Jamani sijawahi kupata like kama umekubali nondo za Askofu Gwajima gonga like twende sawa👏👏
@zakalialucas65732 жыл бұрын
Yes
@Eliyaluka7 ай бұрын
Thank you Jesus
@josephvenus32593 жыл бұрын
Gwajima 💥💥💯💯✔ umeeleweka sana. Ktk Chama chetu cha mtandaoni tumekuunga mkono kwa maoni yako. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.
@veronicamatebya75643 жыл бұрын
Hongera Mh. Askf Gwajima umeongea kweli🔥🔥🔥🔥
@hassanovajunior69723 жыл бұрын
Nilikupigia debe sana wakati wa kampeni nikatukanwa sana humu asante MUNGU naona waliokuwa wakikukejeli sahi wanakupigia makofi MUNGU ni mwema prove them wrong Mh Gwajima👏👏👏👏👏👏👏
@sarahmsangi72432 жыл бұрын
Come on man....utabarikiwa sna
@haysanhassan26853 жыл бұрын
Huyu Askofu alichelewa sana kuingia bungeni, ukiamua kumskiliza Gwajima bila sikio la chuki huyu askofu ni next level kwenye mambo ya vision
@sophiasophia69453 жыл бұрын
Tatizo watu wetu wako pale kwa masilshi binafsi hawaijali tz Bali majina na tumbo zao
@bernardoleonard73313 жыл бұрын
Kabisa
@allymwakibinga4423 жыл бұрын
Hakika
@agnesjacksonphilip33823 жыл бұрын
Kweli
@joycelyimo20253 жыл бұрын
Gwajima ni kichwa
@joyceedwinbategeleza77613 жыл бұрын
Wow My Spiritual Dady. I’m so proud of you. Well spoken!!
@issacmilo50553 жыл бұрын
i dont mean to be so off topic but does anybody know of a trick to get back into an instagram account?? I was stupid lost my login password. I would love any tips you can give me.
@swaleheally81343 жыл бұрын
Kulayangu kwako hakwenda bure Asante sana tuna kuelewa sana
@anssp80433 жыл бұрын
Watanzania wenzangu jembe lingine hili apa kazi kwetu kuliunga mkono, Gwajima anaweza
@emmanuelnzaligo62623 жыл бұрын
Grajima umelianzisha Hilo naomba ulishughulikie kisawa sawa maana ni nzurii kubwa na ni la muhimu mno ahsante.
@saidisaid49643 жыл бұрын
Respect pastor Gwajima 🙏💪
@evancemwaky74253 жыл бұрын
Excellent my bishop Gwajima today my heart is smoothly
@gerraldamos51743 жыл бұрын
Mh kiukweli upo bungeni kwa kusudi maalum,bg up Mtu wa Mungu Nakuelewa sanaaa
@sabbob5743 жыл бұрын
Mh Grajima your the most intelligent MP in parliament.
@davidkengambi4913 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mh.Askofu Josephat Gwajima tupate wapi mtu mwenye akili ,Kama huyu
@johnmahanga55773 жыл бұрын
Gwajima we ni kichwa kbs , lazima kama taifa tuwe Vision inayoeleweka sio kila raisi kuongoza kwa Vision yake. Lazima tuwe na lengo au malengo ya miongo kadhaa ya kitaifa yatakayoimba mioyoni mwetu kwa Miaka kadhaaa na hayo yakifnikiwa tutayaita maendeleo coz yatakua yaonekana na kuelezeka. 🙏🏾✌🏾
@elizabethmwandu69373 жыл бұрын
Big up Mh Gwajima umeongea point sana👍
@princensabho72443 жыл бұрын
Wise advise, well said Rev. Hon MP Gwajima
@adamsonkyando6823 жыл бұрын
Gwagima unaakili na ufahamu ambao si wakawaida nakukubali sana na Naomba Mungu siku moja uwe Rais wa Tanzania
@deusmbalazi35523 жыл бұрын
Good idear
@yureboytv62093 жыл бұрын
Bing one
@kevinroberty80343 жыл бұрын
Live
@geophreyhizza63152 жыл бұрын
Excellent
@peterissangi57083 жыл бұрын
Good point askof, and u have afutured mind, my GOD bless u
@samsonelikana9033 жыл бұрын
Maono yako nikama ya hayat mzee we2 saf xana nimependa nataman siku moja uongoze hili taifa🙏🙏🙏
@junioryasin53063 жыл бұрын
Hahaha
@annacordune59333 жыл бұрын
Ee?
@TamuzaKale3 жыл бұрын
Mzee wenu yupi?
@sniperbogo62103 жыл бұрын
Mpiga dil mzur sana huyu mzee zamani alokua anafufua watu sahizi kwisha habar
@junioryasin53063 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 sasa watu unawafufuaje na ww
@pericykiko61983 жыл бұрын
Asante Baba kwakweli umeongea point kubwa sana
@athumaniomari28333 жыл бұрын
Asante sana kwa muongozo wako mwema huko hii baba mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe na taifa letu
@gabrielmamela22063 жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi JEHOVA HOSEENU akutumie mpendwa wangu Askofu Gwajima katika hilo Bunge kama alivyomtumia Daniel katika bunge pa Babeli.
@maloomaalmnsj51113 жыл бұрын
👍👌Wangetokea kama we we dah tungesonga asante magu kwakuwanoa vijana wako
@marydaniel11213 жыл бұрын
Asante mbunge wangu wa mbweni uko vizuri sanaaaa Mungu akuinue zaidi kwa kupata kibali mbele za Mungu kwa kuwa lololte alitakalo litatendeka
@Ashibutz3 жыл бұрын
Very well MH gwajima
@joycehope18833 жыл бұрын
Sijutiii mbeleni nikikupa kura ya kuwa Raisi wa Tanzania 😍
@priscamartin88873 жыл бұрын
Mbunge wangu uko vizuri sana hongera sana wana kawe tunajivunia wewe
@godfreymgaya18623 жыл бұрын
Mambo
@elinamericho57443 жыл бұрын
Big up
@paulmhando26613 жыл бұрын
Nakubaliana 100% Tusipokuwa Maono na Ajenda ya Nchi. Nchi haiwezi kupiga hatua.
@augustinewilliam82813 жыл бұрын
Jembe toka mbinguni piga like kama unamuelewa Gwajima
@asifiwempagama273 жыл бұрын
Safi mbunge wetu,Mheshimiwa Josephati Gwajima umezungumza point kubwa itendewe kazi kilichobaki.
@jamesngadaya27913 жыл бұрын
Wangapi wanaona kuna roho wa mungu anazungumza ndan ya gwajima
@chuwaloonlinetv66723 жыл бұрын
Nimeandika hii comment nikiwa namkumbuka magu rip jpm uliacha mtu sahhi bungen
@rasbandafrance84733 жыл бұрын
Kweli,
@stevenkapenulo4743 жыл бұрын
Aisee nimemuelewa xna gwajima hakika wanakawe hamkupotea kumpeleka huyu jamaa mjengoni big up xna"
@emanuelakaro14233 жыл бұрын
For the first time I appreciate you speech,
@simu20083 жыл бұрын
Well said, serikali ichukue huu ushauri, na ndivyo wanavyofanya hata mataifa yaliyoendelea,
@valeriamtenga33843 жыл бұрын
Pasipo maono watu hawawezi kujizuia! Hii point ichukuliwe ni ya msingi sana sana
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
Glory to JESUS hizo ni Points kubwa sana
@deushope56083 жыл бұрын
Asante asikufu Asante Sana baba umejuwa kunifuraisha.
@seducerkapero73063 жыл бұрын
wewe sasa ndio umeongea.good job gwajima.
@bajagihaji89233 жыл бұрын
Gwajima safi umetupa elimu Muono safi Na ni kweli kabisa🙏
@ramadhaniathumani92983 жыл бұрын
Mmhh kumbe anaongeaga point huyu KIUMBE!!!
