Askofu Asumwisye Mwaisabila Amvaa Askofu Mwaipesile Wa EAGT

  Рет қаралды 49,030

Busokelo TV

Busokelo TV

2 жыл бұрын

#busokelotv #eagt, #mwanzo
Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Evangelical Assemblies Of God Tanzania EAGT Asumwisye Mwaisabila, ameungana na wachungaji wengine zaidi ya elfu moja wa kanisa hilo, kuhama EAGT na kuanzisha kanisa lingine, ikiwa ni suluhu ya kumaliza mgogoro wa kugombea kiti cha Uaskofu ndani ya kanisa hilo ,mgogoro ambao umedumu kwa muda miaka sita
KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI
Email: busokelotv@gmail.com
Simu: 0762684745 au 0674217445
Karibu sana

Пікірлер: 188
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Baba yetu mwaisab ,umezeeka baba pumzika waachie wengine kazi yako ninjema acha unaichafua kazi ulioianza njema
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Pesa bira Mungu halisi ni shida, ugomvi wote huu ni sababu ya pesa tu, baada ya kulola kufariki shida ikaanza, pesa itapeleka wengi kuzimu.
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana na kuwatetea, Bishop Mwaisabira Mungu akutunze Baba.
@danielmwampeta3338
@danielmwampeta3338 2 жыл бұрын
Wokovu unajengwa kwa mtu binafsi,kwa mtu yeyote wokovu haupo kwenye majengo na mali za kanisa,kelele hizo zisikufanye uache wokovu TAFUTA SEHEMU NYINGINE UTAKAYO MFANYIA MUNGU IBADA UWE ASKOFU,MCH AU MSHIRIKA: "JITAHADHARI SANA KWANI KUUPOTEZA WOKOVU NI RAHISI SANA ILA KUUPATA NI SHIDA SAAANA NIZAIDI YA KUITUMIA PESA NI RAHISI SANA ILA KUIPATA..., Mungu akusaidie
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 жыл бұрын
Ameeen, ujumbe wako nimeupenda Sana shujaa. Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. 😭😭
@mosesmwakalibule2715
@mosesmwakalibule2715 Жыл бұрын
Namkumbuka Sana Bishop E.R.Mwansasu alinyanyaswa sana na eagt
@estamasanja393
@estamasanja393 Жыл бұрын
Kivipi mtumishi sielewi kabisa naomba kufaham
@johnhongoli8956
@johnhongoli8956 2 жыл бұрын
Kila mtu abebe kilicho chake aendelee na wito wake tusichokozane tushindanie Imani tukutane palemawinguni kwenye sherehe ya mwanakondoo ,wanaokubaliana washikamane hakuna jipya yalikwelo tangu mwanzo.
@rodgersabraham9837
@rodgersabraham9837 Жыл бұрын
yan hawa wachungaji wa mshahara , wasashida sana, masilahi yao binafsi , yan kwasababu ya vitu mpaka umwagaji wa damu unatajwa na wachungaji,Mungu saidia na ikiwezekana hawa watumishi wa matumbo waondoe shambani mwako
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
MUNGU WETU NI WA AMANI NA MTAKATIFU MNO.TUMPENDE YEYE NA KUMCHA.TUWAPENDE WENGINE KAMA NAFASI ZETU.MBINGUNI NI PATAKATIFU SANA.WAEBRANIA 12:14-15.TAFUTA KWA BIDII KUWA NA AMANI NA WATU WOTE.BILA HUO UTAKATIFU HAKUNA ATAKAYEMWONA MUNGU.MUNGU HAKAI PENYE MACHAFUKO.TAFADHALI JMN.🙏🇹🇿
@angelmarycharleslcharles9690
@angelmarycharleslcharles9690 2 жыл бұрын
Duh! Mungu atusaidie wachungaji mnatuchanganya washirika, dalili yamvua mawingu huu mpasuka wa makanisa unaashiria Jambo Fulani baya mbeleni
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Viongozi au wachungaji wa makanisa mnatuvuruga waumini mna Cha kujibu mbele za Mungu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Wala wasikuvuruge hao wanaangalia masilahi yao ndugu Yangu kwahyo usiache kuomba kusifu na kufunga maana shetani ameona atumie mbinu ya kupambana na viongozi ili kuhakikisha waumini wanakata tamaa
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Mwaisabila kumzika baba, unaheshima kubwa sana ya kanisa la EAGT.
