BAADA ya TETEMEKO Kupiga GEITA, Ona HALI ILIVYO kwa WANANCHI - "TULIJUA USHIRIKINA"

  Рет қаралды 6,759

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

BAADA ya TETEMEKO Kupiga GEITA, Ona HALI ILIVYO kwa WANANCHI - "TULIJUA USHIRIKINA"
TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku wa kuamkia Aprili 25, na kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa hususani Masumbwe na Nyang’hwale, mkoani Geita ambalo limedumu kwa sekunde kadhaa.
Kwa mujibu wa taasisi ya utafiti wa kijiolojia nchini Marekani (USGS) imesema tetemeko hilo lilikuwa lenye ukubwa wa 4.5 kwenye kipimo cha Richter.
Baada ya kutokea kwa tetemeko hilo Global TV imezungumza na wananchi mkoani Geita ambao wameelezea jinsi walivyopata taharuki..
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:bit.ly/38Lluc8
iOS:apple.co/38HjiCx
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
bit.ly/exclusive_interviews

Пікірлер: 9
@geraldnashokigwa517
@geraldnashokigwa517 4 жыл бұрын
Pumguza Matangzo...!! Go straight forward. Unatumaluzia MB
@shaluamkumbo9880
@shaluamkumbo9880 4 жыл бұрын
Matangazo yamekuwa mengi sana. Ayo tv wapo straight
@ibrahimsanga2550
@ibrahimsanga2550 4 жыл бұрын
Huyo mdada mweupe mungu amkumbuke kama unajua kunakutubu katubu tu Dada nyakati za mwisho izi
@christinamichaeel9713
@christinamichaeel9713 4 жыл бұрын
Jamani hayo matangazo sasa loh
@kurthumngereza2707
@kurthumngereza2707 4 жыл бұрын
Niwakati wa kumludia mungu kwasana
@mshumbusideogratias9567
@mshumbusideogratias9567 4 жыл бұрын
Self Omar upupu wa rk au
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 4 жыл бұрын
Global punguzeni matangazo mwanzoni taften njia mbadala ya kutangaza biashara zenu
@hassanmaduhu8297
@hassanmaduhu8297 4 жыл бұрын
Kabisha mnatuchosha anzeni na taarta mhimu kwanza then kama kuna umhim wa hayo matangazo weken mwishon
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 4 жыл бұрын
Uko sawa...wanakera sana na mitangazo yao...mpaka unakosa shauku ya kusoma issue husika.
Οφθαλμός αντί οφθαλμού η μόνη λύση με την Τουρκία
23:17
Σάββας Καλεντερίδης
Рет қаралды 35 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 76 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 28..Julai, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 153
Argentina Exits Recession: Have Milei’s Reforms Worked?
9:05
TLDR News Global
Рет қаралды 500 М.
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
امام هشتم چکاره خراسان است؟
20:26
Bahram Moshiri
Рет қаралды 9 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН