Plan B ya kwenda China,ndio maana mlitupeleka shule ili tuwasaidie.Panda uende Dubai toka Dubai nenda China (1) Nauli ya Kwenda na Kurudi kutoka Dar es salaam mpaka Dubai = 675 $ ( Chagua zile Ndege zisizo na majina makubwa) (2) Nauli ya Kwenda na Kurudi kutoka Dubai mpaka China ni Dirham 3,275 = 885$ ( Zile Ndege zisizo na majina makubwa) (3) Chukua nauli ya ATCL kwenda China 4,800$ toa 675$ toa 885$ = utabakiwa au utakuwa umesave 3,240$ sawa na utakuwa umesave milioni 7,128,000 Tshs.Jaribu njia uone ,kesho najua utakuja kunishukuru kwa msaada huu.Asanteni
@ibrahimsheha2152 жыл бұрын
Weee siopowa
@bernardmdengede80362 жыл бұрын
kweli kabisa
@johnsonjosephat17012 жыл бұрын
Kwel bro aisee
@abrahmanabdallah84792 жыл бұрын
Bro safari yoyote ya ndege moja kwa moja inakua garama kulinganisha na transit.. na hiyo M11 ni pamoja na siku 5 za hotel au sijasiki vizuri
@frankelisha94382 жыл бұрын
US $ 4000+ for one way ticket, not even a return ticket, and economy class. This is so expensive, the ticket is like more than 5 times for most big names airplanes. Something wrong somewhere
@goodluckstephanmasige34502 жыл бұрын
Nisiwe muongo, nimewatukana matusi mengi tu moyoni. Hii nchi tumegeuzwa mazwazwa.
@jayjay43132 жыл бұрын
Itakuwa ndege ya kwanza ya kitanzania inayoruka na mtanzania rubani na wafuasi wake tu, walobaki vichwa vya kichina. Tunakukumbuka Baba mchana kweupeee.
@rithadonatus81102 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄😁😁😁😁😁😂🤣🤣🤣
@selemanisalumabdu86672 жыл бұрын
Hakuna shirika lolote dunia la ndege linalotoza nauli hiyo ni pesa nyingi sana wajitafakari vibaka weshaingia wanampango wa kuliuwa shirika mama awangalie hao watamfelisha mashirika mengi ya ndege bei kubwa sana ni U$ 2.000/= kuna warabu huko minauli karibu na bule marekani mbali nauli ikiwa ghali basi u$ 1.800
@georgenkanawa71562 жыл бұрын
Kabisa Mkuu
@double8boy8022 жыл бұрын
kaka wati huu kuna mfumuko wa bei ya mafuta usishangae🤣🤣🤣
@georgenkanawa71562 жыл бұрын
@@double8boy802 Sawa lakini sio kwa Bei hiyo kaka,Inamaana hizi ndege za 1800$ dar-washington one way wao wanapata vp faida??
@zawadix95742 жыл бұрын
Anagalia ethipian na emirates bei hizo hizo crazy kwenda China their OK hizo ni bei
@abrahmanabdallah84792 жыл бұрын
Ukutemtu hata hujasafiri hujui maana hata ya one way wala transit wabongo tupunguze kupiga mwingi 😬😬
@sultanmattar12562 жыл бұрын
Mumefeli shirika la ndege tanzania kwa nauli hiyo panden nyinyi viongozi sawa wizi wa serekali
@salumkhamis20592 жыл бұрын
Haturudi Tena China ukitoa hiyo 11 unapata na uraiya kabisa
@bernardmdengede80362 жыл бұрын
mnaupiga mwingi labda kurudi Itakuwa bei ndogo maana kurudi mteremko inapigwa kati kwenda China ni mlima mkali
@CTM.24Updates2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤓🤓
@masudirashidi71832 жыл бұрын
Kurudi inapigwa mandela
@theleo38992 жыл бұрын
duuuh mlima haswaaa zaid ya kitonga
@fortidaskashaigili74962 жыл бұрын
Kurudi kwenye shamba la bibi lazima iwe mteremko,maana vya kwetu ni bure kabisa,ila vya Kwao hakuna cha bure na vina thamani kuliko vyetu,hivyo lazima tuwekewe ugumu kuvifikia
@jacksononesmo76942 жыл бұрын
Ivi Guangzhou ni mbinguni au
@georgenkanawa71562 жыл бұрын
Dar es salaam - Washington Daraja la kawaida ni dola 1500,Hiyo ya China mbn gharama zimekuwa kubwa sana aisee.!! Au mm ndo sielewii😆
@aixsal2 жыл бұрын
Watasema mafuta yamepanda bei 😅😅😂
@georgenkanawa71562 жыл бұрын
@@aixsal 🤣🤣 sio kiivyo aisee million 11 one way maana yke go and return mil 22 hapo kama mtu ni mfanyabiashara bado hajanunua mzigo aisee gharama nikubwa mnoo
@JK-uq1tv2 жыл бұрын
Jamani kama mtu huna hela tafuta maana ambao hamna hela ndio mnao lalamika hapa mnajua kwenda China ni masaa mangapi ndege inatumia angani kwa turipu ambazo siyo moja kwa moja kwanza ukitaka kwenda lazima ukifika ulaya ubadilishe ndege upande ya China mbona hamlalamiki nauli za hapa Dar es salaam mpaka Dodoma laki nne na laki tano kasoro.
