ASKOFU BALAA! AKATAA KULAMBA VIATU VYA WATAWALA, "MNAANDIKISHA MAREHEMU?, ACHENI KUSIGINA KATIBA"

  Рет қаралды 16,553

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 89
@MussaMarwa-r8g
@MussaMarwa-r8g Күн бұрын
Asikofu mungu akubalik hila wew acha sihasa ukiw kam asikofu unasema wew ccm mbele yawatu
@HemedKiama
@HemedKiama Күн бұрын
Nyie mnayemtukana askofu mwenye maneno ya hekima kiasi hiki,mpate laana Kali kutoka kwa Mungu mvunjike miguu yote muwe vilema wa maisha!....! Amen!...
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Ahsante baba Mwamakula.Ukweli umeongea.Uandikishaji unasikitisha.
@OptatusMaucky
@OptatusMaucky 19 сағат бұрын
Mungu azidi kukulinda ,umedhihirisha uchungaji mwema kwakutusaidia kutupa chachu yakutafuta haki yetu bila uoga ,tumeona wengi wamekaa kimya wakati kondoo wanaumizwa nao wanajiita wachungaji,hongera sana kusimamisha kulinda kondoo
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 Күн бұрын
Asante sana Baba Askofu
@emmanuellwiza6395
@emmanuellwiza6395 Күн бұрын
Baba askofu hapo unadhihirisha nguvu ya Mungu ndani yako. Mungu akuweke zaidi
@AllanLyombile
@AllanLyombile Күн бұрын
Maaskofu wenye msimamo wa namna hii ndio wanaohitajika ktk Taifa hili, serikali imetupuuza mno Watanzania.
@brightemmanuel796
@brightemmanuel796 23 сағат бұрын
Mimi binti yangu ana miaka kumi na sita kapewa kadi ya ccm na anatumiwa sms kila siku akajiandikishe kupiga kura
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 Күн бұрын
Baba Askofu barikiwa saana
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge Күн бұрын
Nimechoka na ccm hawa wanaleta laana tanzania
@BoayHotay
@BoayHotay 13 сағат бұрын
Askofu Mwamakula Mungu aendelee kukubakiza maana Kuna sehemu unamulika wahuni walioko gizani
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam Күн бұрын
Correct!
@JosephatJumanne
@JosephatJumanne Күн бұрын
Imposiku ccm itakuja kulia maana tumechoka
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Күн бұрын
Ubarikiwe sana Baba Askofu, hata baba Mzee Timothy aliko anabarikiwa sana kwani umefuata nyayo za mpenda haki wa Itunge. Apumzike kwa amani.
@FosterBwalya-rh9lh
@FosterBwalya-rh9lh Күн бұрын
Hivi, kwa nn ? Hatuna viongozi Wacha mungu kama huyu askofu ni haki ya watumishi kukemea dhambi nasio kushabikia uovu mungu hapendi:;"
@SauwaeliNnkoEbenezer
@SauwaeliNnkoEbenezer 23 сағат бұрын
Sawa mtumisha
@malackedson7706
@malackedson7706 Күн бұрын
Amina.
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Күн бұрын
VIVA BABA ASKOFU.....AIBU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA MH. RAIS SAMIA BINAFSI NA SERIKALI YA CCM....NCHI IMEPASUKA NA HISTORIA ITAWAHUKUMU.
@rejobu9723
@rejobu9723 Күн бұрын
Ahsante baba kwa kusema na vyama vya upinzani kiukweli vyama pinzani vinatia aibu haswa kwenye mambo ya msingi kama haya
@KhalfanAbdalla-x7u
@KhalfanAbdalla-x7u Күн бұрын
Viongozi wa kiislamu wanaogopa kuzungumzia mambo ya siasa nyinyi viongozi wa dini mnaweza kuongea hata sisi waislam akiongea ukweli kwenye mambo ya siasa tutawasikiliza tuko pamoja ongeeni 2
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Күн бұрын
Viongozi wa kiislamu tena? Wao wanachohubiri ni amani lakini haki hawaitazami hivyo wanachohubiri hakina wokovu bali mateso na watesi hawana nafasi Kwa mola wao.
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
@@salummohamed2689 Viongozi wa Kiislam siyo kama hawataki kuongelea siasa, ila wameona maneno wanayotoa Maaskofu ni ya kinafiki, kuna jambo kwenye nyoyo zao zaidi ya siasa, na kuna wakati wanajisahau na kuropoka yaliyo moyoni mwao, sasa Sheikh mwenye kujielewa haiwezi kushiriki kwenye ujinga wa namna hiyo
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Wanachafuana wao kwa wao wape ukweli waache uroho wa Madaraka.
