KIBARAKA WA DR SULE APELEKWA SHULE //Ust SHAFI

  Рет қаралды 8,511

arkas online tv

arkas online tv

2 ай бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Пікірлер: 134
@Dearm-ome2in1huba
@Dearm-ome2in1huba 2 ай бұрын
Mashalah ustdh shafi you are right I am from Kenya
@abuuzunayrah3029
@abuuzunayrah3029 2 ай бұрын
Ustadh Shafii Allaah akulipe firdaws
@AbdulkarimManguli
@AbdulkarimManguli 18 күн бұрын
Allah akuzidishie shkh wangu Allah akupe mwisho mwema❤❤
@hafizmubarakmussa1780
@hafizmubarakmussa1780 Ай бұрын
Ustaadh shafii Allah akuhifadhi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 ай бұрын
Uislam haina unafiq ukiwa mnafiq hata kama mnafanya kaz pamojaa unaaambiwa umekosea hawa n waadhir wawili lkn kama unaleta uganga ktk Dini unaambiwa Mbogo ukae kimyaaa usilete urafiki ktk Dini Allah akuhifadh Shifiii
@augustomariosama1542
@augustomariosama1542 Ай бұрын
Sawa kabisa shaikh shafiim wafikishie ujumbe hao wasiejitambua
@fundimorisho8230
@fundimorisho8230 2 ай бұрын
Kaka yangu ALLAH akuzidishiye rehma zake uyo sule amesha pinda juyanja nitapeli hata miyipopo aliyaongeya ayo
@abdallahjuma2608
@abdallahjuma2608 2 ай бұрын
Wafundishe sheikh shafi
@salumsimai642
@salumsimai642 2 ай бұрын
Yaaani umeswadikisha sheikh shafiiii mashaAllah
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 2 ай бұрын
Sheikh shafii pga kazi ,huyo DR Sule hafai hata kidogo
@user-xw5tf6xi4z
@user-xw5tf6xi4z 2 ай бұрын
Allah akujaze kheri Shekh wangu Shafii
@alidingongo443
@alidingongo443 2 ай бұрын
Uzuri wa uislam ukileta vitu visivyoeleweka unaambiwa peupe sio kanisa. Uislam ni utoe dalili sio ujanja ujanja
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 2 ай бұрын
Washirikina,, Hamna lolote.Hatusali na majini sisi.
@williamgabrielmassawe3654
@williamgabrielmassawe3654 2 ай бұрын
Mohamedi alitoa dalili gani?
@pascalvirgilio7208
@pascalvirgilio7208 2 ай бұрын
Sasa kanisa linaingiliaje hapo nyie majini😂
@pascalvirgilio7208
@pascalvirgilio7208 2 ай бұрын
Nyie mashekhe ubwabwa si mnaumoja kwann msifanye mdaharo kazi kubishana mitandaoni mnasikitisha kbsa
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Hawa nahis. Wamekorifishana mihadhara hakuna​@@pascalvirgilio7208
@user-zm6kz8mx5v
@user-zm6kz8mx5v 2 ай бұрын
Ma sha Allah shafi ww kiboko
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 2 ай бұрын
Sikiliza kusema jini inat uh miwa na kila mtu hiyo sikweli from 254 kenya
@tanihsayyd8524
@tanihsayyd8524 2 ай бұрын
Assalam alaykum warahmah tullah wabarakatuh. Alhamdulillah, masheikh zetu Allah kawajaalia elimu kubwa sana katika dini yetu ya uislamu na tunawaombea kwa Allah azidi kuwapa upeo mkubwa zaidi na zaidi, ili tupate kufaidika na sisi ambao elimu yetu ya chini. Ila tunawaomba mnapofahamishana kuhusu mambo flani ya kielimu katika dini basi tujitahidi tusiwe wenye kudharauliana na sikusudii kumtaja sheikh flani au nani bali nazungumzia kwa wote wale ambao tutakua tunafahamishana juu ya mambo ya kidini na kielimu zaidi. Tutumieni njia sahihi kwani nyinyi ndio viongozi katika dini yetu, tunakutazameni tunakusikilizeni ili tupate miongozo sahihi ya dini yetu. Sasa mnapodharauliana au kupeana maneno yasio na busara sisi tunaokusikilizeni mnatupeleka wapi?! Hakika huu ni mtihani mkubwa hekma ya mambo iko wapi? Kila sehemu unayoangalia ya masheikh sasahivi unakuta mambo ya kuaibishana, huyu kakojoa kwenye kitu, mara huyu hajui kusoma , mara yule hana elimu… Waislamu tunaelekea wapi mtu anapokosea mfundishe katika misingi ya hekma ili akuelewe na wengine wapate kuelewa. Shukran
@NM-rq9dr
@NM-rq9dr 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Hapa Sheikh Mbugila Mbugila na Sheikh Boxiiii kabisaaa😂😂😂😂
