ASKOFU MWANAMAPINDUZI "WALITAKA KUNITEKA Wakashindwa POLISI WAKANIKAMATA/LISSU KUWA WAKILI WANGU"

  Рет қаралды 11,618

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

18 күн бұрын

ASKOFU MWANAMAPINDUZI "WALITAKA KUNITEKA Wakashindwa POLISI WAKANIKAMATA/LISSU KUWA WAKILI WANGU"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 39
@kusemmanuel2211
@kusemmanuel2211 16 күн бұрын
Mumeumiya saana, neno ni neno,
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 15 күн бұрын
Kwel maisha magum alafu mama enu kajigeuza chura na nyie mnaomtetea na nyie ni WAtoto wa chura hakubalik mchungaj nakukubali
@fauzseif7344
@fauzseif7344 15 күн бұрын
Hata nyani watasema wanataka kutekwa hakuna kiongozi wadini uankaa na wavuruga amani unajiita wewe niwa mungu msikifanye chama cha chadema watu wakakiona ni cha udini kila mchungaji chadema mitume wenu woote huko baadhi ya maaskofu huko duh
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 16 күн бұрын
Eze usifanye kaz zaMungu nyamaza ww si mambo ako yaenda cool man inchi hii wewe kula kuku kimpango wako watu wanteseka te.na watu like wewe ndigu zako wanteseka machaka yenu nyamza shida nn sininyi mko poa acha kuwaudhi gnz babu tz kunashida kunamhra vongz wamelewa naww pia kausha
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 16 күн бұрын
Bora hapa Kenya kuliko tz
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 16 күн бұрын
Desider unàendesha baskeli au unandeswa 😂😂😂😂😂😂
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 16 күн бұрын
Kamawewe unakataa basi mungu anajuwa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 16 күн бұрын
Hapo mchungaji ulikua unajitafutia balaa poleee
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Күн бұрын
Watotot wa chura mambo
@brownmasai774
@brownmasai774 15 күн бұрын
Askofu achana na huyo mwandishi uchwara. Nadhani angependelea avuliwe nguo ili jinsia yake ijulikane.
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 16 күн бұрын
UNAPIGANIA NCHI YETU WAKATI CHAMA CHAKO KINACHAFUA AMANI ILIOPO SASA
@sifamushi1747
@sifamushi1747 16 күн бұрын
Wewe mtangazaji HUJITAMBUI.. UNAULIZA MASWALI YA KIJINGA.. KWAIO WEWE MRU AKISEMA WEWE NI MWANAMMKE UTAKATAA ULIZE UMEJUAJE KAMA WEWE NI MWANAMME.. EBU RUDI DARASANI....
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 16 күн бұрын
Wengine humu msichangie mkizidi kuchonga aya kitawakuta kitu ayaa
@magrethpaul5959
@magrethpaul5959 16 күн бұрын
Na uwakumbushe wakikutwa na hatia hukumu yake haichelewi ni siku hiyo hiyo yani hali chwi😂
@jaberalyafei274
@jaberalyafei274 16 күн бұрын
Uongo huezikua kama Nabii Musa acha uchochezi baba
@EzekiaYamawasa
@EzekiaYamawasa 16 күн бұрын
Hapo hakuna mchungaji bali ni siasa tu maana unaongea ukiwa chadema acha siasa
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Shida yako nini? Acha uchawa.
@LucianaMosha-wu4vv
@LucianaMosha-wu4vv 16 күн бұрын
Kwanini uongelee kwenye mkutano wa chama pinzani??? Wakati mtumishi wangu hupaswi kufungama na upande wowote.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Akaongelee WaPo ili talkie?
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 16 күн бұрын
wewe Nimchungaji ambae huna adabu
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 16 күн бұрын
Namm nataka udiwani nipite bila kupingwa cdm oyeeee😮😮😮😮
@maspro6294
@maspro6294 16 күн бұрын
Wewe utabaki kubwaka kama mbwa koko hakuna atakae wapa Nchi hii Mavibaraka ya mabeberu na ukimaliza kubwaka ukapige mswaki domo lako Lina nuka kama Choo
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 16 күн бұрын
Huna adabu wewe
@annaezra2344
@annaezra2344 16 күн бұрын
​@@JoshuaStanley-qu3imkabisa
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Mbwa koko2 ni wewe usiyejitambua
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 16 күн бұрын
@@monicamwita7865na nyinyi vibaraka wa warabu mpaka mumewauzia bandari kwa mikataba mibovu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 15 күн бұрын
Acha watu waendelee kubweka maana panauma. Na ikiwa mtu hajakataliwa na Mungu mchezo uwe huru , katiba mpya, tume huru ns jeshi lilinde amani tu siyo kuwakandamiza wengine ili tushuhudie ni nini mapenzi ya Mungu.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 16 күн бұрын
mbona gwajima ni.mbunge au ndo kwa sababu .....
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 16 күн бұрын
Hivi nyie Gwajima ni nani si Askofu na yuko Bungeni? Hata marehemu mama Luakatare si alikuwa Mchungaji?
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 16 күн бұрын
Umesha wamaliza big up
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Waambie2 hawajui. Gwajima yapo bungeni. Mungu Baba ni wa haki,Anayaona yote haya. Mwambieni Gwajima naye stoke bungeni kama unajeuri. 😊
@EzekiaYamawasa
@EzekiaYamawasa 16 күн бұрын
Hapo hakuna mchungaji bali ni siasa tu maana unaongea ukiwa chadema acha siasa 8:40
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Kanisa na kamili huwezi kutekwa. Ni vitu vinaenda pamojà.
@henryndosi2002
@henryndosi2002 16 күн бұрын
Huyu ni🌈
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 15 күн бұрын
Alaf ww mtangazaj ni nyoko
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 15 күн бұрын
Mtangazaj ni chiz
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 16 күн бұрын
Askofu huyu ni shoga
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 11 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 67 МЛН
Donald Trump speaks for the 1st time on the assassination attempt
14:17
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 9 МЛН
Watch Donald Trump's 2024 RNC speech in full
1:36:20
6abc Philadelphia
Рет қаралды 1,4 МЛН
Donald Trump's Full Speech at the RNC in Milwaukee
1:44:34
BILA UWOGA MZEE AMLIPUKIA RAIS SAMIA, "tumefungwa kiuonevu"
3:02
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 4,2 М.
Donald Trump speaks at the RNC: FULL SPEECH
1:32:24
FOX 4 Dallas-Fort Worth
Рет қаралды 3,5 МЛН