Our next president,,,,2030+ poul Christian makonda...
@deogratiaskatinda9232Ай бұрын
Haya yote yanayofanyika ni mazuri ila pia yanayoonyesha udhaifu wa serikali tuliyonayo. Mifumo ya afya ingekuwa mizuri haya maigizo ya namna hii yasingekuwepo. BIMA ya afya ilishavurugwa na serikali yenyewe halafu hapa inaonesha wanapata vizuri huduma za afya! Kuna unafiki mkubwa Tz