Huyu mtangazaji aongezewe mshahara mala moja na apewe ofic
@mussabinford9872 Жыл бұрын
Sahih kbx
@KhadijaAliMohd-rn6mn Жыл бұрын
MARA MOJA" NASIYO "MALA MOJA"😉😉
@danielmkama24 Жыл бұрын
@@KhadijaAliMohd-rn6mn ahsante madam teacher ningekuja kuaibika mm
@ericksonmuhulo1570 Жыл бұрын
Kifaa Cha azam media hicho
@MichaelMathew-ke6bi Жыл бұрын
Tatizo sio la kiuhandisi au fedha, tatizo ni wivu za wazungu, hawataki watu weusi waingie kirahisi kwao. Wazungu ni mahovyo tu. Sio watu wale, wale ni mazombi tu.
@Tandalesse9 ай бұрын
Wazungu ni wabaguzi wa rangi wa asili na kama hiyo sehemu ya kujengwa daraja ingekuwa ndani ya nchi moja kama vile Kigamboni na Kivukoni hilo daraja lingekuwa limeshajengwa miaka dahli iliyopita.
@tumainmahona140Ай бұрын
Watatusumbua to
@tumainmahona140Ай бұрын
Bora hata wasijenge maana watafanya wizi to kwetu
@nakalikyumile32349 ай бұрын
Hata haina haja hakuna tija itayopatikana hata afrika ikiunganishwa na ulaya,zaidi watafaidika ulaya,kwa wizi wao
@zobakazizi76379 ай бұрын
Sababu kama hizi zilitumika kuhujumu uongezaji wa kina bandari ya Tanga. Mpaka mwaka Magufuli alipoamua uvhimbaji ufanyike. Kazi imeenda vizuri na sasa meli kubwa zinatinga nanga Tanga. Hivyo sababu walizozitoa ni ulaghai mtupu.
@aoloathumani10 Жыл бұрын
Tatizo hapo Wala sio pesa au sijui miamb kuwa migumu, ishu ni kwamba wazung hawataki haya mabara mawili yaungane coz wanahic kwamba itakuwa rais kwa watu kutoka Africa na kuzamia ulay na wao kitu kama hicho hawataki kitokee