No video

Askofu Munishi Ni Mshenzi Na Wote Wanaomsapot/Uwezi Kumtukana Raisi Sababu Ya Hijabu/ Sheikh Hashimu

  Рет қаралды 41,372

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 262
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 2 жыл бұрын
Masha Allah Subhanallah AllahuAkbar Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi. Shukran Jazakallahu kheir
@jaafarjacka9272
@jaafarjacka9272 2 жыл бұрын
ALLAH akupeumri mreeefu wenye khayr na barka sheikh Rusaganya
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 2 жыл бұрын
Asante shekhe mpe mpe ulimwengu utamlea
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 2 жыл бұрын
Kulalamika hakuhusu muhimu ni duah na kufunga tu. Allah s.w ampe Kazi Ya kufanya huyu mtumishi munishi laana ya Mungu iwe juu yake
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Mashallah!!Qur-ani ilishamaliza kila kitu!Hakuna kitu duniani kilichotokea na kitakacho tokea ambacho hakipo ktk Qur-ani hii ni tunu kutoka kwa Allah, lazima kila aliepotea awachukie waislamu kwa tunu hii adimu.
@ashatega3732
@ashatega3732 2 жыл бұрын
Naaam makafiri siyo ndugu zenu na hawatotupenda abadaani ma laana kumu awoo ma kafiri namshuru Allah kuwa Mwislam Alhamdoulillah
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
ninyi ndio mnawachukia..Quran 5;51(Quran 9;29) waislam ndio mnawachukia wasio waislam
@omanomqn4345
@omanomqn4345 2 жыл бұрын
Sawasawa,, maneno kuntu kabisa,, shekhe uko sahihi Sana,, mungu akuhifadhi duniani na akhera
@kulthumhaji6928
@kulthumhaji6928 2 жыл бұрын
Uvumilivu mwingine unafika mwisho unashindwa. Ila Allah ndie atahukumu kwa kudhalilishwa Muheshimiwa. Na hata kama si muheshimiwa haifai kumdharau kiumbe mwenzio. 😷
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 2 жыл бұрын
@@kulthumhaji6928 Haqiqa.
@AzizKhan-si8cc
@AzizKhan-si8cc 2 жыл бұрын
Mmh tunapoelekea
@alhadjmugisha5216
@alhadjmugisha5216 2 жыл бұрын
SubhanaAllah,yaaan siwez ona mawaidha ya sheikh wtu niyapit maana nampnda san kwaajil ya Allah kamwe hajui kuongy kwa kutafuna mdomo Allah ampe umr mref ,afya njema,mwisho mwema pia atukutanishe nae pepn
@doctormalikelkindy9278
@doctormalikelkindy9278 2 жыл бұрын
Sheikh wangu umefahamika vizuri sana ..Allah akujaze kheri
@momatv2019
@momatv2019 2 жыл бұрын
Aamin
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@nghomanohosea9251
@nghomanohosea9251 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mpumbavu Sana,mpigea ayaa sheikh
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Amiin
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
@@husna34562 Mzima mamy
@jacklinejohn4087
@jacklinejohn4087 2 жыл бұрын
Ukweli mtupu allah akuhifadhi na atupe mzingatio kwenye hilo
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 2 жыл бұрын
Assalaamualykum
@jacklinejohn4087
@jacklinejohn4087 2 жыл бұрын
W.musalaam
@hishamally4846
@hishamally4846 2 жыл бұрын
Shekhe msema kweli
@asyaamoody9423
@asyaamoody9423 2 жыл бұрын
Dalili za kiama hizi tayari...mungu atuongoze ummati wake mtume S.A.W
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin yaraby
@MwandagasyaVicente
@MwandagasyaVicente 8 ай бұрын
Sheih waca ubaguzi wa madini,wewe endeleya tu ibaada za mwenyezi mungu
@ahmedrashed7138
@ahmedrashed7138 2 жыл бұрын
Maashaallaah ukweli husemwa nauongo hutoeka
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@hamismabula5813
@hamismabula5813 2 жыл бұрын
Udini tunautengeneza na kuzidi kuuwasha sisi wenyewe kwa vinywa vyetu (Waislamu kwa Wakristo)
@rahmaalfan1776
@rahmaalfan1776 2 жыл бұрын
Lana za mwenyezi mungu zimshukie askofu huyo kwa kupinga amri ya allah aliyoitoa katika surah an nuur 24:31 allah atunusuru
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
Laana za mungu zimshukie askofu huyo kwa kupinga sheria za Allah na kila anae muunga mkono askofu laana za mungu ziwashukie wakaadhibiwe kwa makosa yao
@MohamedAli-ob7ps
@MohamedAli-ob7ps 2 жыл бұрын
Naam naam shekh hashim allah akuweka
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 2 жыл бұрын
Safi sheikh wng.hunaga kuremba.
@AzizKhan-si8cc
@AzizKhan-si8cc 2 жыл бұрын
Nomaa sana
@dancanmwamafupa6806
@dancanmwamafupa6806 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Shekh wetu
@zainabrashid385
@zainabrashid385 2 жыл бұрын
Shekhe akulinde
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Sadakta shekh
@madarakakabwerewanje3033
@madarakakabwerewanje3033 2 жыл бұрын
Nimependa sana,Maneno yako sheikh usiogope kua muazi, mm nakupa mkono
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
Umefika mwisho wao shehe usijali mwisho wao huu 💪🤛🙏
@laurentjoseph2957
@laurentjoseph2957 2 жыл бұрын
Wafe na chuki zao makafiri wote wanaochukia Uislamu......na bado Moto watauona inshallah
@josephudoba5563
@josephudoba5563 Жыл бұрын
Sema yeyote anae chukia dini ya mwenzie afe tuone ninani wenye chuki na wenzao
@mussakhassan4904
@mussakhassan4904 2 жыл бұрын
Mashallah!
@geraldpeter8644
@geraldpeter8644 2 жыл бұрын
Umesema kweli shekh,makafir awajielewi
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 2 жыл бұрын
Allah ahupe umri Zaid Wenye kheri usinyamazie uwovu pale unapouwona
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Raisi Magufuli alimpongeza sana Raisi Mwinyi tujiepusheni na matamshi ya kuzusha ubaguzi wa aina yoyote nchini.
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
Aliesema magufuli Nani hapa hajatajwa magufuli sikiliza vizuri uelewe point kisha uwanze nahapa hakuna matamshi ya ubaguzi sshekhe amesema vizuri Kwa nn Rai's akiwa musilam ndio hizo chokochoko za mapastor zinaanza mbona hukusikia wakati wa Nyerere wala magufuli watu wote wamesikitika nakupenda nakama Angekua mama Samia sio mzuri na mavazi yake sibora Kwa uongozi sababu ya hijab magufuli angemfuta kazi kitambo coz alikua hapendi upuzi kazini Kwa nn pastor amkosew heshima mama Samia rais mzima Hilo huoni kma nikosa sio kosa nihuyu sheikh kumjibu pastor bc mm pia namwiita mpuzi huyo pastor akuje hapa Kenya Mombasa anitaffute mshenzi mm ni mkenya bt limeniuma Sana Kwa kua anapiga uislamu sio mama Samia shida niuslam
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 2 жыл бұрын
@@andallaathman3856 Lakini haya yakutukanwa viongozi hakuchagui wewe ni kiongozi wa namna gani.simuoni kiongozi ambaye hajatukanwa wote wamepita kwenye mlolongo huo huo wakutukanwa.Kwahiyo tusiingize udini kwenye Taifa letu .Na watukanaji huwa wanakuwa wa dini zote.Mfaño hata huyo baba wa Taifa alitukanwa na waislamu pia wakristo vile vile kwa viongozi wengine.
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Mtihani kweli
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 2 жыл бұрын
Sheikh umenitoa machozi kila Rais akiwa muislam ni matusi sasa iwe Basi tumechoka
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 2 жыл бұрын
Kaka usicho fanya subra kama Allaah alivyo tuagiza
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 жыл бұрын
Asikofu munishi ni nguruwe kama nguruwe poli tu awana tofauti
@bertrandig1590
@bertrandig1590 2 жыл бұрын
Subhanallah
@trezianzunda1909
@trezianzunda1909 2 жыл бұрын
Waafrica tuweni makini na hizi dini kabla ya utumwa hakukuwa na dini na baadaya Hawa wakoloni waliotuletea hizi dini kuja kutuletea chuki Mungu anawaona
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Soma history na dini zote kwanza acha maneno ya kaawa
@trezianzunda1909
@trezianzunda1909 2 жыл бұрын
Mimi siwezi gombana na mtu ety sababu ya dini ambayo nimezaliwa nmeikuta huwenda waziz wangu wangekuwa waislam ningekuwa huko
@shabaniabdu1312
@shabaniabdu1312 2 жыл бұрын
Sheikh ashim usisahau mungu.Watu wake aliowaweka mbele huwapa Mitiani mizito, illi kuwapima ubora wao kwake. Na wewe ni mfano bora wa kuigwa. Uisilamu sheikh unajua unyenyekevu, uvumulivu, subra,upendo, kukubali makosa, na kusamehe makosayao, na kujifunza. Huo ndio uisalaam! Huo ndio utakatifu wa kiislaam. Una tafutwa ulimwengu mzima na walimwengu!! Usisahau hilo jambo punguza jabba!!!!
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Ndo unasemaje
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Apunguze jabba kivp mbona ajapanik kawaida sana
@raybirry3816
@raybirry3816 2 жыл бұрын
Wanakosa adabu sababu washajua BAKWATA wapo kwa ajili ya Maulid na UBWABWA tu.
@fridageorge2809
@fridageorge2809 2 жыл бұрын
Watanzania tuwe Macho upendo wetu tuudumishe!!
@rehemadedu9802
@rehemadedu9802 2 жыл бұрын
9
@maulidmwegio5704
@maulidmwegio5704 2 жыл бұрын
Ndio Kwanza Leo kwenye Jambo hili Naona Waislamu Wameksirika na Kuona Kuna Jambo lipo na Linaendelea na Kuwa Wakari!!
@peterdaiman5813
@peterdaiman5813 2 жыл бұрын
Mbona waisilamu mnahasira Sana manaruhusiwa kuwa na hasira ya namba hii hatari kweli
@fudasiakishe15
@fudasiakishe15 2 жыл бұрын
Raisi Samia ni mama anayejiheshimu na anaheshimu imani iliyomlea, hijabu ni vazi la kujistahi, ni sura Halisi ya mwanamke anajejua. Pongezi Samia, songs mbele. Hiyo ni identification dress, ukivaa unaonyesha heshima yako.
@blessjo1678
@blessjo1678 2 жыл бұрын
Umekosa busara afu huna subira na hekima msikilize kishki alivyo na busara ......kasome sio lazima utukane
@guzohamis4541
@guzohamis4541 2 жыл бұрын
Askofu wako ndio anahekima
@ahmedmlele8555
@ahmedmlele8555 2 жыл бұрын
Mshenzi askofu tena hanithi
@blessjo1678
@blessjo1678 2 жыл бұрын
Askofu kakosea na pia sheikh kakosea watu wa Mungu hawajibizani hivyoo...afu hakuna mtu duniani anayeweza kumtetea mwenyezi mungu kwa jaziba na matusi au vyovyote..Mungu husimama mwenyewe kama askofu kakosea mbele za Mungu Mungu atamwadhibu....lakin msitegemee kuwa mtamtetea Mungu au dini kwa matusi bali utashi busara na hekima kama vile kishki ni muislam anayejielewa na mtu safi.
@guzohamis4541
@guzohamis4541 2 жыл бұрын
Maranyingi nyinyi huwa ndio chonzo cha matatizo mchana msahafu mbagala na mwenzono kiongozi morogoro nachana hazarani kwani na nn nass mukiambiwa kweli nawambia waslamu magaidi waki nyinyi ndio mnaongoa kwaugaidi duniani
@ibrahdullah2329
@ibrahdullah2329 2 жыл бұрын
Waislamu atupendwi nchi hii awam zote walizopita kutawala waislam zinaonekana awajafanya kitu munishi nimshenziiiii
@abuuanswaaronlinetv4747
@abuuanswaaronlinetv4747 2 жыл бұрын
makafiri woote ni watu wa motoni ni kuni za motoni
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 2 жыл бұрын
Munishi mpumbavu sana mshenzi
@tumsifugration6902
@tumsifugration6902 2 жыл бұрын
Chenga tu hapa
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Ni kweli shekhe lishapangwa halipanguki
@sharifusadiki2348
@sharifusadiki2348 2 жыл бұрын
Awo makafiri wanataka twende motoni sote kwasababu wao niwamotoni
@ummukhadija1551
@ummukhadija1551 2 жыл бұрын
Amemkosea saana mueshimiwa Raisi Allaah atajuwa atakacho mfanya
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 жыл бұрын
Huyo si askofu hiyo elimu na cheo hicho hana. Huyo ni mropokaji tu toka enzi za Nyerere hats huo upasta sijui kautoa wapi ni jambazi yule aliejivika uchungaji toka enzi zile kule Longuo Moshi asitiliwe maanani na gains haya ya kumzungumzia mnampa kiki yule kazi take kubwa ni kuimba imba na kinanda na kuuza cd
@zaliafakilavire5689
@zaliafakilavire5689 Жыл бұрын
Sheikh unasema kweli kbs binafs yalinikuta airport coz hijab nikarudishwa ila kwa Mara ya pl nilirud nikiwa nimevaa suruali nilipitishwa bila hata ya kusachiwa😢😢
@jamesoseko6245
@jamesoseko6245 2 жыл бұрын
Wewe mzee nimekushangaa sana, unatuzi wakristo. Dini yenu inakubali?
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Kamjibu aliemtukana raisi na kautukana uisilamu!!
@ashatega3732
@ashatega3732 2 жыл бұрын
Watu ace na dini yetu ya haqi na Allah atawaibisha awoo makafiri subiriyeni tu moto wa Jahanaam
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Tumekuelewa
@shersaid7988
@shersaid7988 2 жыл бұрын
MaaShaaAllah Sheikh hupindishi maneno kweli kakosea huyo Munish anataka kufanya fitna kwani hijabu ndo inafanya kazi au akili mama anajielewa na mpenda haki na mchapa kazi.Huyo Munishi hajielewi kuna mengi ya muhimu kuyazungumza yeye kaona hijabu tu aibu yake
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 2 жыл бұрын
Huna mamlaka ya kutukana Bali kujibu hoja kwa hoja
@laurentjoseph2957
@laurentjoseph2957 2 жыл бұрын
Askofu gani huyo, muhuni tuu akafie mbali.........Rais Samia endelea kuchapa kazi
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
🤣🤣
@edwardsoteli9075
@edwardsoteli9075 2 жыл бұрын
Laana na ikuludie mwenyewe maana we unaleta udini ktk nchi yetu
@jamesoseko6245
@jamesoseko6245 2 жыл бұрын
Kama uislamu ndio huu nasikianga Leo ndio nimeshangaa vituko sijawai ona, mambo yenu mnatatua hivi? Shida ni ninyi au dini yenu? Ningekua muislam ningetoka leo
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
We ujafaham unalolisema soma dini yako kwanza
@charlesshilla9740
@charlesshilla9740 2 жыл бұрын
Hata kama mtu amekuudhi kiasi gani kiongozi wa dini hupaswi kutukana!!!. Mbona Magufuli naye alisemwa sana vibaya alikuwa mwiislamu? Usilete udini.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
We ndo mwenye shida mbona kawaida sana
@hassanyussuf6293
@hassanyussuf6293 2 жыл бұрын
Je kuchagua tume ya uchaguzi halafu kusema tunakupeni magari kwa hiyo lazima mtutangaze sisii hata kama tukishindwa huo siyo ushenzi?
