ASKOF MWANAMAPINDUZI "SAKATA LA MPINA NI KESI YA NYANI KWA NGEDERE/ALIPO UWANJA SIO WAKE

  Рет қаралды 15,293

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

18 күн бұрын

ASKOF MWANAMAPINDUZI "SAKATA LA MPINA NI KESI YA NYANI KWA NGEDERE/ALIPO UWANJA SIO WAKE
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 50
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 16 күн бұрын
Tumekuelewa mchungaji,tumekuelewa❤❤❤❤❤❤
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 16 күн бұрын
Mpina hata iweje yupo juu
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 16 күн бұрын
Mimi sihauri kumchukua mpina Kwa sababu tumejifunza Kwa Mzee WA monduli tutafute watu ambao sii mamluki
@eliassumila8173
@eliassumila8173 16 күн бұрын
Tunakusikiliza,Tunakuamini sana Lz
@AthumanDauda
@AthumanDauda 15 күн бұрын
Ccm yasasa imerudi kule ktk zama za upigaji magufur alisema ccm aina watu waadilifu ispokua inamajiz TU ngoja niatumbue amkeni watanzania wanyonge
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 16 күн бұрын
Ukitaka kuwa mkweli ondoka ccm maana hao ni majambazi wameshikwa mikono na police pamoja natume ila 2025 afe beki afe kipa
@chezariboy
@chezariboy 15 күн бұрын
Big up, mwanamapinduzi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 15 күн бұрын
Kesi ya Mpina imewashangaza wengi. Wamemugeuzia Mpina yeye ndiye akawa mshitakiwa. Bashe yumo kweye chama cha mafisadi kilichoteka Bunge. Hata Rais Magufuli aliposhika uongozi walifikiri atakukuwa kama wawo. Alipigana na ufisadi peke yake. Viongozi wetu wanajuwa wanaongoza watu woga na wajinga. Wanatuongoza wanavyotaka wawo, na sio wananchi.
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 16 күн бұрын
Kumchukua mpina ni ujinga,chadema izalishe watu wake,iache kuchukuachukua mamluki,ili kuepuka ya kina lowassa
@user-bj9ej7tt1k
@user-bj9ej7tt1k 15 күн бұрын
Namimi.msukuma.arinikera.sana.aririniumiza.sana.kumshaburia.mpina.mtetezi.wetu.wawanyonge.tuko.pamoja.nae.usku.namchana
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 16 күн бұрын
Ni kwel kbx msukuma anausalit ukweli alikuwa akihubir
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 15 күн бұрын
Msukuma kwasasa hamna kitu na hamna kitu kabisa yule, nilianza kumdharau ktk sakata la bandari afu anadhani sisi hatujui kinachoendelea, tutampuuza na tutaendelea kumdharau.
@Wiittole
@Wiittole 16 күн бұрын
Tafadhalini sana chadema msije muingiza mpina ktk chama chenu.ccm wanajua hawatakiwi ktk nchi hii kutokana na ufisadi waliofanyia watz kwa muda wote.hivyo ukikaribia uchaguzi lzm watengeneza mamluki waje kuvuruga upinzani,na huu ni mkakati tu kumtoa mpina lao ni moja.
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 15 күн бұрын
Acha chuki wewe mpina hata yeye ni adui wa ccm.
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 23 сағат бұрын
Tanzaniaaaaaaaa my mother country,kwa nini lakini yanakuwa haya.Lakini mtu mwenye haki atastawi kama mtende(Mpina).
@MukameMachel
@MukameMachel 14 күн бұрын
Askofu Yuko SAWA kabisa, hiyo adhabu kwa mpina hakustahili kabisa
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 16 күн бұрын
Mpina kama msigwa tu alivyotolewa uwaziri ndokabadilika chadema tutashinda bila kuchukua mamuluki
@user-jb3tr9id6z
@user-jb3tr9id6z 14 күн бұрын
Mwana mapinduzi uko sawa kabisa hupepesagi macho kwenye ukweli
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana 16 күн бұрын
Hivi tulia anakili kichwani mpina mwacha unachafuka mimi ni mwana mbeya unitia aibu mbona nakwani sana mamaangu mimi niko uyole
@kijadogan6711
@kijadogan6711 11 күн бұрын
Mpina endelea kukaza msuli na Mungu akutangulie
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 16 күн бұрын
Inamaana ndugumwandishi kumwita kwenye chama inamana kure kunauraji watasema sisi wezi Sasa mpina urikura Nini? Mpaka umelopoka msihangaike maombi yawananchi nimakubwa ameamua walopoke nabaado hirotela
@eliasnshashi3196
@eliasnshashi3196 11 күн бұрын
Mpina yupo sawa hata alipokuwepo hayati magufuli msimamo wake kutetea masilahi ya watanganyika maskini kila hoja zake zipo makini
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 15 күн бұрын
Yani Tanganyika tuna viongozi wezi, wezi, wezi kupindukia na hadi wanamob waandishi wa habari mfano yule mwenyekiti wao ili atetee kilichofanywa na bashe na yule spika wake.
@user-di9yb2pb7w
@user-di9yb2pb7w 16 күн бұрын
Duh
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 15 күн бұрын
Pamoja mchungaji
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 15 күн бұрын
Pina karibu mpina cdm
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni 15 күн бұрын
Musukuma ni mafiki tu anatea tumbo yake tuu
@TemuCalvinWilbard
@TemuCalvinWilbard 16 күн бұрын
Hapa Uganda kilo ya sukari ni Ug shs 4000 ambayo ni sawa na Tshs 2600
@Nasibuhelemani
@Nasibuhelemani 15 күн бұрын
Mchungaji uko sawa tulia ubunge aspire tena
@islamsultan8563
@islamsultan8563 12 күн бұрын
Tanzania 😢
@raykas9976
@raykas9976 14 күн бұрын
Msukuma na kibajaji nilikuwa nawaheshimu sana na kuwapenda km wabunge watetezi wa haki za wananchi lkn kwa swala la Mpina nimeona ni wachumia tumbo hawana lolote.
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 15 күн бұрын
Umesema kweli kiongozi
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 11 күн бұрын
Vibaraka wa ccm walitumika kumpinga Mpina! Msukuma na wote waliyompinga Mpina ni Machawa wa ccm!
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 15 күн бұрын
Sukari siyo kisesa ni ya tanzania makuma hawa na spika wao
@judicalosika7642
@judicalosika7642 11 күн бұрын
Hivi, unawezaje kuandika neno gumu hivyo!!!😳😳
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 14 күн бұрын
Bunge la mchongo spka wa mchongo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 11 күн бұрын
Mch.hao mafisadi usingetoa ushauri wa kuwasaidia ccm majizi!
@AthumanDauda
@AthumanDauda 15 күн бұрын
Msukuma anajiras nampina pia rusinde nichawa kiufp ccm imerud kuli k
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 14 күн бұрын
Hakuna mbunge wa ccm niliyo namuhamin rasaba mwezangu msukuma rakini
@HamzaHeri
@HamzaHeri 16 күн бұрын
HUYO MCHUKUWENI HARAKA SANA MBUMBU WALA HATUMUHITAJI
@HeriMohamedi-re7xu
@HeriMohamedi-re7xu 16 күн бұрын
Ktk wabunge wapumbavu ni yule msukumu Yuko Kama matako yaliyongangania mkundu
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 15 күн бұрын
Tupeni mpina
@nyembobea7285
@nyembobea7285 16 күн бұрын
Umechanganyikiwa mchungaji chizi mchukue huyo kitatange wako
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni 15 күн бұрын
Musiwape wajinga elimu
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 16 күн бұрын
HUYO TAPERI HANA JIPYA KAVAA BAZEE AÒNEKANE
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 15 күн бұрын
Wew ndiye tp
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 11 күн бұрын
Acha matusi,kwani huyo mchungaji amekutaperi nini wewe taperi?!
@TemuCalvinWilbard
@TemuCalvinWilbard 16 күн бұрын
Hapa Uganda kilo ya sukari ni Ug shs 4000 ambayo ni sawa na Tshs 2600
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 61 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН