ASKOFU MOSES KULOLA YESU ATAKAPO KUJA ITAKUA HIVI SIKU YA UNYAKUO UTAKAVYO TOKEA SIKU YA KUJA YESU

  Рет қаралды 15,672

CGM4 ONLINE TV

CGM4 ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@maureenmgeni
@maureenmgeni 3 ай бұрын
Amina, mimi na familia yangu tumebarikiwa kwa injili hii. Amina.
@SEBASTIANSABAI
@SEBASTIANSABAI 3 ай бұрын
Sebastian Mathias Aminaaaaaa, nimebarikiwa saaaana
@ShukuruDaudi-ue6in
@ShukuruDaudi-ue6in 27 күн бұрын
Amina 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akuzidishie, BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏🏼
@felicitemihungo3600
@felicitemihungo3600 18 күн бұрын
Amen kwa mutumishi wa Mungu arikuwa mushujaa
@OswardDaisoni-vl8pc
@OswardDaisoni-vl8pc 2 ай бұрын
Akili kichwani yesu moyoni pesa mfukoni TUNA YESU
@fabricenindagiye1143
@fabricenindagiye1143 Ай бұрын
Mungu waweza kutupa mtumishi mwingine mwenye maono ya Kiroho huku kwetu Burundi ❤🇧🇮🇹🇿
@AnifaKikoti-g7h
@AnifaKikoti-g7h 21 күн бұрын
Abarikiwe baba YETU huyu wa Imani ndiye alikuza Imani za watu .
@elishamoris5063
@elishamoris5063 28 күн бұрын
Baba wa Iman unaendelea kuishi
@kizandume3015
@kizandume3015 2 ай бұрын
Amen mungu atusahidiye tumalize mwendo salama
@Janet-di7ei
@Janet-di7ei 2 ай бұрын
Areally gospel have never met so aservantof god godnless you man of god
@BarakaChelius
@BarakaChelius 6 ай бұрын
Kama kijana wako hataki kuoa fukuza nyumbani tumebarikiwa AMINA
@AilenMakaka
@AilenMakaka Ай бұрын
Hallelujah 🙌🏼
@ckech-boyssongs
@ckech-boyssongs 3 ай бұрын
Amen, barikiwa mchungaji wa kondoo za bwana
@Yoelfabian
@Yoelfabian 2 ай бұрын
Amen mt wa MUNGU
@Louez24
@Louez24 19 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu aliyeitwa na Mungu. Full Stop.
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 7 күн бұрын
Ni kweli
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 10 күн бұрын
Hata Yesu alihubiri kama mtu mwenye mamlaka. Hilo lilimfanya Yesu kuwa tofauti na walimu wengine kwenye sinagogi.
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 5 күн бұрын
YESU alihubiri sana kwenye mkutano sana maana ndio nafasi aliyoipata maana kwenye masinagogi alikataliwa na wayahudi na kwenye MAhekalu
@IRENEGRACEFORD
@IRENEGRACEFORD 6 ай бұрын
Tumuombe Bwana Yesu atupe injili ilio hai kama ya Mzee wetu huyu.
@cgm4onlinetv745
@cgm4onlinetv745 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@MAGRETHMAXIMILIAN
@MAGRETHMAXIMILIAN 6 ай бұрын
Hii ndo injili yenyewe sasa
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 2 ай бұрын
MUNGU wetu utuletee mtumishi kama uyu baba😢
@GloryAyubu
@GloryAyubu 6 ай бұрын
Hii niyenyeweeee 🎉
@robertigohe7477
@robertigohe7477 3 ай бұрын
Oa kwanza ndipo uende ukahubiri injili 🇮🇱🕎⛪🔥
@robertigohe7477
@robertigohe7477 3 ай бұрын
Injili haitazami sura ya mtu🇮🇱🕎⛪🔥
@BarakaChelius
@BarakaChelius 6 ай бұрын
Kijana kama hataki kuoa fukuza nyumbani tumebarikiwa AMINA
@LucasMayunga
@LucasMayunga 2 ай бұрын
Moto wa CGM ,,
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 6 ай бұрын
huyu ni babu yangu
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 2 ай бұрын
Jina la channel yako gumu sana kuwa mbunifii sana kutusaidia fans zako ishia capital letters tatu tu
@cgm4onlinetv745
@cgm4onlinetv745 2 ай бұрын
Mbona rahisi mtumishi wa MUNGU. Andika CGM4 tu hayo engine Yana jilete mtumishi
@WALLENYMwasenga-jw6iu
@WALLENYMwasenga-jw6iu 2 ай бұрын
CGM Maana yake wajumbe wa wakilishi wa neno la Mungu, Christian gospal messengers
@MasumbukoMoses-w8d
@MasumbukoMoses-w8d Ай бұрын
maiman nitafika kama huyu baba yangu
@samwelgeay8103
@samwelgeay8103 6 ай бұрын
Hii ndo enyewee
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 2 ай бұрын
Je Leo eagt Kuna wachungaji wanaenda kwenye njia hii ya mzee kulola? Mjitathimini jamani kulola anatusubiria tubadilike asa wenye mapambo ulembo kwenye mili yao. Sisi ni hekalu la roho Mt.
@esthermsimbwa1812
@esthermsimbwa1812 Ай бұрын
Kwa kweli umeongea point
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 5 күн бұрын
Hapana injili ya hivi sio ya kila mtu unaambiwa huyu mchungaji alifunga siku 365
@DenisChacky
@DenisChacky Ай бұрын
Nauliza swali jmn hivi huyu mchungaji yupo hai kweli au??
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 5 күн бұрын
Hapana ameshafaiki alitwaliwa na bwana
@mkalma-i4q
@mkalma-i4q 3 ай бұрын
🔊🔔🛐✝️🇮🇱🙏🙏
@BarakaChelius
@BarakaChelius 6 ай бұрын
Kijana kama hataki kuoa fukuza nyumbani tumebarikiwa AMINA
KURUDI KWA YESU -01
55:48
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 17 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
UMUHIMU WA KUPATA WATU SAHIHI WA KUKUSAIDIA UTIMIZE MALENGO YAKO   || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
4:13:02
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 62 М.
Mkutano Mkubwa  Uliojaa Miujiza na Uponyaji wa Askofu Moses Kulola Ulioacha historia#moreviews
26:23
Bishop Dr.Livingstone Denis(LIVINGSTONE TV ONLINE)
Рет қаралды 22 М.
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 113 М.
UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL (02) Rabbi Abshalom Longan
1:34:57
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 31 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН