Mch Moses Magembe - UNABII WA SIKU ZA MWISHO | Mwanzo wa taifa la Israel

  Рет қаралды 12,177

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

6 ай бұрын

Ibada ya Jumapili asubuhi katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita - Ilala Dar es salaam, chini Mch Moses Magembe.
Ujumbe: UNABII WA SIKU ZA MWISHO
Sub Title: Mwanzo wa taifa la Israel
Andiko: MWANZO 12:1-3
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 14. 01. 2024

Пікірлер: 54
@meshackikalinga6633
@meshackikalinga6633 6 ай бұрын
Naitwa meshack kalinga nipo songea naabidu kanisa la E.A.G.T nakufatiria sana nakupenda nimtoto wa mwendo wasaa mbilinyi
@DavidAlexandre-ui4nw
@DavidAlexandre-ui4nw 9 күн бұрын
Mungu akuongezeye upako
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 6 ай бұрын
Asante sana baba Moses Kulola wetu uliyebaki tunakusikia sana baba,MUNGuU atusaidie
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 6 ай бұрын
Mungu tutunzie mtumishi wako huyu mlinde Bwana
@esthernapewa7302
@esthernapewa7302 6 ай бұрын
Naomba Mungu uishi milele mchungaji
@user-yj1zv8dw4h
@user-yj1zv8dw4h 6 ай бұрын
Amina sana nipo mbeya nawafuatiria
@bugomasipola9075
@bugomasipola9075 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
@nsenga_cento
@nsenga_cento 6 ай бұрын
Jambo sana. Mimihuwa ninabarikiwa sana na mahubiri maana, licha ya kunibadilisha, ni kamaa niko chuoni cha Biblia chenyewe kabisa.
@jastinemwambi2307
@jastinemwambi2307 6 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho Yako pamoja na familia yangu.Mungu azidi kukutia nguvu.
@user-ws3jr6ig9h
@user-ws3jr6ig9h 6 ай бұрын
Amina baba mungu akubariki sana nimebarikiwa sana
@samsontv9449
@samsontv9449 Ай бұрын
Bwana Yesu asifiwee baba Mungu akubariki sana kwa kuendelea kuisema kweli ya Mungu pasipo kupindisha Mimi pia ni kijana ambaye Niko Morogoro masomoni naomba namba za mawasiliano ya Mchungaji
@reginaavit2603
@reginaavit2603 6 ай бұрын
Yesu hawezi kutuacha tupo tee. Utukuzwe ee Mungu wetu
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 6 ай бұрын
Niligundua wakati mtumishi wa MUNGU anapogusia mambo kadha wa kadha Huwa kunakatishiwa katishiwa mawasiliano ili tusiskiye yotee Sauti huwa inatoweka-toweka ghaflaa Sio mara ya kwanzaa; Zaidi ya mara hata mia Mimi nafuata sana mahubiri ya baba mchungaji🙏🏾na ninasema tunarukishwa rukishwa wakati, na hatupati-pati vyema mahubiri kwa sababu ya kukatiwa katiwa maneno.
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 6 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@user-ek2oy8ot6q
@user-ek2oy8ot6q 6 ай бұрын
Nimeshikwa na wevu wakukuona mtumishi mombasa
@byusaajumapili6750
@byusaajumapili6750 6 ай бұрын
Bwana akubariki mchungaji unasema kweli ndivyo ilivyo
@nallymwamba1330
@nallymwamba1330 6 ай бұрын
Ubarikiwe Baba napata kuyasikia mambo magumu na mazito nisiyoyajua YESU atupe kushinda
@mtangag774
@mtangag774 6 ай бұрын
Yaan mm hapa kila siku lazima niingie kuangalia
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 6 ай бұрын
Baba karibu kahama na ushetu
@abiudjustine7947
@abiudjustine7947 28 күн бұрын
Hakika ni Neema juu ya neema
@simonsadala8510
@simonsadala8510 6 ай бұрын
Nabarikiwa nkiwa nda ya yesu
@IsayaSchone-kt7uq
@IsayaSchone-kt7uq 6 ай бұрын
Daah nabarikiwa sana ,Mungu akujalie neema ya kuishi sana ili tupata vtu ambavyo Mungu amekupa kwa ajili ytuu..
@user-gd3fu9rs5o
@user-gd3fu9rs5o 6 ай бұрын
Nakufuata mchungaji kwa mafundisho,mimi ni mchungaji ntaboba koya wa Congo Kinshasa
@maigeridhiwani9490
@maigeridhiwani9490 6 ай бұрын
Ameni mtumishi
@nancyghati8434
@nancyghati8434 4 ай бұрын
You are a blessing to me.
@eliphaznkurunziza7405
@eliphaznkurunziza7405 6 ай бұрын
Nataka nishukuru Mungu Pia Na mtumishi wake baba nakushukuru sana kwa kupokea simu yangu from Burundi Bujumbura
@suzannemollel650
@suzannemollel650 6 ай бұрын
Mungu leta watu kama hawa ktk kipindi hiki kigumu ili waseme kweli yako