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 2 ай бұрын
Enyi ndugu zangu katika imani swali la msingi majini wapo au akuna dunian kwa mujibu wa qruan mwenyezi anasema nimewaumba majini na binadamu ili wapate kunianudu naam kumbe majini wanajukum la kumuabudu mwenyez mungu kama ss na wanaishi dunian katika mazingira gani wengine wanakwenda mbali zaid wanasema tunaishi nao katika majumba yetu jamani inawezekana kipo anacho kisema dr sule katika muda ujao
@AbedRamadhan
@AbedRamadhan Ай бұрын
shafii ww jeshi sn
@SmilingCondorBird-wo3wk
@SmilingCondorBird-wo3wk 2 ай бұрын
Ndio sheikh shafii waambie ukweli huyo sule asipoteze watu.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Shafii mwambie mwambie Mbogo atakuitaje Sheikh Mbugila Mbugila bhana😂😂😂😂😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Hapa ni mwendo wa kujaza bando na kuchaji simu na kutembelea timu zote tupate madini waliyoyaficha siku nyingi😂😂 nasubiri party 2😅
@MassoudHamad
@MassoudHamad 2 ай бұрын
Mkae mutathmini uislam mnavyouendea, kila mmoja anajua yeye mwenzake hajui, kueni makini msijemkajikuta mnamuabudia shetani
@kassimomari7505
@kassimomari7505 2 ай бұрын
Shafi mi nakukubali,uko na hoja za msingi
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o 2 ай бұрын
Ule sio Dr kuanzia leo
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
Kwa hiyo sheikh shafii umeamua kumkana rafiki yako role model wako, yote kwa yote dokta suke namuona kama anapotea njia amefsnya kiburi kidg ndugu yetu
@bekatng1006
@bekatng1006 Ай бұрын
Acheni kiki za Wana muziki
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 2 ай бұрын
Uongo siku zote huzihirika Subhuna Allaah
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 2 ай бұрын
Sure ni mshirikina tu tubia kwa Allah aache itikadi za kishirikina
@19ddr
@19ddr 2 ай бұрын
Kweli shee
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 2 ай бұрын
Naam Sheikh Shafi tupe vitu
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy Ай бұрын
Wapuuzi hao hawajui Dini vizuri.. Dini siyo kuparuana na kujionyesha kuwa unajua kuliko wengine. Masuala ya kukaa chini na Kuya maliza mwajifanya kuongea hadharani
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 ай бұрын
Huwezi kutumia kitu bila ya masharti mana majini wa kishetani nguvu hizo wanazo wa kukupa kitu unachotaka laki ujuwe kama moto unao mana utawaamini hao mazimwi bila ya mungu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Waislamu mnanipa rahaaaaaaaa!!! Timu kutumia majini na timu kutotumia majini😂😂😂 acheni mabishano Majini ni ndugu zenu Waislamu Sule yuko sahihi😂😂
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 2 ай бұрын
Kuweka mabodigadi wa kibinadamu ni uamuzi
@shabanimadobe972
@shabanimadobe972 2 ай бұрын
Saizi tumefikia waislam kuzozana na wengine uganga ndyo maana sitaki dini ila na imani mungu yupo ctaki kupitia uislam mm yani waadhiri wakubwa lkn uganga majini mtupu
@RamadhanMgeni-gt1tu
@RamadhanMgeni-gt1tu Ай бұрын
Ao utaokumban nao Kwa sili nikina nani
@user-ry8bx1fr7v
@user-ry8bx1fr7v 2 ай бұрын
Acheni kulumbana nyinyi dini haitak hvyo mbona Kila sku mitandao
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Wahadhir nyote wapigaji tunawajua
@user-hd3pi3bc9v
@user-hd3pi3bc9v 2 ай бұрын
Huyu mbogo ni bix box box tupu kweli katika dini✓
@uongohaunanafasi8572
@uongohaunanafasi8572 2 ай бұрын
Kumbuka kwa mujibu wa sheria zetu za Nchi za makosa yakimtandao kumuatack mtu kwa kumtaja jina hali yakuwa uliye mshambulia haja kutaja jina ni makosa makubwa sana unaweza kwenda Jela ama kutozwa faini kubwa ili iwe funzo kwa chombo kilicho tumika na muhusika. Tunafatilia jambo hili
@MoBortion
@MoBortion Ай бұрын
Kwan huyo alotajwa hapo dunia nzima yupo peke ake tu!
