Mjadala unazungu maambukizi ya ugonjwa wa homa ya Ini na sababu zinazo pelekea wanaume wengi kupata ugojwa huo.Ungana na wanahabari wetu kujua mengi zaidi.
Пікірлер: 3
@marysawe93567 ай бұрын
Mjamzito anaweza choma chanjo?
@saraqali34667 ай бұрын
Kama mtu ana homa ya ini na kachekiwa ini liko sw Hali jaa athirika je inakuwaje hapo naomba nifahamishe