Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Lundege_Hips6 ай бұрын
Tz ndio nchi pekee Ukiwa mkweli na mtetezi wa wanyonge unapigwa vita sana
@rosetreffert41796 ай бұрын
Safi sana viongozi wa dini Mungu awabariki,
@AmadeMbezy6 ай бұрын
Ongereni sana mashee wetu kwa kuriona iri ata mimi roo iriniuma sana msema kweri kuchinjiwa baharini sio powa mungu awabariki sana❤❤
@AlistidiusKagyabukama6 ай бұрын
Wewe unaongea tu mpina yuko Sawa nyinyi mnafuta sifa
@KaburuKimath-eu5nf5 ай бұрын
Hii taarifa ni nzuri ila ingependeza kama mungeungana WA dini zote na mkatoka na kauli moja ingekuwa powa sana
@happymarchiusnjungani11386 ай бұрын
Hapa hatuna Bunge Ni aibu tupu anayetetea watu wanamwondoa Asante Sana viongoz wa din
@MathewNathan-yb2bz6 ай бұрын
Hongereni sana viongozi wa dini na Mungu awabariki sana
@MichaelPaulo-k1c6 ай бұрын
Hongerani Sana mashehe.
@JovenaryNduka6 ай бұрын
Yaani mmenifurahisha sana na tafadhali kazeni kamba mpina ni mbunge namba 1 tutakuwa tayari Kwa lolote Kwa kumuweka nje mpendwa wetu Yuko nyuma yake lakini Kwa kuwa tuna mama ni mpenda hali nadhani Hilo ameliona tunasubiri maamuzi yake na yenye busara
@aishaalbalushaishabalush82916 ай бұрын
mmmmmh??? eti mama 😂😂😂😂😂 hivi bado kunawatanzania wajinga wasio fahamu kilakitu au kumjua mtu mbaya na mwema basi nchi bado ipo gizan sana kama bado mpo watu msioona huyu mtu anaroho gani ?
@kinkybanjukome2176 ай бұрын
Ni wabunge wa chama Cha mapuuzi
@camilomassao89716 ай бұрын
Mpina ana ujasiri sana, anajua wajibu wake kama mbunge. Siyo hao wanaolinda wezi
@Mima-cl2im6 ай бұрын
Amani haichungiki bila ya haki. Nchi nyingi za kiafrika zinakosa amani kwaajiri ya dhuluma ya wengi. Wabunge wa Tanzania badała ya kutetea haki ya waliowachaguwa wanatetea interests za wachache wanao wadhulumu wengi. Usiposema ndiyo bungeni unakuwa Aduwi na wanakushutumu kuwa adui wa chama na serikali. Demokrasia gani hii? Mbunge ana haki ya kutetea wananchi na sio kuiunga mkono serikali na sifa nyingi kwa Rais bila ya kuwajali wananchi. Tanzania ni masikini kwa wizi na ufisadi wa watu wachache kujilimbikizia mali za watanzania. Hawakamatwi, wala kusemwa. Ukiwasema bungeni yanakupata yaliyompata Mpina.
@ellylema90426 ай бұрын
Sikikiliza Kwa makini.Sio Kila jambo ni utapeli.Mungu amekupa akili na uwezo wa kufikiri.Angalia point
@saivellybrutally29946 ай бұрын
Mjinga hakiwa mpumbavu ni changamoto ahsante viongozi comment zetu ziwe na mantik
@noelnjementi85116 ай бұрын
Shekhee tunakupenda kwakusimamia ukwer tunakupenda sn tupo nyuma Yako tunakulinda sn nyinyi niwatetezi wawnyonge sn sn sn ilove mashekh Kwa pamoja
@section8ight1746 ай бұрын
*UkweLi
@adelinelyaruu30366 ай бұрын
Haki huinua taifa
@makejamaduhu76186 ай бұрын
Spika jaribu kuona hayo yaliyoanza kufanyika. Hao ni wachache mama yangu tafuta Sheria zingine arudi mpina inaonekana ni mhemko wa watu kutafuta heshima kwako. Mrudishe mpina
@mariamfaicalhassan28905 ай бұрын
Safi saana mmeongea ya maana
@georgesungura6 ай бұрын
ongereni sana mmenigusa sana
@johnjoel50125 ай бұрын
Dini ni dini , siasa ni siasa. Hacha moja.