@emmanuelomary1725
@emmanuelomary1725 2 ай бұрын
MUNGU AWAPIGE HIVYO HIVYO WAPINGA KRISTO NYINYI MNAANZA KUPISHANA SASA NYINYI KWA NYINYI PUMBAAAVU
@BradothAdm
@BradothAdm 2 ай бұрын
Acha matusi mpuuz
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p Ай бұрын
mrongo kofia ina dalili kwa quran Allah asema chukueni pambo lenu pindi munaenda msikitini خدوا زینتکم عند کل مسجد
@ismailally3219
@ismailally3219 2 ай бұрын
mbn ck hz mumekuwa mukikosoana live kwny social media. Je hamuon kuwa kuna poin munapoteza maan mda uwo mulokuwa mukikosoana kuna mwenqn hajuw ata kdq s mulikuwa mukawafundish awo
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 2 ай бұрын
Tusimtetee Dr Sule bali tumsuse hata kusikiliza mawaidha yake
@EmilyKamoto
@EmilyKamoto 2 ай бұрын
Kimeumana
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Huyu mtetea wa sule masikini hajui kitu anatia huruma
@jefwabaya2637
@jefwabaya2637 2 ай бұрын
Hii ya mashehe kuchakrizana wenyewe kwa wenyewe , kila mtu abebe msalaba wake
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 2 ай бұрын
Mzee Sule anajua ...unaongea uongo
@MusaRamadhani-wj2dw
@MusaRamadhani-wj2dw 2 ай бұрын
Najua Kuna watu watapinga ila huu ndio ukweli shafii na sule shafii anaelimu ya dini kuliko sule na mbongo shafii Yuko vizuli kiasi chake
@rezikomer9552
@rezikomer9552 2 ай бұрын
Jamani mashekhe wazuri sikizaneni nyiyni muhimu wacheni kufata anawakorofisha sheitani anawahusudu sheitani wacheni kulipuwana kwa kitandawo jayeni face toface mujadiliyane makosa niwapi mitandawo mwafurahisha mahasidi wakisilamu tafadhaliqacgeni kupigana kwamitandawo
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
Sule agongolewe misumari kwakweli
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 2 ай бұрын
Mpambe wa sure hajielewi anajigonga gonga tu ndivyo walivyo waovu kujigonga gonga tu acheni ushirikina
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 2 ай бұрын
Wewe mrongio ogopa uhai unayo sasa kesho huna
@abdallaabdalla998
@abdallaabdalla998 2 ай бұрын
Duh sauti ndio sna
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 2 ай бұрын
Tulikua tunaomba mashekhe musichambane na kulaaniana kubwa zaidi tuombe kila mmoja wetu awe na mwisho mwema alafu haya mambo nibora mukayakalie faragha kuliko kuchambana kwa mitandao haya mambo yanaonekana hayataisha isipo kuwa mutatufuruga sisi waumini wadogo.
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 2 ай бұрын
Timu majini na timu isio tumia majini,, nyie ni washirikina.majini ni ndugu zenuu
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 2 ай бұрын
Sheikh shaf huyu kaka yako sule na kundi lake wote ni wapuuzi tu
@fredyunga2138
@fredyunga2138 2 ай бұрын
Huu ndo uislam.
