Рет қаралды 1,335
#TFFU17ClubsLeague Timu yetu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Azam FC U-17), imeanza vema michuano ya Ligi ya TFF kwa vijana wa umri huo, baada ya kuichapa Cambiaso Academy mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Karume leo Jumamosi jioni.
Mabao ya Azam U-17 yamefungwa na Daudi Said (11’ 58’), Cyprian Kachwele (25’ 49’) na Arafat Masoud (78’).
#WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora