Mbunge Mrisho Gambo Akasirika Vibaya Mbele ya RC Makonda, DC "Asinichokonoe Sitaki Kugombana Na..

  Рет қаралды 58,579

Tiki Tv

Tiki Tv

Ай бұрын

Mbunge Mrisho Gambo Akasirika Vibaya Mbele ya RC Makonda, DC "Asinichokonoe Sitaki Kugombana Na..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#MBUNGEGAMBO #MRISHOGAMBO #gambovsmakonda
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

Пікірлер: 67
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Sisi wengine hatuko Arusha , lakini tuna fuatilia habari za Arusha kwajili ya makonda tuuu nahao walio dhulumiwa hakizao , wala sio kwaajili ya Gambo, wala Huyo Dc kwanza wengine tuna muona kwajili ya makonda, hawa wote wanatembelea nyota ya Rc Makonda , kama umeona wanatembelea nyota ya Rc Makonda, weka like za kutosha,
@TwalibHusseinteni-qz8tb
@TwalibHusseinteni-qz8tb Ай бұрын
Wakuu WA mikoa 😮wote fanyen hivyo
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u Ай бұрын
Daa natamani mama angenipa ukuu wa mkoa ningefanya kazi kwa weledi kama wewe mh. Makonda ila sio mwanasiasa daa
@salumsimai642
@salumsimai642 Ай бұрын
Hawatembelei nyota wanasaport
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
T M U... Team Makonda Ukombozi... Mungu azidi kuwatangulia....kuwalinda na kuwaongoza... Makonda ni mtumishi wa Mungu aliye hai, asante mama Samia kwa hii zawadi...Ma ko mda❤
@EgallSamsam
@EgallSamsam Ай бұрын
Makonda anaulizi wa Mungu na Mungu akuongoze.
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u Ай бұрын
Your my best natamani niwe mkuu wa mkoa nifanye kazi kama wewe makonda
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu kwa ueledi wako na usikivu maendeleo ya Arusha na Nchi nzima yanaonekana Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani mke wangu jamani mpenzi wangu.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Kazi hii Kama itafanywa na Wakuu wote wa Mikoa nchini basi nchi hii ingefika mbali sana!lkn inaonesha wazi kwamba viongozi wengi hawaungi mkono kazi hii adhimu na muhimu kwa wananchi.Hivyo ni vyema Mh Rais akafanya uteuzi moya kwa Wakuu wa Mikoa
@samwelshedrack631
@samwelshedrack631 Ай бұрын
Mnafik tu mbon we umewahi kuwa mkuu wa mkoa lkn hukufanya kitu?ebu muache makonda apge kazi tunatamn makonda akae arusha milele
@AlimasiLukomba
@AlimasiLukomba Ай бұрын
Ktk comment zotw Yako ndo nzuri kuliko Zote
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
😂yan gambo mkorofi
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b Ай бұрын
Gambo jifunze kazi kwa Rc makonda
@user-ix9fv5xq1h
@user-ix9fv5xq1h Ай бұрын
Dr Samia,shikamoo mama yangu,nakuomba huyu makonda umtengue Mara kwa Mara na umteue Mara kwa Mara,namaanisha Kila mkoa ahudumu hata kwa miezi miwili miwili na sisi Mara huku tumfaidi ili mamungu watu wayapishe maendeleo na migogoro ziishe.ahsante.
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Ай бұрын
Ss kwanini viongozi wote msifuate mfano wa Kijana mwenzetu mzalendo Mako yaani mpaka apite mako ndio mshituke 💪🏽🙏🏼TZ inamambo kweli kweli Mungu akutangulie Mh.Makonda utakuwa Rais imekuwa mitano mitano mitano tena🤣🤣🤣🤣🤣
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Asante….. Dr. Rais Samia Oyeeeeee Arusha
@williammassana
@williammassana Ай бұрын
Kaka Mungu akubariki,wewe ni mtu wa Mungu
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 Ай бұрын
Nikipata ukuu wa wilaya tu.... Nitafuata nyayo zako Makonda. Makonda MUNGU AKUTANGULIE MKUU WANGU nimekuelewa SANA 🙏🙏🙏🙏
@MzeeAbdallah-gx9sd
@MzeeAbdallah-gx9sd Ай бұрын
Allah atakulimda kwakweli
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
Supana juu ya Supana 😂😂😂
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc Ай бұрын
Hiyo ni nyota ya makonda na mungu wake makonda ipo siku utakuwa rais wa nchi hii
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka Ай бұрын
Ni kweli
@MasungaJooji
@MasungaJooji Ай бұрын
Makonda mungu akubaliki tunamuomba samiya akulente mwanza kunaukilitimba wahaki mzawanyoge kama arusha
@nkwabidonald4277
@nkwabidonald4277 Ай бұрын
Congratulaton leader
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Ай бұрын
Kusema ukweli hata mimi nilikuwa simuelewi Gambo ila baada ya kuona haya yote yanayoibuka baada ya makonda ya ubadhilifu kiukweli Gambo was and he is right Arusha kuna shida ya wizi wa pesa
@kudramkoma8438
@kudramkoma8438 Ай бұрын
Mheshimiwa makonda ipo siku ,mwezi,mwaka atakuwa raisi wa Tanzania hii
@RehemaBukuku
@RehemaBukuku Ай бұрын
Makonda salute
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 Ай бұрын
Jmn mbona ana majungu huyu Gambo?
@user-nr8gx1vs6t
@user-nr8gx1vs6t Ай бұрын
Hatar sana
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 Ай бұрын
Huyu Gambo ni mkorofi jmn
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Gambo anatengeneza shida
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Ай бұрын
Makonda atakuja kuwa l Raisi wa nchi hii Yani alipata nafasi hata kula watu wasilige apewe tu uraisi makondaaaa mungu ampe jhai yajayo yanafurahisha
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka Ай бұрын
Hii ndio kazi tunayoitaka wananchi chama na viongozi wetu wafanye.
@albartdastani3412
@albartdastani3412 Ай бұрын
On fact GAMBO
@JoyceManyuka-ot7sg
@JoyceManyuka-ot7sg Ай бұрын
Makonda ishiiiii
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Ай бұрын
Ni vyema Makonda akabaki kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha ila Mbunge hapana.
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
Kama mrijuwa machinga wanateseka nahio migogoro mrifanya nini muda wote
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
Kiki za uchaguzi ngoja uchaguzi upite mtaona kitakachoendelea
@princesschii4090
@princesschii4090 Ай бұрын
Mpenda majunguuuu
@MarthaGambaloya
@MarthaGambaloya Ай бұрын
Gambo aache kujikomba
@user-tu9ps9kr2o
@user-tu9ps9kr2o Ай бұрын
Mhe mbunge nimekuelewa kwa lugha ya kufikisha ujumbe wako kwa jamii
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 Ай бұрын
Kagambo ni kanafikk sanaa na kichonganishi. Na hakuna chochote alichowah kufanya
@namsamson3443
@namsamson3443 Ай бұрын
Make sure kiwango cha barabara kinakuwa kama zile barabara za Maguful ziwe imara maana nyingi zinakuwa sio imara
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Ай бұрын
Huyu Gambo hovyo kabisa boya tu
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Arusha wamepata Rais
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Ай бұрын
Piga spana makonda mimi nina paiprench na tailiva sijui nikuletee hapo mkuu uwapige kweli kweli
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Mrisho Gambo unaona namna kazi zinavyofanywa na RC Makonda?? Je wewe uliwahi kuwasadia Wananchi kwa lipi zaidi ya kulinda cheo??