@abeidsanga7361
@abeidsanga7361 Күн бұрын
Waungane
@gastordominic410
@gastordominic410 22 сағат бұрын
Kanisa likisimama sasa democracy inasimama pia
@gelamuyombo6783
@gelamuyombo6783 Күн бұрын
Manyang'au mtateseka sana laki mungu kisha panga nani awe padiri nani awe waziri huyo asko aende akafungishe ndoa ya jinaia moja
@PatrickNyaonge-h3r
@PatrickNyaonge-h3r 8 сағат бұрын
Tanzania itaokolewa kea mapinduzi ya fikra,ujasiri,na Maisha ya haki,siyo kutumikia mikate na unafiki,by pastor Patrick very bigger up bishop😅
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 15 сағат бұрын
MNATESEKA SANA KIROHO NA KIMWIRI MTAZUA MENGI TUU NABADO MTAENDEREA HINYO
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 13 сағат бұрын
Nimeona watoto wanaandikishwa kuwa wanachama wa ccm then wanaambiwa wakajiandikishe kupiga kula shida vijana nao hawana uelewa
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z Күн бұрын
Hii ndiyo Tanzania ya wanaotaka kubaki madarakani! Ni ushahidi kua hawakubaliki tena! Wananchi wamewachoka! Wanajua uchaguzi ukiwa huru basi wataondolewa! Ndio maana wanafanya madudu haya!
@hassannuru7399
@hassannuru7399 18 сағат бұрын
pia waulize wapinzani kwann wameweka wagombea asilimia 38 tu na hizo 62 wakaachia ccm wapite bila kupingwa,nani aliwazuia kuweka wagombea.Maaskofu acheni kelele chadema yenu bado haijajipanga ina shida nyingi za ndani.Washaurini wamalize matatizo yao ya ndani ndo mje kama kanisa muwatetee na kuwapigia kampeni.
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 13 сағат бұрын
Vyama havina ukwasi ccm Wana pesa wao wameshika Dora hilo nalo hujui
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Күн бұрын
Hivi sasa tumebakiza kidogo tu udini uwe hadharani maana kuna comment za dini fulani wala hawaoni baya na wengine hawaoni zuri,harufu mbaya sana ktk nchi hii
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Күн бұрын
Wewe sasa ingia tu kwenye siasa vua joho hilo.maana toka kwa marehemu magufuli umekua mpinzani tu .nyie ndio watu ndio mnaoharibu sana amani ya nchi kwa kujiita maaskofu.soma nyakati wewe ni mpinzani tu watu wenye uelewa tulikuishakuelewa.kwanza ni mbaguzi sana.ushauri uliahidi utatulia baada marehemu kuondoka lakini ni ubaguzi tu unaondesha
@idiphoncekiimbi2021
@idiphoncekiimbi2021 22 сағат бұрын
Kuma wew huna akill
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 21 сағат бұрын
@idiphoncekiimbi2021 Sasa ukitukana ndio upeo wako wa kufikiri umefikia hapo
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge Күн бұрын
Alie fanya mapinduzi ni kiongozi wa dini tena alikuwa askofu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Күн бұрын
ASKOFU KAJIANGALIE AFYA YAKO KWANZA 😢😢😢😢😢TB AU MENTAL HEALTH
@ndayi7
@ndayi7 Күн бұрын
Mungu Mwenye uweza ndiye atakaye wadhalilisha Kwa dhambi hizi.Mkono wa Mungu utachagua walio wake Kwa Jina la Yesu kristo
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u Күн бұрын
Kwani mzee wa watu atazungumzia yote jitokeze basi wewe uzingumzie rushwa ya chadema maana wote ni watu.
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Wanazungumzia wanafunzi chini ya miaka 18.
@OmariNkalami-l8f
@OmariNkalami-l8f Күн бұрын
Askofu Shoo kasema mama kawekwa na mungu wacheni unafiki2?😮
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Күн бұрын
Mungu huyo huyo hajasema muchafuane,bali mutendeane haki
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Күн бұрын
​​@@ahmedalbalooshi8518kasema kawekwa na nani!!!😁 Mbona wapo wanenao kuwa (honey!!!!)😆
@SalumuHamisi-k9r
@SalumuHamisi-k9r Күн бұрын
Udini ndo tatizo kwani wakuna wanafunz wenye miaka 18?
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu Күн бұрын
Hujielewi wewe umesema hiyo taarifa kaitoa ndoton
@B-S-S-P
@B-S-S-P Күн бұрын
Hakuna mazuzu kama wanaoongelea udini kwenye upumbavu,Uuaji,Utekaji,Ushoga na Usagaji!Kwa hiyo dini yenu inashadadia upumbavu huo???Kila akosoaye upumbavu mnakimbilia kusema udini,Kwa hiyo dini nzuri ni inayokumbatia "Ushetwani"na "Upumbavu"!!!Kama tafsiri ya dini ni "Upumbavu"basi "Shetani "ndo Mungu wenu !!Maana mpumbavu amesema hakuna Mungu moyoni mwake(Zaburi 14:1,53:1)!!!Kumbe kipimo cha "Upumbavu ni dini na kauli zitokazo ktk utashi wa waumini wake wakati wa matatizo!!!
@DenisMatemu
@DenisMatemu 22 сағат бұрын
mpak hapo na ww umeonyesh udin tayar
@joachimngereja7608
@joachimngereja7608 Күн бұрын
Askofu wanakuweka wapi wale wanafiki
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge Күн бұрын
Kama unakata wewe ni mpambe wa shetani watoto wamepe hata cadi za ccm chini ya miaka 18
@lwelenjalferdinand671
@lwelenjalferdinand671 Күн бұрын
Shetani amechukua sura ya mtu anafanya dhambi ya kuua, kuiba, kusema uongo na kuabudu miungu wengine.
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Vyama hivi vinatuangushs nao waelrzwe waache upuuzi.
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Hivi kwa nini viongozi wetu hawasikii?
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Күн бұрын
DAH MANENO KUNTU KABISA KUTOKA KWA ASKOFU...TAFAKARI MAANA ASKOFU KANYOOSHA RULA
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Күн бұрын
MUHESHIMIWA LEMA ALIONGEA KUHUSU ACT
@kamangate
@kamangate Күн бұрын
Umenena vyema kabisa
@nicolauslema88
@nicolauslema88 Күн бұрын
Akilambishwa asali basi.
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka Күн бұрын
Mpuuzi tu huyo
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq Күн бұрын
Wazazi wako
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
Ww mpumbafu nenda kaeneze usenge huko kwenu, acha chuki za kidini hapa, mbn hukusema hayo wakati wa Magufuli 2019
@RaysonMtui
@RaysonMtui Күн бұрын
Matusi ya nn,wakati anaongea ukweli?
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Күн бұрын
Kwamba makosa yalioanza kwa Magufuli yasiguswe tena.
@AleniMwanga
@AleniMwanga Күн бұрын
Yani eti ni mtanzania kabisa anathubutu kumtusi huyu mtumishi nyie haya yaani naionea huruma sana nchi yangu kwa huu muelekeo tuliopo
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
@AleniMwanga Huyu ni mtumishi fake, aende mbele na chuki zake. Kama mtumishi mbona hakemei usenge
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
@AleniMwanga Huyu ni mtumishi fake, aende mbele na chuki zake. Kama mtumishi mbona hakemei usenge
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka Күн бұрын
Huyu ni askofu gani mnafiki tu wewe, hapo ni kama nani muhuni tu wewe, askofu wa wapi huyo anapoteza muda tu.
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Күн бұрын
Mshenzi tu wewe na wapumbavu wenzio unawajua.
@EliyaPaulo-uf6hh
@EliyaPaulo-uf6hh Күн бұрын
Mpuuuzi mpuuuzi mpuuuzi mpuuuzi mpuuuzi mpuuuzi wee jinga kabisa weee una masikio na macho ya mavi mavi mpuuuzi wee watu wanaongea mstakabali wa Nchi yetu wee unaropokwa mpuuuzi
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Күн бұрын
Acha porojo mboña huzungum zi Tuhuma za Rushwa zilizoibuka CHADEMA
@CharlesMwakajinga-r5d
@CharlesMwakajinga-r5d Күн бұрын
Anaetoa hiyo rushwa kwa chadema ninani? Ccm ushetani wao mungu anawaona
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
Weni mjitu tu
@erasmuskwayu5643
@erasmuskwayu5643 Күн бұрын
Akili za Mtu yeyote wa CCM ni sawa na Zombie
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
@@erasmuskwayu5643 wanaipenda ccm ni kama nyumbu
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
Huna lolote wewe bwege, unasumbuliwa na chuki za kidini tu, badala ya kwenda kushughulika na ushoga unaoenezwa na Wazungu huko makanisani kwenu , unaleta usenge hapa kwetu, pumbafu sana wewe
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Mungu akupige kofi. Wewe unaonyesha wazi ni mwislamu na husemi kitu sababuSamia ni mwislamu. Acheni udini wa kiarabu. Basi Jamie I huko usrabuni tuachieni Tanganyika.
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
@@TM-zs3rm Hata msemeje ukweli utabaki kuwa ukweli tu, hata Butiku na Warioba huwa tunawaona tu, ingawa ni CCM lakini hawapendi viongozi Waislam, kila kukicha wanawaponda tu, hata mama akiteuwa mtendaji Muislam basi utawaona wanalalamika
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
@TM-zs3rm Mungu wa haki kwanza atawapigeni makofi nyie mnayeshabikia ndoa za jinsia moja na Maaskofu wenu wanaofungisha hizo ndoa hadi makanisani, eti haki za binaadamu
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Күн бұрын
E​@@TM-zs3rmwapi kakuambia yeye ni muislamu.udini tu unakusumbua
@JosephatJumanne
@JosephatJumanne Күн бұрын
Tusaidiane viongozi wa dini
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,2 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 127 МЛН
GEN Z BIG ANNOUNCEMENT THAT SHOULD SHOCK THE GOVT
12:45
MURURI TV
Рет қаралды 7 М.
Fundamentals: Ten Keys to Reality | A Conversation with Nobel Laureate Frank Wilczek
2:03:41