@majabamagana41493 жыл бұрын
Bishop ubarikiwe sana kwa kuliona hili janga la kitaifa. Nadhani Bunge hili halitaisha bila kuja na hii hoja kama maono na mpango wa taifa kwa miaka angalau 50. Actually umedai katiba mpya kiujanja sana na kwa namna isiyoweza kupingwa
@iongwaezekiel90602 ай бұрын
Gwajima Mungu hakubariki kweli kweli
@ernestemmanuel56913 жыл бұрын
Well said, safi sana Askofu Gwajima
@thomasmallya29723 жыл бұрын
Katika mtu ambaye nilikua nnamchukia bila sababu ni Geajima yaaan nimemsikiliza ad nafs yangu inanisuta dhaaa %100 nnapa
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
Kwel bhana hyu baba 🔥🔥
@emmanuelbonifase11143 жыл бұрын
Gwajima ni kama sindano inapenya polepole kwa mwili askofu tza
@chrispinwilliam37843 жыл бұрын
Hicho chuma mzee ukikifuata nawe utakuwa chuma
@thomasmallya29723 жыл бұрын
@jenny Morgan wewe makalio kweli kama umezoea kutongozwa cyo woote wanaachia kama wewe pimbi wewe
@thomasmallya29723 жыл бұрын
@jenny Morgan mbona unafura inaonyesha unaachiaaga tundu msenge wewe
@experiuskamugisha68633 жыл бұрын
Hongera sana Gwajima kwa ushauri mzuri juu ya taifa letu
@elimidakashumba24223 жыл бұрын
Kikubwa wawakilishi wa watamzania, viongozi walioshika madaraka mjue kwamba watqnzania tumechoka na umaskini, kuishi maisha yasiyokuwa na mwangaza, kukosa huduma muhimu na za lazima. watamzania na sisi tumataka ifike wakati tuww kama wachina wanafikia wakato na kugeuka nyuma na kusema miaka flani au kadhaa iliyopita tulikiwa maskini na sasa ni tajiri tunachuana na nchi tajiri. kwqni kinachoshindikana kwetu ni nini zaidi ya sababu tulizosoma shuleni na kuzikariri miaka kenda rudi. kumbe hakuna haja ya kujua sababu ya tatizo, kujua sababu haisaidii kama huna nia, moyo, shauku ya kutatua tatizo.
@jeradbendiliba38283 жыл бұрын
🙏🙌🙌🙌 gwaji boy wasio kupenda watazimia
@josephkomba17673 жыл бұрын
Gwajima is Genius
@allymwakibinga4423 жыл бұрын
Safi Sana,unadhihirisha kuwa wewe ni Askofu mbeba maono ya watanzania miaka mingi ijayo.Asante Sana kiongozi 🙏🙏
@davivancee99913 жыл бұрын
Big up sana Gwajima tunataka viongoz Kama Gwajima sio wa kina Nape wapingaji
@dannywello94583 жыл бұрын
Mwisho wa siku Askofu Gwajima unakuja kuwa Rais wa WaTanzania 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@agathafrancis41362 жыл бұрын
Hakika ✊
@restkalemile52743 жыл бұрын
safi sana gwajima km kweli hayo yanatoka moyon Mungu na akubarik ila km ni lengo la yule mwovu nyum ya pazia na ushindwe ktk jina la kristo
@Coachsamwel3 жыл бұрын
👏👏 vision & knowledge
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu amejaliwa hekima na busara. Hiki ni kichwa wajameni
@clarencechusi81513 жыл бұрын
KAMA WATAPUUZA HAYA, YAKAPITA BILA KUTILIWA MAANANI. HAKIKA TUTAKUA WATU WA KWENDA NA KURUDI. CCM IMEKUA INATUCHANGANYA INABABAISHA NA KUTUYUMBISHA HATUJUI TUSHIKE LIPI. WAKATI KILIMO KINAHALI MBAYA MNATULETEA HABARI ZA VIWANDA, HATUJUI SS TUNAFUATA SERA YA UCHUMI UPI, UJAMAA AMA UBEPALI. THIS IS TIME TO CHANGE
@josephbahati16073 жыл бұрын
Huyu ndiye mbunge anae takiwa akiendelea hivi walaiiiiiii anakuja kuwa kiongozi mkubwa sana komaa baba
@jeremihraphael32593 жыл бұрын
Daaaaah HUYU ASKOFU ANAONGEA VITU VYA MAANA NATAMANI AWE RAIS
@papawaroma3 жыл бұрын
This man Ndugu Gwajima is not only a man of GOD, not only a normal african politician but a true visionary leader. This particular speech should be taken seriously by CCM. We want to see Tanzania is moving ahead where Ndugu JPM left, anything short of that CCM should change the leadership as soon as possible. CCM SHOULD BY ALL MEANS POSSIBLE SHOW LEADERSHIP NA KAZI IENDELEE.
