Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Пікірлер: 31
@omargargaar5611Ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh Shafii
@SaidAbdallah-sm1ftАй бұрын
Asante UST shafi
@farishfarish258Ай бұрын
Lkn ww upo vzr kwakweli mpe ukweli wake p1 nahuyo poyoyo wake mbogo
@jumamussantuicheАй бұрын
Shekhe shafi upo sahihi.sule na uyu ayupo sahihi.
@Captainislam-m5sАй бұрын
Am watching from Zambia 🇿🇲 I really like how you explain it... watu wanathani majini wanashaurishana namajini
@AbdallahHaruna-fm5dyАй бұрын
Nyie mashekh mnashida sana
@SaidAlly-uh4qwАй бұрын
Tatizo la dk sule ni tapeli kashatapeli watu sana kuwauzia dawa
@TarteelAlrahbiАй бұрын
tapeli konki
@Mariam99-ld4gwАй бұрын
Namuelewa shafiii alhamdu lilah
@user-jq2lk5tm3tАй бұрын
upo vzur shaffi
@hassanngonyani588Ай бұрын
Kwani khekima ya qur an ikoje kaenichin malizenihili jambo msiwspe faida wakilisto
@suleimanjuma6386Ай бұрын
achen kutukanana somen kwnza vzur
@farishfarish258Ай бұрын
Ww upo sawa xana mungu atakulipa tatizo lako Wacha dufu
@alhabibmohammed7617Ай бұрын
Wote tunategemea tawfiq kutoka kwa Allah kusoma na uelewa/ufahamu ni vitu tofauti tutumie eliminate zetu kwa hekma katika kuelimishana na siyo kutofautishana kwa kejeli
@abuuabdirrahmaan4132Ай бұрын
NDUGU YETU WEWE UNABISHANA NA MBOGO ULIONA WAPI JIMBOGO LIKAELEWA ????? MAMBOGO YAMELETWA KWAAJILI YA NYAMA TU
@saba-gv3mjАй бұрын
Hapo umekosa shafi thahabu huruhusiwi kuva mtume s a w kakataza huko peponi Allah ndio anajua yy kama majini hatuwaoni peponi utawaona piia
@mnipulamahahi9858Ай бұрын
Kwani hamna mambo ya kushughilika nayo yenye tija kubwa kwawaislam? mbona kwaujinga wenu na kwakutaka kuonekana mnajuwa mnawapa ya kusema makafiri
@alhabibmohammed7617Ай бұрын
Dah huku siyo kuelimushana bali ni kudhalilishana kama mungekua munapendana kwaajil ya Allah mungetumia hekma kuelimishana
@jumamussantuicheАй бұрын
Ww ujuwi kauli ya sule, inatembea.mm nipo mozambique
@Mariam99-ld4gwАй бұрын
Duu sipna za nguvu 😂😂😂
@godfreydavid6847Ай бұрын
Dini ya kiislamu imekuwa ya mipasho siku hizi
@amirmohamedali7922Ай бұрын
Amani ya mungu iwe kwako Bro hujawaelewa waisilamu Waisilamu wakikuona unapoteza umma ukienda vibaya uachiliwi kupoteza umma unaambiwa paruwanja sio kama nyinyi wakiristo muko baridi sana mpaka mwisho mwaambia yesu ni mungu munakubali
@hamisibakari7271Ай бұрын
Mjinga sana huyo mpambe wa Doctor sule hata aya zenyewe anazikanyaga tu sijui kasomea wapi
@chemstry409Ай бұрын
Shaffi wewe ni Muhadhiri mzuri sana na ninakukubali sana but sidhani kama upo sawa kwenye hili why usikae na Alhad Hajj Sula na kuzungumza kuliko kuja hadharani na kuanza kumpinga, Acha husda wewe.....
@aliykhamisi1431Ай бұрын
Wewe husda gani waongea usicho kitafakari, watu billion ngapi wanapotoshwa halafu eti husda 😂
@user-sv3yx6ne2xАй бұрын
Shafi ww ni muhadhiri kama sule mbn usikae naye mkajadili haya mambo mwatupiana maneno mitandaoni
@technicalgearboxenginebysc1360Ай бұрын
Yeye anaongea pembeni lazima aambiwe popote ashike adabu mpaka makafili wanatucheka kuwa tunafuga majini
@MohamedAhmada-ie7keАй бұрын
Tatizo sumu akitoa kiongozi inawafika watu wengi so katika kueka sawa lazima na watu wajue