@MukulasiKapela
@MukulasiKapela 2 ай бұрын
Shee shafii pambana nawewe ununuwe v8
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
Aende kwa Sule amgawiye jini moja limuletee fedha.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Hahaaa hawa. Wanaoneana choyo
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 2 ай бұрын
Sule ni mganga wa miti shamba ameuacha udini mbona aongelei malaika? Mlinzi wetu ni allah
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 ай бұрын
QURAN NA MASHEKHE WAKUBWA KIPI BORA HEBU TUANGALIE KTI QURAN SURATUL JINNI ALLAH ANASEMAJE. AYAH YA 6 ALLAH AMETUKATAZA SISI KUTAFUTA ULINZI KWA WANAUME WA KIJINI TENA WALA HAJAZUNGUMZWA SHETANI ILA IMEZUNGUMZWA JINNI MOJA KWA MOJA وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 ай бұрын
Bora mwisho mwema tu
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 2 ай бұрын
Hawa watu lakini hawajalipwa??? Mnajua qiyama inakaribia na maaadui wa waislamu ni wengi hata wanajificha kwa uislamu, Quran iliwataja. " Munafiqeen" musimuamini kila mtu eti ni muislamu.
@SALUMCHALO
@SALUMCHALO 2 ай бұрын
Ww shafi box. Kama kuna malaika wanakulinda pande zote inakuwaje mtu unakumbwa namatatizo namalaika wapo
@omarymbonde6748
@omarymbonde6748 2 ай бұрын
Wanamlinda kwa amri ya Allah
@ismailally3219
@ismailally3219 2 ай бұрын
maaan elim ni kina kiref so ww una uhakk gan km unavosem ni sahihi km nini mtfut uyo doctor uonqe nae ikiw wewe unaona kuwa amekosea s ndy am v
@user-pg4qx1sv5x
@user-pg4qx1sv5x 2 ай бұрын
Tatizo Dr.Sule yuwaishi maisha ya juu ndo jealous zote hizo. Mnawafaidisha makafiri2
@fundimorisho8230
@fundimorisho8230 2 ай бұрын
Unafiki washafi ni kumteteya ALLAH usicoki kakayangu pambana kwajili ya ALLAH wajinga wapo sikuzote
@Del_busi5
@Del_busi5 2 ай бұрын
Nikisema maalim sha’afi hanaga unafki mnazani natania 😂😂😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Wew. Nae tunayajua yakwake ila tustiriane
@edwardbenard4578
@edwardbenard4578 2 ай бұрын
Ndo ujue waislam hawataki Mambo yaajabu kwenye din
@edwardbenard4578
@edwardbenard4578 2 ай бұрын
Hata uwe shekh waaina gan ukiongea porojo kwenye din lazima uambiwe sio Kama wakristo kilasiku kunamitume na manabii lakin hawambiwi wanakosea
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Yaani Sule kaamua2 kuichafua dini sio kama hajui
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 ай бұрын
sule nimfanya byashara ndani ya dini!
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 ай бұрын
Acheni upumbav buana km kuna mtu kakosea si kaeni chini muelimishane ili yaishe ya nn mashekh wazima kutwa kusemana kwnye mitandao hii dini mnaipeleka wapi? waislam tunapogombana wenyew makafiri wanafurah na kuzid kupata nafas ya kutubomoa
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 ай бұрын
ni dini yaungo ndio maana!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Wacha wafrahi mi nilijua wanaingia peponi
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 2 ай бұрын
kiukweli majini wema inafaa kutumia vitabu vya maimamu wakubwa wana sema ivyo
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 ай бұрын
QURAN NA MASHEKHE WAKUBWA KIPI BORA HEBU TUANGALIE KTI QURAN SURATUL JINNI ALLAH ANASEMAJE. AYAH YA 6 ALLAH AMETUKATAZA SISI KUTAFUTA ULINZI KWA WANAUME WA KIJINI TENA WALA HAJAZUNGUMZWA SHETANI ILA IMEZUNGUMZWA JINNI MOJA KWA MOJA وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@suleim505
@suleim505 2 ай бұрын
inapendezazaaidi ukatutajia kitabu ambacbo kinaeleza kuruhusu matumizi ya majini
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 2 ай бұрын
Na ikija RAMADHAN mnafungaga ivi ivi na mnachukiana 😢astaghifilullah
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 2 ай бұрын
Shameful
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
Munaangaika kuutetea kwa sababu hauwezi ukajitetea mwenyewe.uzuri wa ukristo unaambiwa kwamba hiyo njia siyo ukishupaza shingo mwenyewe anamiliki roho anamngojea siku ya mwisho.hajatwambia tupambane na mtu anayeamua kufanya anachotaka.
