Awamu hii CCM mtaondoka bila hata ya vyama vya upinzani. machief vs Mungu!

  Рет қаралды 152,840

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Edited by VideoGuru:videoguru.page...

Пікірлер: 1 000
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Mungu anasikia maombi ya wenye haki,naamini Mungu yuko kazini kulikomboa Taifa
@sadanishabani3321
@sadanishabani3321 Жыл бұрын
Ameen mchungaji watanzania tuko nyuma yako ,asante sana ,...ee Mungu tusaidie sana
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni tusaidie simama kwa miguu yako Bwana
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 Жыл бұрын
😊
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 Жыл бұрын
Mambo mengine yooote sawa ila CHADEMA hapo umeikwaa mchungaji. Waqpinzani wakwel ni Chdema na 2025 tunachukua nchi.Peopleeeeeeessssss✌✌✌
@pastorjimsonchengula844
@pastorjimsonchengula844 Жыл бұрын
Niko pamoja na wewe Baba, wapigweeeeeee machifu na viongozi wa hivyo kwa jina la Yesu.Amen.
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 23 күн бұрын
Ndio
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Mungu Mkuu, hata lini unakwenda kusikiliza sauti ya kilio cha Watanzania? Wewe Mungu ni mwenye haki. Saa ya ukombozi ikifika tu, ukombozi wa kweli unakwenda kutokea katika Nchi hii. Amina.
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 Жыл бұрын
Kiongozi,mch mwakipesile,jambo la Kwanza, MUNGU wa mbinguni, akubariki Sana na kukuinua. Pili;Taifa letu,tupate wapi tena,mtu kama wewe?umemlingana MUNGU,na biblia pia.Sema mtu wa MUNGU,na BWANA you Pamoja nawe.ninakushukuru sana.songa mbele, BWANA wa majeshi anakutangulia.asante Sana.
@jacksonchaula6010
@jacksonchaula6010 Жыл бұрын
Mungu sikia maombi ya mtumishi wako huyu Amen
@emmanueltamnaay5781
@emmanueltamnaay5781 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 mtu wa mungu,, waambie ukweli labda watakuelewa,kabla hawaja chelewa.
@HamzaFamily-sw4td
@HamzaFamily-sw4td Жыл бұрын
Machozi ya watanzania yata futwa na mungu wa mbinu na ardhi na vilivyo ndani yake. Tanzania ni ya watanzania wenyewe na siyo muwekezaji. Rest in power magufuli , Julius nyerere true son of Afrika ❤
@francisseleman7840
@francisseleman7840 Жыл бұрын
Maana ya Mwanaume ni uwezo wa kusimama peke yako katika kile unachokiamini bila kujali ni wangapi wanakupinga na wana uwezo mkubwa kiasi gani. Tofauti na kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu hakika Mbarikiwa ni Mwanaume, nilichojifunza kwako ni Msimamo thabiti umebarikiwa Sana
@LemaRapoi-np2gs
@LemaRapoi-np2gs Жыл бұрын
Emungu wangu uisikie kilio hichi jionyeshe mungu
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Big Amen mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Mungu adhalilishe wote wnyonyaji
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Amen..Wahuni hawa wakapotee wakaanguke mmoja mmoja na wasionekane tena kwenye uso wa dunia.Amen.
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Жыл бұрын
Amen
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Amen
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 Жыл бұрын
Mungu hawez shindwa kwamachifu na wachawi wote hao nivifinyango vimefinyangwa Kwa mikono yake mungu atatenda vita vyetu si vya dam na nyama mungu awashughulikie
@titonsimbazi5532
@titonsimbazi5532 Жыл бұрын
MUNGU sikia maombi ya mtumishi wako alie jitoa kwa ajili ya haki, MUNGU sikia maombi ya watanzania tunalia tunaugua.
