MCHENGERWA LAZIMA AJIBIWE. DKT.SLAA ANACHAMBUA HOTUBA YA WAZIRI MCHENGERWA YA J'MOSI KAFICHUA MAZITO

  Рет қаралды 11,105

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@MukamaKili
@MukamaKili Ай бұрын
Liko jambo wasilolijua. Mungu hajawahi kusinzia. Yuko macho siku na wakati wote. Yuko hai na anaona na kujua kila kitu. Tuwasubiri tuone kile kitakachotokea atakapojitokeza rasmi
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian Ай бұрын
Ukiona nchi inaongozwa kwa ushilikiano wa kuozeshana basi nchi iyo ni vituko
@samsonrusagira5168
@samsonrusagira5168 Ай бұрын
Waziri Mchengerwa ni tatizo.Yeye ndiye chanzo cha kuvuruga uchaguzi.Kimsingi anapaswa kujiudhuru nafasi yake ya uwaziri.Hafai kwa nafasi hiyo na hasa ukizingatia mahusiano yake na Rais Samia ambaye ni mgombea.
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Ай бұрын
WAZIRI MCHENGERWA....HUNA UADILIFU KWA WATANZANIA!
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Ай бұрын
Kiburi cha pumzi na madaraka
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 Ай бұрын
Siku zote hua siachi kusema kua SHETANI WA TANZANIA IS POWERFUL KULIKO MUNGU WA TANZANIA Ndo maana watu wanaompigania MUNGU kila siku wanakaa vikao WAKATI wenye matendo ya KISHETANI wametulizana na kazi zinaendelea
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Ай бұрын
Chadema walishatoa takwimu unazozungumzia
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Umeficha.mabaya.kinafiki.ss.mnaumbuka.jengo Kariyako.nani.aajibishe.jibu.mjegerwa.serikali.au.mwananchi
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 Ай бұрын
Kwani tulitegemea nini mkwe kusimania uchaguzi wa mkwewe. Mlitegemea nini kwenye uchaguzi inaosimamiwa na serikali ya ccm dhidi ya wapinzani wa Ccm. Mlitegemea nini kwa serikali na vyombo vyake vya mabavu yaani polisi na Usalama wa taifa ambao wanapokea amri kutoka serikali inayotawala. Vyama vyote vya upinzani wamehasiwa na Ccm na pale wanapokosa msimamo wa pamoja ni dhahiri kuwa demokrasia ya nchi hii ni ya wachumia tumbo. Mambo yotee yanayfanywa na Ccm ni kivdharau na kuvipuuza dhana mzima ya upinzani
@AdmiringChateau-eu5yd
@AdmiringChateau-eu5yd Ай бұрын
Hawa watu sio niwapigaji tupo tutawashudia siunaona macho yao kazi ipo.
@ObadiaChengula
@ObadiaChengula Ай бұрын
Wewe pia siulikua huko na ukapewa ubalozi yaani mimi nachukia sana njaa na ndo tatizo letu Tz
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Hawa maCCM wanachotaka ni yale yale ya Magu kutotangaza mshindi wa upinzani. Polisi kaeni pembeni acheni tuone pavujapo!!
@MukamaKili
@MukamaKili Ай бұрын
Let the Holy Spirit work on him and his own fake statements
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 Ай бұрын
Mzee mdomo unakataa hata kutamka kapumzike sasa,hao unaowasema umejikunjia marupurupu kwao,bilashaka hueleweki kwao wala kwa CCM
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Acha uchawa
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 Ай бұрын
Mungu hadhiakiwi
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Ай бұрын
Yani kwa vichwa vya panzi kama vyenu nyie ma ccm nivigumu sana kumuelewa mh DR slaa kwasababu asilimia kubwa nyie wa kijani nimatahira.
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 Ай бұрын
Mchengelwa anazo sifa. Ni msomi na amekuwa mbunge kwa vipindi viwili vya ubunge. Rais Samia alimkuta tayari ni Mbunge na mawaziri wengi huteuliwa kutokana na wabunge. Sijaelewa kosa la Mchengelwa ni lipi. Maana hakuna uchaguzi wowote wa serikali za mitaa na mara nyingine ubunge wapinzani waliwahi kusimamisha wagombea wote nchi nzima. Na kama kaipongeza CCM kwa kusimika wagombea maeneo yote kosa lake ni lipi. Maana kama, kusajili na kuengua wagombea kumefanyika miaka yote. Kama kuna watoto walioandikiswa wakiwa chini ya miaka 18 si waonyeshwe?
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Ай бұрын
Wewe nitahira tu wa ccm nahuyo mchengerwa amejidharirisha kwa kupotosha nakudanganya taifa zima.
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Ай бұрын
KALOKOLA....WATANZANIA SIO WAJINGA!
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Mama mkwe. Mwenye kifua kubwa! What the Hk.!
@MustaphaNgwaya
@MustaphaNgwaya Ай бұрын
​@@tibbsminja2575kama hatujui kiswahili fasaha na misemo yake ni bora tukae kimya tunaonyesha umbumbu katika lugha yetu.Kifua kipana hakina maana hiyo mnayosema Dr amechombeza tu anaelewa hicho ni kibwagizo tu Mzee Slaa sio Mjinga.
@MustaphaNgwaya
@MustaphaNgwaya Ай бұрын
Nilikuwa naweka sawa tu juu ya kauli hii tusipende kutumia siasa kuwavunjia watu heshima zao. Mimi sio mpenzi wa hao watu maana huyu anayesemwa kule jimboni Kuna kauli ilitawala uchaguzi wa 2020 mpaka warufiji walikuwa wana msemo wa kilugha usemao "TUUKANE UBOSO"tafuteni maana yake
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
#LIVE: TATHMINI YA UCHAGUZI WA SERIALI ZA MITAA - 30/11/2024
2:23:56
Star TV Habari
Рет қаралды 29 М.
MCHUNGAJI DOMINIC ASILIMU NA AUKANA UKIRISTO NA KANISA LAKE ATOA SIRI ZA KANISA
12:12
Lissu Akijibu Maswali Magumu ya Waandishi Baada ya Kutangaza Nia
2:00:06
Rafiki Aliyeshambuliwa Na Majambazi Kwa Kuzuia Sadaka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
15:05