@mokiaolenaputu76486 ай бұрын
Shukrani sana viongozi
@SarahShao-jw1up6 ай бұрын
Asanteni sana shekh kwa ukweli huu. Askofu wetu Malasusa hutosikia akiongea ukweli wa kuikosoa serikali kwa maovu yake ...kazi yake ni kujipendekeza kwa mama ili aitwe ikulu kula kuku ....!! Nasikitika sana kwa viongizi wa KKKT hasa baadhi ya maaskofu wababaishaji wakiongozwa na Malasusa
@cheekszebedayo93406 ай бұрын
Safi sana sasa msukuma yeye aendelee kuwakinda mawaziri cz ndio walimteua awawakilishe
@gilbertmathias75946 ай бұрын
Vijana mashekh mmeongea vzr msichoke kuelimisha
@abeidsanga73616 ай бұрын
Mpina hongera
@frankraphael75466 ай бұрын
Mpina Yuko kwajili yakutetea wananch wake wabunge wengine wote niwatetezi waserekali yule msukuma anazarau sana wakat mpina kamzd elimu
@nashirkamugisha94256 ай бұрын
Mpina ni katika wabunge WASIO NA AKILI MPIMA SAMAKI KWA RULA. Kipindi cha uwaziri wake tulipata tabu Sana kwa maamuzi yake ya kijuha. Hizi kelele zotee wivu wa kunyimwa uwaziri
@margarethsaramaki39666 ай бұрын
@@nashirkamugisha9425 Mbona umejibu hivyo umemsikia sheikh alivyosema? Mbunge anamwambia mbunge mwezake hana akili Na ndiyo yale yale unayosema wewe ebu sikiliza tena hiyo clip Tujifunze kuwa wastaarabu na hekima itawale
@sylvestercameo62636 ай бұрын
@@nashirkamugisha9425Hivi bidhaa gani huuzwa bila vipimo? Wewe ukienda sokoni mbona humlaumu muuza butcher kwa kupima nyama kwenye mzani (kwa kilo)? Au kîtambaa cha nguo kwa mita? Au umeme na maji kwa "unit"! Chuki, hiana, fitina, husuda na gubu vinakumeng'enya! Sasa kati yako na Mh. Mpina nani juha au zezeta?
@Cryptocurrency_Tanzania6 ай бұрын
Funga mdomo.@@nashirkamugisha9425
@infodigtechforcommunityemp41036 ай бұрын
Asante sana viongozi
@TinahFrank3 ай бұрын
Kabisa
@MonayLai6 ай бұрын
Mmenena vema viongozi wa dini Mungu awabariki. Ila nawasihi muendelee kukemea mabo maovu kama utekaji na viongozi kutuhumiwa kama wale waliolawiti yule mkuu wa mkoa mbona kesi kimya imefikia wapi? Tunaomba mkemee kwa nguvu ushoga utekaji ubakaji na ulawiti
@PeterMandata6 ай бұрын
Upo sahihi sana
@margarethsaramaki39666 ай бұрын
Ni mbunge Musukuma na Tabasamu na Gwajima mpaka Mh Mpina akauliza unanisimanga au unachangia?kamuuliza mbunge Musukuma Bora sheikh umeliona hili na kuamua kulisema Mungu akubariki na akulinde daima🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@ChristerKoku6 ай бұрын
Nimewapenda sana,hatuna bunge tuna bunge la vioja,spika anawalinda wasema ovyo akina msukuma,kibajaji lusinde hawaombewi mwongozo.wanalindana hao kwani Naibu spika Zungu alipomwambia Esta Bulaya atapotezwa alikuwa amelikosea nini.Endeleeni kukumea kwa uwazi na ukweli.
