HAJI MANARA AFUNGUKA KUHUSU ALLY KAMWE "HAKUNA BOSS" | TUTAFANYA KAZI PAMOJA | AJIBU MASWALI

  Рет қаралды 84,275

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Пікірлер: 104
@bisejulius4100
@bisejulius4100 2 ай бұрын
Karibu sana mwamba, tulikumis.
@veelmng7746
@veelmng7746 2 ай бұрын
Karibu sana Bugati tulikumiss sana kwenye mpira
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 2 ай бұрын
Tunamtaka manara kitengo Cha Usemaji Kamwe Abaki Afsa Habar!!! Safiii sanaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ manara
@sifatiiman
@sifatiiman Ай бұрын
Nyooooo😏😏hatumtaki
@ismailmsoke3730
@ismailmsoke3730 2 ай бұрын
Uko sawa
@manasecharles894
@manasecharles894 2 ай бұрын
Mwamba huyu hapa 🤝🤝🔥💛🔰
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Sema tena🤣🙈🙈huyu kiboko
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 2 ай бұрын
Ajj kudadeki nimependa unavojibu maswal kwel wew ni giant🤝🤝🤝
@SmilingBubbleTea-vm3nz
@SmilingBubbleTea-vm3nz 2 ай бұрын
Nimefurahi sana kufunguliwa kwako Haji Manara
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 2 ай бұрын
Wew ndio umemfungulia?
@abednego1042
@abednego1042 2 ай бұрын
We nae unataka kują kutuvuruga tu! Najua Eng. Atakutafutia kitengo, ile kwenye usemaji , tumesharidhika sana na Ali Kamwe
@alicenice1711
@alicenice1711 2 ай бұрын
We utakua kolo😂😂
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 2 ай бұрын
Huyu huwa siyo msemaji wa yanga ila huwa mhamasishaji wa yanga
@MastaMbwilo
@MastaMbwilo 2 ай бұрын
Chukua Pepsi big. Unahoja nakuunga mkono.
@MaxMatinde
@MaxMatinde 2 ай бұрын
Umeona ee
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 ай бұрын
Mokolo hawampendi Manara kwasababu tangu atoke simba timu lao Makolo halifanyi vizuri
@rashidmalilo3657
@rashidmalilo3657 2 ай бұрын
Huna lolote unafata tonge tu mwachie kijana wa watu ally kamwe Paige kazi tunampenda kijana mwenzetu
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 ай бұрын
Aibu kwa visununu walio hamia kule. --- kutoka kule " wanajitoa mpaka ufahamu kwasababu ya chuki binafsi "
@MudyMuzungu-g9g
@MudyMuzungu-g9g 2 ай бұрын
Ndo ukubwa uo I prisiate that😊
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Ally Kamwe kazi anayo,,,,,shida ishamkuta!!
@kadito-kenya
@kadito-kenya 2 ай бұрын
Boss ni Mungu fanyeni heshima watangazaji😂😂
@fahadfahmy
@fahadfahmy 2 ай бұрын
Namkumbuka Dr Sule alisema Domo lamanara linahofisha Ynga itachukua makombe Back to back
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 2 ай бұрын
Bugatti kama Bugatti hatimaye karudi twende kazi
@MtashobyaJosia-wt9jq
@MtashobyaJosia-wt9jq 2 ай бұрын
mtashobya josia nikiwa Kenya isibania karibu Sanaa kamada wetu tuko pamoja mpaka mwisho jibu maswari machache wasikuweke Tena kweye majaribu kuwa makini bugati
@MohamedShivji-v6i
@MohamedShivji-v6i 2 ай бұрын
Safi sana bugatti.. Karibu sana mpambambanaji
@SteveKamwaya
@SteveKamwaya 2 ай бұрын
Sawa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
Boss wa Yanga ni mmoja tu, naye ni Engineer Rais Hersi Said! Hakuna sababu ya uchonganishi na uchochezi!