@user-ek2oy8ot6q
@user-ek2oy8ot6q 6 ай бұрын
Watu Wana barikiwa
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 6 ай бұрын
Bwana YESU ASFIWE!! 🤗Nafuatilia kipindi toka Paris Faransa 🇫🇷 MUNGU Azidi kuwabariki kwa Mahubiri na INJILI YA YESU IIende Mbele na IENDELEE🙏🏾
@user-ek2oy8ot6q
@user-ek2oy8ot6q 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@beatricemayodi9858
@beatricemayodi9858 6 ай бұрын
Asante Sana Nairobi Kenya.
@IsayaSchone-kt7uq
@IsayaSchone-kt7uq 6 ай бұрын
Aminaa
@salahsadi3908
@salahsadi3908 6 ай бұрын
Kanisa
@desderiakinalilo-xe7vw
@desderiakinalilo-xe7vw 6 ай бұрын
Nakufatilia sana babangu napata mafundisho nyeti sana Mungu akubariki Sana akuzidishie cku za kuishi utufundishe mengi zaidi
@daudrobertmatonange9636
@daudrobertmatonange9636 6 ай бұрын
Katavi lini baba
@user-ck1eu9wv9u
@user-ck1eu9wv9u 6 ай бұрын
Amen
@salahsadi3908
@salahsadi3908 6 ай бұрын
Amina sana Baba ubarikiwe injili yenye mafta ya Roho mtakatifu inafaa sana kwa kaniaa la Sasa
@godfreymwenesho1770
@godfreymwenesho1770 6 ай бұрын
Uje na Mpanda Katavi
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 4 ай бұрын
Pastor be assured una vijana wanaokuja kuendeleza hayo na kazi uliyofanya na unayofanya ya kutupandia knowledge is not in loss
@user-by1mb7cc9x
@user-by1mb7cc9x 6 ай бұрын
Nakupata vizur mchungaji nikiwa hapa washington marekan,, ubarikiwe sana kwa kutuletea neno la Mwenyez Mungu
@user-df6tb2xv1g
@user-df6tb2xv1g 6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu,
@mbajimargarette7146
@mbajimargarette7146 6 ай бұрын
Naomba no. Mheshimiwa mzee magembe
@raphaelmasasi966
@raphaelmasasi966 6 ай бұрын
Ipo kwenye ukurasa wake
@mbajimargarette7146
@mbajimargarette7146 6 ай бұрын
@@raphaelmasasi966 bt nikipiga haishikwi mpendwa.
@godfreymwenesho1770
@godfreymwenesho1770 6 ай бұрын
Jaman uje na Mpanda Katavi Baba Mch
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 6 ай бұрын
Mimi kusema kweli nabarikiwa sana sana sana Hapa Faransa, hadi leo sijapata kupatana na Muhubiri Halisi, mwenye msimamo na kutojali kama akatatorokwa kwa injili ya Kwelikweli Wahubiri wengi huzingatia umati, matoleo na zaka hawataki washirika watoroke😂kwa kuambiwa kweli
@FunnyDarypink
@FunnyDarypink 6 ай бұрын
Amen Zanzibar itakuwa mwezi wa ngpi
@victoriandalahwa-sm6hq
@victoriandalahwa-sm6hq 6 ай бұрын
10:46 tutakuomba namba zako za simu tafadhali Mtumishi wa Mungu
@victoriandalahwa-sm6hq
@victoriandalahwa-sm6hq 6 ай бұрын
Tunaomba namba ya simu.yako.mtumishi wa Mungu Rev Magembe 13:57
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 6 ай бұрын
Angekua mwamposa watu wangekua wako weng umu hawataki ukwl watu
@mbajimargarette7146
@mbajimargarette7146 6 ай бұрын
Watu wamebebwa na miujiza hawatak injili ya kwel.
@daudrobertmatonange9636
@daudrobertmatonange9636 6 ай бұрын
Tukumbuke na katavi baba
@BabajoshuaKizito
@BabajoshuaKizito 5 ай бұрын
M
@bugomasipola9075
@bugomasipola9075 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 36 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Mch Moses Magembe - DALILI ZA KURUDI KWA YESU MARA YA PILI | LIWALE 06
1:45:36
Mch Moses Magembe - MADHARA YA KUISHI CHINI YA KIWANGO
43:06
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 10 М.
Kitabu Cha MATENDO YA  MITUME kinazungumzia nini?
34:21
Injili Tv
Рет қаралды 341
ARUSHA;UMISHENI NA HISTORIA YA KANISA REV: MOSES MAGEMBE
39:25
#RUSHA#SEHEMU YA PILI;MSINGI WA UMISHENI KIBIBLIA
35:54
NY TV
Рет қаралды 1,7 М.
Mch Moses Magembe - ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO | MAKAMBAKO 07
2:28:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 40 М.
Mch Moses Magembe - KUNYAKULIWA KWA KANISA | USHETU 04
2:29:21
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,7 М.
Mch Moses Magembe -  WANYAMA WANNE
2:07:36
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 141 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42