@kitasyajohn8435
@kitasyajohn8435 Жыл бұрын
Mlimnyanyasa sana mwansasu amekufa kama mkimbizi wa Imani eagt nawachukia sana ,,
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 2 ай бұрын
Kwan ukiwachukia wanatakufa au awatafanikiwa 😂😂😂watu wengne bna
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 5 күн бұрын
​@@user-pg6db8jl2yyamekuwa hayo tena duh
@ulimbaga5784
@ulimbaga5784 2 жыл бұрын
Roho ya kutengana itawaandama mpaka Yesu arudi, Mlijitenga na TAG . Mungu awatetee.
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 2 жыл бұрын
Hujui historia ya Tag wewe, TAG yenyewe ndio imetulia sasa
@elietaabraham5494
@elietaabraham5494 2 жыл бұрын
Sikiliza sauti ya MUNGU BABA
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 2 ай бұрын
​@@ndavadumayai4250Kuanzia lini hadi lini lilikuwa halijatulia?
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Yaani wanyakyusa mnatia aibu wanetoka mwaikali na Mwambola Sasa Ni mwakioesile na mwaisabila!Mungu awaponye
@monerexshowz5200
@monerexshowz5200 2 жыл бұрын
Mwaikali na mwakihaba
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
Sio Mwaikali na mwambora bali mwaikali na mwakahaba
@boscojulius532
@boscojulius532 2 жыл бұрын
Wanapenda madaraka na sifa . Mwenye kusifiwa ni Mungu pekee .
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Wanyakyusa ni tatizo Wana Mazoea na Mungu,Mzee Mwaisabula Pumzika ,Usipotelee mwisho Baabu , Majira huwa yanabadilika sema hukujiandaa na mabadiliko ,Wanyakyusa wanapenda ugomvi
@Prophetess_JB
@Prophetess_JB Жыл бұрын
Niko tayari kuja from KE Kwa hiyo shughuli. Ombi la toba na mama Kulola anunuliwe gari basi Amani itarudi. Niko tayari na mchango wangu.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Pana askofu mmoja mleta mgogoro ni member wa freemason. Alitumika Ili kusambaratisha huduma ya Moses Kulola, Kulola kampa Sana hasara shetani so bado ana hasira nae sana, freemason wapo nyuma ya migogoro hii.
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni atusaidie sana,tuabudu Mungu jamani
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 жыл бұрын
Wekeni bibilia katikati iwe mwamzi wa haki iamue kwa haki maana nano la mungu linatosha kutoa majibu pasipokuleta migogolo mkiliacha neno hakuna amani popote msajili hawezi kuwa mwamzi wa migogolo ya watumishi wa mungu ludini kwenye neno
@helenamandele6711
@helenamandele6711 2 жыл бұрын
Lililo la Mungu litadumu, Mungu ndiye mwamzi wa haki,
@amosbenard6657
@amosbenard6657 Жыл бұрын
Mungu atakuwa mwamuzi wa yote Kwa vita hii
@amosbenard6657
@amosbenard6657 Жыл бұрын
Mgogoro umeanzishwa Tena Kwa Siri Bishop uwe makini Sanaa kuisimamia Katiba yetu maana imesajiliwa kisheria
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
Huyu Mwakipesile hana skills za Uongozi.Tangu awe askofu EAGT imebomoka na anaona sawa tu..
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 жыл бұрын
Huu mgogoro hata mtu aliyeishia darasa la pili angeweza kuumaliza Ila busara na hekima imekosekana kwa viongozi
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
@@davidsimbeye1548 kweli kabisa..ilikuwa wawe na maridhiano kumaliza tofauti tu lakini udikteta wa viongozi ndio umetufikisha hapo..