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 жыл бұрын
Shekhe salamun alaykum ntakutafuta ulipo nikupe zawadi
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Kweli ni mshenzi wa washenzi hebu ajitizame yupo sawa kweli anatisha km shetani!!! M'Mungu amlani yye kundi lake!!
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
munish sıo mtz huyo ndıo GAİD #1 nahic angekuwa muislam angeshakamatwa na kuwekwa mdan na kupewa jina baya Tz n nchi ya kikafiri!
@abuibra
@abuibra 2 жыл бұрын
Ujinga tu,Anaechukia ndevu yesu anandevu anaye chukia hijabu mama yake yesu anavaa hijabu,wajiulize wao wanamfuata nani!!?
@tumsifugration6902
@tumsifugration6902 2 жыл бұрын
Hawa jamaaaa ni chengaaaa kweli pigeni shule jamani acheni kufitinisha watu jamani
@yohananchimbi1756
@yohananchimbi1756 2 жыл бұрын
Sheikh mbona wewe sasa ndo unatukana na wasiohusika kuwa na subira ewe kiongozi wa dini
@tahiraabdul1701
@tahiraabdul1701 2 жыл бұрын
Wa Tz wanabahati kukupata weye kama shehe wao!
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
Askofu ni barazuli asojielewa mpumbavu mkubwa😵
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 2 жыл бұрын
Hauskiii kauli hizi zakukemea kwa wakubwa wa mikoa
@SeluSelu-lc8rp
@SeluSelu-lc8rp 2 жыл бұрын
Sheikh nimekufaham
@solomonllaizer9232
@solomonllaizer9232 2 жыл бұрын
Advance intarenate
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
Huyo sio askofu ni hanisi fulan munisha hana mpongo wwt👎
@chalesallen8582
@chalesallen8582 2 жыл бұрын
Ukristo ruksa kuutukana maana yeye hujitetea mwenyewe hatetewi na binadamu anayekufa nakuoza
@abdulkarimukusaga3617
@abdulkarimukusaga3617 Жыл бұрын
Ukieristo sio din kama una andiko lete
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
SIKU HIZI MAADILI HAKUNA IWE KWA VIJANA NA WAZEE PIA.DUNIA INAELEKEA WAPI?
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
JPM ALIKUA AKIONYESHWA WAKT AKIWA KANISANI TENA TBC IKIMUONYESHA HADI AKICHANGISHA SADAKA KANISANI .. SIKUONA HATA WAISLM WAKIINGILIA AU KUONGELEA JAMBO HILO. MBONA MWINYI NA KIKWETE HAWAKUONYESHWA KWENYE MISIKITI WAKISALI? MUNGU WAISLAM KTK NCHI HII WANAONEWA MNO , TUNAOMBA UTOE HUKUMU JUU YA HILI
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 2 жыл бұрын
hata wanao mpinga na kutomuunga mkono ni washenzi pia.
@chalesallen8582
@chalesallen8582 2 жыл бұрын
Punguza matusi unayejiita kiongozi wa dini
@bivensofficial8866
@bivensofficial8866 2 жыл бұрын
Mzee mbona we mkali sana,askofu alijieleza akimheshimu mama mheshimiwa raisi,sasa wewe matusi mzee.hiyo nihekima?unakosea
@rodgersjuma633
@rodgersjuma633 2 жыл бұрын
Umutukanana sanaa je ,umewavumilia kama vile umetusomea maandishi? Wewe na Munishi muwamoja.
@yoranselestin4845
@yoranselestin4845 2 жыл бұрын
Punguza ukali wa matusi
@chalesallen8582
@chalesallen8582 2 жыл бұрын
Unajipendekeza tu hunalolote
@magomakabanja4861
@magomakabanja4861 2 жыл бұрын
Tatizo haya yote yanatukuta kwa sababu makafiri tumewafanya kua ndio ndugu zetu na rafiki zetu na kuwafanya wao ndio kila kitu . Allah atatuadhibu kwa kuwa ni rafiki zetu na msimamo hatuna ndo maana wanatutambia
@rosesanford73
@rosesanford73 2 жыл бұрын
Ndugu yangu sisi ni ndugu wa damu hayo mengine yaacheni huu ni mwisho wa dunia manabii wengi wanajitokeza lakini mwombeeni kwa mungu tusianze kugombana matusi hayafai kiongozi wa dini watufundishe si kutukana
@dianajohn3493
@dianajohn3493 2 жыл бұрын
Acha kuchochea fujo wew.. Fuata yule alokutukana.
@hatuazahshindimaishanitv608
@hatuazahshindimaishanitv608 2 жыл бұрын
Wewe huna ukweli wore umeujaudidi tu kwaza unatuna watu wemwenyewe nimshezi vilevile
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 Жыл бұрын
Sasa mbona na we ni kiongozi tena ticha afu unnatukana? Mshenzzzzzi tuna mashaka na uraia wako
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
HUO ASKOFU MUNIISHI NI MUHUNI WA SIKU NYINGI, WAKATI WA MWL JULIUS NYERERE ALIKIMBILIA KENYA, WAKATI WA KIKWETE HIVYO HIVYO.,ANATAFUTA KICK AKIMBILE NJE!! ACHANENI NAYE!!MAANA SIKU HIZI YUPO KIBOSHO ANAKUNYWA MBEGE!! HOI BIN TAABANI
@dianajohn3493
@dianajohn3493 2 жыл бұрын
Mmh. Yupo Kenya sio Kibosho.
@halimashaib9102
@halimashaib9102 2 жыл бұрын
Tena mshenzi Sana. Sheikh nakupenda coz u don't spare any stupid person
@manfredbitala6897
@manfredbitala6897 2 жыл бұрын
Kama MTU akitenda dhambi wewe kumtusi unapatwa thawabu gani?
@bonabonala5017
@bonabonala5017 2 жыл бұрын
Mungu anamtumia munishi yuposahihi mchungaji munishi
@adamjutto5849
@adamjutto5849 2 жыл бұрын
Naaam,maana zamani masheikh walikua hawaongei,kitu na wakiongea tu,utaskia wanapewa makesi ya ugaidi,ila maaskofu wakiwakosoa viongoozi ilikua hamna shida,sheikh rusaganya endelea kuchapa hao mbwa mpka akili iwakae sawaa,we ndio mfano wa omari(r.a) kwa sbbu unasimama ktk haqqi
@sabakamilisabasaba8006
@sabakamilisabasaba8006 2 жыл бұрын
Chokonoeni mzinga wa nyuki tu ipo siku itajulikana. Na bahati nzuri nyuki huwa hawabagui.
@adamjutto5849
@adamjutto5849 2 жыл бұрын
@@sabakamilisabasaba8006 katafute bwana hukoo,si mnamtafutaga kanisanii nyiee
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Huyo ni kibaraka wa wazunngu anatumwa awadhalilishe waisilamu huyo ni mtumwa wa wazungu ndio mabosi wa kanisa lake!!
@sr.helenarhobi8886
@sr.helenarhobi8886 2 жыл бұрын
Acha matusi mzee haya ni makosa ya kimtandao unayoyafanya, hata Kama amekosea ungeonyesha busara basi kamaamefanya vibaya mbona nawewe umefanana naye hauna utofauti naye Basi.Kwani mwislamu nani mbona unaeneza udini?