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
Kwani huyu ndo arikuwa mkuu wa mkoa kabura ya makonda
@user-mb2ln1et5w
@user-mb2ln1et5w Ай бұрын
​@@khadjamhozyamkuu Kuna R na L daah Sasa arikua kabra ndonini
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Ай бұрын
Huyu makonda awe mtu anayetaka ugonvi na watanzania hatukubali ambao si raia wa nchi ndiyo wanaotamani makonda wapishane hao hatuwataki waende kwenye nchi yao
@OdenBidili-lj5qi
@OdenBidili-lj5qi Ай бұрын
We gambo ulikua mkuu wa mkoa hapo mbona hukufanya chochote acha kupiga siasa hapo mwezi wa 10 kuna uchaguzi ndio maana unadanganya watu
@mgalulamatongo4079
@mgalulamatongo4079 Ай бұрын
Manene unafaa kuwa rais wetu uchaguzi ujao
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
KWANI AGIZO LA MACHINGA KUFURUSHWA LILIKUWA NI AGIZO LA RAIS
@user-qv8qo3ff3q
@user-qv8qo3ff3q Ай бұрын
nilichogundua baadhi ya viongozi wa ccm wanafki sana 😢 huyu jamaa anasifia tu na yeye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa mbona hujafanya kama anavyofanya makonda? makonda hana ata miezi mitano lakin anavyowajibika ni kwa moto kila mahali arusha, yaani inavutia sana huyu makonda ni raisi wangu miaka kadhaa mbeleni
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 Ай бұрын
Huyu makonda anastahili kupewa nchi tu.
@odhiambojames8578
@odhiambojames8578 Ай бұрын
We Mambo ulifanya nini
@khatibumtaki7425
@khatibumtaki7425 Ай бұрын
new magufuli wewe ni jpm mpya wa badae
@priscairene4605
@priscairene4605 Ай бұрын
Makonda jembe
@ElishaOisso
@ElishaOisso Ай бұрын
Watu
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 Ай бұрын
Wambie mitalo yote ifunikwe isikae wazi
@sarahjames2287
@sarahjames2287 Ай бұрын
Huyu Gambo??? ni
@abaskhatoon9425
@abaskhatoon9425 Ай бұрын
Taka huku ni shida gari hazipiti
@user-vs3kd5wr7z
@user-vs3kd5wr7z Ай бұрын
Tuko pamoja na makonda wewe ulizaliwa kuwa kiongozi na Wala siyo uongozi wa kujifunza
@baruaninombo291
@baruaninombo291 Ай бұрын
Gambo wewe ni hamna kitu, kajeuri na kakorofi sana, wewe ndo uliyesababisha leo hii arusha tusiwe na stand kubwa. Enzi ukiwa mkuu wa mkoa ulikuwa na bifu kubwa na mkurugenzi wako mkawa mnagombana kila mtu akitaka stand ijengwe eneo analotaka yeye. Hadi pesa zikarudi hazina na magufuli ndo akaja kuwasuluhisha na akawasema sana kwa kuwacheleweshea maendeleo wana arusha.
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Ай бұрын
huyo dc ana mapito makubwa...huyo gambo nidhamu mbovu ccm wanatakiwa wamuajibishe kwenye kamati ya nidhamu
@baruaninombo291
@baruaninombo291 Ай бұрын
Sasa leo hii gambo unaugomvi na dc. Hii inaonesha wewe ni mkorofi. Unapenda migogoro
Rishi Sunak delivers final speech outside No10 Downing Street
2:58:18
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 17 МЛН
ITV News General Election 2024: The Results
6:02:08
ITV News
Рет қаралды 108 М.
Reporting on Doomsday Scenarios | 60 Minutes Full Episodes
52:33
60 Minutes
Рет қаралды 2,1 МЛН
Labour wins massive majority - but is this a loveless landslide?
38:21
Channel 4 News
Рет қаралды 441 М.
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
ТГК: ЛОГОВО FRIENDS #россия #чатрулетка
0:21
АлексДан
Рет қаралды 8 МЛН
When dad sneezes 😱😵‍💫 LeoNata family #shorts
0:26
LeoNata Family
Рет қаралды 10 МЛН
Оказался НЕНУЖНЫМ и Его БРОСИЛИ🐶💀
0:38
ИССЛЕДОВАТЕЛЬ
Рет қаралды 4,6 МЛН