@iuem5792
@iuem5792 Жыл бұрын
Hekima tu kwa Askofu iikosekana,Kulola alimaliza mambo kwa hekima,wanaingia wengine wanafukua yaiyopita matokeo yake ni haya.Tubuni tu
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Mmm,ninacho kijua Hilo kanisa ni ,EGT nanyie wengine wenye jina tofauti mmmm mungu awaponye
@Prophetess_JB
@Prophetess_JB Жыл бұрын
Mpaka siku yenye Kanisa litatambua Mama Kulola hakutakuwa Amani popote. Daniel Kulola ataongoza ombi la toba na kutakuwa salama. Bishop Daniel Moses Kulola alichaguliwa na Moses coz Hana tamaa ya pesa.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Mnatia aibu saaana wanyakyusa wenzangu,mnapenda saana madaraka, hii dhambi mbaya sana
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Kila mara wanazozana.Hamfuati katiba ya Mungu ni amani tupu.
@jeremiahmashinji1986
@jeremiahmashinji1986 2 жыл бұрын
Mungu asimame juu ya hili jmn
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 2 жыл бұрын
Tatizo lenu wanyaki sijui mnamuona Mungu mjomba enu au
@ardonjoyo3506
@ardonjoyo3506 Жыл бұрын
Siku za mwisho watu watamwacha Mungu na kutaka madalaka
@gwamakamwakila7085
@gwamakamwakila7085 2 жыл бұрын
Umwagaji wa damu kivp ,na wasiwasi na wokovu wenu..kubari kukaa chini ya maongozi...jifunze kwa mfalme daudi na Sauli.
@lwitikomwakalinga3798
@lwitikomwakalinga3798 2 жыл бұрын
Kusema kanisa Lina mgogoro Tena kwenye vyombo vya habari,,,kupeleka matatizo Kama haya serikalini,,,mliangalia nn!! sadaka au Roho za mnao waongoza
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 Жыл бұрын
Wewe mzee acha tamaa kama unataka uongozi si usubiri uchaguzi ufike
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 жыл бұрын
BABU ASKOFU MWAISABILA. KWANI MKIBAKI EAGT MTAPUNGUKIWA NINI? HALAFU HUYO WA BUGANDO ANATAKAJE KUONDOKA NA KANISA LA EAGT BUGANDO?
@Gwest2012
@Gwest2012 Жыл бұрын
Bora baba katangulia salama..hawa wengine kila mmoja achumie tumbo lake wanatuletea vita zao za unyakyusani hapa
@emmyabsalom4237
@emmyabsalom4237 Жыл бұрын
Shetani ni mwelevu, amewafanya watu wajishughulishe na mambo ya migogoro wasahau kuwa YESU anarudi muda wowote, wako busy na migogoro! Hapo tutapata muda wa kumtafuta MUNGU kweli?! MUNGU atusaidie tuko kwenye Kipindi cha hatari.
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 2 жыл бұрын
Jamani naomba amani naumia kuona makanisa yetu yanafikia hapa
@gwakisasimon14
@gwakisasimon14 6 ай бұрын
baba ishi katika ualisia wa mungu mtumikie mungu using'ang'anie mwache mungu wa rehema afanye kazi yake usije kuhalibu mkia uliobakia mbele za yesu ishi kwenye kusudi la mungu kuwatafuta wale waliopungukiwa na neno la mungu basi ilo ndilo kusudi la mungu uaskofu sio vazi la kukupeleka mbinguni jitahidi kumjua mungu wachie wale waipendao dunia shika neno la mungu tu maana akuna binadamu anayeweza kuzema huyu mungu amemkataa na ni yesu pekee anajuwa walio wake mungu akujalie simama kumtetea yesu achana na uwaskofu usije kupoteza taji siku zako za mwisho mungu akupe nguvu katika kuimaliza kazi yake
@enockniko9270
@enockniko9270 Жыл бұрын
Kwani mzee kustaafu uongozi kunashida gani ukawa mchungaji tu Mbona taji yako ipo tu
@ignaswangwe4568
@ignaswangwe4568 2 жыл бұрын
Jamani wapendwa hamtumikii mwanadamu Bali Mungu
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 2 жыл бұрын
Baada ya kufa mzee kulola2 EAGT yakaingia maharamia.RIP Moses Kulola😭😭😭
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 жыл бұрын
Huo ndiyo ukweli wenyewe
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Upo ushuhuda wa aliyekuwa wakala wa kuzimu anaelezea jinsi walivyopanda mafarakano kupitia mmoja wa askofu ambae ni mtu wao Ili kanisa liwe chini ya shetani.
