USHINDI WA MWABUKUSI NA ATHARI SABA ZA DHULUMA YA DOLA KWA WANATAALUMA

  Рет қаралды 41,835

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Ni ushindi wa umma na wanataaluma wote.

Пікірлер: 194
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 Ай бұрын
Ushindi wa mwambukusi ni ushindi wa katiba mpya yenye tija kwa watanzania,hongera jemedari,Tuvushe kamanda, mwenyezi mungu akutangulie
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Ай бұрын
Asali akirambishwa atanyamaza kimya
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Ай бұрын
​Amekwisha pita hiyo ngazi hiyo ,hakuna cha aslii ! Wale waliopewa fedha za campaign na mawakili wakakataa .hongera mawakili wa TLS.😂
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj Ай бұрын
@@KassimAlly-xp4dz Angetulia kwenye bandari
@magdalenanicholaus5459
@magdalenanicholaus5459 Ай бұрын
Hongera sana mwabukusi ,,🙏🙏🙏🙏
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 Ай бұрын
Nilikuwa nasubiria sana utaongea nin kuhusu uchaguzi huu wa TLS Pr Ngurumo kweli nimefarijika sana kusikia maoni yako
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 Ай бұрын
Be blessed Kamanda Mungu akubariki Mno,Wewe ni Mchambuzi Mzuri sana
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Ай бұрын
@@emmanuelsulle911 Asante!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Hongera sana mwambukusi
@WigesaNyerere
@WigesaNyerere Ай бұрын
Asante Mungu,uchaguzi umeisha vyema,nina imani nae nasubri mambo makubwa 3 kutoka kwake,1 bandari zetu,2 wamasai na maeneo yao asili,3 mikataba ya hovyo inayo pitishwa bungeni..
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb Ай бұрын
Ni kumwombea MUNGU pia maana watamwandama km Tundu lisu alivyopigwa risasi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Hiyo ni kweli.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
Kweli kabisa, mwabukusi OYEEEEEEEE.
@mahengepascal
@mahengepascal Ай бұрын
Tumtangulize Mungu kwa kila kitu
@WigesaNyerere
@WigesaNyerere Ай бұрын
@@simonMollel-rr3gb hii inch ilipo fika tukiendelea kuogopa kifo,ujinga hauta isha na ukifa unatetea ni kifo bora
@leonardinnocent9638
@leonardinnocent9638 Ай бұрын
Makala nzuri sana hii. Umefanya uchambuzi yakinifu🙏🙏🙏
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Mwabukusi hongera sana kwa ushindi.Mungu azidi kukubariki na kukulinda.
@PaulLukumbi-en3qd
@PaulLukumbi-en3qd Ай бұрын
Mungu akulinde,ni ushindi kwa TAIFA mwabukusi na TLS endesha jahazi nahodha wa uhakika tutafika salama bandarini.
@saviomlelwa
@saviomlelwa Ай бұрын
Umeongea vema Sana. Always stay blessed
@EddaKiputa-cz7gf
@EddaKiputa-cz7gf Ай бұрын
Mawakili nimewakubali,mmetuonyesha kuwa inawezekana kwa msaada wa Mungu.
@user-dk3ou5yk2f
@user-dk3ou5yk2f Ай бұрын
Nimeikubali TLS HALISI Imefufuka HAKI Imeshinda nchi yetu TANGANYIKA imefufuka Freedom is coming to day not tomorrow Thanks GOD Alta continue
@rommelmauma5872
@rommelmauma5872 Ай бұрын
Vocē é menu melhor amigo [Vocē é melhor amiga]: "A Luta Continua!"
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 Ай бұрын
Stay blessed Mkuu Ngurumo
@Gaynor1234
@Gaynor1234 Ай бұрын
Mwabukusi, hapo umeshinda, lakini nakuomba utapoenda popote pale kikazi, mwambie mke wako akupikie chakula, na maji nunua ya kwako. Roho ya shetani imevamia utawala uliopo ukifanya uovu wa bila hata kuogopa kwamba Mungu aonaye sirini anawaona na hukumu inawasubiri. Mungu akulinde katika nyanja zote.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Ай бұрын
Achukuwe taadhari , lakini Mwabukusi usiogope yupo zaidi ya watawala anayekulinda kila dakika ,halal wala hapokea Rushwa Kumbuka ngedere na bundi walitumika kuzuia msafara wa rais kufika Dodoma mapema, amina Mungu tuu!.
