Nisaidieni Nina MTT anamiaka 3 anaumwa mgongo jamani mpka nimekata tamaa sasa kafikisha miak 6 lakni bado anaumwa amemeza dawa za tb ya mifupa mwaka lkn bd analalamika tu maumivu makali ya mgongo nifanyeje
@samuelhealthcare37914 жыл бұрын
Neema Ishengoma kama hujapata suruhisho wasiliana nami kwa whatsapp namba +255743358024
@byaombeabwe82142 жыл бұрын
Mimi mamangu kiuno akifanyi mouvement naomba msaada Dr
@hajikombo17673 жыл бұрын
Dokta mm mgongo unaniwaka moto cjuwi shida nn nienda hospito naambiea tatizo ni gesi lakin nimitumia izo daw za gesi hali bado iko vile vile naomba ushaur wako zaid
@omaryrashid78033 жыл бұрын
Check ulcers
@EdinaFredy-f3w4 ай бұрын
mimi pia kama wew vip unaendeleaj saizi
@julianapatrick791110 ай бұрын
Dr. Nimekuekew naomba namba kwa mawasiliano zaidi.
@benjaminmichael29393 жыл бұрын
Dr mimi natatizo mgongo kutokana kazi ya ufundi magari nimekuja muhimbili nikipata matibabu sikupata tena matatizo ya maumivu tena ila kwa sasa napata shida nikikaa napata maumivu makali chini ya makalio
@KanaAnitha8 ай бұрын
Kama mie apa naweza kufanya mazoezi ngani ?Kwa hajalii ya gari ,Dr
@happyjohn314 жыл бұрын
Mgongo ulianza baada ya kulala chini mda mrefu godoro liliisha sana kitanda hakikuepo mgongo ukaanza kuniuma sana had Leo naangaik na mgongo
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Wengine wanasema kulala chin ni vizur huwez kuumwa mgongo🙈
@rehemand0mwa6575 жыл бұрын
Mimi jaaman naumwa na mgongo unawaka moto katikati
@farhatyakuob59534 жыл бұрын
Ata mm unawaka moto kati na chini huku
@MohammedAli-tz1re5 ай бұрын
Asanteni kwa mafunzo mazuri LKN TUNAOMBA MUPUNGUZE SAUTI YA MZIKI ILI TUPATE UMAKINI WA KUMSIKILIZA DAKTARI VIZURI Shukran.
@gloriosehakizimana3789 Жыл бұрын
Na mimi nawe zakuyitumia nina sumburiwa na miguu kuwaka moto
@laurenciaalexander70317 жыл бұрын
dokta wa mgongoni nahitaji namba zako nina tatizo LA mgongo
@joycenasieku83742 жыл бұрын
Hii hospitali iko wapi coz mgogo karibu iniue
@nasrasalum55565 жыл бұрын
Mnapatikana maeneo gani?
@bintiiddy70434 жыл бұрын
Mimi nilikuwa nakaa Sana nikiwa nimejikunja kwamda mrefu 🙌🙌sao kwakumwa kule kumbe hizo pingili zimesongeleana kwasasa nafanya mazoez Mumgu mwema naendelea vzr kwasasa nalala chini nimehama hata kitandani
@naalyhussen32532 жыл бұрын
Kulala chini sakafuni au nijuzse tafaddhar
@hidayaathumani25458 күн бұрын
Mazoez gan unafanya maana mimi nasumbuliwa sana kesi yangu ni hyohyo kusogeleana kwa pingili
@FloraThomas-ky1rp Жыл бұрын
Samahan doct mi mgongo wangu nilipima nikaambiwa mgongo umepinda nikifanyaz mgongo unauma nashindwa kufanya Kaz vizur nifanyaje?
@lydiampayo5972 жыл бұрын
Me nadhani ungekuwa vzr kipindi kinapoandaliwa kieekee no ya simu au location mahali ilipo hosp ili iweze kumsaidia muhanga wa tatizo Hilo,kuliko taarifa zinatufikiia mnatupa maelezo lkn tunashindwa kupata tiba,Sasa msaada uko wap???
@julianapatrick791110 ай бұрын
Music mkal Dr
@glorykimaro56877 жыл бұрын
Naitaji no yako dr msaada pls
@erickmsimbe54248 ай бұрын
Doctor namba siwezi kutembea nimeambiwa pingili imesogea
@neemaeppah29928 ай бұрын
Vipi ulipata tiba ?tusaidiane jamani
@rahmaayoub75193 жыл бұрын
Je kulala fudi kunasababisha maradhi ya kuumwa na mgongo
@fatyqueen3464 жыл бұрын
Mimi sasa mgongo unauma mpaka nahisi kifo
@halimately36093 жыл бұрын
munapatikana wapi
@happyjohn314 жыл бұрын
Mi mgongo unaumag usiku tu nikilala tangu mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo bado sijapona
@chrischleopa77384 жыл бұрын
Nakushauri ufanye uchunguzi mimi nilikuwa hivyo nikaenda kairuki hosipitali ikagundulika kuwa pingili zangu L1&L2 zimepata shida kwahiyo nakushauri sana kabla hujaanza kupata ganzi
@happyjohn314 жыл бұрын
@@chrischleopa7738 mi nais ni kulala sana chini
@happyjohn314 жыл бұрын
@@chrischleopa7738 mana mda mwingi nalala kukaa Mara chache sana ata mazoez sifanyi
@chrischleopa77384 жыл бұрын
Pole sana mimi nilifanya MRI kairuki hosipitali sasa hivi nimehamia MOI na tarehe 31 mwezi huu nafanya tena MRI pale MOI,maumivu ya mgongo yanatesa sana hasa kiunoni kuna muda unahisi mtu anakupigilia msumali yani mimi silali chini mara kwa mara pia nakushauri kama utaenda hosipitali waambie wakupe lumber belt uwe unavaa kwajili ya mgongo ili pingili zisipishane,,,,tuwasiliane ili tupeane ushauri maana wote magonjwa yanafanana 0718445511 niko DSM
@chrischleopa77384 жыл бұрын
Dokta ndiyo amekushauri kulala chini au??
@najmagoa47273 жыл бұрын
Dokta nitumie no zako plz
@rizzagadetoonshoki91976 жыл бұрын
jaman mbona hamniambii kwa Arusha ntawapata wapi?
@shaimamabrouk99376 жыл бұрын
Njoo Muhimbili MOI
@hadijakabona9555 жыл бұрын
Mie naitaji no ya uyo drt
@samuelhealthcare37914 жыл бұрын
Hadija Kabona kama hujapata msaada na suluhisho wasiliana nami kwa whatsapp namba +255743358024
@salumupalango81443 жыл бұрын
Ninashida iyao yamgongo
@agnesmtawa2257 Жыл бұрын
Naomb namba yako doctor wa mgongo plz
@christinabiyengo29557 жыл бұрын
Mimi nilipata tatizo la mgongo baada ya operation ya uzazi. Hii inakuwaje na X-ray ilionyesha kuwa pingili ziko vizuri.
@seifmwalim81396 жыл бұрын
Pole
@farhatyakuob59534 жыл бұрын
Itakuwa sindano zile munazo chomwa maana wengi wao huumwa mgongo baada pereshen
@beathamashongole64263 жыл бұрын
Nami mgongo unawaka moto baada ya operetion yaani unaumwa mpaka siwezi mbeba mtoto wangu
@samiahango61033 жыл бұрын
Mimi nilipata ajar pia nilifanyiwa uparation. Ninamaumivu ya mgongo sana na homa.ajar nimepata mda ila uparation nina tree moth.