Awamu hii SMZ mnatekeleza miradi tele ya ujenzi lakini cha kuhuzunisha wafanyakazi wengi kama sio wote wale wenye ujuzi wa kawaida km vibarua basi ni wageni, hivi SMZ mnashindwa kuwanufaisha vijana wa zanzibar kwa fursa hizo za ajira za muda mnazozitengeza? Ndo tumekua wavivu kiasi hicho?
@mwanangusana12 күн бұрын
Hakatazwi mtu mbona , wengi wetu hatuwez kazi za nguvu ,,,, tunapenda kulalamika na kutaka malipo ya juu as if kamapuni ni za wajomba zetu .