Рет қаралды 59,924
Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job amesema msimu ujao anaamini utakuwa bora zaidi kwao.
Joob amezungumza na @hassanahmedy_ kutokea ndani ya dimba la Toyota muda mchache baada ya kuichapa Kaizer Chiefs.
Matokeo yalikuwa Kaizer Chiefs 0-4 Yanga SC (Dube 25’, Aziz Ki 45’+3, 63’, Mzize 57’)
#ToyotaCup2024 #YangaSC #KaizerChiefs #KaizerChiefsYanga #PreSeasonTour #YoungAfricansPreseasonTour #KCYA #KaizerChiefsVsYangaSC