba
@MkushiGodfried Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu nimekuelewa...Usingizi ni mbaya kama kifo.Baba asante usingizi ni umaskini wetu.Sitaki tena usingizi kwanza hua silali.
@YuvitaWiliam3 ай бұрын
Mungu waefata nishike mkono kila hatua mimi napambana mpaka tone lamwisho usiniache nipo chini yamiguu yako
@josephatosoroomwebu4714 Жыл бұрын
Nakubaliana na mchungaji kwa asilimia mia moja..100%true...Mungu na anishindie usingizi
@EvaristRugambwa9 ай бұрын
Amen..asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
@washangaze37085 ай бұрын
Amina
@WitnessHatibu-vj1hu Жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri baba linanibariki sana
@AbdallahIddy-i8f9 күн бұрын
Mtumish muongo bwana usingizi ni sehemuya maisha ya binadamu
@jonasnyamiyonga4594 Жыл бұрын
Mtumishi umeniongezea ufahamu wa kupambana.
@user-Ndashuka001 Жыл бұрын
AMEEN . Eeee MUNGU naomba nisaidie
@Daudpaulo29411 ай бұрын
Amina baba nimepokea kitu yangu leo
@MarySaimon-x9dКүн бұрын
Mungu akupe kibar
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
Amen Glory to JESUS
@neemandoyela558 Жыл бұрын
Ahsante nakataa usingizi kwa jina la yesu
@GloryKinkako6 ай бұрын
Amina baba Kwa mafundisho mazuri,
@ChirlesMaganja Жыл бұрын
Asante baba mchungaji kwa mafundisho mema kwa vijana wetu
@damarismutala7769 Жыл бұрын
Thank you mtumishi for this sermon..praise the lord
@vinnocky_b1430 Жыл бұрын
That's great brother keep it up
@faithdhadho9272 Жыл бұрын
Oversleeping leads to spiritual and physical poverty. Especially in our days of social media and internet. We need to rise from slumber.
@daudkipkare7550 Жыл бұрын
Oversleeping leads to spiritual and physi in our days of social media and internet.we need to rise from slumber .you very right sir
@lucaspeter-kw7cs Жыл бұрын
Vijana tuache upunbavu na kufanya mambo ya kipuuzi Ili tuwez kuwa na ubadae mwema. 🙏🙏
@rachelkathuri273 Жыл бұрын
Kabisaa
@JanethMtati-he1dp Жыл бұрын
Nakubaliiiiiiiii
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Ameeeeen, kuazia leo nakataa usingizi unaoleta umasikini
@mosesjnr8436 Жыл бұрын
Nadhan point kubwa tupambane kuushinda Uvivu
@Ev.yohanamkesela Жыл бұрын
Barikiwa sana mtume
@eliasmhagama4978 Жыл бұрын
BWANA YESU akutunze Mtume ili uzidi kutubariki kwa mafundisho yako.
@josephitangishaka960 Жыл бұрын
Thanks for this teaching. That's True message
@nicholasbwalya3650 Жыл бұрын
Amen Amen Amen I connect 🙏
@aminayusuph53062 ай бұрын
Ahsante
@KagarukifundiKyamani16 сағат бұрын
Asante baba
@jamessila3219 Жыл бұрын
Tufanye kazi dungu zangu
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa,usingizi ni mbaya Sana nakumbuka shuleni wengine wanasoma wengine wanalala,halafu nkumbuka ilikuwa ukanda baridi.kuna waafunzi wanapenda kulala buana yaani usingizi.
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Hahahah.. mpka darasani
@mosesmwangi1769 Жыл бұрын
Amina baba barikiwaa
@RoseMalley-dt9ub4 ай бұрын
Nataka niingie efatha
@washangaze37084 ай бұрын
Karibu God bless you
@BrightShumbusho-i4yАй бұрын
Usingizi hauna tatizo na mwanadamu...Tatizo ni yeye aliyesinzia bila kuamka😂😂😂😂😂
@johnmurimi9831 Жыл бұрын
Amen amen mtumishi
@GRACEJULIUS-r7pАй бұрын
Nimelewa
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Asante kwa somo zur mtumish
@shabandamas1759 Жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma unachokisema nisawa but sii sawa100% coz ki-afya pia kutopata usingizi wakutosha nihatari kwa afya yako.