@JOSEPHPETERMACHOTA6 ай бұрын
Safi sana ndugu zetu
@BraytonMwakitalima6 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@MathewsSikazwe-up4qd6 ай бұрын
dah, Yani mungu mkubwa Kama kweri ma shehe mmeliona hili, hakika mungu analipenda hili taifa, safi Sana ndungu zangu mungu awalinde.
@EmmanuelMbogoni-n3f6 ай бұрын
Mimi ni mkiristo ila nini mashekh mliosimama apa Mungu awalinde hakika ndo mnaijua dini nimependezwa nanyi sasa Uo ndo Uislam na ndio Mungu anataka
@LumolaSteven6 ай бұрын
Hawa maSheikh gani sijui na hawa wamekuwa wakiudhalilisha sana uislamu. Ni aibu sana kuwa na Viongozi kama hawa
@FredMwamgogwa-td6ni6 ай бұрын
Safi sana mashehe
@baghabaghaingwengwe17506 ай бұрын
Mbona huongei la maana au udhani kuita waandishi utakuwa na Uwezo wa kupanga hujo
@samoskiyalo60956 ай бұрын
Asante kwa mtazamo wenye busara
@yahayaramadhani64186 ай бұрын
Shehe, viongozi zetu was dini Mungu awajalie kwakutusaidia Kwa hili mhe. Mpina ananyanyaswa sana na anadharirishwa sana Lkn Supika wa bunge anaona Şafi tu inatisha sana kumbe msema kweli hapendwi? Tanzania liliisha kuwa shamba la bibi? Wananchi tunaumia sana ila hatuna jinsi, Mungu atatutetea tu.
@RaphaelElikana6 ай бұрын
Spika alijua kinachoendelea ndiyo maana alikaa kimya kipindi wabunge wasiojitambua wanamshambulia mhe Mpina
@josephjeremiah-x5v6 ай бұрын
Tupo pamoja viva
@AlexNjelekela-e6e5 ай бұрын
Tunarishwa sukari ambazo wanaziribegi hadi makampuni ya simu yanatuingizia sukari Mungu tuokoe
Unajua niseme jambo moja bunge la chama kimoja ndo madhara yake ndo haya mtu amejenga hoja mnamfukuza kwa nn? Mjitafakali wananchi wanaona mnachokifanya wameelimika nyinyi Ni wasomi tumieni usomi wenu kwa kujibu hoja sio kumfukuza tunaomba mmrudishe.
@edsonnelson44646 ай бұрын
Mjitafakari au mjitafakali?
@section8ight1746 ай бұрын
@@edsonnelson4464*TafakaRi
@saivellybrutally29946 ай бұрын
Shida ni kwamba tukiwaita wasomi tunakuwa tumewatukuza
@Ezeqsweya11166 ай бұрын
Hujaelewa ?@@edsonnelson4464
@QasimuSwedi6 ай бұрын
Nyie tushagundua lengo lenu ni watu waseme waislam wanafujo wanapenda kuingilia mambo kwanza hapo nyinnyi hakuna shee ata mmoja na ili kujua hilo kua huwenda pia wakawa sio waislam kabisa ila wamevishwa hizo kanzu kwa lengo lakuonyesha kua sisi waislam tunafujo ila chunguzeni hawa watu ata kanzu zenyewe hawajui kuvaamtazameni huyo mwenye kanzu nyeupe kwanza nguo alovaa ndani yakanzu dalili yakwanza amevaa kanzu siku anahojiwa na muonekano wao wote tizama mikono yake na nasema kwa kinya kipanahawa lengo nikuchafua wala sio viongozi wadini bali nawatu tu
@Dhikriqadiriarazaqia6 ай бұрын
Salaaam naomba kuuliza hawa ni Viongozi wa dini gani? Maana hapa namuona mtu😂?
@allyhongoa54626 ай бұрын
Lo kiongozi umeongea kwa uchungu sana !
@RoseKimishabhalemi-oz9bn6 ай бұрын
Tuliani hovyoo. Mungu a tusaidie tupate watu.