@juliusuronu88123 жыл бұрын
Hawa ndio watu tunaowataka bungeni👏👏👏👏👊
@jwasafi17933 жыл бұрын
Huyu MTU tumpe urais miaka ijayo kabla tuko hai hongera gwajima💕
@peterlujuo16403 жыл бұрын
Urais hapana, ila ni mwanasiasa mzuri
@tulimhagama13393 жыл бұрын
MHESHIMIWA MIMI NAKUKUBARI SANA .UNAWEZA KUIONGOZA TANZANII .TUTAKUOMBEA IPO SIKU
@elimidakashumba24223 жыл бұрын
Ndouo maana watanzania wanaumia sana wanapoona wawakilishi wao kwa nyqlati hizi wanakaa bungeni na tukashifu, kukejeri, kubeza na kukosoa utawala wa mtu aloyewafumbua macho na kuwaonjesha maendeleo. bigup mr. gwajima.
@maryaidan77453 жыл бұрын
We nakukubali San baba angu josephat ngwajma
@alextercisio3 жыл бұрын
Big up Mr gwajima we need such vision people in Kenya
@michaelmfangavo73602 жыл бұрын
mungu akubariki
@floragordian41313 жыл бұрын
Huyu jaama ni konki 🔥, he is the best.... Akipewa nchi ataitengeneza.
@masanjanyanda97753 жыл бұрын
Hakika Gwajima umeongea bila kufuata ushauri uliousema hakika tz haiwezi kusonga mbele kimaendeleo mungu akubariki sn sn askofu Gwajima
@doneeplus92903 жыл бұрын
Gwajima had a vision not differ from magufuli
@emiryfaida24373 жыл бұрын
Nasema nimekuerewa mkuu uko vizuri marais wajifunze kwa hotuba hii
@doricemtungi2773 жыл бұрын
Leo ndo nimeelewa nin maana ya katiba Mpya
@gracekagoma32313 жыл бұрын
Congratulations Gwajima bishop .
@homelandsstudios.66243 жыл бұрын
Akili kubwaa sanaa gwajimaa
@gloryenock94733 жыл бұрын
Ulichelewa sana kuingia huko bungeni bishop ila Mungu ukupandishe mwisho wa siku uwe waziri
@ramadhanimahongole87643 жыл бұрын
kuwa waziri pekeake haitoshi maono yake ni makubwa sana anatakiwa awe rais kbs wa nchi hii hapo tutapata faida ya future yake
@bernardoleonard73313 жыл бұрын
@@ramadhanimahongole8764 Naunga mkono gwajima anaakili sana
@kurwpaul11343 жыл бұрын
Vyema sana Gwajima
@amoudhzahoro61453 жыл бұрын
This guys is good, anatema cheche safi itakuwa vizuri kama maneno pia anayafanya kwa vitendo.
@sophiasophia69453 жыл бұрын
Hawez kufanya peke yake kama wenzie hawatamuunga mkono
@elimidakashumba24223 жыл бұрын
kwa kuwa tumeumnwa na talent tofauti basi huyu amenene na wengine watende kama yeye hawwi yote.