@nabii-zc1hm
@nabii-zc1hm Жыл бұрын
Amina
@ibrahimngitu6072
@ibrahimngitu6072 Жыл бұрын
Amina
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 Жыл бұрын
Roho ya Eliya ijuu ya mbarikiwa, kunatukio lajaa kutoka kwa Mungu
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Amen Eee Mungu simama na taifa letu nyosha mkono wako lipiganie taifa letu na udharimu wa watawala na dhuruma juu ya rasilimali za nchi yetu wasimamie watanzania katika kipindi hiki kigumu wanachopitia ukawe sauti ya kutusemea watanzania wanyonge juu ya watawala wanaokandamiza haki uhuru wa maisha yao kainue watumishi watu wako wa kututetea kasimame juu ya watawala ili wakujue kuwa wewe ni Mungu
@josephndugai3598
@josephndugai3598 Жыл бұрын
Mungu inusuru nchi yetu
@PeterNkilijiwa-ij3rw
@PeterNkilijiwa-ij3rw Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtu wa Mungu ,haki kwanza bandari ibaki kwa wananchi,viongozi wetu wawaelewe wenye nchi,Mungu akulinde na akuhifadhi vyema ndani ya taifa lako.
@user-gv2zc2wd8x
@user-gv2zc2wd8x Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Tulia Kumbe ni muumini wa machifu wala sio MUNGU!!!!
@emiltonmartin4399
@emiltonmartin4399 Жыл бұрын
Amen Man of God
@user-ph5kq3ij9q
@user-ph5kq3ij9q Жыл бұрын
Mungu akulinde akupenguvu zidi ya wakuwaziyao mabaya
@majutobakari3447
@majutobakari3447 Жыл бұрын
AMEN,ninaamini sana ktk uweza wa Mungu mtakatifu hakuna mamlaka yoyote ya mapepo inayoweza kuishinda mamlaka ya Mungu kwa maombi hayo ya mtumishi wa Mungu aliyehai kitaeleweka
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 23 күн бұрын
I believe too
@muhidiniabdallah4211
@muhidiniabdallah4211 Жыл бұрын
Safi sana Kwa harakati hizo hawa hawafai kuwepo katika ulimwengu wa wanyonge hatutaki utumwa
@puregospelmusic9746
@puregospelmusic9746 Жыл бұрын
Msalaba ndio asili ya ushindi wetu.. Tunashinda na zaidi ya kushinda
@abdallahshaibu6106
@abdallahshaibu6106 Жыл бұрын
Ewe MWENYEZI MUNGU simama katikati utuhukumu kwa haki yako
@JmotorsAutogarage
@JmotorsAutogarage 3 күн бұрын
Hao polisi wanalipwa mshahara Kwa Kodi zawatanzania bandari yetu haiuzwi kama mama amepewa Hela arudishe hata roliondo tukichukua nnchi najua malizetu tunazirudisha
@HelenaDaniel-xw9yo
@HelenaDaniel-xw9yo Жыл бұрын
Mungu ziangushe falme za giza katika jina la YESU
@user-wb8xg4st1w
@user-wb8xg4st1w Жыл бұрын
Amina maombi yako ni maombi ya wengi tukitamani haki hivyo tuko pamoja mkuu
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Mungu afundisha watu katika njia zake. Hakika kazi yake itakamilika kwa wakati wake
@bisamwansakanile7219
@bisamwansakanile7219 Жыл бұрын
Asante mtumishi barikiwa sana Mungu wa mbinguni akutunze
@yohanamakoye1004
@yohanamakoye1004 Жыл бұрын
Kila chifu alie kabidhiwa kuloga watanzania afe leo kwa jina la YESU KRISTO! Kila mtu aseme amina
@zakayomkemwa6283
@zakayomkemwa6283 Жыл бұрын
Usiombe hivyo MUNGU hapendi
@simionkingamkono6994
@simionkingamkono6994 Жыл бұрын
Amina
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 23 күн бұрын
Mimi ninasema waishi ili waone ukuu wa Mungu na yakuwa wao ni Wadogo Kuliko Mungu
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
MUNGU akulinde milele kwa kujitowa ku tetea wa Tanzania hili sio jambo jepesi MUNGU n'a azidi kwako milele amina
@CHRISTOPHERKIMWAGA
@CHRISTOPHERKIMWAGA Жыл бұрын
Kweli mungu atawaazibu hao wanyanganyi wa nchi hii
@salumjuma9072
@salumjuma9072 Жыл бұрын
UTAANZA KUADHIBIWA WEWE KWANZA KWA JINA LA ALLAH
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Msicheze na Mungu Aliye hai. Hilo tamko la kukabidhi watu kwa machifu waadhibu watu huko ni kutegemea uchawi na mizimu. Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo imefika wakati ufanye maamuzi mazito juu ya Taifa la Tanzania.