@Kokhaako6 ай бұрын
Mnaonyoosha maelezo ni nyinyi mliokabidhiwa aslimia 98% ya viti vya bunge vilivyokuwa si halali yenu muende mukateteye maslahi ya matumbo yenu.
@nassibdoma54086 ай бұрын
❤❤
@OscarAsukenie6 ай бұрын
Hapo hakuna cha ukali kwani kwa kilichotokea, inaonesha wazi pia spika ana jambo analolifahamu. Haiwezekani mtu atoe maneno mabovu na spika yupo.
@MichaelKingazi-wm7xj6 ай бұрын
Exactly.
@shijandobehe49536 ай бұрын
Nawapongeza Sana viongoz wa dini Kwa kupaza sauti
@luganouswege6286 ай бұрын
Pamoja
@alisalimo28616 ай бұрын
uyo mpina ndio akutetetwe wale wale wanyekupinga aya
@HamadAthuman-p2o6 ай бұрын
Huyuhuyu mnae mtetea juzi tu alipokua Waziri wa uvuvi kila mmoja alilia Ng'ombe Mitego ya Samaki kila mmoja aliomba Mungu nyinyi mnakosoa Bunge Musukuma alisema kawaida tu huyu Mpina kila 1 anamlaumu Bashe Mwiguru Kitira Ulega nk toka alipokoswa uwaziri Kawa mkosoaji na maneno yake hayana Ushahidi na nyinyi mnatumika kwa kisingizio Cha Dini
@PoulFred6 ай бұрын
Mpina alivyokuwa wazir wa uvuvi samaki waliongezeka sana hata bei ya samaki ilishuka sana wew hujuwi chochote ni mpumbavu mmoja tu mpina ameonewa sana kisa kusimamia haki ya walio wengi tena ww ni choko mmoja tu wa kijani
Uwa one wapi mbona unaleta ushabiki kwenye Mambo ya msingi acha basi..
@hashimmawazo55036 ай бұрын
Mm ,mm naona masheihe wa mchongo tu.asa spika apo kosa lake nini? Fanyeni kazi ya dini acheni kununuliwa
@mashakakwembe74826 ай бұрын
Ss wapenda haki tutasimama na mpina na wakikuzingua Zaid hama lichama lao jiunge upinzani na utashinda achana na Hilo genge la wezi na watetea wezi
@nashirkamugisha94256 ай бұрын
Sisi waislam viongozi wetu wana aiba fulani hivi. Na tuna taasisi zinazojulikana na viongozi wetu wanajulina (BAKWATA, ANSAR, N.K)
@gbbuku47146 ай бұрын
Mmmh ma shekh washakula posho asa huyo mwarabu alovaa lemba nae kiongozi wa Dini 😂😂
@ChristerKoku6 ай бұрын
Wambie wasiibe kura.kwani haki ndo msingi wa amani.
@saidishamte6356 ай бұрын
Hawa viongozi wanatoa maoni Yao TU hawajamsema spika kwamba hatendi hakki bungeni .ila wanawasema viongozi wenye kuwadharau viongozi wao .ni pamoja na mpina kudharau mamlaka ya bunge .na wanawasema wabunge wenye kuwadharau wabunge wengine .hata kama mbunge mwenzenu amekisea basi sio vyema ukamwambia Hana akili .sio jambo zuri hata kidogo..na Mimi maoni yangu ni kwa watanzania wenzangu tuwe na heshima kwa muhimili wa bungu..mahakama na serikali.asante ni sana
@saadune6 ай бұрын
Hivi hawa mashehe wanaishi nchi hii??? Poleni waTz
@Olengujati-uo6gx6 ай бұрын
Me ningekuwa mpina ningepima hafu ,madaktari wakithibitisha kuwa yupo pw akamatwe msukuma
@magallahramadhani87626 ай бұрын
Masheikh hamuogopi kutekwa na kupelekwa mbuga ya wanyama na kupigwa risasi ya taya😮😮
@FatumaMohamedi-t6t6 ай бұрын
Waliuliwa kina mkwawa kinjekitile ila bado walitokea kina nyrerere na wenzake kudai haki.