@sarahminja72553 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kichwa sanaa Ana akili za kupitiliza
@tinakivunge67553 жыл бұрын
💯
@yureboytv62093 жыл бұрын
Nabisa
@stellandege55943 жыл бұрын
@Mimi Miso hapana Labda sijaweka sawa yani huo ni msemo wa vijana tuu mtu anafanya vema mpka anaboa yani kamsemo Gwajima yuko sawa sn nmkubali sn na Mungu amtangulie kila penye uzito amfanyie wepesi
@bettyjosephseth15933 жыл бұрын
Mungu akusimamie mbunge wetu wa.kawe.unamaono ya.mbali sana.wana kawe hatujakosea kukuchagua
@estherdonald28332 жыл бұрын
Huyo alushaiona kesho ssfi sn bb askofu gwajima
@liliannyami99163 жыл бұрын
Very nice speech
@josephinanikwelimdacki33303 жыл бұрын
Najua hekima yaki Mungu ipo ndani yako uishi ndani ya Mungu uweponi mwake ukae ndaima
@FrankJohn-ij2uh Жыл бұрын
namkubarii Sana'a
@sarahmsangi72432 жыл бұрын
" kama unataka achukue form ya urais 2025 gonga like hapo"......
@gildasnyaki38123 жыл бұрын
Hizi ndizo point tunazotaka bungeni, upana wa kufikiria
@julianamasunga7003 жыл бұрын
Yaaani kura yangu niliweka sehemu sahihi kabisa safi ngwaji boy...siyo utopolo mwingine huo ....RIP Jpm
@omarikinyory57853 жыл бұрын
Ebhn mchungaji gwajima yupo vzr sana anaongea pwenty sana na anajuwa kujenga oja kwa mashiko
@thadeimlowe7863 жыл бұрын
Namuona ndg yangu Patrobas Katambi.
@dianadenis75573 жыл бұрын
Big up upo sawa kabisa ubarikiwe
@yasintakahamba13203 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪🙏🙏 jamani serikali mlitendee Kazi hii hoja
@augustinewilliam82813 жыл бұрын
Ukiona mwalim anafundisha mpaka wanafunzi wantikisa vichwa ujue pindi zuri nan kaona hao wabunge wantikisa kichwa mwanzo mwisho mwalim akiwa anatoa pindi
@winfridahaule43643 жыл бұрын
Hahahaha Mwalimu kaeleweka sana sio rahisi watu kutulia kukusikiliza Kama hueleweki,taharifa zingekuwa nyingi
@kapilykahera78833 жыл бұрын
Hotuba nzuri Sana hongera gwajima
@barakakajange73353 жыл бұрын
Mimi naitwa baraka Niko zambia Lusaka ningependa kuwahakikishia watanzania Mtumishi gwajima ameonyesha njia ya mafanikio ya taifa letu na Africa kiujumla kwa maoni huu mswaada upitishwe, ajendii iwekwe kuwa sheria.
@maryamabdallah31403 жыл бұрын
Waambie mr. Paster
@georgelameckbudeba33733 жыл бұрын
Huyu jamaa namuona mbali sana...anafaa kuwa raisi wetu watanzania
@stevehiraly91273 жыл бұрын
Na wehu wanakuwaga Rais????
@chiefmahucha68473 жыл бұрын
@@stevehiraly9127 huwa wanaishia bungeni tuu au..!?
@edujuseedward67503 жыл бұрын
Good point Mr Gwajima
@bm2tv2993 жыл бұрын
Gwajima ni mtu ameongea point nzuri sana tuwe na muunganiko wa regime.
@mkatejoel1793 жыл бұрын
Safi sana gwajima
@Tariqxxtenations3 жыл бұрын
Safi wambie kaka
@francisjoseph29273 жыл бұрын
Kaongea point sana.
@hamisitajiri86663 жыл бұрын
Hongera sana uk vzy sana lkn mbona mbunge wetu wa arumeru mashariki hatumsikii ?