Рет қаралды 20,823
Tazama magoli yote saba yaliyofungwa kwenye mchezo wa Muungano Cup kati ya Azam FC dhidi ya KMKM ambayo ilimalizika kwa vijana wa Chamazi kushinda magoli 5-2.
Magoli ya Azam FC yamefungwa na Iddy Nado, Abdul Sopu, Nathaniel Chilambo na Idd Kichindo.
Magoli ya KMKM yamefungwa na Abdulrahman Ali