@gwakisasimon14
@gwakisasimon14 6 ай бұрын
mungu sio mapenzi yake hayo muyafanyayo hakika kazi yenu muliyoitiwa ni kukusanya kondoo tu mungu hayajui hayo munayoyagombania anahudhunika mnatawanya kondoo wake hakika mtalijibu hili tumkumbuke baba yetu kulole alivyoenenda kwa kuwa na ofu na mungu akuruhusu ubinadamu umtatawale uaskofu hautawapeleka mbinguni kwa umri wako mzee wangu mwaisabila unatakiwa umwangalie yesu achana na mambo ya anasa hayo mungu anajuwa kweli ya kila mmoja wetu na hakuna binadamu anayeweza kusema huyu mungu amemkataa hilo ni kosa kubwa hujui siri ya mungu na kiumbe wake kaa kwenye wito wako kuwahubiria watu waache dhambi na kumkimbilia bwana yesu hayo.mengine sio yako yeye aliye juu mtakatifu anajuwa atayatengeneza namna gani lakini moyo wako usizame huko vyote uvionavyo ni mali ya bwana yetu.nawaomba mungu awatangulie kwa hili fungeni na kuomba maana mwisho unakalibia
@simonrevelian8372
@simonrevelian8372 2 жыл бұрын
Katiba ya EAGT inasema Ibara ya ix. Mtumishi aachapo utumishi wake ndani ya EAGT ataondoka yeye mwenyewe na kuwaacha washirika na Mali zote. Kumbuka majengo ya makanisa yenu, vyombo mbalimbali mlivyonavyo ni asili ya EAGT, huwezi kujenga msingi mpya juu ya mwingine, bomoa huo msingi wa zaman muanze na Moja,
@Werema3760
@Werema3760 2 жыл бұрын
Hizo katiba zimekaa kiuporaji zaid(kimwili)
@simonrevelian8372
@simonrevelian8372 2 жыл бұрын
@@Werema3760 naamin mpendwa kabla mtu hajafungua kanisa anapitia katiba ya dhehebu analotaka kutumika Nako, na Jao wanaopinga waliridhia kabla. Shida amevamiwa na roho ya kupenda vyeo ndo maana wslishapeana vyeo hata kabla ya tamko la serikali, pia Mzee mahene aliyeshawishiwa na hao kuishtaki EAGT Mungu alimuonya akarudi na kutubu, nao wasitumiwe na shetani, warudi watubu na kutii mamlaka iliyopo maana biblia ndo inavyosema, warumi 13:1, hapa Hanna siasa ila neno la Mungu lisimame tu.
@shabanikitula645
@shabanikitula645 2 жыл бұрын
Mwaisabila ni baba wa imani sana na mwenye hekima sana Mungu akusimamie
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 жыл бұрын
Nyie hamkwenda kwenye UCHAGUZI. Na hata Sasa UCHAGUZI ukiitishwa mwakipesile anashinda Tena
@VoH-Official
@VoH-Official 2 жыл бұрын
Future will judge us dear Pastors!!!