@ahmedmlele8555
@ahmedmlele8555 2 жыл бұрын
Tena sio mshenzi tu huyu munish ni haniju
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 2 жыл бұрын
Tena ni kafiri maallun
@trezianzunda1909
@trezianzunda1909 2 жыл бұрын
Mbona nyie mnatuita makafri na tupo kimya. Kwanza ustazi na askofi wote Ni washezi.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Sasa c auna dini ndomana unaitwa kafiri soma dini utambue dini ya haki
@trezianzunda1909
@trezianzunda1909 2 жыл бұрын
@@hajjiomary2383 dini ya haki, dini ya haki, Umeongea na Mungu wewe akakwambia uislim ndo haki, Mimi nasli, nakuomba mungu Ananijibu, na namuona Mungu katika maisha yangu just enough, dini zote mbili zipo kwa ajili ya kumtukuza mungu, au umeambiwa wengine wanamtukuza shetani, umeng, angan dini ya haki ya haki bila warabu kuja kututawala ingeijua hiyo dini wewe au bila wazungu tungejua ukristo kwaiyo tuishi tubkwa upendo tusilumbane na mambo ya dini kwanza waanziloshi wa hizo dini ndo wayenda maovi wa kwanza,. Walikuja huku waliwatesa mababu zote paka leo wanaendelea kututawala tu kwanza hao warabu wabaguzi Kama nini. alafu sisis ndo tugombanege kwa sababu ya dini kwasababu tumekosa kazi za kufanya. Kila mtu asali kwa Imani yake chili tuache kabisa.
@mwadinbakar9553
@mwadinbakar9553 2 жыл бұрын
Huyu askofu asitushughulishe kwanza yeye ni katika washamba wa huko milimani wala hakusoma bali ni katika wanaofoji vyeti. Angekuwa kasoma basi asingethubutu kuchukia HIJABU, kwani hata ma-sisters pale kanisani wanavaa hijabu nyeupe. Mbona wao akina askofu wakinya hawatawazi wala hatujawasema ukikaa karibu nao utasikia harufu. Hakusoma huyo asitushughulishe 😂
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 11 ай бұрын
Askofu gani huyo alikuwa jambazi
@michaelzunzu6265
@michaelzunzu6265 2 жыл бұрын
Oga hata wakusema unamajini, maana kama huna majini itskuwa huna.
@ahmedmlele8555
@ahmedmlele8555 2 жыл бұрын
Tena sio mshenzi tu!ni haniju
@jumannekingu526
@jumannekingu526 2 жыл бұрын
Wewe una matatizo Mr.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 жыл бұрын
Munisi ni mwinbaji tuu, Sio Askofu wala nini. Hakuna Askofu mwenye akili za Munisi
@adammj6258
@adammj6258 2 жыл бұрын
Alijirekodi video Munis akifurahia kifo cha Magufuli
@azerageorge6647
@azerageorge6647 2 жыл бұрын
@@adammj6258 hapo sasa inashangaza hao wanaotukana pasi kufuatilia historia yk.
@minmaxc485
@minmaxc485 2 жыл бұрын
Munisi ni tofauti na munishi huyu anaitwa munishi si munisi munisi ni watu waungwana sana na wengi wao waislamu hao munisi
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 2 жыл бұрын
Usitukane wakristo ati makafiri wewe chunga mdomo wako ujui wakinani wanakuangalia
@shahnazwillis3931
@shahnazwillis3931 2 жыл бұрын
Hao ni Lanatullahi.
@donathkweka7366
@donathkweka7366 2 жыл бұрын
Viongozi wa dini kuweni makini sana na mahubiri yenu mnahubiri chuki na kutukana viongozi mnalipasua taifa Watanzania wote ni ndugu haijalishi tofauti za dini zetu
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 30 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Usiku una Vitimbi vingi, lakini Kiboko yake ni Aya hizi! Sh. Kipozeo
26:36
Dr. Adam Ssenjala: GWE ATUULA KU KKUBO MANYA BINO
48:56
AL Bayaan Press
Рет қаралды 108
Muhammad Bachu JE MTUME ANAKWENDA MAULIDINI|WATU WA MAULIDI WAMEZIDI SASA
19:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 45 М.
Ruto demolishes Mouthy CS John Mbadi face to face
10:01
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 24 М.
🔴DAKIKA 45 NA MH.TUNDU LISSU, 26 AGOSTI, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 165