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 2 ай бұрын
Nakubali sana haji
@VaiEliass
@VaiEliass 2 ай бұрын
Turikumiss sana
@patrickfulano5282
@patrickfulano5282 2 ай бұрын
Interest ni Football " a pin point"
@OmaryShemgomba
@OmaryShemgomba 2 ай бұрын
Nakubali manara
@dullamuso6955
@dullamuso6955 2 ай бұрын
Welcome Back Bugati
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 Ай бұрын
Fanya kazi ya kuipeleka Dini mbele acha Tena na Mambo ya kipuuzi
@faustinlufungulo1976
@faustinlufungulo1976 2 ай бұрын
manara fanya mambo mengine pale yanga ally anatosha
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 Ай бұрын
Huyu Hana lolote wakati hafanyi Mambo ya kumpendezesha Allah
@LivadoBrayson
@LivadoBrayson 2 ай бұрын
Nakubal
@aboubakarylilah2396
@aboubakarylilah2396 2 ай бұрын
Haji kuwa na kauli nzuri sie sote yanga usiwaje watu usimi
@MudyMuzungu-g9g
@MudyMuzungu-g9g 2 ай бұрын
Xafi xanaaaaaa
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Bugatii baba lao,shusha like
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Ila unapenda UKUBWA NA SIFA,
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 2 ай бұрын
Uo ushamba wa kumchukua zailisa tujue ndoulumbukeni au Acha ujinga mbona kina ingenear wanita comfrenc hatuoni wake zao ulimbuken haji hunaishu unaliwa pesa tu apo😊
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Ila Wenye D 2 tumeelewa kuwa bosi ni yupi!.
@ismailmsoke3730
@ismailmsoke3730 2 ай бұрын
Nakukubali
@salehhassan87
@salehhassan87 2 ай бұрын
Bugatti ninavyokujua Kwa Ali Kamwe , mtagombana tu , na kwenye office yoyote lazima kuwe na boss kwa Mujibu wa Taratibu za yanga Haji manara ni msemaji wa yanga na Ali Kamwe ni Meneja wa Habari na Mawasiliano , hivyo Ali Kamwe ni Boss
@justusmukurasi4383
@justusmukurasi4383 2 ай бұрын
WATAFANYA kazi tu
@stephano263
@stephano263 2 ай бұрын
Alikamwe anatosha kaka
@jseventz
@jseventz 2 ай бұрын
ally abaki msemaji ameipa mafanikio team huyu ni kama mzee magoma tu
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Sawa Bugatti
@MalifezaMajidi
@MalifezaMajidi 2 ай бұрын
Kalibu mwamba wetu tubebe kombe la CAF
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 ай бұрын
Manara wewe ndio kilakitu.lazima wewe ndio ubaki.huyo mwingine anatumia nguvu sana sio mambo yake hayo.wewe ndiyo ubaki tunakupenda manara.tulikumiss
@abdulkarimsalum356
@abdulkarimsalum356 2 ай бұрын
Ali kamwe hamfikii manara. apo sas makoro watajuwa hawajui 😂
@MariaJakobo
@MariaJakobo 2 ай бұрын
Tunakuitaji bugati wanachi wamekumis sana
@YonaHizza
@YonaHizza 2 ай бұрын
Mgali fulan mkuubwaaaaa😅😅😅 tens kalibu
@TumainiBraytoni
@TumainiBraytoni 2 ай бұрын
Apo manara Ana jipendekeza tuu😂
@davidwatson6821
@davidwatson6821 2 ай бұрын
Ali Kamwe kwisha habari yake
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej 2 ай бұрын
Manara wallah nakukubali sana kwa shughuli za mpira wengine wanaiga
@komboarts7110
@komboarts7110 2 ай бұрын
Yanga anatawala Tanzania kwa mpira Nchi kwa misimu mitatu ndo anatawala acha Uongo zungu😂😂😂
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 2 ай бұрын
Uyu Manara anasema kwenye wametoka kumya5 camana dufahamishe kumyaka5 nakumyaka 2 huoni utfauti??? Kumya2 kombe2 kumyaka5 irikuwaje?? Uyu Manara nimagoma naba2😛😛😛😛
@faustinlufungulo1976
@faustinlufungulo1976 2 ай бұрын
mimi naona ally kamwe anatosha hersi mtafutie haji manara cheo kingine
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 ай бұрын
😂😂wanyoshe waandishe waandishi wamchongo😂😂🎉🎉🎉🎉
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 2 ай бұрын
Bugatti ni kifaa Hana baya aisee
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 2 ай бұрын
Gonga like kwa Bugatti hapa
@deejeydaev
@deejeydaev 2 ай бұрын
Mwandishi kapigwa mbata.. soma hahaha
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 ай бұрын
............is back😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@barickprogrammer
@barickprogrammer 2 ай бұрын
Umeanza kumsema boss wako😅😅😅😅😅
@justusmukurasi4383
@justusmukurasi4383 2 ай бұрын
😂 Sure
@ahnafaykhan698
@ahnafaykhan698 2 ай бұрын
sema tulia na mkeo shenz kabisa
