Mkutano mkubwa wa Injili waanza Rasmi stendi ya Daladala Kilombero
Пікірлер: 135
@victoriamaige28622 ай бұрын
Roho ya kulola inakaa juu yake jamani injili hii lzm kuokoka Mungu akupe maisha marefu Baba Amina ubarikiwe
@user-mh2cn3fb6jАй бұрын
Asante Sana mtumishi wa Mungu Mambo yote yatapita lkn neno litasimama pale pale
@RashidLukindo-yl2yl2 ай бұрын
NY, Mungu awabariki Kwa kuturushia matangazo! Lakini wakati mwingine mnarusha vibaya, picha hazionekani, unakuta unafuatilia mahubir ambayo yalipita unakua kipande kizima hakionyeshi! TAFADHALI tuonyesheni vizur, tunamfuatilia sana huyu baba! Lakin sio wewe tu , hata MAGEMBE TV, nao wanatatizo ya mitambo, ushauri wangu jitahidini kuturushia vizur! Mungu awatie nguvu! Amina
@marcosearnest3617Ай бұрын
Asante Sana ijili mwoto niko Kenya 🇰🇪 nme barikiwa Sana
@elishamumba43042 ай бұрын
Hii injili sijaisikia mda mrefu sana injili ya kweli Mungu akubariki baba
@geofreyngolua95532 ай бұрын
Aliluyaaa Bwana yesu Asifiwe sana Man of God
@rahabnkya82762 ай бұрын
Mzee magembe nimefurahi kukusikia leo. Mzee lazaro nk miaka ya miamba. Naipenda INJILI ya hawa watu. AMEEN
@user-gc8vb3gv8c2 ай бұрын
Ubarikiwe baba mtumishi wa Mungu
@DanielMwasenga-bx7bd2 ай бұрын
Hongera sana baba naipenda sana injili hii
@user-godfreyRobert2 ай бұрын
Ubarikiwe baba🎉🎉
@smartmwakipesile38422 ай бұрын
Amina baba Mungu akubariki sana,Ee,Mungu unikumbuke na mimi nihubiri injili ya kweli na moto, mpaka mwisho, Mungu unisaidie, Mtumishi uishi miaka mingi baba nasi tuendelee kuiskia hekima ya Mungu ndani yako
@BeatriceSangito-gi1ld2 ай бұрын
Hakika hiki ni chombo cha Yesu kama alivyo sema kwenye Ezekiel amejisazia hakika hiki ni chuma cha Yesu
@elinaikerichardkisanga9193Ай бұрын
Asante Yesu kwa Roho ya ujasiri aliyo mvuvia mtumishi Mzee Magembe❤ 1:10:43
@JohnMalengua-jh6ps2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa injili isiyo gushiwa
@user-cy6tb1bm4x2 ай бұрын
Hakika namuona mungu barikiwa mchungaji mangembe
@rahabnkya82762 ай бұрын
Àaaamen, maliza Baba wachawi wote jiji hili. BARIKIWA MTUMISHI wa Mungu Mchj DR. Moses magembe
@jasperjackson88712 ай бұрын
Sema baba mchungaji na nimeipenda injilii iliyojaaa jeuri ya kiungu kwa kiwango cha juu sanaaa. Injili n motooooo❤️🔥🔥🔥🔥
@AminielMbise-cl3fq2 ай бұрын
Hii ndio injili ya kweli. Mungu bado ana watu wake kila eneo we have to worship God in spirit and truth. Not in any other way. God bless you brother Moses Magembe An glory unti God
@EllieSammy-tf4gx2 ай бұрын
Yesu akutie nguvu mtumishi wa Mungu aliye hai. Endelea kusema kweli wamebakia wachache wasemao kweli. God bless you.
@user-eg5lt4lu2z2 ай бұрын
Tupo pamoja mchungaji..God bless you more... Niombee na mimi niweze kuitikisa dunia katika kizazi changu,
@eliphaznkurunziza74052 ай бұрын
Mungu nakushukuru sana maana umefanya nikutane na chombo chako Baba askofu Magembe Burundi mimi na familia yangu tunakupenda Endelea baba
@rahelhango92362 ай бұрын
Chuma Cha BWANA YESU 🔥🔥🔥
@godwinkaunda95162 ай бұрын
Bravo man of God my the Almighty God Bless you
@user-ep2cm5xo3k2 ай бұрын
Uyu Mnjilist ni akiba ya Mungu kwa kizazi hiki.❤.