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu siku zote. Alitakalo Mungu hutimia kwa wakati na majira yake. Asante Mungu. Tumetenda sana dhambi ya unafiki. Imetosha. Mwabukusi hongera katimize mapenzi Mungu kaka.
@user-dn6yj2py4l
@user-dn6yj2py4l 29 күн бұрын
Honger sana Mwabukusi
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 29 күн бұрын
Mwenyezi mungu akubaliki sana ndg Ngulumo hakika unatoa darasa zuri xna katika mambo mbalimbali
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 Ай бұрын
Katika miaka yote haijawahi kutokea watanzania wakawa na uelewa mkubwa hivi,kwanza wengi tulikua hatujui kabisa TLS ni nini wala umuhimu wake kwa watanzania,hii inadhihirisha kuwa watanzania wana mambo mengi ambayo yanawasibu lkn hawajui nani wakuwasemea,sasa ushindi huu ni wa watanzania wote.Na serikali itambue sasa kuwa watanzania wanataka mabadiliko na wakati ule uliotabiriwa na baba wa taifa umefika sasa,Alisema wasipoyapata ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm.Hiki ndicho ninachokiona sasa,watanzania wamechoshwa na rushwa,wamechoshwa na Ufisadi,wamechoshwa na utekaji n.k
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Ай бұрын
Kafatilie pia uchaguzi wa Lissu kuwa rais wa TLS
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk Ай бұрын
Hata sisi wanakijiji tumefurahi saaaana viva Mwabukusi
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Huyu ambaye hakubali matokeo warudie wakiwa 2 tu aone atakavyo tandikwa.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly Ай бұрын
Huyu anaepinga matokeo ndio wale wale mapandikizi kifupi ndo machawa wenyewe jemadari Mwambukusi pambana mwanangu Katiba mpya ndio ndio iwe kipaumbele
@davidsamson8204
@davidsamson8204 Ай бұрын
Mungu mwema Ongera sana Mwabukusi Mungu akuongoze kuisimamia TLS ongera sana Mmetufurahisha watanzania hii inatutia Moyo sana.
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Ай бұрын
Hongera zake.
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb Ай бұрын
Hongera Mawakili wote Kwa kujitambua, hivi mwanasheria mkuu alikuwepo? Amejifunza Nini?
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Ай бұрын
Asante baba kwa makala nzuri, umetufungua macho kile ambacho tulikuwa hatukijui ,ila kwa Tz tulikuwa tumefungwa kwenye gereza la giza la sheria na kufungwa kamba humu , Mungu tuinulie wengine wengi wataosaidiana na Kaka yetu Mwambukusi ili tufike sehemu nzuri ya kujikomboa kutoka kwenye giza hili . Ee Mwenyezi Mungu tusaidie
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p Ай бұрын
Daaaa nimefurahi sana mwamba mwabukusi woooyoooooooooooo❤❤❤❤
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Ай бұрын
Unanielimisha Sana Mzee
@pdaxofficial3144
@pdaxofficial3144 Ай бұрын
Mwabugusi namkubali sana yule jamaa anajua Sheria kiukweli Yuko vzr sana sana kiukweli..
@user-wc1bw4wt2g
@user-wc1bw4wt2g Ай бұрын
Hongera sana kaka mkubwa Kwa ushindi mkubwa uliopata
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
PIGA KAZI MUZAZI TUKO NYUMA TUNAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Halafu Nkuba unaenda mahakani kugomea ushindi wa Mwabukusi kwa Kura 1274 kwa 807 wapi na wapi ingekuwa tofauti ya kula 10 sawa lkn kwa utofauti wa kula hizi ungeendelea na mambo yako tu😂😂😂😂🙌
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Haki haitegemei idadi hata huyu aliyeshinda alienguliwa na tume na kutafuta haki akarejeshwa.
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
@@hajihassan5433 Sawa haina shida ila tunaamini waliomuengua mwanzo wakampa shida Mwabukusi kwenda mahakamani nawao waanze kwenda mahakamani tuone haki itendeke mdau😂😂🙌
@JohnPallangyo-k9n
@JohnPallangyo-k9n Ай бұрын
Ni hivi Mwabukusi ni kichwa na tunamwamini ktk uongozi
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j Ай бұрын
Huyu jama alitumwa ila najua hata mkewake.anamzomea kwa kile anacho taka kufanya mana hata mke wake alimpigia mwambusi mana anajitambua kuliko ili lijama
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Mamluki
@TampeBra
@TampeBra Ай бұрын
Hongera sana Mwabukusi boniface. Kapige kazi kwa weledi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Ай бұрын
Mungu baba, popote Mwabukusi aliyo naiomba uwe mlinzi wake, tunakuomba MUNGU.
@ZabronJonathan-b5s
@ZabronJonathan-b5s Ай бұрын
Mungu ambarikina kumlinda.
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 Ай бұрын
Sijapiga kura ila naona nimeshinda, maana niliyekuwa natamani na kumuombea kwa Mungu ashinde ameshinda . ASANTE SANA MUNGU
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j Ай бұрын
Mungu amejibu maombi ya kilio Cha watanzania kumpata shuja
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s Ай бұрын
Kweli kabisa. Ushindi wa mwabukusi. Si. Wanashelia peke yake. Na sisi wananchi tupo tumefurahi saaaana. Pigania tanganyika yetu. Hongera saaana. Mwabukusi.
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Ай бұрын
Kweli ushindi huu si wa wanasheria tu.
@nicholaussizya8054
@nicholaussizya8054 Ай бұрын
Uchaguzi sahihi kwa Wanasheria wote 1274/941. Hongereni !
@isayaerasto7550
@isayaerasto7550 Ай бұрын
Tunataka, vyama vya madaktari,ma engineer, waalim,na vingine wakatae kutumika na serikali
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Ай бұрын
Hongera SK media kwa kutoa Elimu. Tutakukumbuka kama Lucky Dube wa Tanzanian, keep it up!!
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
VIVA MWABUKUSI VIVA TANZANIA
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
Duuuuuuh hatamimi Nampa kura yangu, ijapo mimi ni fundi ujenzi
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
Hongera mwabukusi oyee
@FloraGervase
@FloraGervase Ай бұрын
Mungu akufunike kwa damu yake yakatifu
@user-zn7vw3pj6p
@user-zn7vw3pj6p Ай бұрын
Hongera mwambukusi.hakika tusiojua sheria tunaimaninawewe.tumepatamtuwauhakika ninyotayetu watanzaniawote.
@AbuuMtamike
@AbuuMtamike Ай бұрын
Hakuna giza lililo shinda nuru hata waludie mara 10 Mungu yupo pamoja na Mwabukusi(Musa dhidi ya farao)
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Ай бұрын
Waumini wa haki na kweli hawawezi kukukejeli labda kichaa tuu
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k Ай бұрын
Tunasubiri MABADILIKO MAKUBWA YA UONGOZI WA TLS NA MABADILIKO YA KIDEMOKRASIA NCHINI KWETU ,TUNATAKA NJIA YA KUTUONGOZA KUDAI MABADILIKO MAKUBWA ILI KUPATA KATIBA MPYA KWA HARAKA ,,MWABUKUSI HONGERA
@karolinchimani5316
@karolinchimani5316 Ай бұрын
Congratulations Mwabukusi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Ай бұрын
Asanteni wanzania wote wapenda Aki,
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Ай бұрын
Kabisaaa ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri🙏
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w Ай бұрын
Hongera sana Mwabukusi,ushindi wako ni wa Watanzania wote,piga kazi Taifa hili tunahitaji kiongozi kama wewe.Hongera sana,sana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Vibaraka wanaturudisha nyuma sana nchi hii
@richardrenatus9582
@richardrenatus9582 Ай бұрын
tayari watanganyika tumechukua risasi moja ya ushindi paleeee TLS, Bado Risasi lingine 2025 ili tuishi kwa rahaaaa
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 Ай бұрын
Tunasubiri mwamba
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Ай бұрын
Mwabukusi ni mtetezi wetu wa rasili Mali za Tanzania #
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Ай бұрын
Mmh ipo tofauti kubwa sana kati ya taaluma ya Sheria na taaluma ya Wahandisi Makandarasi
@WadhifHajji
@WadhifHajji Ай бұрын
Hongerasana mwambukusi
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 Ай бұрын
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@emmanuelmashishanga7141
@emmanuelmashishanga7141 Ай бұрын
SALAMU ZAO ZIWAFIKIE
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg Ай бұрын
Mungu smemsimamia mwabugusi haki itasimama dhulma itatoweka wastafu tupo naye pamoja
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o Ай бұрын
Simba kashinda kuwongoza Simba wenzake 😊😊😊 Mwabukusi oyeeeeee........
@user-tm6bk4dz6j
@user-tm6bk4dz6j Ай бұрын
Hongera sanaaa mwabukusi hataningekua Mimi wakili ningekupigia kura upo vizuri
@EzekiaKabuje
@EzekiaKabuje Ай бұрын
Nimemuona mungu hapa kweli ametenda yale yamoyoni unajua mungu anaongea naloho zake ushindihuu mungu ameanza moja badae lingine hutashindana namngu binadam ww unyang.anyae haki zawatu
@OlosekiLokoy-sy6qg
@OlosekiLokoy-sy6qg Ай бұрын
Tangu me nijielewe Leo ndo nimeona uchaguzi Tanzania hongera wakili hongera kaka hongera jembe hongera Tanzania ngorongoro tumepona
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Ай бұрын
Wakili Mwabukusi atafarijika sana kama WaTanzania wenye haki ya kupiga kura watajiandikisha na kujitokeza kupiga kura ! Tutaonyesha Nguvu ya kura kama TLS.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👊👍✌️.
@zaydamos874
@zaydamos874 Ай бұрын
Kweli kabisa father
@rommelmauma5872
@rommelmauma5872 Ай бұрын
*Mawakili wengi wa mahakama duniani hukimbilia palipo na 'fweza' na / au heshima; lengo lao ni kushinda kesi za wateja wao hata kama wanajua wazi, kwa mfano, wanayemtetea ni fisadi, mwuaji au mwizi.* *Baadhi ya mawakili wetu wameshiriki katika mikataba ya kimataifa ya kuinyonya Tanzania yetu kwa maslahi mafupi ya matumbo yao.* *Mawakili wa namna hiyo wanahujumu utu na haki, japo guapa kuilinda na kufanyakazi kwa mawakili ya juu.*
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Kesi nyingi tunazoshitakiwa nazo na kushindwa washtaki hupeleka kesi zao mahakama za kimataifa na hutafuta mawakili wao huko huko nje ambao wengi huwa ni wazungu na mawakili wa serikali hushindwa kwenye kesi hizo.sasa hapa wa kuilaumu ni serikali na mawakili wa serikali kwa kuingia mikataba ya kinyonyaji kwa kutanguliza matumbo yao.Wakili kama wakili hana makosa yeye anatetea HAKI na anaongozwa na vifungu vya sheria na ndio kazi yake.Labda naomba uniambie kwa hapa Tanzania ni wakili gani unaemjua kwenye hizi kesi za kimataifa alikuwa anawatetea hawa wawekezaji wakubwa mfano kesi ya juzi tuliyopigwa dola elfu 90?Ukija ndani ya Tanzania kwenyewe,hawa watanzania wenzetu ndio hufanya ufisadi na ubadhirifu kwa makusudi huku wakijua kuwa hata wakishitakiwa watashinda kwa sababu washtaki huwa wanakosa mashahidi .
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Wanaoihujumu nchi sio mawakili bali viongozi wa serikali walioingia mikataba hiyo ambayo haina tija kwa nchi.Hata ukienda Afrika kusini na umefanya kosa kweli ni lazima serikali ikutafutie wakili wa kukutetea.Kuanzia leo naomba uondoe dhana iliyojengeka kichwani mwako kuwa eti mawakili kuwatetea wawekezaji wa kimataifa ni kuhujumu nchi.Wewe ushalishwa ujinga na umeaminishwa ujinga ila mimi nakufumbua.
@rommelmauma5872
@rommelmauma5872 Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz Eti, toka leo......[zaidi,] eti nimelishwa ujinga.... *Yakhe, nisipotekeleza hilo la "kutoka leo"...utafanya nini?Wewe Mungu? Nimelishwa ujinga na nani? Silishwi; ninajilisha. Na kamwe sili ujinga! Inaonekana una uelewa na hayo ya mawakili. Nimesena wapo mawakili wetu wanaoshirikiana na makampuni ya me yanayotunyonya. Mifano ipo mingi katika michakato ya usajiri wa makampuni hayo nchini.
@user-ym4bp9wl6t
@user-ym4bp9wl6t Ай бұрын
Nakuelewa kaka
@user-vi1ds6gw9g
@user-vi1ds6gw9g Ай бұрын
Wanasheria wa nchi hii wakisimama kizalendo, hakutakuwa mikataba mibaya kwa sirikali hata mingine inavunjwa kiholela nchi inalipa mapesa kibao kwa wazungu huko, inauma sana kwangu mtanzania mvuja jasho, ninayekatwa tozo kila pahali katika kuuza na kununua kila kitu.😭😭😭🇹🇿
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ unaongea kweli upo vema
@AnteloSanga
@AnteloSanga Ай бұрын
Mungu yu mwema tumepokwa vyakutosha wameona aibu hadharani.
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v Ай бұрын
Uko sahihi Ngurumo!
@claudesimukoko1436
@claudesimukoko1436 Ай бұрын
Wewe ni zaidi ya mwalimu #mchambuzi
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Kusoma,sio kuelimika.
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Ай бұрын
💯🙏✔️
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 Ай бұрын
Asante leo umeongea points isipo kuwa siku nyingine huwa unapinga vitu vingine ambavyo si vya kupingwa wewe ni binadamu hujakamilika kwa leo nakupa maua yako
@majutojohn5598
@majutojohn5598 Ай бұрын
😢Hakika Mungu Ameona na Kuonesha Haki
@MuganyiziJudex
@MuganyiziJudex Ай бұрын
TLS mpyà Tanzania mpya je saa njema imefika?
@dbamwenzaki
@dbamwenzaki Ай бұрын
Sasa tunaomba katiba mpya ya Jaji Warioba.
@user-tv1ei3nc1n
@user-tv1ei3nc1n Ай бұрын
Mungu mkubwa sana
@mosesmwaisumo2838
@mosesmwaisumo2838 Ай бұрын
Kumbe wasomi ndio mbuzi yaan kwa tofauti ya kula karibia 400 et umeibiwa kula nkuba nilijua msomi kumbe duh
@akilimalindevu520
@akilimalindevu520 Ай бұрын
😂😂
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
Kwa nini asiseme kaibiwa😂😂 Hata uchaguzi wa magu 2020 ulimpa kura zote 99.9% pamoja na wabunge wake, ati kama uchaguzi wa kuchagua malaika asiye na mpinzani.
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
Unachosema nikweli hongera kwahilo
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Ай бұрын
Naamini kuna siku haki itapatikana nchi hii tukaze buti
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Ай бұрын
Ana haki ya kupinga!
@gililwise
@gililwise Ай бұрын
Akapinge wazazi wake waliomzaa
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Ahaki hiyo iwe unapinga tofauti ya kura 2 au zilizoharibika. Kura zaidi ya 400😂
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 Ай бұрын
Mbogamboga akili zenu hovyo sana
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Ай бұрын
Naiona tanganyika yetu inapatikana duh mungu mkubwa
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 Ай бұрын
Huyu Nkuba masikio na macho yake hayaoni tu vifijo vilivyotawala ukumbi?? Kura 807 nalizopata Nkuba wapi na wapi alizozipata Mwambukisi kura 1270wapi na wapi?? Nkuba aache chuki ajaribu tena miaka ijayo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Nchi hii wezi wengi
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Huu ni mwanzo tu tuvusheni wanasheria wetu na nchi isiliwe na vijitu vichache vinavyotumia kodi zetu kuonyesha kuwa watupenda kumbe ni ulaghai tu wa kutufanya sisi tusiwe nacho wapate upenyo wa kutuhonga.
