Jamani tusitegemee viongozi wetu kuleta maendeleo hata sisi wananchi tunaweza leta maendeleo minasapoti hii movement
@paschaljohntz42952 жыл бұрын
Miaka miwili sasa hakuna daraja, au mmeamua kujenga familia
@mubabray98452 жыл бұрын
Ah ah ah ah ah ah
@kahroogall56954 жыл бұрын
Asante baba
@irenewile2 жыл бұрын
Diaspora Sisi Sisi Au wengine 😆😆😆🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ommahley3342 жыл бұрын
Nio
@gangmore90912 жыл бұрын
Tengezeni daraja pale Jangwani ili ikija mvua gari zipite 🤣🤣🤣
@frankdanford82452 жыл бұрын
Yaani hata huko misri hawajawahi kuuwaza ujinga huo munashindwa kuichomoa MV bukoba iliyozama miaka 26 iliyopita ipo mita 300 tu kutoka usawa wa ziwa ndio mujenge daraja la Kilometa 80.
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
HATUTAKI MUUNGANO DARAJA LITAANGUSHA KAMA LA URUSI 😊😊😊
@restymlale60035 жыл бұрын
Muongelee jinsi ya kusaidia Diaspora kuwekeza nyumbani.
@TeamKRX2 жыл бұрын
Munaogopa bahari munataka daraja mutakuja zama na daraja Lenu kwa kuiga wazungu na wachina hatutaki hishiiiii
@lilyg2134 Жыл бұрын
Nyie wekezeni tu ila msisahau Ni muungano wa nchi mbili ukika kuvunjika sijui itakuaje…
kwani ww unaubora gani? mmbora wetu mbele ya allah ni mchamungu hivyo ww huna utofauti wowote na binadam wa aina yoyote acha uzuzu
@emxsimba40252 жыл бұрын
Sa kua mzanzibar noa ni ujanja 😂😂😂 acha ufara mkuu
@specialcuty6522 жыл бұрын
Hakujawekwa daraja wabongo teleee likekwa je
@kilianmtotowamungu388510 ай бұрын
Huu mpango umeishia wapi?
@ngamanyajoshua8392 жыл бұрын
I think Kuna Mambo mengi ya lazima na sensitive ya kuyafanya , kuliko kuliko kuwaza kujenga Hilo daraja.. Au ndio mnataka kum impress President tu.. Mje mtupige halafu mtuongopee Ooh pesa za diaspora
@monicakapama99772 жыл бұрын
Aya imeishia wapi iyo
@aleyidukury833315 сағат бұрын
Miaka 5 Sasa bhakhresa hawez kubali hujuma tupu ndio shida ya Uhuru wakupewa
@JeronimoSimon652 жыл бұрын
Two years now
@deekiwonyi43952 жыл бұрын
Mimi nataka tupeleke bahari mbeya kigoma na dodoma pesa ninayo
@mawazoaliselemani89092 жыл бұрын
uwezi kujenga daraja kutokea dar mpaka unguja,wakati bagamoyo ndio karibu na unguja,
@mzanzibariwakweli13122 жыл бұрын
Tutalipiga mabarut usku wa manane atutaki munganoo sisi daraja jengeni kwenu uko
@richardbegga66793 жыл бұрын
Hawa wehu wamefikia wapi huo mradi wao Yani mbeba boksi ajenge Daraja
@esteralbert47202 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@msabahaali7582 жыл бұрын
Watutengenee daraja la unguja na pemba wasitake kutupora kisiwa chetu kuijanja
@khadijarajab83832 жыл бұрын
Ulikiumba wewe icho kisiwa?.
@bigmoto49652 жыл бұрын
Bado wapo hai ? Bado tunasubiria...
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
DARAJA LA UKRAINE NA URUSI NDIO LIKALO KUWA HILO DARAJA 😅😅😅 HIZO HADITHI ZENU WEZI
@muhidinali81805 жыл бұрын
Washirikishwe wadau wasikae watu wachache wakatuamulia saivi hakuna daraja nchi imejaa warundi wanyaruwanda na wageni wasioingia kisheria kama mnataka madaraja kwanza jengeni mkokotoni tumbatu kojani wete fundo
@muury97232 жыл бұрын
Mmh huu mradi Uko wap sasa
@saidhamad97232 жыл бұрын
Hakujawekwa daraja daraja kushajaa .Tafteni shughuli ya kufanya .hatutaki daraja
@tumlakimwaitumule2 жыл бұрын
Sema hutaki sio hatutaki 😃
@saidhamad97232 жыл бұрын
@@tumlakimwaitumule hayakuhusu ya kwetu mwamba sisi tumekataa kwa maandishi ...
@tumlakimwaitumule2 жыл бұрын
@@saidhamad9723 we unakwenu?
@saidhamad97232 жыл бұрын
@@tumlakimwaitumule sina nipeleke kwenu mtanganyika wew jina baya tuuu
@tumlakimwaitumule2 жыл бұрын
@@saidhamad9723 sawa lako zuri 😂😂
@smithjones40994 жыл бұрын
wabongo viza kuja znzibar
@allykaucha42072 жыл бұрын
Wahuni tu miaka 2 imepita kimya
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔Jamani mbona halijaanza tunasubiri nini?
@bornfaceisaalivisonisaa74952 жыл бұрын
Haitokuja tokea hiyo
@asiakheir86842 жыл бұрын
Miaka miwili sasa, likowapi daraja?kusema siyo kazi, hata mimi naweza sema ntajenga gholofa, kumbe kibanda cha nyasi sina
@cosieonefilm2 жыл бұрын
🤣😂wamepotea
@khamisally95592 жыл бұрын
Likijengwa daraja malaya wataongezeka pale Unguja. Weekend Unguja itatapika. 😀😃😄😆😆🤣
@micamathew25952 жыл бұрын
Hiyo hesabu miaka 199 ijayo. Usije ukawaza ujinga kama huu.
@deustanzania5 жыл бұрын
Tutakua tunaenda kwa mguu
@walivyojuma70955 жыл бұрын
😂😂😂😂kweli kabisa
@kingjafu77595 жыл бұрын
Huwezi Tembea kilometa hizo kwamguu kama kutoka posta hadi kibamba kwanguu
@ipmalu99472 жыл бұрын
We don't need it
@fredynigga69482 жыл бұрын
diaspora
@MussaMkubwa-l6t Жыл бұрын
Jengeni kwenu sisi hatutaki madaraja yenu sw
@herikaniugu2 жыл бұрын
Gharama yake sio chini ya tshs trillion 20. China wana dalaja la km 160. Na Dar to TZ ni km 100.
@mawazoaliselemani89092 жыл бұрын
nani alikwambia TZ uguja umbali km 100?.umbali ni kutokea bagamoyo mpaka unguja ni km 30 tu
@theavailablemusic74022 жыл бұрын
Mie ntatoa bilioni 40 ujenzi ukamilike
@victorsanga22292 жыл бұрын
Diasporas tunyooshe mikono!!!
@ramirezsaane74442 жыл бұрын
Hatutaki daraja meli boti zinatosha msijemkatujazia watu tukashindwa hata kupumuwa
@tumlakimwaitumule2 жыл бұрын
Hama basi kama hutaki
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
PESA ATOWE BABA YAKO HANITHI MKUBWA 😊😊 BUSTARD
@zozohmeed55465 жыл бұрын
Mambo no moto
@matulanga52692 жыл бұрын
Mi ntatoa bilioni 20 kuchangia 😎
@hajiabdalla57722 жыл бұрын
Akili zenu kama mumefungwa juwani vile. Njaa mbaya
@mwigaali19422 жыл бұрын
Yanawashinda madaraja yandan wataliweza la dar znz ??ndoto
@frainreward59482 жыл бұрын
Mavi kbs hawa sasa daraja liko wap
@OmarMohamed-bp9ix2 жыл бұрын
Hatutaki daraja huku Zanzibar,,,Hatutaki kabisa
@pythagorasgibson33052 жыл бұрын
wanapiga pesa za meli zao zile hawakubal kutia barabara
@isayamwenga1521 Жыл бұрын
washamba wakubwa nyie tumieni akili daraja toka zenji hadi bara ita cost how much? Si bora mngewekeza mladi mkubwa utaowezesha raia kukosa ajira! Achaneni na daraja kuna meli ndege kufika zanzibar ni rahisi mno
@yahyasalim47542 жыл бұрын
tokeni mnataka kupiga hela 2 hamna lolote
@mathayonyerera31445 жыл бұрын
Kwanza hatutaki daraja,pili nyie waongo hamna uwezo huo!
@alkhudhertarek9762 жыл бұрын
Hatutaki au hutaki mbwa ww usiwaseme wenzio
@geraldsanzala81192 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa
@drgeofreykupaza77073 жыл бұрын
Ni mwaka sasa sijasikia
@professorzola77422 жыл бұрын
Halafu boti zake zifanye kazi gani
@saidal-hind53385 жыл бұрын
musitudanganye jamani daraja la kigamboni hata kilometers 9 halifiki limekaa miaka je kilometers 78 yani hee
@eliassospeter5 жыл бұрын
Sio 78 ni km 30 tu
@babylonyNgwembe3 жыл бұрын
Ndo unavyo waza hvyo ata kupanda boda kwako gharama
@regulardude17392 жыл бұрын
@@eliassospeter ni 78 toka dar kwenda Zanzibar,Inakuaga kilometres 100 na kitu kwa meli kwahiyo haiwezekani hiwe 30
@sebajseba7192 жыл бұрын
Hata Mimi ni tachangiya
@kipigapasilisungu25812 жыл бұрын
.
@ramakijiko11554 жыл бұрын
Hatutaki daraja huku Zanzibar, tena hatutaki kabisa.