@barakangellah5354 Жыл бұрын
Exactly upo sahihi, Unajua kuna kitu nilijifunza siku za nyuma kidogo, nlishawahipata bahati ya kwenda abroad, Wale jamaa nadhani walipotuzidi ni kwenye mpangilio wa ratiba. Kuanzia asubuhi hadi kufikia jioni kila mtu yuko busy na busy kweli kweli, kama we hauna cha ku keep busy basi utabaki unashangaa pekeako, lakini jioni wanazitumia sana kwa refreshment na ndomaana hata michezo mingi huwa ucku kuanzia saa 1, na ucku wanalala Effectively kwa Afya ya Ubongo kwaajili ya kesho, uhalisia ni kwamba uki over work usiku asubuhi automatic utaamka umechoka mwili na akili kwaio hauta fanya vi2 perfect. Point yang ni kwa Commitment kubwa Alfajiri hadi jioni ukiitumia vizuri sana inatosha sana kufanya makubwa lakini ucku renew kwaajili ya kesho. Ukifanya ucku kama mchana bac ni mbaya pia hata kwa Afya yako uta achieve sawa ila kwa faida ya nani akat afya yako haiko stable
@alexmasumbigana4910 Жыл бұрын
@@barakangellah5354 kumbuka pia mtu akilala sana over 8 hours pia mwili unachoka na mtu anaamka akiwa na hali ya homa kabisa kila kitu kwa kiasi ndo point kuu niliyo note
@MagangaMasunga Жыл бұрын
Ameen mtumish wa mungu
@JanethMtati-he1dp Жыл бұрын
Ameniiiiii, mtumishi
@JanethMtati-he1dp Жыл бұрын
🕤🤲🤲🤲🤲
@barakabahati6600 Жыл бұрын
Please kumbuka na wale waliokua wakitoa sadaka kanisani kwako
@EmmanuelSamwel-wz9qg Жыл бұрын
Amina Baba..
@GeradiusiIgiro Жыл бұрын
Mungu akubariki❤
@JulianaJuliana-m4vАй бұрын
Naushinda usingizi leo
@MohamedSaid-em4of Жыл бұрын
Usingizi ni starehe ya hakki tuliopewa ni allah swt kila kitu kina muda wake.
@ShedymelayekiTeveli3 ай бұрын
Acha ubishi usijeukaumia
@RameckCastory6 ай бұрын
Thank you daddy
@ValerianaGrm-bi5hd Жыл бұрын
Aminaaa sna
@RoheelRafail Жыл бұрын
God bless you all
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Wewe unaye tafsiri ebu siku nyingine usikae hapo Kwa mimbari Ebu tawala madhabahu
@lucasthomas188 Жыл бұрын
Au asitafsiri kabisa
@Edivinaleonard Жыл бұрын
Atasimama baba yako au
@leahjames14814 ай бұрын
Ameen❤❤❤
@JUU-lw2je Жыл бұрын
Mimi nalala kila siku sa tano usiku na naamka sa kumi na moja kamili bado ni maskini
@RamadhaniJitelani Жыл бұрын
Inategemea unacheleww kulala ukiwa unafanya kitu gani
@alexmasumbigana4910 Жыл бұрын
Huwa unachelewa kulala ukifanya nn na unawahi kuamka kufanya nn hapo ndipo utajiri ulipo
@landmanoti194211 ай бұрын
Kitendo cha kujiita masikini basi na akili yako inakaa kiumasikini
@tamaryfesto4271Ай бұрын
Absolutely
@danielmwakalinga6049 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️ My Dady
@MwawazaVitalis Жыл бұрын
He is helping me in kenya
@nehemiahhusein4504 Жыл бұрын
Ahsante baba
@RoselydaKiwia Жыл бұрын
Kwel.baba
@JamesIbrahim-el4zw Жыл бұрын
Acha kundanganya watu utakujajuta,mungu akusaidie
@mbelwajeremiahpaschal390 Жыл бұрын