@bekabakari73942 жыл бұрын
Wow wow bei hii sijui lakini nadhani ghali Cheap flight from London to guangzhou £375 = tzsh 1,024,717 sijui ubali kutoka bongo
@danskamo85622 жыл бұрын
Wanaliua shirika haraka haraka ili wasingizie corona,
@franktangeki93422 жыл бұрын
Matokeo yake ni nini ? baada hata ya wiki moja au mbili hivi unaweza ukaenda Kariakoo kununua T-Shirt ya kawaida tu ambayo bei yake umezoea ni shilling 15,000 Tshs.Ukaambiwa sasa hivi hiyo T-Shirt bei yake ni 45,000 Tshs hutaki unaacha,sababu nauli za kwenda China zimepanda
@calvinmushi62402 жыл бұрын
Itakua inapitia mbinguni
@berthatz2 жыл бұрын
🤣
@michaelsamson96632 жыл бұрын
Kwakuskia iyo Bei nmepunguza ndoto zakwenda ulaya bola nizulule bugurun malapa au Rozana
@theleo38992 жыл бұрын
nisahihi kabsaaa maana njia ya kwenda china ina makorongo na milima kibao sehem zngne amna lami
@FIFO282 жыл бұрын
Mnalalamika kama vile ukiambiwa mil 1 utapanda.... fuatilia na bei za makampuni mengine usifikiri china na hapo tu...
@kupelakupelaa25802 жыл бұрын
bro bei kubwa sana siku hizi dunia ni kijiji hakuna kampuni ya ndege inatoza hiyo bei dunia dar to qunzuouh hiyo hakuna wa kupanda
@humphreymwamatandala36692 жыл бұрын
Ukitaka kumbagua mweusi tumia pesa, hii ndege watajaa wachina. Utadhani hatupendi kusafiri safiri.
@laurentraphael54702 жыл бұрын
Nonsense. Yani pesa ya kununulia mizigo inaishia kwenye nauli tu. 🙄
@Life100612 жыл бұрын
Million kumi na moja ..mbona pesa nyingi sana aise sibora ni baki Tanzania 🇹🇿 kufanya biashara
@zawadix95742 жыл бұрын
Kila shirika bei hizo masharti mengi ya covid at a emirates na Ethiopian hizo bei
@venancephilbert93972 жыл бұрын
siku chache...mkuu asipomakinika, tutasikia Atcl haipo tena au imebinafsishwa....
@mhillyfrancis49282 жыл бұрын
Duuu 11 million au 1.1 million maana Kama kwenda ni 11 million Basi go & return itakua 19 million sasa unaenda nunua nini au mashine za kuchimbia dhahabu
@azizaziz76442 жыл бұрын
Hapo pana kusudi la kuliua shirika
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣million 11 one way🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanafurahisha sana🤣🤣🤣
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Ka unaenda MBINGUNI...
@zuuomar46572 жыл бұрын
Milioni 11 what???
@hallin95612 жыл бұрын
Wapigaji wamerudi rasmi kwa ajiri ya kulitafuna shirika lililofufuliwa na magu.