@saiddgsmg
@saiddgsmg 2 ай бұрын
Acha unafiki wewe shafii elimu yako ni ya unafiki tu,acha kumletea dk sure majungu yako.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
Na wewe una miliki au sio😊
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 2 ай бұрын
Mashekh watanzania mnatuaibisha kila siku mnachambana mitandaoni amna mnachofundisha
@peteramollo5329
@peteramollo5329 2 ай бұрын
Jamani mimi si Muislam lakini nachukizwa na huu mjadala baina ya hawa Mashekh hadharani kwenye media. Haya mnayofanya si mafunzo bali mnaonyeshana ubabe na kiume. Tafadhali sana kaeni faraga muelimishane ili mkitoka nje muwaelimishe mahamuma. Wacheni kujiaibisha mashekh. Jaluo kutoka Kenya
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 2 ай бұрын
@@peteramollo5329 Ndio maana mm napendaga kufatilia mawaidha ya akina shekh OTHMAN MAALM na SHEKH HAMZA MANSOUR hawaongeagi yasiyo na maana mitandaoni ila hawa akina shafi wanaitana adi mabox
@saiddgsmg
@saiddgsmg 2 ай бұрын
sheh shafii wewe ni mnafiki tu huna lolote
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl 2 ай бұрын
Wafuasi wa mwokozi wetu Yesu tunaenjoy tu kuwaona marafiki za majinn wakibishana na kutoana akil😂😂😂😂
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 2 ай бұрын
Endelea kujidanganya
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
Sawa si majini nyinyi ni mashetwani kabisa ayakuusu imanuel nyinyi ndo mnayafuga mpaka kanisani kila siku pepo toka na haya toki
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 2 ай бұрын
Endelea kujidanganya
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Hapo lazima timu tumia majini lazima ishinde maana majini ni ndugu zao wa kiimani 😅😅😅
@haidarsaid6800
@haidarsaid6800 2 ай бұрын
Uwo ndo uislamu hauangalii mtu yyte ataenda upande basi atapinduliwa so nyinyi mnaambiwa uoneni na papa wenu fateni😂
@user-ry8bx1fr7v
@user-ry8bx1fr7v 2 ай бұрын
sasa hayo mambo mabodigad yanatoka wapi ww shafii chuki za wazir hizo
@alidingongo443
@alidingongo443 2 ай бұрын
Anajibu hoja kua mpole
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 ай бұрын
Wewe ni mshirikina na ni mfuasi wa doctor wa mchongo sule
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 2 ай бұрын
Shafii umevurunda kuhusu suleimani na pete hapo elim yako imeishia hapo
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 2 ай бұрын
Shafii Muislamu yeyote anatakiwa awe muadilifu kwa kukubali makosa pale anapokosea mbona wewe unajifanya hukosei? Tulikuuliza swali kuhusu fatwa uliyoitoa kuhusu kadhia ya Harmonize. Jee! Kati ya fatwa uliyoitoa wewe na ile iliyotolewa ma BAKWATA kuhusu kadhia ya Harmonize, ni ipi fatwa sahihi? Tunaomba majibu. Mbona unakwepa kujibu hili swali?
@user-id1gz3ng3k
@user-id1gz3ng3k 2 ай бұрын
Sule ni kafiri akuna mwisilam na majini
@halimaa9367
@halimaa9367 Ай бұрын
Dkt sule nimsaniii Kwa sasa sio shekhe tena ane tembea na bodigad sio shekhe nimsanihi
Prof MAZINGE AMPONGEZA SNURA KWA MAAMUZI YAKE
5:55
arkas online tv
Рет қаралды 3,3 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 56 М.
MOGOKA NA WENYE FARASI KATIKA JIJI LA MOMBASA
48:47
Straight Path Dawah
Рет қаралды 8 М.
Ustadh Haji Upepo amtetea Dr Sule kuhusu kutumia jini
11:34
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 10 М.
MATAJIRI MNACHUKUA WAKE ZA WATU MNAENDANAO DUBAI // SHEIKH NYUNDO
29:50
arkas online tv
Рет қаралды 4,1 М.
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН