AWESO AKASIRIKA VIBAYA, AMBANANISHA VIKALI AFISA UGAVI DAWASA - "KWANINI UMENIDANGANYA? WE NI NANI?"

  Рет қаралды 11,964

Wasafi Media

Wasafi Media

8 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 73
@aminamwashambwa6846
@aminamwashambwa6846 7 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu hakikisha watu wote tunapata maji
@Piscesblair
@Piscesblair 2 күн бұрын
Kama Mawaziri wote wangefanya kazi zao namna hii, utendaji wa kazi kimazoea ungekoma na tabia ya watendaji kuandika taarifa za uongo zinge koma kabisa katika utendaji wa watumishi wa umma. Hongera sana Mheshimiwa.
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 6 күн бұрын
Toa taarifa huko na domo lako kimelegea / zito km uji wa mapande 😂😂tumbua upes 😂😂
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 7 күн бұрын
Asante kiongozi wapeleke mchaka mchaka ,ndivyo inavyo takiwa
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 күн бұрын
Sasa hapa ndio mtaona kuwa watu wanapofuatiliwa na kuchukuliwa hatu hawaonewi, ni WAZEMBE , na hawana UTUMISHI kwa watu bali kwa MATUMBO yao na VIKUNDI vyao vya kula RUSHWA
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 3 күн бұрын
Ila wallah' nasema na allah shahidi, mtambue kwakila masonononeko ya kila mwananchi kwa chochote kile.... Ndani ya nchi yaje wallah viongozi hamtokua na salama yeyote' nyinyi binafsi pamoja na familia zenu, nawale wote wanaofanya kusudi na hali yakua wanajua kua hii ni dhima' Allah awalaani , awape maradhi ambayo hayana tiba wallah binafsi roho yangu inaniuma sana.... Kutwa wananchi tunaumia na nafsi zetu kila siku ya mungu......😢
@MichaelKilinga
@MichaelKilinga 3 күн бұрын
Kuna watu wanapata kazi mpaka unajiuliza walipataje kazi wallah
@zaitunihussein
@zaitunihussein 4 күн бұрын
Safi sana kiongozi. Watu wa maji wanatutapeli sana. Nenda jimbo la Bumbuli
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 7 күн бұрын
Hivi hizo akili matope kwa Nini asiseme ukweli tu
@kallystjonathan2377
@kallystjonathan2377 23 сағат бұрын
Hiyo ni sura halisi ya Idara na wizara zote za nchi hii
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 2 күн бұрын
Safi sana bana hao wanatuangusha sana
@godfreymwandara
@godfreymwandara 7 күн бұрын
Duh hatari
@injili90
@injili90 3 күн бұрын
Hapo aweso nje ya kamera alitaka hata kumpiga kibao lakini ameona kama kiongozi angeharibu
@user-rr1ri7nw7q
@user-rr1ri7nw7q Күн бұрын
Kijana chapa kazi Mama amekuwamini
@karloladislaus45
@karloladislaus45 2 күн бұрын
Wana danganya au wanakosa nafasi ya kujieleza??.....Fikiria mahakamani tungekua tuna pelekeshwa hivyo..nani angesema ametendewa haki??
@YahyaMbega
@YahyaMbega 2 күн бұрын
Anakudanga huyo ndio wenye maboza hao eakupa sihasa
@ibba8082
@ibba8082 6 күн бұрын
Huyu Jamaa Kichwani Amejaza Majina ya Wafumu(Waganga Wa Jadi).Uwezo Wakufanya kazi HamnaMazingahombwe tu Ndo Amejaza Kihunoni !!!😂
@mbwanaabdallah8525
@mbwanaabdallah8525 Күн бұрын
Tumepeka maombi mapinga wananchi 50 kutoka mwezi wa kwanza 2024
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 Күн бұрын
Kumbe ndo maana maji hayatoki na mimvua yote ile ....nilikuwa nashangaa how comes maji hayatoki na mvua zmenyesha na serikali imetoa mabilioni kwenye bajet kumbe kuna wafelishaji huku down.
@augustinodaniel5574
@augustinodaniel5574 7 күн бұрын
Sako kwa bako ndo hii
@costakihuru4937
@costakihuru4937 4 күн бұрын
Ukweli humweka mtu huru.😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 күн бұрын
Hizo taarifa unazoziona ni kwa wakati wa Magufuli. Nidham ya kazi tuliiona.