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 жыл бұрын
Mimi niko hapa Musumbiji.Ila ninachokiona kama mumeamuwa kutoka chini ya uongozi wa Kanisa la eagt mutoke mukajenge majengo mengine muanze upya musimusumbuwe B.Mwakipesile;muache kila kitu mulichonacho hapo kanisani.Muende na vipawa visivyo onekana.Atakaye baki hapo atabaki kinyume na hapo Mungu wa Moses atawahukumu kwa kuwa mumekoseya
@nyellasuwedisanga6929
@nyellasuwedisanga6929 2 жыл бұрын
Wa jamaa mwakipesile inawezekana mwaisabila ndo alimkalibisha kanisani sasa inawezekaneje mwasisi atoke amwachie mwakipesile kanisa mwakipesile yeye asisumbue wachungaji aendelee na hao wachungaji wanao mkubali yeye mzee amwache asisumbue kabisa mwakipesile anashida amegomba mwizalubi tena anamia kwa mzee uo ni ukolofi tumwombee ana roho mtaka fujo
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 Жыл бұрын
@@nyellasuwedisanga6929 hv ukiambiwa utoe huo ushahid kwamba mwakipesile kagombana na mwinzarubi unaweza kuleta
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 жыл бұрын
Aliyefanya kazi ngumu Alisha tangulia mbele za na huyo ndy alikuwa na uchungu na Eagt Eemungu simia Hilo
@mwakhabogokarani1019
@mwakhabogokarani1019 2 жыл бұрын
wanyakyusa mnashida gani lkn mnachafua kabila lenu magomvi mengi chanzo nyie akina mwanani tunakoelekea hatuta wapa madaraka iwe kanisani or serikalini
@azdamadege8972
@azdamadege8972 2 жыл бұрын
WALA HAKUNA UMWAGAJI WA DAMU MWAKIPESILE NI ASKOFU WA AMANI SANA NYIE MNA MAMBO YENU
@benjaminkabebo6581
@benjaminkabebo6581 2 жыл бұрын
Achaneni na mambo mnampa shetani nafasi eneza injili ya wokovu achana na hayo 2wako2:11
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 2 жыл бұрын
Msigombane,wanaotaka mwakipesile haya,wanaotaka mwaisabila haya
@josephkomu987
@josephkomu987 2 жыл бұрын
Mkatoliki daima
@Prophetess_JB
@Prophetess_JB Жыл бұрын
Only Bishop Daniel Kulola and Mama Kulola will restore peace.
@gwakisasimon14
@gwakisasimon14 6 ай бұрын
ishi kwenye wito wako na mungu usitangulize akili za kibinadamu mwambie mungu atakuba majibu ila wandishi wa habari watasababisha uchonganishi kwa sababu shetani anafwatilia hayo mambo hayupo mbali ogopeni hasira ya mungu na pia wewe huwezi kutetea yule kama ndiye mungu wa kweli ataliweka sawa jambo hili tusije kutoka kwenye protoko ya mwenyezi mungu.mwachie mungu mzee wetu 9:24
@nickodemsimchimba594
@nickodemsimchimba594 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu ktk mgogoro huu kiini ni UZINZI lakin kimepelekea vita iendelee mpka leo. Askofu Mahene alishatubu na anaendelea na Safari ya kwenda mbinguni. Ila vita bado inaendelea🙄🙄🙄🙄
@mazimaaugustine7259
@mazimaaugustine7259 Жыл бұрын
Enyi waamini msijinajisi kwa yale mnayo sikia mitandaoni ogopeni kutoa maamuzi kwa jambo usilolijua
@gideons5265
@gideons5265 Жыл бұрын
Kuna mtu mwenye pesa amewashinda. Hili mzee kulola alilijua na akamuandaa kijana wake Daniel kulola ila ndio hivyo.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Nimefungua peji hii ili niunganishe na ushuhuda alioutoa mtu mmoja alikuwa mchawi. Na aliugusia mgogoro huu
@mwebraniaonline7001
@mwebraniaonline7001 Жыл бұрын
Kuazisha taasisi yako hakuhusiani na kuondoka na Mali za EAGT,KATIBA SIIPO WAZI ukitaka kutoka uache Mali zilivyotafutwa chini ya EAGT
@musabarnabas7628
@musabarnabas7628 Жыл бұрын
Ili kufikia maridhiano latiba huwekwa pembeni. Hata EAGT ilipoundwa iliondoka na majengo ya TAG na mgogoro uliisha. EAGT haitakufa kwa kuwaachia waasi majengo kama wao walivyoachiwa walipoasi TAG.