@yoramzakeyo7261
@yoramzakeyo7261 2 ай бұрын
ss Ali kamwe anatutosha jaman uyu nae tena
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 2 ай бұрын
Sasa upere umemkuta mkunaji uyu ndiyo mtu wa hamasa kiukweli kama mwana yanga nimefurahi sana
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 2 ай бұрын
Kwani bado umeajiliwa
@habibseif8989
@habibseif8989 2 ай бұрын
Manara anakuja kuivuruga idara ya habari ya Yanga
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Hilo ndio linalokuja kutokea,,,
@makamelila
@makamelila 2 ай бұрын
Wasemaji 2 naonhawa mh haya
@JonayMbelwa
@JonayMbelwa 2 ай бұрын
Bro bugatti nakuelewa ww piga kaz maneno yapo 2
@NwakaMwangajapho-p3h
@NwakaMwangajapho-p3h 2 ай бұрын
ata mtukane karudi kama amtaki tuachie tunae mtaka kawakosea nini
@MuhamedHassan-l5u
@MuhamedHassan-l5u 2 ай бұрын
Mungo huyo kamwe hana lake
@SamsonLigaile
@SamsonLigaile 2 ай бұрын
Acha zako wewe Ally kamwe boss wako huwez ondoka
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 Ай бұрын
Na huyo mke wako msitiri
@VumiliaMtenda
@VumiliaMtenda 2 ай бұрын
Atuachie kamwe wetu
@alicenice1711
@alicenice1711 2 ай бұрын
Nakupenda bugati,zaylissa niachie sasa inatosha bhana 😂😂😂
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 2 ай бұрын
Kazeeka Asee ... Afu huyu zai Nae Hata kama NI Hela Asee Daaah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Haji sio Mzee kiivyo, ni ngozi zao Tu ndio zilivyo na ndio zinazomfanya aonekane Mzee,,,,
@VaiEliass
@VaiEliass 2 ай бұрын
Mwaka huu watakoma mwamba karudi
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 2 ай бұрын
Soga tu huyu hatumtaki yanga mnafiki maluku huyu simba
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 2 ай бұрын
Manara huna lolote Unalongolongotu Aca Ally Kamwe aendereze kwenye urishindiwa tumefika mbari na Ally Kamwe acamaneno sasa iyimyaka miwiri Yanga ingekuwawapi??? Rudi simba tuwaciye Ally wetu
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 ай бұрын
Bos wako alli kamwe wewe acha ujinga yule alikamwe nibos wako wewe
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 2 ай бұрын
Labda co operative n ugomvi Huna jipya
@davidwatson6821
@davidwatson6821 2 ай бұрын
Kumekucha kumekucha
@antonykpatricj2864
@antonykpatricj2864 2 ай бұрын
Bugatti mmoja 2
@katalisajuka-fl3st
@katalisajuka-fl3st 2 ай бұрын
Mmmm Kamwe kazi anayo
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Mbona unazeeka sana Nakushauri hii Fani ya usemaji uachane nayo hora uwe kocha wa uto
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 2 ай бұрын
Mwamba gani.mvuta sogara huyo
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 2 ай бұрын
Magoma shugulika na huyu naye
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Thubutuu hizo pesa unatoa weee kenge wee jenga wee huo uwanja kama rahisi mbona hana nyumba huna na unapanga hadi leo
@mohamedindalo2663
@mohamedindalo2663 2 ай бұрын
Manara ni bland sio kama Hana nyumba
@rashidsaid678
@rashidsaid678 2 ай бұрын
Bugati ni mmoja
@senisamwel4048
@senisamwel4048 2 ай бұрын
Ali kamwe na privaldinho vitumbua vimetiwa mchanga
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Shida wanayo,,,,maana huyu bwana ni mtu wa tulumbatulumba
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
HAJI MANARA UKO VIZURI ILA ITAPENDEZA ZAIDI UKIREJEA SIMBA SPORTS CLUB
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Alishafukuzwa SIMBA
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
@@jumakapilima7295 JE PALIKUWA NA UHALALI WA YEYE HAJI MANARA KUFUKUZWA SIMBA? Hata kama kafanya MAKOSA HAJI MANARA ANASTAHILI MAUA YAKE.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
@@YOSHUAMWAMPETA hakuna aliyejuu zaidi ya taasisi
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
@@jumakapilima7295 JE HIYO NI HOJA YAKO?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
wewe ni chawa lazima Rafiki zako wote wawe na pesa
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 107 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 30 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 107 МЛН