@wemacs
@wemacs 3 күн бұрын
3:22 aah mkuu naomba unisamehe😂 hii bhana jamaa kamzunguuusha Waziri kumbe anapiga hesabu, mpaka zinagoma ndo anastuka😂
@ghotmedia
@ghotmedia Күн бұрын
Huyo jamaa ningemzaba vibao adi masikio yazibe😂
@BallBrainersYT
@BallBrainersYT Күн бұрын
Tunailaumu serikali kumbe wenzetu wenyewe ndio wanaotukwamisha. Hawana uadilifu kwenye kazi zao
@mbwanaabdallah8525
@mbwanaabdallah8525 Күн бұрын
Jamani aweso tukumbuke na sisi wakazi wa kidimu kibaha
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga 3 күн бұрын
Kulachuma
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 күн бұрын
MUESHIMIWA HAWA WANAFANYA KAZI KWA MAZOEA MI MWEZI WA TATU NIMELIPIA MAJI NA SIJAYAPATA
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 7 күн бұрын
Njoo Sinza madukani mwezi watatu sasa bila maji safi
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 2 күн бұрын
Wamcheki hajajikojolea huyu jamaa kweli
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 2 күн бұрын
Kimeumana
@Zenny89
@Zenny89 3 күн бұрын
Na Waziri mwenyewe anatakiwa kujiuzulu…Kwani amekuwa waziri wa Maji Muda gani?
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 7 күн бұрын
Mambo ya estimation au sio ?
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 күн бұрын
Viongozi wote wa Tz nzima eleweni tu kinachoirudisha nchi nyuma kimaendeleo ni hili neno kulindana, kubweteka, na kutokuwa mzalendo, woga, uvivu, na kunafkiana, ifike mahali muache hayo, fanyeni kazi ya kulijenga taifa.
@user-ow7pl6tz2c
@user-ow7pl6tz2c 6 күн бұрын
Yani dawasa nitatizo niwazembe sana na nimajeuli sana
@Kiburudisho
@Kiburudisho 4 күн бұрын
Yaani kuna wafanyakazi nchi hii wameajiriwa wanakula mshahara wa serikali ambao unatokana na kodi ya wananchi lakini hawajui kabisa majukumu yao
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 7 күн бұрын
Adi watoke mapovu, ndiovyo inavyo takiwa
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 2 күн бұрын
Njoo na huku busweru na butindo atuna maji
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 7 күн бұрын
Miji ikipangwa vizuri hakutakuwa na shida
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 2 күн бұрын
Jama huwa wanafanya kazi kwa mazoea sana
@YahyaMbega
@YahyaMbega 2 күн бұрын
Kama wanakudanya sisi wanatujibu ww subiri pinga makofu huyo unambembereza shemeji yako huyo
@naturelle1097
@naturelle1097 3 күн бұрын
Such workers can give you a heart attack ...hata ofisi anayofanyia kazi kasahau😢
@fredymike3494
@fredymike3494 7 күн бұрын
Aweso ukiona kura za jimbo kwako hazitokitoshaa nipo hapa nije nikupigie na mimi we ni jembe kuna majimbo yamebarikiwa watu bhn
@YahyaMbega
@YahyaMbega 2 күн бұрын
Wanakupotezea muda hao wanafanya mazoea
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 7 күн бұрын
Dah ndugu yangu huyo noma sana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
Aweso anafukuza ma-engineer alafu anaweka watu wake kisha wanakula hela ya wizara yake..nimeambiwa na mtu wa ndani kabisa...Aweso yeye ni kuzunguka tuu mikoani lakini maji hayatokii..Aweso you can do better than this sir...com'on now
@JOVICTORY2020
@JOVICTORY2020 7 күн бұрын
hiii inch tatizo watanzania tunao aminiwa na serikli hatuko srious hivi mtu kama huyu mimi na mchapa makofi , kwa upumbavu huu ata laumiwa Rais ?
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 күн бұрын
Usishangae kuona wapinzani au wanasheria uchwara kuona hatua hizi zinazochukuliwa kwenye ziara kama hizi ni uonevu....lkn kiukweli kabisa watendaji wengi wanapewa nafasi lkn hawajali wananchi Bali ni WAO na MATUMBO yao
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 6 күн бұрын
Wee nae huna akili mtu afanye kazi vizuri upinzani wapinge tena ccm wanaofanya kazi ni wachache Jerry silaa​ makonda aweso@@ismailmasoud6001
@naturelle1097
@naturelle1097 3 күн бұрын
Hio subira nani anayo mara upelekwe huku mara kule
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 күн бұрын
Cheche 😂😂😂😂😂😂
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 күн бұрын
Hii shida inaonyesha kwamba watu wa serekalini wamezoea kufanya kazi kwa mazoea na sio kwa weledi, mijitu inabweteka tu , hakuna anaewafatilia , wao wanapewa magari, dereva, mafuta, mlinzi, vocha, posho, nk, alafu kumbe hata hawawajibiki ipasavyo, wanyonyaji wakuu wa Serekalini na kula kodi za maskini . Inauma sana.
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 4 күн бұрын
Wazir mkuu ajae Natabiri
@YahyaMbega
@YahyaMbega 2 күн бұрын
Mpige gumi mnyange akiri kwanza mpumbavu huyo
@gwamakajohn7122
@gwamakajohn7122 3 күн бұрын
Viongoz wangekuwa ivi yn
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 күн бұрын
Mtu yupo kazini ila hana hata document moja ya kazi anayo fanya 😂
@WilsonWela
@WilsonWela 4 күн бұрын
Kero zamaji naumeme haziwezi kuisha unalioa pesa kupata maji au unememe inakua shughuri
@NanaMaembe
@NanaMaembe 3 күн бұрын
YANI LIJITU LIMEAMINIWA NA RAIS LISIMAMIE MAJI ILI WANAINCH WAPATE MAJI..... LAKINI LENYEWE LINALETA OUNGO MUONGO TU
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 4 күн бұрын
Aisee hii nchi.imeoza kila mahali bac ukiwafata ofcn kwao ww raia wakaiwa walivyokuwa na zarau mbwa hao
@user-mq1kw3dk4u
@user-mq1kw3dk4u 2 күн бұрын
😂😂
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Күн бұрын
Ni mishetani hiyo ona hata mavazi yao mjoto wote lakini wanavaa mihoods na ukiona mijitu inakuchezea kama kitenesi basi juwa kabisaa hata huyo waziri hajitambui huo ndio ukweli mbona JPM ilikuwa papo kwa papo na kuna ile mijituz flani flani eti hakizabinaadamu kwa mishetani kama hayo hayajitokezi ila ukiligusa shoga au sagaji utayaona kwenye tv 📺 mpaka mishipa ya shingo na OMO kama zote 😭😭 RIP mzee baba Magufuli
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 7 күн бұрын
ukisikia bampa tu bampa ndo hiyo duuh
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 7 күн бұрын
Kweli mwana Bampa tu bampa
@naturelle1097
@naturelle1097 3 күн бұрын
😂😂😂😂haruki mtu
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 7 күн бұрын
Mfumo wa JPM hadi raha 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f 4 күн бұрын
Ndio urithi aliouacha Jpm Kwa wanasiasa
@RiddoRiddo-jj1bx
@RiddoRiddo-jj1bx 5 күн бұрын
Mm sielewi ivi ayo mambo yenu mkifanya out of camera yatakua hayaendi au n siasa za kijinga
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 күн бұрын
Ni Bora tuwaone waone aibu
@user-zm4mm4eb5j
@user-zm4mm4eb5j Күн бұрын
Jamaa mdomo umekuwa mrefu kama chupi iliokatika mpira kazi uongo na uzembe vilaza wakubwa hawa
@moriscollins4494
@moriscollins4494 4 күн бұрын
Arusha jiji la kitalii maji hakuna na mradi mkubwa wa billion 500 upo mkuu upitie na huku
@davisnitu890
@davisnitu890 4 күн бұрын
Njoo sowasa uku kuna madudu kibao mkuu.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 51 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 152 МЛН
AZIZ KI ASAINI MKABA MPYA YANGA/TAZAMA ALICHOKISEMA HAPA.
0:40
Русалка
1:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,8 МЛН
Такого они не видели😱😍
0:55
Следы времени
Рет қаралды 3,5 МЛН
ПОМЫЛ МАШИНУ #shorts
0:26
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,6 МЛН
Мужчина С Золотыми Руками 💪
0:42
EpicShortsRussia
Рет қаралды 3,2 МЛН