Mh Waziri Ahsante kwa kuja Kinyerez......hali ilikuwa mbaya sana Meneja na watendaji wake wotee ungetubadilishia#Waziri uko juu sana#Mwanaume na Nusu🔥🔥🔥
@EdsonPaschal6 ай бұрын
Mh unafanya kazi nzuri sana!utendaji wako hauna mashaka,mh tunakuomba sana njoo bulala kata ya buhogwa wilaya ya nyamagana hatuna maji mwezi mzima hila bill za maji zinatoka!mh ziwa lipo kilometet 3 hila tunachangamoto kubwa sana ya maji.
@maureenmnimbo16656 ай бұрын
Kinyerezi hatuna Maji MIEZI minne hatimaye Leo yametoka nimepataaaa lita 2000
@mathiasmichael99156 ай бұрын
Aweso Aweso You deserve to be the President of Tanzania
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
No he doesnt. where was he all that time ndo yuaja saa hizi? they should take a leaf from Hn Silaa..he pulled his sleeves the next day after being sworn..talk about Aweso...this guy came cause eledctions are around the corner..wasteful of resources and mercilessly they care nothing about us
@rosetowo26786 ай бұрын
Toa utawala wote wa Dawasa Waziri,hawafai
@2003hintay6 ай бұрын
Surat za watumishi wa maji hapo wanamsikiliza WAZIRI huku wanamuona kama anampigia mbuzi hitaa wanaonyesha dharau
@feezdidthis22206 ай бұрын
Wameamua kuja kutafutia kura za 2025 uku, haya ngoja tuone
@Piscesblair6 ай бұрын
Watendaji wanakosa uweledi (professionalism). Hipo haja ya kuandaa benchmarks kurahisisha uwelewa wa pamoja katika taarifa zinazoandaliwa na watendaji.
@davidchihimba94896 ай бұрын
Tabata maji ni mara moja kwa wiki
@abdallahmmary85916 ай бұрын
Naombeni mwenye no ya aweso jamani nipo arusha tunabambikizwa bil atari mpaka ina tisha nilienda kwa Makonda hypo ofisin yupo kwenye matibatu
@josephatmathiasgalagalabuh7866 ай бұрын
Mkuu njoo na Mbezi Msumi.Tunaishi maisha mabaya sana jamani maji hayana dalili eti naibu wako akasema tujimbe visima
@ayoubmtumishi506 ай бұрын
Wananong'onezana kumbeza waziri hawa wafanyakazi mmmm😂😂
@FloridaAdelinus6 ай бұрын
Muheshimiwa tumechoka kudanganywa. Kila mara maneno hayo hayo hakuna maji sasa miaka 15 wakati tuliambiwa mchague Mabula Nyamagana Maji itakuwa historia, sasa tuko tunaisoma namba maji 0 yakitoka ni saa 8 - 9 usiku kufikia asubuhi hakuna maji.
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
huyu anafukuza w/kazi alafu anaweka wakwake ili kuchukua hela ya serikali..Aweso anatuona sie danganya toto. hamana kitu hapo.ni vile uchaguzi umekaribia..sioni wana moyo wakusaidia w.nchi. mioyo yao haipo kabisa. Aweso ametokea wapi? sikuzote alikuwa wapi? wizara yake imeoza kabisa huyu
@mohamedomari61296 ай бұрын
Kijana mdogo, mzuri Lakini akili kisoda.
@saxannjo61736 ай бұрын
Mtu mmoja anatumia lita 135 kwa siku. Mahitaji ya maji (174,650 × 135) kwa siku.
@EmanuelyMalugu6 ай бұрын
Maji hayatoki na yakitoka hayana presha tuelezane kuna nini tofauti na awali jilekebisheni
@ismailmasoud60016 ай бұрын
Ndio maana jambo la kwenda Field Kwa viongozi wa juu ni la muhimu sana, MAJI yenyewe kwenye utumiaji Kwa mita Kuna 'CONSUPTION' ambayo itakujulisha UNIT zidisha BEI unagawanya Kwa CUBIC unapata kiasi cha GALLONS ambayo ndio TOTAL ya matumizi Kwa mtumiaji atayolipia, hivyo meneja ukiangalia DATA BASE Yako na ukiwa smart ni rahisi kukisia Kwa asilimia 90 ni kiasi gani cha Maji WALAJI wako wanahitaji.. Lakini Sasa hebu angalia maneja huyo 🤣🤣🤣 yaani unaona kabisa , huenda kana Elimu ya Chup nzuri tu', lkn hajui Nini maana ya NAFASI aliyopo yeye yupo KIIMLA zaidi, yaani kusoma makaratasi ya ofisi na sio kujua mtaani watu wanahitaji Nini ....VIJANA tukipewa kazi tufanye KAZI
@rosetowo26786 ай бұрын
Wenyewe Dawasa wanasema kuna Siasa,na ndio wanazidiwa
@RamaAlly-pw4ql6 ай бұрын
Kimekukuch 🤣🤣
@2003hintay6 ай бұрын
Naombeni namba ya Awesu
@mohamedomari61296 ай бұрын
Sema ya nn nikupe
@suedissa75006 ай бұрын
Huy jamaa s Burton mawalupaso ama?
@bilalseleman58676 ай бұрын
Yeah ndo tumesoma nae bagamoyo secondary
@_Darthstewiemotivational6 ай бұрын
This guy is not straight forward, he asked the question..., give a straight answer😂
@Esterkomba-ef7eb6 ай бұрын
Siyo kuwasaidia nihakiyao
@lwitikomwakatumbula56726 ай бұрын
Mheshimiwa waziri aweso mbezi makabe pia bado tatizo la maji ni kubwa tunaomba jitihada zako tafadhali
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
hwanga shida na watu. wizara ya Aweso nimuozo mtupu..miaka yt hiyo bado w.nchi wanalia maji na mabillion yalishatengwa. wanakula hela ya serikali
@prince.eric_msemwa19946 ай бұрын
Dawasa ina ishuz sana, rushwa imeshamiri sana mijiini pia incompetence
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
sawa kabisa. usimuone hapo Aweso anafukuza w/kazi, anaenda kuweka wakwake ili wale pesa. kunamtu wandani kaniambia..amechukua maengineer wake ili ndo wasogeze pesa. Aweso hana moyo wakutupa maji..alafu mamboa ya viwango vya chini. kazi kweli
@rosehaule67656 ай бұрын
Amna.kitu dawasa wahuni. Sana mnatuumiza mnoo sio siri mnatufanya tuongee hata atutaki kuongea
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
Aweso ni mzembe..miaka mingi tangu achaguliwe alikuw wapi? watu wengi wanalia maji..pesa mabillion yametolew. Aweso na watu wake wanakula. hapo anafukuza mtu kesha enda kuweka maengineer wake ili wawe wanakula hela. Aweso sijjui ni wawapi..sina hamu kabisa
@DanielSimon-s8c6 ай бұрын
unafanya kazi nzuli sana ila kwann haya mambo uwa yanatokean kipid cha uchaguz ....
@2003hintay6 ай бұрын
Mheshimiwa WAZIRI tunamuomba atembelee kata ya Tandale
Wasiwasi wangu wale waliyokuwa wanavuna maji wakastop wakati wa Magu huenda wamerudi. Maana kuna wakati maji yanatoka ya chumvi. Mazuri wanafungulia kwenye visima vyao. Sasa kweli ni haki watu kulipa bill ya maji yasiyoeleka? Vishoka ni hao hao wafanyakazi wa dawasa. Mbona kipindi cha Magufuli tulikuwa tunapata maji mazuri?
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
Aweso na wizara yake wamepewa mabillion ya hela..sasa Aweso kashiba ndo anakumbuka kusimama na kuanza kutoa hotuba ya kufukuza w/kazi..ameenda kuweka maengineer wake ili wawe wanakula hela..Aweso is incompetent..hapo ni siasa tuu. ametoka kulala ndo kaamkia hapo..baada ya hpo hamna utekelezaji. mwanzo mabomba ni chini ya viwango hela ingnie inapotea
@nth35126 ай бұрын
Huu ndo uzuri wa kiongozi kuwa ni mtu wa fani iyo
@JustinJoseph-k2t18 күн бұрын
Mtafukuzana xhana mfumo mbovu uko kwa kocha mkuu
@BhokeChacha-w2r5 ай бұрын
Waziri wa maji mbona mbezi hatuna maji shida Nini na hamtoi taarifa kwa Nini tunaomba maji mbezi
@rosetowo26786 ай бұрын
Wazabuni wanawadai hawalipi nikukaa tuu kwenye vikao,na kusema wanasiasa wanawaingilia,
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
hawa watu niwaongo. Magufuli tuu ndo walau alikuwa na moyo na nchi yake. hawa wengine hamna kitu. anachofanya kufukuza watu na kuweka wenzake. Ana moyo wa ajabu sana..mabillion ya hela yameibiwa kwenye wizara yake..huyu mtu so mwema kabisa
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
Aweso, where was you all that time when yu was elected Minister of Water? Now we can see these ministers parading out there as elections are getting closer..then after elections yu see them no more..first of your ministry is completely rooten..billions of TZS are wasted while you are in your office and here you are showing up so late and firing your subordinates..so unfair Aweso come'on now..this doesnt cut it at all sir
@MasterOil-qm6vw6 ай бұрын
Hatutaki maneno tunataka mita za kama luku utapeli hatutaki
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
huyu Aweso anaujanja mwengi..nchi nzima maji yashida kweli