Amebarikiwa mtu anayetumika kwa kuitwa na Mungu mwenyewe si kwa kujiita ili update masilahi, Ubarikiwa mzee wetu,
@asiflazaro37733 жыл бұрын
Waw!Ninafurahia kusikia tena injili ya Baba yetu aliyepigwa chapa halisi ya Yesu Kristo siku zote za utumishi wake mpaka mauti ilipomkuta, japo tumemmisi kimwiili lakini moyoni bado tuko nae na tutaendelea kuisikia sauti yake. Amen.
@@jakelema6325 nabii Hebron si nabii wa kweli alidanganya kuwa alienda kuzimu kumfanyia toba Michael Jacson jambo ambalo haliwezekani kibiblia mtu aongozwe sala ya toba kuzimu.
@jakelema63252 жыл бұрын
@@ngwanafabian4612 Neema zake MUNGU anazijua MUNGU peke yake
@salomemgaya12442 жыл бұрын
Jamani mnasema mtoto wa kiroho wa huyu mtumishi ni nani vile ? Khaaa kwa herini .
@gideontebuye22054 жыл бұрын
Pata pumzikko la amani
@nazalenamgeyekwa5883 жыл бұрын
R I p
@ndayihimbazejoel42412 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🏁🏁
@ijueimanikatoliki9804 жыл бұрын
KWA NINI ALIHAMA TAG NA KUHAMIA EAGT???
@favouredbygod41633 жыл бұрын
Nilidhani utasema alifanya dhambi,kumbe kuhama tu, hakuna dhambi ya kuhama hata wewe ukifuatilia utakuta ni mhamiaji kutoka mahali fulani hata Ibrahimu aliambiwa atoke katika nchi yake ya asili, Yusufu alihamishiwa Misri ili awaletee watu wa MUNGU wokovu. TAG wametoka Lutheran, nao walitoka Kadholiki.Tuache udini hautusaidii chochote
@cosmaswilliam35923 жыл бұрын
Sikiliza injili ya kristo iliyo hai
@sylvestermalisha52922 жыл бұрын
Illogical question
@saimonijonas14712 жыл бұрын
Sababu yakutoka T.A.G.Askofu wake alimkataza asitimize agizo la Mungu alilopewa juu yakuwahubiria watu ambao walimkataa Askofu huyo yeye akaambiwa aende kuwahubiria habari njema.Alipomuaga Askofu wake,Askofu wake akasema hakuna kwenda kwasabau watu hao unaataka kwenda kuwahubiria walinifukuza mimi,hivyo nawewe ukienda kuwahudumia nitakufukuza nakukunyang'anya nafasi yauongozi uliyo nayo.Moses akaona nivena amkosee mwanadamu kuliko kumkosea Mungu.Hapo ndosababu yakuondoka T.A.G.Nakuanzisha kanisa la E.A.G.T.Akiwa na mchungaji Mwaisabila.Ambae kwasasa ndiye Askofu Mkuu wa E.A.G.T.Hiyo nikwaufupi.
@ngwanafabian46122 жыл бұрын
@@saimonijonas1471 na Brown Mwakipesile ni nani EAGT?