HECHE BUNGENI LEO "KWENYE MITANDAO MAMBO YANAZIDI KUCHANGANYA SANA, TUSIJE KUINGIA KWENYE MATATIZO"

  Рет қаралды 42,670

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 73
@isayamachaine4705
@isayamachaine4705 4 жыл бұрын
Heche, unatutendea haki sana sisi watu wa jimboni kwako.
@mtwamvuyekule3349
@mtwamvuyekule3349 4 жыл бұрын
Daaah pole jembe heche inasemekana wanasema una kiburi ndio maana hawakupi maendeleo jimboni kwako # natoka Tanzania
@batulemwamwaja6524
@batulemwamwaja6524 4 жыл бұрын
Big up Hon. Heche God bless you.
@bunnasib1961
@bunnasib1961 4 жыл бұрын
Hako kabunge katabora kalikua kanatafuta kiki🤣🤣🤣🤣
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 жыл бұрын
Naomba mpige kura ya kuwaondoa wabunge wa CCM na Makada wote wa CCM, bora wakafie Mbele, maana hatuoni Michango yao
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 жыл бұрын
Kuna mambo yanasikitisha sana,kweli mm nimewahi kujiuliza muda mrefu sana hivi kwa nini miji inayozungukwa na ziwa Victoria mbona haina maji salama?wilaya ya Magu-Mwanza haina maji kabisa,wilaya ya Busega-Simiyu haina maji kabisa wakati ziwa lipo umbali wa mita 300 yaani viwanja vitatu vya mpira lakini hawana maji. Serikali muda mwingine muwahurumie wananchi walio karibu na vyanzo vya maji.
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Asante Heche✌
@chawalive
@chawalive 4 жыл бұрын
jembeeeeee laaaaaa mkoaaa hiliii muraaaaa
@kakomangamkama35
@kakomangamkama35 4 жыл бұрын
Nakbal iamzuchu
@abuuhudhaify5195
@abuuhudhaify5195 4 жыл бұрын
ggg
@musarichard2934
@musarichard2934 4 жыл бұрын
Hivi ccm wabunge wake!...mmmh acha ninyamaze maana..
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 жыл бұрын
Hivi huyu aliyefyonya spika hakumuona,au kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kufyonya?
@japharybbudal5953
@japharybbudal5953 4 жыл бұрын
Ndiyo viongozi tunaowahitaji kwetu hapa Tz ili kutufikisha mbele.Maana maendeleo hayana chama ndiyo maana hata mm sina chama .Nafueahishwa na kiongozi anaejua shida zetu ss wananchi.
@ismailkatala4792
@ismailkatala4792 4 жыл бұрын
Hv huyo mama aliyesonya ni Magreth Sitta au nimemuona vibaya...?
@januarikomba833
@januarikomba833 4 жыл бұрын
Kama umeskia mama kafyonya Tia lk hp
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@deoijumba8843
@deoijumba8843 4 жыл бұрын
Asante mura kwa kuwatete wanancho was tarime
@richardgervas1357
@richardgervas1357 4 жыл бұрын
Mbunge mmoja wa chadema wabunge 10 wa ccm aiseeeh
@peterwango697
@peterwango697 4 жыл бұрын
Jembe langu,kura yangu unapata
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 4 жыл бұрын
Huyuuuu Bibi anamsunyaje jembe letu akalale nyumbanii vyokoooooooo
@yohanamsabila4653
@yohanamsabila4653 4 жыл бұрын
Kweli
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 4 жыл бұрын
Ila Mheshimiwa hujavaa barakoa
@deompagatadeo5031
@deompagatadeo5031 4 жыл бұрын
South Africa kuona wanaotumia madawa wanakufa Sana amewakusanya kuwapa dawa
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 4 жыл бұрын
Kila saa taarifa taarifa jmn hamchoki na matarifa yenu
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 4 жыл бұрын
Vibunge vya ccm vinapenda Kiki jamaniii
@mtwamvuyekule3349
@mtwamvuyekule3349 4 жыл бұрын
Unashindwa kujenga na kuleta hoja za msingi unaleta taarifa za kipuuzi tu # natoka Tanzania by Nikki mbishi
@zebrongondwe
@zebrongondwe 4 жыл бұрын
WAFYONZAJI MNA LIKE HAPA...😅😅
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 4 жыл бұрын
Yamechuruzika ndo nn
@damsonwillison435
@damsonwillison435 4 жыл бұрын
Huyo mama hajielewi
@davismdula1517
@davismdula1517 4 жыл бұрын
Viva heche viva cdm
@franknamkoko8228
@franknamkoko8228 4 жыл бұрын
Hiv wabunge wa ccm wapo kwaajili ya taarifa tuu?
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 жыл бұрын
Mradi tangu 2012 umesainiwa.hela unadai Leo.jua limeshakuwakia.acha waitara aje hapo kuchukua nafasi hiyo.swala la maji unalozungumzia ya mvua,dharura fanya na whusika.sehemu kubwa ya nchi mvua zinanyesha.kila mmoja aisaidie nchi kufanya dharura kwa nguvu alizonazo.