Mwambie Mama Ako Aje afundishe yy . Basi kama Wenginee wanadanganya Sura kama mbuzi
@EmmanuelSamwel-wz9qg Жыл бұрын
Roho wa bwana akuponye maana haujui hata unayosema.. akuponye na fikra zakO ndgo
@florarog5487 ай бұрын
Mungu akusamehe
@MohamedSaid-em4of Жыл бұрын
Mitume wa uongo woooote wote wanahubiri pesa ,maisha mafupi ya dua ,badala ya uzima milele ,wako kwenye ushetani ,wamemgeukia shetani ,na wafuasi maskini hawajui kinacho endelea ,wanavunwa bila kujijua kua wanavunwa, utajiri wa dunia c kipaumbele cha mitume wote kuanzia adam hadi muhammad saw, ni hawa wa uongo tu wahubirio pesa huku wakivuna kutoka kwa wafuasi wanyonge allah awazindue waujue ikweli.
@@cosmasmworia5524 Imani ni kitu kizitto sana, angalau nyinyi muna abudu, mtu wengine wanaabudu ng,ombe, mawe ya kuchonga sanamu wala huwaambii chochote, mtu mpumbavu huuamini kila kitu
@tamaryfesto4271Ай бұрын
Huyu aliyeandika akili hana sababu kinachoongelewa hapa n ukwel kwakua ana matatzo haoni kama ni ukweli
@halimambaga61 Жыл бұрын
Amen and ameen
@adammdiu Жыл бұрын
Amen..❤
@ChachaPastory-n4m Жыл бұрын
Translater wa hovyo
@GloryKinkako6 ай бұрын
Ameeeni
@KukuVillage Жыл бұрын
Mchungaji ongeza na Uvivu. Yaani ukifanikiwa kucontrol usingizi na uvivu then umeushida umasikini
@ShedymelayekiTeveli3 ай бұрын
nikweli mtumíshí usingizí ni umaskini wakweli kwa mtu anae lals
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Amina
@EvaBonny7 ай бұрын
Kuanzia Leo nakata usingizi
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Amen amen😢😢
@HantanahYun3093 Жыл бұрын
Kweli kabisa❤
@atanacyzacharia3092 Жыл бұрын
Huyu kijana anaetoa tafsri 😢anapotosha sana ila maamubili ni mazuri
@rehemaharuna Жыл бұрын
Anapotosha vip wew unajua kiingereza vizr kweli
@jacksontumaini489 Жыл бұрын
Ndo nashangaa @rehemaharuna
@barackawithokiswaga2686 Жыл бұрын
Acha uongo wewe kiingereza gani kitakacho ongelewa zaidi ya hapo? Nadhani hujui
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
@@rehemaharuna rehema muache mtoto acheze
@cyubahiroclement191 Жыл бұрын
Ujumbe unafika mbari Zacharia nivizuli sana akitafsri ☝️🤓
@edmundmato669 Жыл бұрын
Ameni.....❤
@abuaiuba1517 Жыл бұрын
Amemmmmmmmm
@mungajoas3343 Жыл бұрын
Mind blowing
@SaraLely Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaj yaan ucingizi ucio was lazima nakukataa kabisa kwa jina la yesu...
@SaraLely Жыл бұрын
Nikweli mtumishi ucingizi ni umaskin mkubwa Sana....
@bonifacebochela4717 Жыл бұрын
True
@SeraChizi Жыл бұрын
❤❤❤❤ ameni
@Lukasj783b Жыл бұрын
Sio kweli kwamba ukilala Dana ndio unakula maskini fact zipo
@Ursain.IKE.jesuis9365 Жыл бұрын
AMEN 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@sharonmukoshi9744 Жыл бұрын
Amen and Amen 🙏🙏🙏
@MarryJonas-x6j Жыл бұрын
Asante
@fathiasaed9718 Жыл бұрын
Ameni
@joshuamasunga_7rg Жыл бұрын
Amina! Amina! Amina!