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 2 жыл бұрын
Heee jamani...Mungu tusaidie
@adeliphinamussa3085
@adeliphinamussa3085 Жыл бұрын
HV mnajisikiaje mnavojieleza hivo km watu mliookoka, Mungu wenu yuk wap
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 Жыл бұрын
MUNGU HAPO HAYUPO NA HAWA NDUGU
@jonathantave848
@jonathantave848 2 жыл бұрын
Hii ni Roho gani inayo ibuka mwee umwe??? Wito ni Jambo la Muhimu sana kuliko kusomea somea haya ndo madharq ya kusomea Neno la Mungu
@amosichacha5022
@amosichacha5022 2 жыл бұрын
hakuna Mungu wa kweli kati yenu, yeye siyo wa michafuko.
@JERUSALEM169
@JERUSALEM169 2 жыл бұрын
Huyo mzee ANATAKA AMALIZE VIBAYA
@isaacmwakosya5493
@isaacmwakosya5493 2 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mnatuweka nhia panda saana. Ila si Askofu Mwakipesile ni halali
@elizajohn8728
@elizajohn8728 2 жыл бұрын
Mnaidhalilisha injili kwa uchu wa madaraka mpone kwa jina laYESU
@jamesndondolendondole7152
@jamesndondolendondole7152 2 жыл бұрын
Migogoro uchu wa madaraka!
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 жыл бұрын
Martin Luther alijito Roman kwa sababu za kiimani lkn leo viongozi wanagawanya kondoo kwa maslahi Yao binafsi Mungu awasimamie
@diti4899
@diti4899 2 жыл бұрын
Warudi tu Roma maana malalamiko ya Martin Luther waroma walishayarekebisha
@NathanKayuni
@NathanKayuni Жыл бұрын
Rohoyavita inawatafuna
@NathanKayuni
@NathanKayuni Жыл бұрын
Vitavyatikawap kamasikatikamiliyenu
@johnwilson5106
@johnwilson5106 2 жыл бұрын
Mwakipesile ameamua kulichafua Kanisa hivi haoni aibu Bwana Yesu akemee robo ya kiburi na machafuko ndani ya mtu huyo na watu wote waseme Amina
@monerexshowz5200
@monerexshowz5200 2 жыл бұрын
Yaan inafanana na KKKT pole wanyakyusa wenzangu lakini mnavurugwa
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Sisi waumin Wala hatuna migogoro wakae wakijua tunahamia popote tunapotaka
@a.j.m9740
@a.j.m9740 2 жыл бұрын
Mnachogombania ni tonge kuweka kinywani alfu eti tunasema tumeokoka.
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
Wewe umetoa sh ngapi ili wapate tonge?
@jupitersolomon8427
@jupitersolomon8427 Жыл бұрын
Kabisa Yan hapo ni tonge tu kwanza hivi tunaenda mbingu ya Nan kiongozi wa dini mnapeana vijembe Tena mtandaoni YESU akirudi Leo itakuwaje naipenda Sana EAGT ya mwakipesile sio hii ya kutaka tonge
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 2 жыл бұрын
Eagt wanyakyusa ndo mnaivuruga vyeo mnapenda mno.
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 2 жыл бұрын
Kwaiyo shetani nae ni mnya kyusa maana ndyo mwanzilishi wakupenda vyeo mpaka mungu aka mtimua mbinguni 👹👹👹
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Wanyaki ni tatizo sana Ukanda huu wa mbeya - Kusini kuna tatizo sanaaa wanyaki ndio chanzo
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Shetani upanda roho kupitia mawakala zake Ili alisambaratishe kanisa
@gracewilfred7276
@gracewilfred7276 2 жыл бұрын
Mungu awahurumie watumishi jamani, mnaelekea wapi??
@alexnyasangakahela
@alexnyasangakahela 2 жыл бұрын
Wanyakyusa tunamatatizo gan kwenye imani
@danielmwakalinga6049
@danielmwakalinga6049 2 жыл бұрын
Umeona! Tena wa Busokela wote
@gloryvicent813
@gloryvicent813 2 жыл бұрын
Rest in peace Legend TB Joshua
@faustinemwamlima2334
@faustinemwamlima2334 2 жыл бұрын
Hakuna Mungu hapo
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Mwakipesile hana Shida ,Nyie mna shida yenu
@annanaiman9321
@annanaiman9321 4 ай бұрын
EAGT mnatia aibu kwakweli
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 4 ай бұрын
Kwaio managombania mjengo au waumini au sadaka mnachekesha kwaeli
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 2 жыл бұрын
YESU ANARUDI
@suzanamkate4676
@suzanamkate4676 Жыл бұрын
Yesu anarudi.
@suzanamkate4676
@suzanamkate4676 Жыл бұрын
Yesu anarudi tujiandae.
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 жыл бұрын
Ki haki mzee ulistahili kuwa Askofu maana mmeanzisha Eagt katika mazingira magumu nakumbuka miaka ya 80 mlihubiri na mzee kulola kwa shida ila ninacho waomba yasitokee Kama ya mzee kulola na mzee Lazaro mpaka mzee kulola kupewa sumu lkn yote hayo ni madaraka Lkn kinacho takiwa ni kumuhubiri kristo
@kapesaemmanuel2422
@kapesaemmanuel2422 2 жыл бұрын
Hakuna watu wa Mungu humo wala Roho ya Mungu hakuna humo ni maslahi ya sadaka
@poweroftonguetv2604
@poweroftonguetv2604 2 жыл бұрын
Ukiona we ni mtumish wa Mungu na unarudshwa nyuma kwa sababu ya madaraka jtathmini mara 2
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Жыл бұрын
kazi ipo 🤔
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 11 ай бұрын
Madaraka,fedha,,ni tatizo ,,pia mfumo wa kanisa katiba na miongozo,,,
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 Жыл бұрын
Tatizo ni chakula tu, mkitaka ,mpone katiba yenu iwe kama ya fpct, migogoro itapungua.Mchungaji awe analipwa kama wanavyofanya makanisa mengine, na iwe inawezekana mchungaji akiharibu awe anahamishwa kwenda sehemu nyingine, kama hakuna uwazi wa mapato tatizo litaendelea kuwatafuna viongozi. Washirika hawana shida, shida ni viongozi, mnataka kushibisha matumbo yenu bila kujali umisionari mnaotakiwa kuuhubiri.
@shedykivike7576
@shedykivike7576 2 жыл бұрын
Mwakipesile ndo tunamtambua
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 2 жыл бұрын
MUNGU tusaidie wana wako,
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 2 жыл бұрын
Itamfaidia nini mtu kuupata ulimwengu wote kisha akaukosa ufalme wa mbinguni
@esteraidani5275
@esteraidani5275 Жыл бұрын
Mungu simama mwenyewe,vita niyako,
@danielminga5767
@danielminga5767 Жыл бұрын
Utakatifu ndio jambo la muhimu mengineyo ni ziada madalaka hayatupeleki popote msiwe mnatuchanganya watumishi bali ajitengae na wengine ataka matakwa yake mwenyewe
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Tobaaaaa siku za mwisho au
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Kanisa tunaelekea wapi? Kanisa dongambele hayo ni mapito tu
@kapesaemmanuel2422
@kapesaemmanuel2422 2 жыл бұрын
Ukiona kanisa ambalo ni mali ya mtu kimbia kutoka humo
@gloryvicent813
@gloryvicent813 2 жыл бұрын
Mungu awaponye
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 7 ай бұрын
Hii dhambi ya mafarakano inaendelea kulitafuna Kanisa la Mungu. Eee Mwenyezi Mungu ingilia kati kuna roho ya kuzimu imeingilia kanisa lako hasa roho ya kupenda mali kuliko kukupenda wewe. CPCT mbona mko kimya mpo kwa ajili a kazi gani? Ni pamoja na kusuluhisha masuala kama haya ili watu wa Mungu wasipelekane kwa Pilato. Msipoliangalia hili kwa makini litainajisi CPCT mbele za Mungu. Mungu atawadai huduma yake kuharibika na ninyi mnaangalia tu. Ajuaye kutenda mema asiyatende ni dhambi kwake.