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
@@salumjuma9072 waisilamu nyie tunawajuwa mnaabudu shetani
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
@@salumjuma9072 Dua litamrejea Mwenyewe Kwa Wizi wa Sadaqa za Waumini na kuabudu Viumbe
@stevinedson
@stevinedson Жыл бұрын
MUNGU ni zaidi ya machifu
@henrymfumya1316
@henrymfumya1316 Жыл бұрын
AMINAAAA!!!!!
@luciamaganga210
@luciamaganga210 Жыл бұрын
Mungu okoa taifa letu nzuri ambalo umetupa. Usiwaache hawa wafilisiti wasio tahiriwa wadhihaki ukuu wako.
@christophermalango1433
@christophermalango1433 Жыл бұрын
Asante sana Mungu mwema
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Awamu hii ni moto moto, na hawa wa mama wanajitafutia laana za watanzania bora watulie tu... Mungu wetu ni mkubwa sana.
@coolpara8192
@coolpara8192 Жыл бұрын
Yesu kwan ni Mungu Wacha ushirikina na ukafir
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
@@coolpara8192 Haha huna hoja, nenda kwa mwamposa uone ndugu zako wanaomuita yesu kama wewe, wako kule na hijabu zao kila jumapili wanasema yesu ni Mungu, wanasema yesu kaniponya... 🤣🤣🤣 nenda kawaulize ndugu zako hao wakupe jibu yesu ni Mungu au la!!
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
@@coolpara8192 waisilamu tunawajuwa mnaabudu shetani hamuwezi kuona wema wa YESU kiristo aliye hai
@selasboy3966
@selasboy3966 Жыл бұрын
​@@richardboaz-mashagospel2346wewe kafir izo hijab zawagaratia wanavaa ili kuficha ushirikina wenu ..usione baibui ukazan waislamu acha ubwege wako 😂
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
​@@kefajoseph158yesu anakujua ww alie ibiwa na wazungu mnafata wazungu wanawaita manyani mwamposa si ndio.fremason kwa kumsingizia yesu yani isa amuache ibrahim na akufate ww na mzungu kwa kumsingizia wapi chuki mmezidi
@fabianenock1276
@fabianenock1276 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Kwa maombi kwa ajili ya nchi yetu, ulindwe kwa damu ya Yesu
@poncegk5263
@poncegk5263 Жыл бұрын
Mbalikiwa una akili sana, ubongo wako unafanya kazi vizuri sana, uko smart. Hongera
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Pole mtumishi! Aliyeko upande wetu ni mkuu kuliko walioko upande wao!! Sisi tuna Mungu ambaye ni Bwana wa majeshi asiyeshindwa. Wao wana wanadamu ambao watakufa tu. Hatutaweza kuwaogopa hata kidogo.
@asungushepatrick5414
@asungushepatrick5414 Жыл бұрын
Tushangilie kwasababu Samia ameshaondolewa kwenye kiti tayari ktk ulimwengu wa roho, ndivyo itakavyokuwa
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Жыл бұрын
Amiin inshallah mungu yupo pamoja na cc 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Жыл бұрын
Ngoja tuwakabidhi kwa mungu tu, mungu shugulika nao amen🙏🏽🙏🏽
@anithajustus50
@anithajustus50 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi nakuombea uishi miaka mingi
@jonasmushi5145
@jonasmushi5145 Жыл бұрын
Hasira ya Mungu itakuwa juu ya viongozi wote wa ccm
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 Жыл бұрын
Bangi iyo
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
@@hassanmsumari1200 Ee Mungu Wa Yakobo na Israel utujibu sala zetu Ee mungu Sikia kilio chetu Ee Mungu wetu simama na Wenye haki SIKIA KILIO CHETU MUNGU WA HURUMA
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali Жыл бұрын
Watumishi tuko pamoja na wote wanao tetea nchi yetu Mungu hata waacha kabisa.
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 Жыл бұрын
Nchi yetu inaenda pabaya sana,ila mungu ni mwema sana anajua yaliyo ndani ya mioyo ya wanadamu,hakika nchi hii itaanguka
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 Жыл бұрын
Endelea kuomba na kutoa unabii unao kinzana na mpango wa adui, hata kama unaona hivyo Imani yako ndiyo tarajio lako kili mema kataa usiyoyataka kwa wkt Wake Mungu atafanya jambo ktk NCH hii kinyume na maadui wa Mungu
@mrimimarwa6485
@mrimimarwa6485 Жыл бұрын
amina mungu akulinde utokapo na uwingiapo pomoja na watanzania
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu maneno yako Mungu ayakusanye ayakusanye
@LucasNtalima-wq6ok
@LucasNtalima-wq6ok Жыл бұрын
Utukufu wa Mungu huwezi kumpa mwanadamu Mfalme Nebkandreneza alipojitukuza alishushwa na Kula majani kama ng'ombe huyu naye anayejiinua asipotubu anaenda kushushwa.
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Mungu muumba mbingu na nchi ulisema hutatuacha Tanzania 🇹🇿 Mungu tulinde we ndiye kimbilio letu na ngome yetu
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Жыл бұрын
Amen
@IgnasKiyanga-im3cv
@IgnasKiyanga-im3cv Жыл бұрын
Ameen
@user-kq1rv4bm4n
@user-kq1rv4bm4n Жыл бұрын
Amen.mwenyezi mungu atalipa kwa mabaya wayafanyao waovu hao
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Жыл бұрын
Maombi yangu usiku wa leo Samia, Tulie,Majarie alaanie.Aliyaona haya Ndugai kuwa nchi inauzwa
@gervassikapundwa9632
@gervassikapundwa9632 Жыл бұрын
Asante mchungaji
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Amina mungu atafanya njia pasipo njia
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi Жыл бұрын
Amen 🇹🇿🇹🇿 Tanzania yetu MUNGU lisimamie Taifa letu 🙏🙏🙏🇹🇿naipenda sana tena zaidi yasana😭😭😭😭
@EdwardMarera-le5qt
@EdwardMarera-le5qt Жыл бұрын
Tupo pamoja kutetea Taifa letu kwa namna yoyote ambayo Mungu atatuonyesha
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 23 күн бұрын
Ameni ameni pastor mbarikiwa nilikuwa sijakufahamu sasa nimekuelewa kweli wewe ni mtumishi Wa Mungu alie hai
@user-iz3tu9vw8e
@user-iz3tu9vw8e Жыл бұрын
Tunakuelewa mtu wa Mungu
@shedrackmeli5045
@shedrackmeli5045 Жыл бұрын
Mungu akulinde
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 Жыл бұрын
This is the real man of God...God bless you man of God.
@dorismzumbwe8921
@dorismzumbwe8921 Жыл бұрын
Yupo Mungu kwakweli.....ataonekana tuu.
@daudcharles264
@daudcharles264 Жыл бұрын
Kaz nzuri mtumishi wa mungu
@AyoubMatabala-zf6oi
@AyoubMatabala-zf6oi Жыл бұрын
Amen mtumishi
@eltabusenzia765
@eltabusenzia765 Жыл бұрын
Yeremia 17 5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. 6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. 7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake. 8 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Bwana gani huyo. Kwanza huyo bwana unayemjuwa wewe siye. Yesu ni mtume A.S. Wawatetea wapigaji. Tokea lini Slaa kutetea Nchi. Huyu ni njaa na tuziache trillion 26 kutoka trillion 7 kwasababu ya hawa wapigaji. Wamenasa mtegoni na sasa HIVI washajuilikana kumbe ndio hao. Mzee Magu aliwasaka Sana walijificha lkn sasa wamezuka automatic mchanaaaaaa. Hawa hawafai kuwemo ndani ya CCM cause NI wApigaji bandarini.
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
1. Sema الله ni mmoja 2. الله ndio anastahiki kuombwa hajaza waja 3.Hakuzaa wala hakuzaliwa 4. Na Hana mfano wake
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
​@@kitosioKama hakuza mbona Shetani ambaye ni mwislamu ana watoto bila mke,soma kitabu asili ya majini ndiyo utajua hayo
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
​@@mwassamwassa7264 Acheni masuala ya DINI. HAMJUI TUMEOANA?????
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Mama,.Kwa jinsi hii mbona kaam nchi om imejigawaa?!¡!!
@mellandc3995
@mellandc3995 Жыл бұрын
Amina ❤
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Mungu mtetee nakumlinda huyu mtumishi wako ktk Jina la Yesukristo Amen.
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Kukoka 3:7-10 Mungu amesikia kilio cha watanzania Mwanzo 9:6.
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Kutoka 3:7-10 Mwanzo 9:6. Mungu Ahsante kwakusikia kilio cha watanzania.
@salumjuma9072
@salumjuma9072 Жыл бұрын
USIWE NA WASI WASI KARIBU HUYO MUNGU ATAMLINDA TULIA TUU MUNGU AMLINDE KWA KUWA TUKANA VIONGOZI WETU KWANINI KAMA WEWE UMEOKOKA USIMKATAZE KUTUKANA VIONGOZI WETU ETI MLINDE UMTETE ATALINDWA USIWE NA WASI WASI
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Zaburi 34:7. Zaburi 91:2-16. Mungu na akulinde kwa Jina la Yesukristo! Amen.
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
​@@BobNgagi2023tena wazungu wanaleta ushoga wamekaa kimya watoto wako bora au bandari ikiwa africa watoto watakua mashoga bandari si ndio itapote rais mna chuki nae tu hajauza bandari sema mkataba uwe sawa na warabu ni matajiri sio mwizi ww
@dicksonlwambo4306
@dicksonlwambo4306 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Watanganyika wote tuseme Amiiiin
@user-yq2ov9rx7k
@user-yq2ov9rx7k Жыл бұрын
Aman
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
We don't need chief in our national late julias kambarege Nyerere when he deleted chief position late julias kambarege Nyerere was mining to do so has standing chief behavior in Tanzania then late julias kambarege Nyerere seen advantage and disadvantage late julias kambarege Nyerere seen that to him no benefits that why he dilited chief position in Tanzania
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 Жыл бұрын
Wao wamekuja kwa miungu mimi nakuja kwa jina la Bwana wa majeshi Mungu wa Majeshi ya Israeli leo ninyi viongozi mnao fanya hovyo kwenye nchi hi ambayo ni agano la Mungu leo Bwana atawatia mkononi mwangu na kuwateka nyara miungu yote y kichifu kwa jina la YESU n ijulikane leo kwamba yeye ni Mungu wa miungu Bwana wama BWANA mtakatifu wa watakatifu,muumba mbingu na nchi,naikabidhi nchi y Tanzania mikononi mwako we Bwana Mungu ulie hai milele n milele 🙏🙏
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 23 күн бұрын
Yaaaa
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z Жыл бұрын
Maneno kama haya sikuwahi kuyasikia katika maisha yangu yote, leo ninapo yasikia ninaamini ni ishara ya anguko. Pole Nchi yangu Tanzania naona siku zinakuja za maombolezo
@mwamrasahamaro8473
@mwamrasahamaro8473 Жыл бұрын
Ni kweli Mtumishi,vyombo vya habari mfano redio hawasomi ujumbe wananchi wanaoumizwa huku uraiani au wanaokosoa mamlaka bali husoma zile chache za kusifu tu
@nicholaswaemmanuel7221
@nicholaswaemmanuel7221 Жыл бұрын
Eee Mungu sikia maombi ya huyu jasusi wako aliyeutoa uhai wake kwa ajili ya haki kwa watu wako. Sikia vilio vya watanzania na waafrika wanaouawa na waovu kinyumbu_nyumbu. Mlinde mtumishi wako dhidi ya hawa madubu wafu ili makusudi yako aliyoyabeba yakatimie sawa na mapenzi yako. Amen!
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq Жыл бұрын
Balikiwa mtumishi kwadamu ya YESU ameen
@peternyambui7492
@peternyambui7492 Жыл бұрын
Amen baba mchungaji...Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu sana..pia pole sana kwa kumpoteza mwanao...
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Safi sana mbalikiwa ukovizuri sana natukopamoja
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 Жыл бұрын
Haleluya.... Hakika nimefurahi mnoooo
@KsaC711
@KsaC711 Жыл бұрын
Mungu ni mkuuu na mmiliki wa pumzi na uhai chifu yutegemea uhai wa Mungu si kwa ajili ya kuwavuruga wenye utu kudai haki wema na kutetea watenda mema si kugombana nao
@fanuelruhaga2960
@fanuelruhaga2960 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa nguvu za damu ya Yesu Kristo na wote wale wanaopingana na kuhodhiwa kwa Bandari yetu nao wavuviwe na roho Mtakatifu wawe na nguvu ya umoja kwa kuilinda nchi yetu AMINA
@samwelimasoya5612
@samwelimasoya5612 Жыл бұрын
Tusaidie mungu kwa kila jambo
@JenethUrrasa-mt7fb
@JenethUrrasa-mt7fb Жыл бұрын
Public coments
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Maombi haya, ni kwa utetezi wa umma, au yanachochewa na uchungu/chuki binafsi ?
@KessaBlessing
@KessaBlessing Жыл бұрын
Watuachie bandari zete
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Amen
@agustinomagessa510
@agustinomagessa510 Жыл бұрын
Amina mchungaji kwanza hao machifu mungu atawaga kama nyanya
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 Жыл бұрын
Mungu simama na wenye haki uokowe taifa lako
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 Жыл бұрын
Mungu baba wa mbinguni ukiwavusha wana waisrael katika bahari ya sham na ukawaangamiza maadui zao nasadiki hutaiacha Tanzania iangamie utavusha salama. Amina
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 Жыл бұрын
Amaina mtumishi wa mungu Mungu Akuogoze uendelee kuipapania Taifa letu linauuswua na uyu mama mzanzibari pamoja na waziri mkuu majaliwa
@eliassamson617
@eliassamson617 Жыл бұрын
Ee Mungu Baba, ni mkono wako tu ndiyo tu utakaotukomboa Watanzania nyoosha mkono wako Ee Bwana utukomboe kwa Jina la mwanao YESU Kristo Amina!
@LusajoMwajeka-tf1nj
@LusajoMwajeka-tf1nj Жыл бұрын
Asant mutumishi mungu akulinde hawa viongoz tunamajonzi
@farouqjaku951
@farouqjaku951 Жыл бұрын
Amin
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Kikosi kazi karibuni tarehe 22 mwezi huu dar ili tuungane kusimamia vizuri hii safari ninyi ndio akina joshua na akina kareb
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Rais Samia kamtuma mkuu wa mkoa chalamila apeleke Sayaka kanisani kajua kakosea eti na yeye pia ana hofu
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Amiina
@amadeusmedia5560
@amadeusmedia5560 Жыл бұрын
Heli ndugai mungu akulinde popote ulipo ndugai
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Жыл бұрын
Mliomuua MAGUFULI damu yake imeanza kuwatafuna. Laana haitamuacha mtu salama... Kwa Sasa inchi ipo engo mbaya sana.. Zibeni masikioni yenu tu .. lakini laana yake haitawaacha salama....
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Kwelii kabisa. Watajuta. Na mimi nataka wafe vifo vibaya na vya aibu...
@AbigailBateyunga
@AbigailBateyunga Жыл бұрын
Amen
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Ukimtaja Magufuli mwili mzima huwa unasisimka. Nilimpenda sana tena. Alikuwa Mzalendo wa kweli na mwanamapinduzi wa kweli. Alikuwa Mwamba wa Afrika. RIP, JPM Baba yetu mpendwa.
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Ngome na madhabahu na viti vya Enzi vya shetani zikaanguke kwa jina la YESU KRISTO
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu
@GodlisternTsere-yz1lc
@GodlisternTsere-yz1lc Жыл бұрын
Hatuwatukani tunawaambia ubaya wao ukimwambia mtu anafanana na taabia yake hajatukanwa Bali aliambiwa ukweli kuhusu taabia yake na tunataka wabadilike katika jina la yesu kristo mwana wa mungu aliye hai amen.
@jonasmushi5145
@jonasmushi5145 Жыл бұрын
Tulia ni mshirikina! Mungu muumba wa mbingu na nchi amwaibishe mchana kweupe!
@YohanaRobert-cz3zx
@YohanaRobert-cz3zx Жыл бұрын
Amina ukuu wa mungu haufikiwi na ukuu wowote wa duniani maumivu haya ..........
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 Жыл бұрын
Damu ya magufuli ilio mwagika inawaandama maana wa Tanzania tulilia sana kumlilia mungu tumpate wap mzalendo kama magufuli. Cc wananchi tupo tayr kwa maandamano tuifie nchi yetu
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Kwelii kabisa. Na wakatudanganya kuwa ni Corona. Daaa nataka walaaniwe kwelikweli. Magufuli alikuwa ni Raisi bora sana Africa. Daaa ilikuwa pigo kubwa kwetu Watanganyika Wazalendo Raisi Magu alipotutoka...
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 Жыл бұрын
@@BabaBalingasi-hp6gd laana sasa inawatafuna na bado kila mmoja atalipwa na mungu kwa kadrii alivyo husika mungu atawa zihirisha siku sio nyingi maana hizi ni dalili tu.
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
@@emanuelymichael9759 kabisa aiseee ningetaka hata wasifike 2025
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 Жыл бұрын
@@BabaBalingasi-hp6gd miaka mi 3 mingi
@raymondmwandamila2675
@raymondmwandamila2675 Жыл бұрын
Ee Mungu simama nasi amina.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 Жыл бұрын
Hii kali, mutumishi wa Bwana ujumbe umeeleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 Жыл бұрын
Mtumishi ametoa neno. Bandari imekuwa sintofahamu 😢
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Жыл бұрын
Ewe mungu wetu baliki mtumishi wakohuyu ibaliki Tanganyika tupushie viongozi wasio nahuluma nasisi mungu 😭😭😭😭😭amen😔 ,?
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI!
4:37
Mateso ya kimyakimya: Sheikh Ponda azungumzia kifo cha Ali Mohammed Kibao
44:53
Mbarikiwa ahoji CCM kusema watajilinda kwa damu zao. Mna maana gani?
19:24
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 19 М.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 400 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 86 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН