May Almighty God bless pamoja ngabobo secondary school tunafrahi sanaaaa kuona mambo makubwa namna hii kiukweli tuu mnatufanya kuproud sanaaà kuipata shule ya secondary pamojaaa,Mungu azidi kuwapa maarifaa makubwa zaidiii ivon,eligiver na laizer wadogo zangu mko vizuri sanaaaa Mungu azidi kuwainua viwango zaidi na zaidi.