Highlights | Mwamnyeto Foundation 2-1 Mbeya All Stars | Mechi ya Hisani 15/06/2024

  Рет қаралды 19,951

Azam TV

Azam TV

11 күн бұрын

Timu ya Bakari Mwanyeto na Zawadi mauya (Mwamnyeto Foundation) imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya All Stars iliyojumuisha wachezaji mbalimbali wenye asili ya mkoa wa Mbeya.
Mbeya All Stars ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 5 kupitia kwa George Mpole kabla ya Yacouba Sogne kuchomoa dakika ya 16 na kisha Denis Nkane kufunga la ushindi dakika ya 90.
Ni mchezo wa hisani uliopigwa leo kwenye Dimba la Sokoine Mbeya, ukiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya watu wenye uhitaji.... Mchezo huu ni sehemu ya tamasha lililo chini ya Taasisi ya Mwamnyeto Foundation.

Пікірлер: 5
@Johkim-ug6hl
@Johkim-ug6hl 9 күн бұрын
Me wa2
@CHIIZATV-hl4zu
@CHIIZATV-hl4zu 9 күн бұрын
Karibia timu yote yanga😢
@GodyZablon-jd9wc
@GodyZablon-jd9wc 9 күн бұрын
Mimi wa kwanza
@user-bs3pl2mp4m
@user-bs3pl2mp4m 9 күн бұрын
0 0. 0. ⁰⁰. 2wsa😅ss
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 17 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 13 МЛН
Which one of them is cooler?😎 @potapova_blog
00:45
Filaretiki
Рет қаралды 10 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 6 МЛН
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
AHMED ALLY ATANGAZA VICHEKO SIMBA
1:23
MTEBE TV
Рет қаралды 12 М.
Leglock in MMA 🤪 #shorts
0:17
Riccardo Ammendolia
Рет қаралды 565 М.
#football #soccer #worldcup #edit
0:14
AIRBAG
Рет қаралды 9 МЛН
Will You Help Messi? Ronaldo help Messi? #shorts    #football
0:29