@PastorlevisIsambechohassanАй бұрын
Baba,Mungu wangu akubariki
@janemuthui61302 ай бұрын
I give God all the glory Toboa Yote mtumishi Mungu wa kweli anjlikane Na aheshimiwe. ❤ Your ministering, be blessed in Jesus name
@user-bm6dh8id1h2 ай бұрын
Mungu akubariki baba unaisema kweli ya mungu ilivyo we love you
@ev.samsonrweongachannel6582 ай бұрын
Mzee yupo sawa kabisa
@ev.samsonrweongachannel6582 ай бұрын
Upoko wa Mungu ukawe juu yake na Mungu ampe afya njema azidikuitenda kazi yake watu waokolewe
@Nazareth81192 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa injili yako ya kweli.
@alexkamba52642 ай бұрын
Asante kutuachia wazee kama hwa
@jeremialaizer99782 ай бұрын
Injili hii n🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eunicelukanda18282 ай бұрын
Ndiyo, Yesu kristo yu hai milele
@user-gu6xy2hf5u2 ай бұрын
Baba mungu akubariki naazidikukutumia
@user-lm7nd9ez2e2 ай бұрын
Amina mtumishi wa bwana
@NEEMAJames-ns4ds2 ай бұрын
BARIKIWA mtumishi. TANGA PIA TUNAHITAJI INJILI HIYO
@user-ri1by1ij4o2 ай бұрын
Uko vizuri mtumishi wa Mungu,
@ChedyMlwale-kx9ms2 ай бұрын
Barikiwa mch kwa injiri ya kweli
@paulkamete29472 ай бұрын
Waoooooh i like this kind of Preaching! God bless you Man of God
@ProsperMbenaАй бұрын
Kwanza ninapopata chakula Cha Roho kupitia Bomba Safi Magembe napata afya sana
@lekinyaurey57722 ай бұрын
Mungu mbariki mtumishi wako mpemaisha marefu
@rahelkimario1497Ай бұрын
Amen baba.
@user-no2tw5vb8j2 ай бұрын
This is my spiritual father indeed. Wonderful preaching
@tlotwe.01.2 ай бұрын
Hiki ni Chuma Cha YESU KRISTO Hakika! Kwa pumzi Hii Hakika YESU Yu Hai Ndani Ya Baba Mch. Maghembe.....Utukufu Kwa Kwa YESU KRISTO.
@bensonmoris4632 ай бұрын
nimekubali
@RidimaRidima-kb3nn17 күн бұрын
Amina
@OinothMunga2 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@prospermallya30922 ай бұрын
Siwaletei mafuta na chumvi bali Yesu,,pokea kwa jina la Yesu...hakika huyu ni mwamba wa kale
@EliaSaimon2 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana
@shahazarpeter60972 ай бұрын
Ameeeee halijamaliza nguvu ndyo Baba
@odethamlyuka25522 ай бұрын
Amen mtu wa Mungu 1)mjue Mungu anayetaka kuabudiwa
@gracemachongwe4312 ай бұрын
Aminaaaaaaaa, Aminaaaaaaaa, Aminaaaaaaaa
@user-qt7vs8pq5h2 ай бұрын
Balikiwa baba magembe
@apostlejacksonkalinga51912 ай бұрын
Asante sana MCH
@DavidMalimbegu-dq8tp2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi wa Mungu umejitoa kuhubili injili isiyo goshiwa, mi binafsi nikukubari sana hiyo ndiyo injili iliyo iva Amina
@mariamndwilo11042 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Jehova
@user-sm7gj4mn5n2 ай бұрын
Hakika mungu mwema barikiwa mchungaji
@vicentmsabila-fl6uj2 ай бұрын
Chapa injili mtumishi wa Mungu aliye hai Dunia imjue Mungu wa kweli
@janemuthui61302 ай бұрын
I would like to know how I can attend one of your meetings I am in Kenya, Nakuru Jane Muthui
@joelmwamlima56862 ай бұрын
Sumbawanga utakuja lini?