@ibrahimaziz71586 ай бұрын
Viongozi wa kidini au wahuni wa kidini
@QasammaMachibya6 ай бұрын
ninyi niviongozi kutoka taasisi gan?? na uko arusha sehemu gan?hujajitambulisha vizur
@faiditv55356 ай бұрын
Hiyo kanzu yenyewe imevaliwa leo
@fatmajafar82755 ай бұрын
Mashekhe semeen kuhusu haki kuliko amani amani no zao la haki
@abdulhamidnjovu60316 ай бұрын
Bora mngejitambulisha kama wananchi Watanzania, ambao mna haki ya kutoa maoni yenu. Kujinasibu kuwa ni viongozi wa dini bila kujitambulisha ni viongozi wa Taasisi gani ya Dini, ni upungufu mkubwa. Pia Bunge lina utaratibu wake wa kushughulikia mambo yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kibunge. Vinginevyo kinachosemwa siyo habari mpya!
@abdisalamjamal21286 ай бұрын
Unamaana gani kupiga magoti na kumuomba Mungu umezungumza kama Padre ndani ya Kanisa na wewe ni Muisilamu inashangaza.
Tukubali kishinda na kushindwa katika uchaguzi tunaendea ya serikali za mtaa ni ujumbe mzito toka kwa kiongozi wa dini.
@japhetdaudmaneno84406 ай бұрын
Ukweli unajulikana ni sawa na maji na mafuta,..kile anachosimamia Mh.Luhaga Mpina ni suala la kitaifa,wananchi tunaona tafadhari arudishwe bungeni👈
@MathewsSikazwe-up4qd6 ай бұрын
jamani sikilizeni point, watu wanaongea point alafu mnazarau, blgup mashehe.
@ChristerKoku6 ай бұрын
Lema aende mjengoni afute ile kauli yake alisema mkishatumaliza sisi mtageukiana nyingi kwa nyingi.
@seifjuma84226 ай бұрын
Mbona hamna sifa ya kuwa viongozi wa dini?? Nyie mtaitwa na bunge mwende mkazibitishe hilo kama kweli nyoe viongozi wa dini
@juliusdonard9336 ай бұрын
Aman hii ikipotea mtaitqfuta , shda nn kqtiba na sheria zipo shda n watu wanakaa juu ya sheria wao kama kina nan kisa viongoz
@abednego38766 ай бұрын
Hawa matapeli wa wapi! Wanaharibu uislam, uisalm sio dini ya unafiki.
@saidabdillahi81076 ай бұрын
Kweli hawa matapeli kama ulikuwepo Msukuma aliomba Mbunge akapimwe Akili kwa record zake hakukurupuka tuu wako wabunge wengi alimchaguwa mmoja tuu kupima samaki kwa ruler na kuchoma nyavu za wavuvi masikini na kusema uongo
@makejamaduhu76186 ай бұрын
Huamini kama mashehe? Waamini kabisa ni viongozi wa dini
@harunimanula-r1d6 ай бұрын
Unapaswa kupimwa akili, na kisha uelewa wa dini yako, kwan uislam na siasa haviachani,,uislam ni unyenyekevu, sifa ya mnyenyekevu ni haki haki huletaamani
@sophiemsuya65076 ай бұрын
Mimi sijawaelewa kabisaaaa. Wamelenga kutufunda nini haswa! Waandishi wetu muwe makini namnachoandika. Ila nashauri kuwe na bunge lisilokuwa na mawazo mgando. Na ikiwezekana awepo spika asiye na chama yaani spika huru ili kuondoa uchama bungeni kwa sababu bunge ni la Wtz wote.
@eudesjonasbukhay94375 ай бұрын
Nani kawapanga?aliwasikiliza vizuri kabla ya kuwaita waandishi?mnaaibisha Mkoa wa Arusha hatuna watu wenye akili kama zenu. viongozi wa dini wana upeo mkubwa ...sijaelewa mmeongea nn?
Katiba imepitwa na wakati abadilishe ndo tatizo kubwa
@leokamil62846 ай бұрын
Hakuna amani bila haki ningewaona wa maana kama mngeanza kupigania Kwanza Haki na utawala bora na katiba mpya kabla ya kujidanganya ati kuna amani au kuimba wimbo wa amani .Amani ipi?
@KilonzoJohn-mg7cw6 ай бұрын
Nyie hapo ni viongozi wa dini ya uganga njaa hmjasema lolote la maana mtakua machawa tuu
@makejamaduhu76186 ай бұрын
Kiongozi watu wapo huru kusema tena kwa uhuru wapo sawa nao ila pia bunge letu ni hovyo tuu Sheria bado hazitumiki. Na kuzodoana bila hoja muhimu. Wawatetee wananchi mpina alisimama upande wa wananchi ndo maana kabebeshwa mambo mengi
@omaribrahim10876 ай бұрын
Bunge alichagua Magufuli sio la wananchi
@rosetreffert41796 ай бұрын
Bunge lawapiga madawati aibu tupu nchi imeoza
@chuguletheodos33426 ай бұрын
Wana mbeya hawana mbunge Wana mpambe wa rais
@QasimuSwedi6 ай бұрын
Na wanaofanya hivi waache hivi kwanini usijiweke wazi hiviv ndivyo waislam wamepitia kipind kigumu zilivyokuja fikra za ugaidi wakawa wanafanyamayukio ya ajabu watu wasio waislam kwakutumia mavazi ya waislam wakatuhimiwa waislam kwa vitendo vinavyofanywa na watu wasio waislam kwa kujifananisha na waislam
@SaidMohamed-k9h6 ай бұрын
Shekh gan unaongea siasa za democrasia labda shehena
@frankmwinuka34136 ай бұрын
Hivi nyinyi ni viongozi wa dini au mnajifanya? Ninavyojua mimi viongozi wa dini ya kiislamu wana busara na hekima isiyokuwa ya kawaida. Kuhusu Mpina inaonekana wazi alitoa tuhuma ambazo hazikuwa na ukweli. Raisi Maghufuli alipopiga marufuku sukari toka nje, sisi watanzania tunaoishi jirani na mipaka na nchi jirani sukari ilipanda bei sana. Mpaka sasa bei ya sukari hapa Tanzania ni kubwa sana kuliko bei ya sukari ya nchi yoyote tunayopakana nayo. Sukari ikiadimika tunalaumu serikari. Serikari ikichukua hatua tunailaumu. Mimi ninavyofahamu kinachotakiwa ni kufuata kanuni na sheria. Mbunge asiseme uongo na kiongozi wa serikari asiseme uongo.
@muharamijuma15696 ай бұрын
MATAPERII. NYINYI SUBILINÌ UCHAGÙŹI HÀMNA HOŸA
@MAGARITanzania6 ай бұрын
Mmh
@jumakapilima72956 ай бұрын
Hakuna mashehe hapa
@sadikingonyani81246 ай бұрын
Mashegheh wetu mna uelewa wowote wa uendeshaji wa BUNGE? kanuni na sheria za BUNGE Mnazifahamu? Isije mkajiingiza chaka. Nyinyi ni VIONGOZI wa dini zehebu au jumuhia gani? Sawa tunawatakia uanaharati mwema
@kichwachafamilia6 ай бұрын
Dear tulia oyeee mpina oyooooooooooooo
@MnyampaWokhaya6 ай бұрын
Masheikh au Mashehena duuuuh????
@MejjatScott-mf2vi6 ай бұрын
Waislam Bwana wanaishi kulingana na utabir hali ya hewa,Mgekuwa hiv kipindi cha kipupwe Bandar isingekabizwa wagen
@JOSEPHPETERMACHOTA6 ай бұрын
Mmeongea utumbo nlizani mnamkemea spika afanye haki katika kuongoza bunge hamjanyoosha maelezo