Yanga SC 6-0 CBE SA | Highlights | CAF CL 21/09/2024

  Рет қаралды 22,891

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Yanga SC imefanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kichapo cha mabao 6-0 katika mchezo wa mkondo wa pili, Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL
Magoli ya Yanga yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 35, Clement Mzize dakika ya 46, Stephane Aziz Ki akifunga mawili dakika ya 74 na 90+3, Mudathir Yahya dakika ya 88 na Duke Abuya dakika ya 90.

Пікірлер: 61
@MohamedAbdallah-dd2dm
@MohamedAbdallah-dd2dm 4 сағат бұрын
Young hii tunaweza tukaiona club world very impressive 👏
@DoriceSephania-jh6lc
@DoriceSephania-jh6lc 4 сағат бұрын
Kam we ni mwananchiiiiii like hapa💚💛🇹🇿🇹🇿🥰🙏🙏🔥🔥🔥
@UzimaHalisi-n8z
@UzimaHalisi-n8z 4 сағат бұрын
wao hawaogopi??? ❤❤❤ yanga mwaaaa
@DoriceSephania-jh6lc
@DoriceSephania-jh6lc 3 сағат бұрын
​@@UzimaHalisi-n8z😂😂😂😂💛💚💚Ss ndo yangaaa🙌🙌
@HALIMASHABAN-xd9rj
@HALIMASHABAN-xd9rj 3 сағат бұрын
Oyooooo💛💛💚💚🖤🖤
@DoriceSephania-jh6lc
@DoriceSephania-jh6lc 3 сағат бұрын
​@@HALIMASHABAN-xd9rjNaona cbe wa dar wameumia kuliko cbe wa sa😂😂😂😂😂
@AlfaMwasofu
@AlfaMwasofu 4 сағат бұрын
Msimu ujao tutashiriki kombe la Dunia la vilabu Inshallah
@aminahussein4866
@aminahussein4866 3 минут бұрын
Sikulala kwa rahaaa walah yangaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ThomsMollel
@ThomsMollel 2 сағат бұрын
Tukiacha ujinga wa kibongo for sure yanga kwa sasa inatixha
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 4 сағат бұрын
Kudos watani kwa kutinga hatua ya makundi 💚💚💚💚💚💚
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 сағат бұрын
Yanga hii unaifungaje 😂😂😂 nyie ni humu tu 💃💃💃💃 yanga baba lao 💛💚 wakisema cbe ni vibonde waulize wao walipigwa ngapi wanabaki kusonya tu 😂😂
@FrankDonald-j7i
@FrankDonald-j7i 3 сағат бұрын
Mpenjaaa salutee
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 сағат бұрын
Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💚💚💛💛💛💚💪💪
@HamisiMsafiri-m6n
@HamisiMsafiri-m6n 3 сағат бұрын
💛💚💚💚
@templerfx4212
@templerfx4212 4 сағат бұрын
Sio timu hiyo ni majina tu hapo ndio yanacheza simba tu like hapa
@Ashush-qm6lk
@Ashush-qm6lk 4 сағат бұрын
Oyooooo❤
@StephanoAdam-hb7zo
@StephanoAdam-hb7zo 4 сағат бұрын
Wananchiiiiiii ❤❤❤penda sana yanga.
@ZuhuraTwaha-u5n
@ZuhuraTwaha-u5n 8 минут бұрын
Yanga unaifungaje 💚💚💚💛💛💛
@Tassyomy
@Tassyomy 4 сағат бұрын
Man Of The Match Wa Leo Nampa Mpenja..Dadadeki..Mpaka Anatamani Kulia..😂
@UzimaHalisi-n8z
@UzimaHalisi-n8z 4 сағат бұрын
wananchi 2nainjoi mnooo jamn,,,, makolo wa2ache na yanga yew🎉🎉🎉
@leinaamos
@leinaamos 15 минут бұрын
Asanteee wananchi
@agnesssanga6544
@agnesssanga6544 Сағат бұрын
💚💛💚💛💚💛
@EmanuelGeofrey-o6k
@EmanuelGeofrey-o6k Сағат бұрын
Mzize uwa Baba ,, ameuaaaaa😂😂😂 mpenjaa mpenjaa
@Mlupali
@Mlupali 4 сағат бұрын
Uaaaaa baba😂
@daudiniyonsaba1113
@daudiniyonsaba1113 3 сағат бұрын
YANGA HII, MAMAE. ITAFIKIA KIPINDI TIMU HAZITOKUJA UWANJANI.
@MwitaHamismwita
@MwitaHamismwita 4 сағат бұрын
Mpenja umeipiga mwingi sana leo aisee
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 4 сағат бұрын
Yaanga mimi na nyie damu day kuwahacha msaaaahu jamani izi raha sijuwwi nizipeleke wapi mieeee nawapenda ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥mwa💋💋💋💋💋💋💋
@JamesKalory
@JamesKalory 4 сағат бұрын
tena tena tena bwana yanga katili😂😂
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 5 сағат бұрын
Kipigo cha mwana ukome 😂😂😂😂😂😂
@JacksonJack-k8q
@JacksonJack-k8q 4 сағат бұрын
Kushabikia yanga kuna raha yake
@AlfaMwasofu
@AlfaMwasofu 4 сағат бұрын
Kesho Kolo atategemea kubebwa Na uchawi Pila magimbi
@HekimaLuciga
@HekimaLuciga 4 сағат бұрын
Yanga ni hatary!
@athumanimakange9346
@athumanimakange9346 44 минут бұрын
Ndio maana halisi ya champions
@Londonboe
@Londonboe 4 сағат бұрын
Hii ni bayer4leverkusen
@SunnymussaMussa
@SunnymussaMussa 3 минут бұрын
Apa natokea kucheki mpila naludi na furaha yanga imeshinda alfu nikifka home aniambie haijisikii kufanya
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 4 сағат бұрын
Nilikuwa live daima mbele 💛💛🖤💚💚
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 сағат бұрын
Shikamoo Mpenja
@rebekadaniel9569
@rebekadaniel9569 4 сағат бұрын
Daaa feitoto cjui anajisikiaje😂😂
@WinnieHaule-n9t
@WinnieHaule-n9t 4 сағат бұрын
Nyieee😂😂😂😂
@obadiamnanka5958
@obadiamnanka5958 Сағат бұрын
Kwani huyo alie chukua mpila kukimbiza kati hana huluma nawenzake jamani 😂😂😂😂
@SanchezMutiti-ie8ed
@SanchezMutiti-ie8ed 5 сағат бұрын
Wakwanza
@FabianLameck
@FabianLameck 3 сағат бұрын
😊😢🎉
@Sportsnationtv-j
@Sportsnationtv-j 3 сағат бұрын
kama unakubali yanga nipe like
@FEINASSx77
@FEINASSx77 4 сағат бұрын
Uuuuuuuuwiiiiii nakufa ntaacha kushabikia yang mm😂😂😂😂😂😂
@mohamedikisinga9714
@mohamedikisinga9714 4 сағат бұрын
Ila yanga 😂😂😂🙌🙌🙌
@StevenKapugi-y7b
@StevenKapugi-y7b 4 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉no comment 😂😂😂
@EmanuelTheonest
@EmanuelTheonest 4 сағат бұрын
Uakika
@msemombelwa47
@msemombelwa47 4 сағат бұрын
Wekaweka haooo wahabeshiiiiiiii😂😂😂😂😂 6G
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 48 минут бұрын
Mm nawashauri azam waweke pia online live video sisi wengine tunaishi mbali na africa pia tunapnda kutazama mpira wa bongo
@KaungaDori
@KaungaDori 4 сағат бұрын
Goli la kwanza nikama beki alitaka kudaka vilee😂😂😂😅
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 3 сағат бұрын
Yanga unaifananisha na kitu gani hapa duniani??
@JamesCoolkid-f3s
@JamesCoolkid-f3s 58 минут бұрын
Man city
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 47 минут бұрын
Wamepata vibonde
@ournewvhome4191
@ournewvhome4191 3 сағат бұрын
Kudadadekiiii😅😅😅😅😅😅
@JamesCoolkid-f3s
@JamesCoolkid-f3s 59 минут бұрын
Hii real Madrid ya Tanzania
@ayubujanja5110
@ayubujanja5110 3 сағат бұрын
Mpenja mauwa Yako yanga raha bhana
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 13 минут бұрын
Leo hii anapewa maua? Mchizi hanaga utimu fanya vizuri atasherehesha mlikua mnamtenga bure tu😂
@CatherineFrancis-ii7eq
@CatherineFrancis-ii7eq 4 сағат бұрын
tuko livee
@Tassyomy
@Tassyomy 4 сағат бұрын
Hatuji Tena Mbwa Nyie..🤪
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 сағат бұрын
Kesho vichekesho 🤣🤣
@PaulZakaria-q8y
@PaulZakaria-q8y Сағат бұрын
😂😂
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 962 М.
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 5 МЛН