@isackchalamila9160
@isackchalamila9160 2 жыл бұрын
huyu askofu ana mstatizo makubwa tena anavuruga kanisa kama hana kibali kwanini ang'ang'anie madaraka mwakipesile pumzika tuu babangu utapoteza heshima yako jifunze sana
@isackchalamila9160
@isackchalamila9160 Жыл бұрын
Mimi binafsi namshangaa sana sana huyu Askofu mwakipesile kashajua hapendwi bado anataka madaraka yanini? na kama ameona hapendwi kwanini ang'ang'anie? tukumbuke hawa ni wachungaji na wanaongozwa na Mungu kwanini anakuwa kama mwanasiasa? mm binafsi kwa kweli wacha Mungu awe mwamuz kwa maana anaaibisha kanisa sana kwa uzee wake anamaliza vibaya sana Kwakweli mtu unakuwa mtata mpaka ameharibu kanisa sana mambo ya Mungu so yakung'ang'ania EAGT tuna sauli mkubwa anaesumbua kanisa kwa wachungaji baba zangu wa kiroho hampsswi kupaniki tumwombe Mungu atarudisha maskani ya Daudi iliyobomoka
@evdidaskatumbo6533
@evdidaskatumbo6533 2 жыл бұрын
Vita yatoka wapi jamani mbona virus vingi anamaliza yote. Kwani yasifanyike maombi badala ya vita ya nyama
@nyellasuwedisanga6929
@nyellasuwedisanga6929 2 жыл бұрын
Mimi nnacho fahamu .mwasabila ndo mwasisi wa kanisa. eagt wachunganji wengi walipita uku mby mwasabila ni baba yao wa kiroho na ana wajukuu wengi na hili nafikili msajili halijui mimi kwangu nafikili mwakipesile hapaswi kumfanyia. hivi huyu baba na maoni yangu wakristo tunatakiwa kuomba kwa ajili ya kanisa na sio kulaumu badala ya kusema wakyusa wanapenda madaraka mala tamaa za fedha, fahamu kazi ya shetani ni kuchinja kuua na kuhalibu,
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 Жыл бұрын
.kiongozi wa kiloo apatikani kwauasisi bari kwaekima ya mungu
@josephkaveya4284
@josephkaveya4284 Жыл бұрын
Kwani mzee mtumishi wa mungu bishop mwakipesile umesahau nini mbona mzee Moses kulola aliondoka na majengo ya tag mfano bugando wewe umesahau nini?
@justinekasake489
@justinekasake489 2 жыл бұрын
tumieni maandiko yatatoa majibu mnayorumbana mbona huko yalikotokea mbona hatusikii kugombania majina na madaraka
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣nawauliza kwan mkiwa viongozi mnalipwa amaa
@manmaster536
@manmaster536 Жыл бұрын
MUNGU atusaidie
@zakayokulwa3604
@zakayokulwa3604 2 жыл бұрын
Mnamwabudu mungu au mwakipesile?? Kwani dini ni nn mnafata udini kuliko kumfuata mungu?
@WinifledyMbugi-ur1hq
@WinifledyMbugi-ur1hq 4 ай бұрын
Mwaisabila atamia watoto wako wasipote kulola alikuachia
@mrossobartholomew9368
@mrossobartholomew9368 Жыл бұрын
Mambo yenu ya kidini hayana uhusiono na amani ya nchi
TOBA YA ALIYEKUA ASKOFU MKUU MSAIDIZI MCH DR  JOHN MAHENE KWA EAGT
21:47
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 37 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 167 МЛН
TAG MMEMDHULUMU VYOMBO VYA MUSIC MBARIKIWA? KWANI ALIWAPA NINYI VYOMBO VYENYEWE?
21:43
Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
Рет қаралды 21 М.
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 4,5 М.
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 37 МЛН