@mossessimon2493Ай бұрын
Amen
@barakasikuomba79202 ай бұрын
Great servant of God
@ev.samsonrweongachannel6582 ай бұрын
Sikiliza neno ukitumia vitu inje ya Neno yaani yesu aunatofauti na mtu anaye tumia irisi
@martinakyoo1482 ай бұрын
Kumekuchavkumepambazuka Kilombero ,Tanzania Kwa Yesu sasa
@ayubumollel3647Ай бұрын
❤❤❤
@KyongoKyongo-rr8lm2 ай бұрын
Tuna barikiwa sana Baba
@johnsebastian-bx6qn2 ай бұрын
Amina baba Yesu atukuzwe
@BONIPHACEJOHN-kb1zb2 ай бұрын
Pastor natamani sana kufanya kazi na wewe, injili hiyo ndiyo injili sasa ya Yesu kristo sio siasa na vichekesho
@NENO_UZIMA902 ай бұрын
Wakati ni sasa Ndugu!! Tunaweza
@JohnJoel-ro7lc2 ай бұрын
Ilove this
@awitness90202 ай бұрын
Kama Kuna number I ya baba huyu wekeni kwa mtandao Bishop toka kenya
@user-po1qk1jf7v2 ай бұрын
Umenikumbusha mbari baba mwatondo enzi za kurora naye akiwasha Moto Kama ww umenibariki sana
@mchungajimpigauzitv57032 ай бұрын
Balikiwa Sana mtumishi wabwana habali Njema ndiyo hiyo
@CalorineMushi2 ай бұрын
Aisee mchungaji nafurahi nimeipenda iyoo ya kupiga shetani was arusha
@laizermsagallaАй бұрын
Magembe yuko makini sana naYesu kumuhubiri
@Nolaskoshayo2 ай бұрын
Haleluya
@frolafelix2 ай бұрын
jina la Yesu libarikiwe kwa chombo chake
@mpinabaharia22472 ай бұрын
Theolojia imelala kichwani
@user-cm5xv7gb2e2 ай бұрын
Hii ndiyo isiyo chakachuliwa, watu wa vyombo jitahidi kuseti vyombo vizuri nimemsikia Baba akilalamikia vyombo
@IsayaSchone-kt7uq2 ай бұрын
Aminaaa kuuu
@perpetuamuna16332 ай бұрын
Aminaaaaa....
@user-do4qs8vx2s2 ай бұрын
Hakika Mungu amekutia nguvu uinuliwe Mchungaji Magembe
@JofreyMtewa2 ай бұрын
Ameen
@user-zl8un4xv8rАй бұрын
Hii ndio injili ya kweli
@officialbabaivan2 ай бұрын
Yupo arusha au aneenda
@user-xh5ds2mb5w2 ай бұрын
AMEEEN.
@user-oy7ly5cg5y2 ай бұрын
Aminaaa!!!!!!
@user-by6zw5zf4eАй бұрын
Hii ndio injili ya kweli makete tunaipata
@user-cs3mp1rc5h2 ай бұрын
ameeen...💯💯💯💯
@humphreybilly74372 ай бұрын
Amen Amen.
@mosesmaingi-ep6gb2 ай бұрын
Amen a
@geofreyngolua95532 ай бұрын
Imen Imen
@jephthahmbise45682 ай бұрын
injili adimu sana,hii baba tunahitaji kupona
@CalorineMushi2 ай бұрын
Dah wanyooshe baba wauza maji udongo
@naomichristopher39412 ай бұрын
Baba , Baba yangu , nakusubili MZA injili hii NI Moto motooo utawaka MZA wachawi wooote wa MZA mfungashe vilago vyenu , hawa wazee NI wachache wanao hubiri injili isiyo goshiwa .
@octavianpeter84722 ай бұрын
Ameee
@godfreykawibesele8545Ай бұрын
Natamani huyu mzee nipokee kijiti chake
@ahazichunya42652 ай бұрын
Hakika utukufu mwingi uwe juu yako tunapona Mtumishi
@RashidLukindo-yl2yl2 ай бұрын
Magembe ni Jembe la Injili, binafsi amenikomaza kupitia Injili yake nimemwona Yesu!!
@erasmobenardsangu-18542 ай бұрын
pawapawa mpakamafutaa wezi kuubiri
@user-hu1qm7kj5zАй бұрын
Tukipata hata kumi tu kama huyu baba hakika nji hii itapona tunaitaji injiki ya wazee kama Hawa sio wamwaga mafuta kwa watu bila maandiko au kukemea dhambii iwatoroke watu