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Watakalo wafundisha shikeni mfano wa matendo yao msiige
@annahcallixte1321 Жыл бұрын
Mungu anisaidie mimi kuushinda usingizi kwa jina la YESU nimepokea neno la kuushinda usingizi kwa Jina la YESU barikiwa sana Baba
@VitaliceJames Жыл бұрын
Amen papa
@onesmusmunga2458 Жыл бұрын
That's true
@LeonardKanyoloku Жыл бұрын
Nimeku elewa mutumishi wa mugu
@elishajailosy4916 Жыл бұрын
Amen dady
@rachelpeter87 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa neno la uzima
@JanethMtati-he1dp Жыл бұрын
🤲🤲
@HusseniAndrea Жыл бұрын
Ndio kabisa
@KisadoSadoki Жыл бұрын
Atari
@beatricechabai2163 Жыл бұрын
🙏
@deomdolo5049 Жыл бұрын
Sasa mnatupia mahubr mtandaoni ili iweje
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Yafike Mbali
@bonifacebochela4717 Жыл бұрын
Ili yakufikie
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Sikatai usemavyo lakini kila binadamu anapigania maisha yake lakini imeandikwa Mji usipo lindwa na Bwana alindae akesha bure .. .kila kitu hupangwa na MUNGU..hata ukeshe nje kama ni Wa no ni no tu. .
@philemonsavutu1543 Жыл бұрын
Hii ni hakika Mzee wangu
@mbelwajeremiahpaschal390 Жыл бұрын
No pain. No Gain
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Hayo umesema wewe
@yohanakangwe3503 Жыл бұрын
Hapa ni vema kuelewa key points. 1. Usingizi usititawale na wala tusiendekeze kulala masaa mengi bila kufanya kazi . 2. Mtumishi anasisitiza fanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi. 3. Watu wasipoteze muda kwa kushinda kuangalia tv na matumizi ya simu kwa social media bila faida. 4. Umri wa ujana ndo wa kujenga uchumi na uzeeni ni final. NB. Mungu alifanya kazi siku 6 ambayo ni sawa na masaa 144 na siku ya saba akapumzika. Na sisi tumeamuriwa kufanya kazi siku 6. Na neno kazi limeandikwa kwenye Bible mara 600 , maana yake tufanye kazi kwa kujituma zaidi na si kwa ulegevu. Tujitahidi kuchukua mazuri yatuimarishe. Na tukumbuke hakuna aliyeumbwa kuwa maskini bali umasikini ni chaguo la mtu mwenyewe kwani umaskini unasababishwa na kukosa nguvu ya kumiliki na kutawala vitu na mazingira yanayotuzunguka na uvivu wa kutokupenda kujituma kufanya kazi.
@LovenessMwakalenga Жыл бұрын
Umeshika andiko hujashina neno
@AminiAmini-hd9kw Жыл бұрын
Kumbe usingizi huleta umaskini
@BarnabaBuhoma Жыл бұрын
Si kweli… umaskini huletwa na mtazamo na matumizi mabaya ya pesa na uvivu.. kwa nini sasa usiku? Usiku ni wa kazi gani? Tujifunze kwa wanyama, maana wao ni sawa na sisi! Je, wanyama hawalali usiku? Kikubwa ni kujua tu namna ya kuweka malengo na kuyatekeleza kwa wakati mwafaka! Kitu chochote usipokiwekea malengo na kukifanya kwa bidii, huwezi kufanikiwa. Kumbuka mafanikio sio tu utajiri! Kuna vitu nimefanikiwa kwavyo na usingizi napiga!
@alexmasumbigana4910 Жыл бұрын
@@BarnabaBuhoma kumbuka neno hili pia apendae usingizi atapata umasikini wa kutosha au hujalisoma mtumishi?? Au vifungu vinavyokemea kupenda kulala huwa unaviruka??