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du Ай бұрын
Upo sahihi mkuu lakin nawanasheria wenyewe watende hak maana wenyepesa wanawatumia mawakil kutudidimiza sisi tusio na pesa unamkuta mtu katenda kosa kwer labda kauwa lakin wakil anamtetea na anakuwa hana hatia sasa haki ikowap isije ikawa tunaluka matope tunakanyaga maj taka sheria hio hio inaweza ikamnyima mtu hak yake ikitumika vibaya
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
On technical grounds! Kinachoshinda ktk kesi ni ushahidi bayana na siyo hisia😮
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du Ай бұрын
@@festokemibala5832 Si ping Hilo ila ndungu ukimpeleka mtu mahakaman alafu huyo mtuhumiwa awe na pesa zake unatwanga maj kwenye kinu hata makonda alishasema watu wenye pesa wananamna yao Jin's wanavyochezesha mahakaman
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du Ай бұрын
@@festokemibala5832 wewe kama ni wakil na ni muumin wa hak kwanini umtete mtu unayejuwa kafanya kosa kwer ? Muogopen mungu jaman
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 Ай бұрын
Mtu wa maana sana ww
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 Ай бұрын
MWABUKUSI NAMKUBALI SANA NI MPIGANIA HAKI NA AMEIPAMBANIA HIYO NAFASI
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 Ай бұрын
Taaluma muhimu inayojidhalilisha na inayohitaji Mwabukusi wao ni taaluma ya HABARI. "JOURNALISM" IACHE UNAFIKI!
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 Ай бұрын
Walizoea kubebwa tls ni chama Cha wasomi
@RebeccaKamwela
@RebeccaKamwela Ай бұрын
😅😅😅kuna mmoja wao hapo kakaaa kichawa kabisa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
UMENENA VEMA BWANA NGURUMO
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o Ай бұрын
NKUBA NENDA KAKATE RUFAA MAKAMANI UAIBIKE MWIZI NA HAKI MUNGU ANASIMAMIA HAKI.WACHA INYESHE TUONE PANAPOVUJA. MWABUKUSI OYEEEE3
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o Ай бұрын
USHINDI WA MWABUKUSI NI USHINDI WAUMMA NI USHINDI WA WATANGANYIKA.
@user-su3zd6mz6d
@user-su3zd6mz6d Ай бұрын
Huyu mpumbavu anaekataa matokeo waende kwenye uchaguzi wakiwa wawili aone huo moto
@severimkatomutegeki6930
@severimkatomutegeki6930 Ай бұрын
😂Hongera Mwabukus
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj Ай бұрын
Mwambukusi ni mtu na nusu Taifa linaenda kukombolewa tunakuamini 100%
@MathiasSongoyi
@MathiasSongoyi Ай бұрын
Mwambukusi anaaminika kwani kunakundi lilikuwa linafanyadhuruma,kumbe walikuwa hawajui kuwa wanamtengenezea nji ya ushindi Sasa wanabwabwaja na midomo kuwa wazi,mwambukusi anasimamia ukweli na apindishi Sheria,ndio maana walimunyofolea uwakili na wameshindwa.
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Ай бұрын
Ccm.wanahisi.chadema.imeshinda.mwanzo.mzuri.2024.na.2025.mtakubali.mziki
NYIE MNAOUA, KUNA SIKU NANYI MTAUAWA. ACHENI!
15:08
SK Media Online TV
Рет қаралды 11 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 9 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
WAPINZANI TUPENI MGOMBEA LEO, KESHO NI MBALI
17:09
SK Media Online TV
Рет қаралды 29 М.
KIMYA MAKABURINI HAKILETI AMANI
14:30
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 9 МЛН