@augustinokahinda3939
@augustinokahinda3939 2 жыл бұрын
aya niambie uyo waitara wako kafanya nini mpaka sasahivi
@marrytanzania9035
@marrytanzania9035 4 жыл бұрын
Hizo taarifa zingekuwa watoa upinzan msingeziona
@gridkibanda2582
@gridkibanda2582 4 жыл бұрын
Ilo swala la kutiririsha maji machafu baraza la mazingira inabidi wafanye kazi alafu apo wabunge teteeni wafanya biashara wanaotegemea baraza la mazingira kuendesha shughuli zao watafunga kila kitu kwa sababu biashara zinaenda kuwa lockdown hawatoi vibali,hamna kitu kinachofanyika kikaeleweka wafanya biashara wanaumia saana saana na serikali inakosa kodi kwa sababu yao
@jairanikhalfani1021
@jairanikhalfani1021 4 жыл бұрын
Tarifa yani wana can jenga hoja
@gridkibanda2582
@gridkibanda2582 4 жыл бұрын
Rais wetu kwenye upande wa mazingira inabidi uweke mtu ambaye atasaidia na anajua mambo ya mazingira NEMC kwa sasa nikikwazo saana kwa wawekezaji wanaotegemea iyo taasisi kufanya biashara zao kuna wafanya biashara wengi wamepata hasara na pia serikali imekosa mapato kwa sababu ya kutokuwa na majibu ya keleweka kutoka NEMC
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 жыл бұрын
MAGRETH SITTA AMEFYONZA
@nyamhangaolango872
@nyamhangaolango872 4 жыл бұрын
Tutetee jembe letu heche
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Wizara haiwez alf wanataka kumpa Nchi si ujinga huo
@bukurutv4035
@bukurutv4035 4 жыл бұрын
wewe ni mbunge kwel,
@elishamwaya4074
@elishamwaya4074 4 жыл бұрын
Mama kafyonya lakini spika kapotezea angekuwa Halima mdee tayari mambo yangepamba moto
@malegesinyeura6897
@malegesinyeura6897 4 жыл бұрын
Uko sawa mkuu
@malegesinyeura6897
@malegesinyeura6897 4 жыл бұрын
Leo ndo nimekuelewa tu
@deompagatadeo5031
@deompagatadeo5031 4 жыл бұрын
Wewe heche mbona MSHENZI wewe hujui kua korona imepelekea watumiaji madawa kulevya kufariki ghafla njiani ? Mungu anakuona wewe usiwe mnyama kusahau alioyatenda raisi
@chawalive
@chawalive 4 жыл бұрын
we muraaa mpumbavuu nini serengetiii hakunaa majiiiii waaachee ushenziiii hechee anaongeaaaa kiumeeeeee umeewlewa rhobhi
@jenadiusdeogratias5741
@jenadiusdeogratias5741 4 жыл бұрын
Deo mpagata Deo balance shobo ww
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 4 жыл бұрын
Njaa itakuua,unasikia lakin hauelew
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 4 жыл бұрын
Njaa itakuua,unasikia lakin hauelew
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 4 жыл бұрын
Deo mpagata Deo unachokiongea ni tofaut na alichokiongea Heche au umekunywa kimpumu
@januarikomba833
@januarikomba833 4 жыл бұрын
Mama alifyonya
@johnkamwendo3867
@johnkamwendo3867 4 жыл бұрын
Mama anajidhalilisha. Mtu msitaarabu hawezi kufanya vile. Kwa kauli gani hiyo aliyoitoa Heche astahili kumfanyia vile?
@husudasamweli3155
@husudasamweli3155 4 жыл бұрын
@@johnkamwendo3867 kwa kweli huyu mama kakosa nidham, MTU mzima anafyonya watu wenye hoja, anajifanya yeye anauchungu na kauli ya mh. Heche John
@januarikomba833
@januarikomba833 4 жыл бұрын
Mama kafel
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
Mama ameniudhi anastahili apigwe kofi moja kali
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
To let heche coz mwanzoni mlikuwa mnafuata Sana mkumbo kwa kutoka nje bungeni wakati vikao vinaendelea Leo unaona kipindi kinamalizika ndo unaanza kujipendekeza hapa ilitukuchague Tena, afu ukagome tena....😂😂😂
@janeyphersuma3982
@janeyphersuma3982 4 жыл бұрын
Akili yako ichunguze sana
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
@@janeyphersuma3982 😂😂 it's to let mama time will tell🚶🚶🚶
@georgesteven5185
@georgesteven5185 4 жыл бұрын
bundle LA mamako lazma u comment usengeee
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
@@georgesteven5185 😂😂😂😂😂 to let muraaaa
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
@@georgesteven5185 😂😂😂 tukana tusi ambalo cjawahi kusikia labda ntakwazika lakin haya ya kujifunzia ukubwani unaona umenitusi mwenyewe 😜😜😜 it's to let mama tena we ni mama kabisaaa😂😂😂 ilooo limamaa 😂😂😂😂
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 191 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 123 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 159 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 724 М.
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI ISHU YA CHANJO YA CORONA
10:20
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
“Hata mkitumia mabavu Mungu anajua ukweli” -John Heche
5:04
Millard Ayo
Рет қаралды 225 М.
Miongozo iliyoombwa na Wabunge Peter Msigwa na Sugu Bungeni leo
10:08
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 123 МЛН