@alexmasumbigana4910 Жыл бұрын
Ndio kasome mithali apendae usingizi atapata umasikini wa kutosha
@BarnabaBuhoma Жыл бұрын
@@alexmasumbigana4910 kuna mtu anakuambia kwamba anafanya kazi kwa bidii sana, lakini bado sipati utajiri kama ninavyotarajia. Wapi kuna kuna tatizo? Maana kama ni bidii ameweka! Mwingine anakuambia kwamba anaampa mapema mno kufanya kazi, lakini kipato kinachopatikana kinaishia tu kwenye malazi, chakula na mavazi, lakini sio utajiri. Nauliza tena wapi kuna tatizo? Ingekuwa usingizi unaondoa umaskini, basi Africa tungeshafika mbali. Tatizo lipo kwenye akili na sio kichwani! mimi nalala masaa saaba hadi tisa, Naam hadi kumi! Lakini nimefanikiwa kwenye mambo mengi. Kwani mafanikio sio utajiri tu! Mafanikio ni mtazamo chanya, akili bunifu, nidhamu ya pesa, malengo,n.k kumbuka Mungu aliumba usiku na mchana, yaani mchana uwe mahali pa kufanya kazi, na usiku uwe mahali pa kupumzika. Nami Najua kuwa kwa mjibu wa Biblia mchana una masaa kumi na mbili, usiku hali kadhalika. Hii ya kulala masaa nane ni wanadamu ndio wameweka wala sio Mungu. Hii ya kufanya kazi usiku kukucha Kama kule Marekani! Hii waliweka wanadamu wala hata sio Mungu. Kumbuka sisi na wanyama ni sawa. Ikifika jioni kila mnyama huanza kurudi kwenye makazi yake. Angalia hata kuku! Kwani kuna mtu anamwambia kuku ikifika saa fulani arudi nyumbani? Hii mimi inanifundisha kuwa usiku ni mahali pa kupumzika. Ndio maana ukichelewa hata kulala, kesho mchana lazima ukabiliwe na maumivu ya kichwa. Ndio maana Mimi ukiniambia unasikia maumivu ya kichwa, nitakuuliza jana ulilala saaa ngapi. Ok! Kuna watu wanasema unaweza kuzoea, ni sawa kabisa! Unaweza kuzoea! Lakini huwezi kukwepa changamoto. Kwa nini? Kwa sababu unapingana na asili. Ni kama vile mwanamke alazimishe kumtawala mwanaume, wakati mwanaume ndiye aliyeumbwa kumtawala mwanamke! Nini kitatokea?
@BarnabaBuhoma Жыл бұрын
@@alexmasumbigana4910 Mimi huwa sitafsiri Biblia kwa kuangalia andiko moja tu! Lazima niangalie maandiko mengine yanasema nini juu ya jambo husika. Maana kwa kuangalia andiko moja tu, ni rahisi kupata tafsiri potofu.
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Unaweza ukakusanya fedha kama zote then inaingia vita mali yote inapotea maybe unapata na ulemavu au unapata makajanga mbali mbali ukakusanya mali yote inabebwa na kimbunga mafuriko nk hujawa masikini na omba omba usijione kupata ni akili zako mpaka Mungu akufanyie wepesi .hakuna anae nunua umaskini..
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea
@bonifacebochela4717 Жыл бұрын
Akili zisizo na MUNGU utaziona tu, mwenzio anaongelea Mambo ya Mungu anaetupa afya njema na Uzima, alafu wee unaongea mambo ya ajali ulemavu na majanga, Sasa hayo ni mawazo ya Mungu?
@alexmasumbigana4910 Жыл бұрын
Kumbuka haya yote ya usingizi Mungu kaagiza pia kasema apendae usingizi atapata umasikini wa kutosha Mungu kukusaidia haina maana ulale tuu na Mungu atakupa kitu unachoweza ku manage