ASKOFU MWAMAKULA AMPA ONYO KALI YERICKO NYERERE KUMUITA MBOWE 'ALPHA NA OMEGA'

  Рет қаралды 10,643

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 15 күн бұрын
Ahsante baba askofu nakukubali sana
@Tumosafarini
@Tumosafarini 15 күн бұрын
Inawezekana Yeriko hajui hatari za kumpa sifa anayostahili muumbaji (Mungu). Waliokubali kuitwa hivyo basipo kukana hawakuishia vizuri.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 13 күн бұрын
Yeriko hutakuja kurudia tena mungu ni mungu nabowe mi mwanasiasa tuu.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 13 күн бұрын
Yeriko tubu. Mbowe siyo mungu. Hata kama
@godsson5954
@godsson5954 13 күн бұрын
Huyo yeriko ni mwehu tu msipoteze mmda wenu kumjadili mtu ambae hana dini na kichaa
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 15 күн бұрын
Wasimchezee Mungu wabaki na siasa zao basi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 14 күн бұрын
Mafisiemu yanatukana humu yamezoea maridhiano ya uongo. Na mbowe yana hofu na lisu yamezoea vya kunyonga yaani kamseleleko
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 15 күн бұрын
Mwaandishi darasa la.saba kkeeeeemmm eee
@Laluma2023
@Laluma2023 14 күн бұрын
Yeriko chawa wa mbowe asiyejua kujenga hoja walizea kamseleleko ktk chaguzi za chama zilizopita but this time around wamekutana na kitu kizito Simba wa masimba Tundu Lisu kamanda aliyewashinda wasiojulikana sembuse Mbowe?
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 14 күн бұрын
Askofu mpuuuzi sana wewe mpelekeni Alison slaa
@RobertChacha-si1js
@RobertChacha-si1js 14 күн бұрын
Uchawa Ni laana ndio maana nasema Haka ka Yericko kalikiri hakuna Mungu kwamba kanaabudu mizimu, sjui kalitoka wapi?
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 14 күн бұрын
Mbowe ni ccm ndiye aliyechelewesha ukombozi wa nchi hii.hatufai tena huyu jamaa na kama hataki kumwachia lisu sisi watanzania tunamwachia chama chake cha familia twende na lisu atakapokwenda.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 15 күн бұрын
NI siasa sio uadui
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 14 күн бұрын
Mbona wachokonozi hamuwajibu. Kwani hilo si jinatu. Wengine hatuziamini hizo bibilia na msaafu. Acheni Mambo yenu.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 15 күн бұрын
Lissu
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 15 күн бұрын
Alfa na Omega not 4 human beings
@gregorymnyika991
@gregorymnyika991 13 күн бұрын
Kama mmefuatilia mwanzo hio video huyo nyerere amesemwa kuwa Hana dinin ni muabudu mizimu hivyo huenda hajui hata maaana yake...
@HasaniBile
@HasaniBile 15 күн бұрын
Yeriko anajivunjia kheshima tu
@visionstudios6804
@visionstudios6804 15 күн бұрын
Mi mwenyewe nilikua namuheshimu sana.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 14 күн бұрын
ALFA NA OMEGA NI MUNGU Ufunuo 1:8 @sasa mtu anamuita Majina ya MUNGU mtu anaekunya
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 14 күн бұрын
Alfa na omega maana ake ninn askofu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 15 күн бұрын
Huyu asikofu afanye yake aachanane siasa ,ameacha watu wanafirana halafu anajifanya kuingilia siasa, apambane naushoga.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 15 күн бұрын
Acha maneno yahovyo
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 15 күн бұрын
Umechanganyikiwa
@MicahGhloloj-bs4cy
@MicahGhloloj-bs4cy 15 күн бұрын
Afu jina Emmanuel et jmn 😂😂😂
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 15 күн бұрын
Kabisa. Kuna waimbaji wa injili wanafanya mambo ya kusagana mbona hajakemea?
@paultavin3114
@paultavin3114 14 күн бұрын
Usipangie watu lipi la kuongea na lipi asiongee kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake kwenye jambo lolote.
@Ibrahimkitela
@Ibrahimkitela 15 күн бұрын
Ww naye mwamkula huna jipya
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 14 күн бұрын
Eeeee kaa kimya kabisa humjui Mungu ndo maana uoni kosa
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 14 күн бұрын
Mnajitoa ufahamu mnataka kuwafananisha wanadamu na Mwenyezi Mungu Magufuli alipewa utukufu Sasa hivi Yuko wapi? Acheni kumfananisha Mungu na wanasiasa mnavuna laana bure binadamu hata siku moja hawezi kuwa Alpha na Omega
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 15 күн бұрын
Makula atuambie masisita wanafanya kazi zipi?
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 15 күн бұрын
Hao wameingiaje. Gaddafi alijiita mfalme wa wafalme. Bwana wa Bwana. Raisi Mseven alikuwa wa kwanza kukemea. Gaddafi alifanya hivyo kwa mbwembwe . Tafakuri alikufaje?. Mtawala kwenye caravart?.
@MaulidMjwiga-tb1zu
@MaulidMjwiga-tb1zu 14 күн бұрын
Asikofu ww ni nani watu wakubali ujinga wako wa kumtetea shoga wako lisu harafu upinge nakuwaonya wanaomkubali mbowe shida njaa na unadhalikisha makanisa acha ujinga mbowe ni mshindi huyo shoga lisu mwambia awam hii hata ubaroz hapat
@gregorymnyika991
@gregorymnyika991 13 күн бұрын
Kama mmefuatilia mwanzo hio video huyo nyerere amesemwa kuwa Hana dinin ni muabudu mizimu hivyo huenda hajui hata maaana yake...
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.