@emmanuelsimon5452 жыл бұрын
Kama mwendo kasi mlikuja na wazo la 1500 alafu mkasema kuna wi-fi ningeshangaa Kama ndege mngetuacha salama hahahaha
@dintazdintaz73112 жыл бұрын
Hiyo bei mbona kubwa
@khamisjuma85012 жыл бұрын
Marekani mpaka Africa dollars alifu bill kwenda nakurudi
@samwelrobeth77632 жыл бұрын
😀😀😀😀mbingun labda kwa ng'ambu kidogo
@hassanyusuph45262 жыл бұрын
Watanzania mtapigwa mimi sipandi kwa bei yote Kwani Hamna ndege nyingine aaah wapi
@tamrikznz75832 жыл бұрын
M11, Bora Nisende China Maisha Yote Kwani Lazma. Lol
@FrankKalabamu2 жыл бұрын
Jfk to guangzhou is even cheaper than that. For a weekly flight that's expensive
@marcoakyoo7602 жыл бұрын
Naona hamko kibiashara ila ni kukomoa labda kusingekuwa na ndege nyingine ila kwa hili mnaliuwa shirika Nasikitika juhudi za Magufuli alizofanya nyie mnaua kizembe hivi
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Tangu wakati bei zilikuwa juu. Labda hukufuatilia. Ndege za ndani zilikuwa ghali kusafiri kuliko Fastjet, Precision AIR na kadhalika. Ndiyo sababu wakawatengenezea zengwe wengine ili wawe wao peke yao. Bado hali ilikuwa ngumu kutokana na nauli. Mwanza to Dar FastJet ilikuwa 79,000/- ya serikali 240,000/-
@marcoakyoo7602 жыл бұрын
@@TamuzaKale kweli kabisa ATCL nauli yao iko hata safari za ndani bora precision
@TamuzaKale2 жыл бұрын
@@marcoakyoo760 Wanahujumu! Ama mideni mingi!
@humphreymwamatandala36692 жыл бұрын
Jamani tuvipende vya kwetu,kitu chako bwana.
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Jana nilitoka huko ila nilitumiya Toyo
@salmasule85262 жыл бұрын
Dah nilikuwa napango wa kwenda china lakini nimeghairi kwanza
@hassanyusuph45262 жыл бұрын
Jamani hivi Kweli bei yote hio dola 4800
@christianosimba60832 жыл бұрын
Mbona bei nyingi sn ?
@Silyvesta2 жыл бұрын
Kampun imeuzwa tayali hapo hahahaha 🤣🤣
@mhiyaoswedi44992 жыл бұрын
kabisa wanataka ikose wateja ife wanufaishe makampuni mengine
@LuciaMakarange-vb8mc4 ай бұрын
Fala kweli nyie Yani 14 million amutk twende chin mwatak mwende nyie wenye ela zen fala kweli
@prijojoseph5182 жыл бұрын
Bei ya kusafiri nchi ngapi?kama world tour
@idrisaseiph34992 жыл бұрын
Tiketi ni ghali sana Bora nipande Qatar airways
@hilalymshana83852 жыл бұрын
Tunapanda ethiopian air 1200 round trip
@martinwangwe89662 жыл бұрын
Hawa jamaa wanasomaga market inavyoenda kweli au wanajiamulia tu bei.
Watakaopanda mambwiga sana 22milion round trip and iyo faida au biahsara itakuzalishia kiasi gani
@suleimanrashid82382 жыл бұрын
Watu watauza nyanya kwa hali hiyo....
@philipombwambo63452 жыл бұрын
Hiyo gharama niyakukodi ndege yote mwenyewe au?
@liberatusjackson50452 жыл бұрын
Sasa mlinunua Yann umeona ure ujinga
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Washenzi hawa hamto pata abiria mbwa nyie 😂😂😂🤣🤣
@michaelhwago14992 жыл бұрын
Bei milioni 11
@thadeikassango19702 жыл бұрын
Kama hakuna makosa hapa, basi hawa watu wanatakiwa kunyongwa woteee
@fredmbossa2 жыл бұрын
Yani siku hizi ndege za ATCL sioni watu wakizungumza tena kuhusu kwamba zinaleta hasara,,kweli Babu alikuwa anapigwa kila kitu
@maryamyusuph71072 жыл бұрын
Au alikuwa anamaanisha ml 1na laki 1moja?Ndugu Mtangazaji hii taarifa ni sahihi kama ilivo?au ni bei ya kuchangia miundombinu?
@vascokasambala21592 жыл бұрын
MTANGAZAJI AMEKOSEA NI DOLA1800 KWENDA TU
@bernardmdengede80362 жыл бұрын
ndo bei halisi hajakosea
@aliaminmbeo99982 жыл бұрын
Hizi bei mmepanga mmelewa? au mnafikiri mnakomoa watanzania kumbe mnaangusha uchumi wetu.Serikari ingilia kati Hawa wamelewa. China ni ajira za watanzania/wafanyabiashara. Bei ni zaidi ya kumlipia mtoto Shule China mwaka mzima!!!!
@georgeswaiswai45812 жыл бұрын
Minauliza tu wapendwa kwabei hiyo nikwenda peke yake au pamoja na kurudi
@vascokasambala21592 жыл бұрын
Kwenda tu
@nuranissa2542 жыл бұрын
dar mbn bei kubwa san
@emmanueltillya20172 жыл бұрын
Hiyo ni iende irudi au ni kwenda tuu.
@professorbenjamin10272 жыл бұрын
Milioni 11 wacha nicheke kwanza huu si mtaji kabisa 😀😀
@yunusabrahmanomar60682 жыл бұрын
Watakuwa wamekosea hiyo nibwa sana
@mbwanamungia99212 жыл бұрын
Tutspanda Ethiopia bei poa kabisaa
@mbonimanakisenya41782 жыл бұрын
Kama mtangazaji amekosea kutangazia uma hii gharama basi achukuliwe hatua kisheria maana ni kuchafua Shirakawa la ndege
@goodluckstephanmasige34502 жыл бұрын
Ndivyo ilivyo hata kwenye website yao
@makungamapalala79822 жыл бұрын
Bei kubwa sana
@hapapetu70182 жыл бұрын
Duu
@double8boy8022 жыл бұрын
wanaolalamika eti oooh bei kubwa,kwani hamujuwi mfumuko wa bei ya mafuta au?🤣🤣🤣✈️✈️
@astroworld20212 жыл бұрын
Tutatubu sana safari hii🙆🏽♂️
@jonaskilomba40942 жыл бұрын
Wezi wako kazini
@silyadamian57082 жыл бұрын
Tutaenda na ungo
@mussakasela19372 жыл бұрын
Mtamkumbuka magufuli
@jambo37512 жыл бұрын
Alikuwa akienda china?
@silivesattesha48372 жыл бұрын
Nakwenda ukren jmn msada
@kamanda0072 жыл бұрын
Viongozi wa Air Tanzania hawajielewi au wanataka kuua shirika kama kawaida yao na utakuta wameshavuta pesa za watu, can't believe kama tuna wajinga kiasi hiki, this is nothing but a crime
@abrahmanabdallah84792 жыл бұрын
Kwani wewe wajielewa kwanza kushawahi safiri unajua maana oneway na transit...
@kamanda0072 жыл бұрын
@@abrahmanabdallah8479 acha ujinga
@hassanyusuph45262 жыл бұрын
Huu niwazimu bei yote hio
@gandeone15852 жыл бұрын
Ww hujui
@rashidyahya69042 жыл бұрын
Jaman ata uku tulipo ni milion 1.700000
@salumkhamis20592 жыл бұрын
Wapi
@reubenkissinga58022 жыл бұрын
@@salumkhamis2059 Yuko Mbinguni labda!!
@double8boy8022 жыл бұрын
makaburini🏃🏃🏃
@vijayan23232 жыл бұрын
Hahahahahahahahahaha
@zawadix95742 жыл бұрын
Hizo bei ni ndege zote ata Ethiopian na emirates China masharti mengi ya covid na quarantine sio kosa bei ju sana kwa muda hu ita badilika!!!!!!!!
@hamedhabsi27522 жыл бұрын
Rudi Shuleni.
@siromyhemed94642 жыл бұрын
Walishatoa sababu ya nauli hizo hapo ni wewe kuamua uende au la, maana mipaka yenyewe bado haijafunguliwa yote. Hapo ni kama unalipia na viti vinavyokosekana. Wale wenye mchongo wa maana kazi kwao
@aliaminmbeo99982 жыл бұрын
Hizi bei mmepanga mmelewa? au mnafikiri mnakomoa watanzania kumbe mnaangusha uchumi wetu.Serikari ingilia kati Hawa wamelewa. China ni ajira za watanzania/wafanyabiashara. Bei ni zaidi ya kumlipia mtoto Shule China mwaka mzima!!!!