BABA AMTOA KAFALA MTOTO WAKE/MAMA AMTAKA MWANAE ARUDISHWE

  Рет қаралды 86,901

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

7 ай бұрын

BABA AMTOA KAFALA MTOTO WAKE/MAMA AMTAKA MWANAE ARUDISHWE

Пікірлер: 275
@SylvestreNdayishimiye-fc6zp
@SylvestreNdayishimiye-fc6zp 4 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Mtumishi wa Mungu naomba kuombewa mimi pamoja na familiya yangu. Tumefungiwa milango imefungwa. Naomba kufunguliwa.
@SuperRamso
@SuperRamso 27 күн бұрын
Naitwa mama dan. Baba mwanangu toka azaliwe anajikolea na anatumikishwa kichaw. naomba nisaidie baba .
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk 2 ай бұрын
Naomba mtumishi kiboko wawachawi naamini nabii uniombee na mimi uchumi nimbaya nazalauliwa kwa maisha uniombee Mungu wamadhabahu hii namwamini amen.
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 4 ай бұрын
Halooooo, hizi huduma ni ngumu sana, wamama hatunaga akili kabisa, nyie wenye akili mnisahee , huku unabii utaondoka na wamama wengi sana .
@HamisiSimon
@HamisiSimon Ай бұрын
Nikopamoja nawewe
@BenadethaJoshua-nn4zy
@BenadethaJoshua-nn4zy 2 ай бұрын
Baba kiboko ya wachawi Nina Imani na wewe Mimi naitwa Joshua amani maisha yangu ni magumu sana nafanya kazi lakini naishi katika madeni naomba unisaidie baba
@felisterandrew8418
@felisterandrew8418 3 ай бұрын
Kwan kwa waganaga . Tumeenda sana lkn kwn ht km cyo nguvu za mungu kuna nn ili mradi tu natatua shida zangu kuna shda gan
@obedisiarangiriki8142
@obedisiarangiriki8142 7 ай бұрын
Mungu anaweza, nafurahi sana Mungu huyu mtenda miujiza kupitia nabii huyu
@ReginaMushi-gp3ct
@ReginaMushi-gp3ct 2 ай бұрын
NaoMba nikafanikiwee katka maisha yanguu fireeeeee katkaa jinaa la yesuuuuuuu fireeeee watuu ambaoo siyo sahihi kwanguu naombaa waondokeee kwa jinaa la yesuuu
@EvaMussa-xi7vh
@EvaMussa-xi7vh 7 ай бұрын
nabarikiwa sana baba mungu azidi kukupa maisha marefu
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 4 ай бұрын
Mchungaji ananja nakupenda sana. Mungu akubariki, maana ujinga kama hii kwako hamnaga.
@KhadijaMachale
@KhadijaMachale 2 ай бұрын
Nabii naomba ukateminyororo katika maisha yangu
@MatildaaFrancis-wf9qm
@MatildaaFrancis-wf9qm 7 ай бұрын
Baba shalom me naitwa gerald mahamud salum baba nateseka baba maisha ang hayana mbele wala nyuma nimekuwa mtu wa kuangika baba ang naomba nisaidie baba
@JasmineMushi-bs8pm
@JasmineMushi-bs8pm 7 ай бұрын
Umeniguza sana nimesisimka mwili mzima yaana mimi napitia magumu naomba maombi yako baba
@dorophinadeus9203
@dorophinadeus9203 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi,naomba Mungu anisaidie mume wangu apone
@AsteriaJoseph
@AsteriaJoseph 16 күн бұрын
Mtumishi wamungu naomba unisaindie mama yang anaumwa miguu kam fagasi mchungaji m naitwa asteria pia naomb uniombee baba nipate mwanaume wakunioa mim mchungj naomb unisaindie naomba
@HappyMubiligi-hq9uv
@HappyMubiligi-hq9uv 7 ай бұрын
Naitwa happy matheo. Baba nisaidie sipat siku zangu za hedhi na mtoto pia. Nabii tabili juu yangu
@VannyThomas
@VannyThomas Ай бұрын
Shalom mtumishi na omba uni ombee maisha yangu ni magumu pia Sina kaz
@user-kc6og5lm1v
@user-kc6og5lm1v 3 ай бұрын
Amina baba ubarikiwe na huduma
@user-is3nr5di5q
@user-is3nr5di5q 5 ай бұрын
Naomba uniombee!nikue kiuchum mim na familia yangu,pia umponye mama yangu na miguu
@user-rk6zq7hz5z
@user-rk6zq7hz5z 4 ай бұрын
Naitwa James maisha yangu yamekua magumu sana Baba sipati kazi wala biashara miguu na mikono inawasha tu.
@neemajuma1015
@neemajuma1015 2 ай бұрын
Naitwa Neena juma Baba nisaidie madeni yanga yaishe chap Nariman yanaisha ameen
@MAYAMIKOIMON-bo7qp
@MAYAMIKOIMON-bo7qp 2 ай бұрын
Baba asante sana niko kwa radio baba nasubilia huduma yako baba niongee naw
@happynesskimango184
@happynesskimango184 21 күн бұрын
Nabii naomba uniombee mimi naitwa happy hojes tangu nijifungue naumwa umwa sana nyonga na miguu
@suzan4712
@suzan4712 Ай бұрын
Shalom shalom apostle Dominic plse niombe maana nateseka na muguuwakuliya unanisumbuwa kwa myaka nyingi nipohapa Dubai bt I'm from Malawi plse help mi ma pastor
@getrudaadrian8558
@getrudaadrian8558 6 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU,lakini huyo ungemwambia aokoke aje kwa YESU aache kabisa aunguze vitu vyote vibaya ,pengine anaweza acha akimjua YESU kuja kwakwe kanisani hapo ndyo kupona kwake, aokoke huyo mzee mali atapata kwa YESU
@GroryJumaa
@GroryJumaa 2 ай бұрын
Ivi wanadam sijui mkoje mnadai nabii wa uongo taften wa kwen.wakweli kuamini kwako ndiyo kupona mbona yesu alimpaka kipofu matope kwenye macho na akaona naitwa grory nipo mombasa dar es salam
@ShangweNgiroliti
@ShangweNgiroliti Ай бұрын
Inaitwa shangwe baba nipoo Arusha Naomba utabiri neno baba juu ya familia yangu
@user-wn5eb5ms9r
@user-wn5eb5ms9r 7 ай бұрын
Shalom baba naitwa Shaban ulimwengu nashida Sana kila nikifanya kitu ambacho kinaniingizia pesa hazikai zinapotea najikuta zinaisha bila malengo yoyote yale
@AwaziRajab
@AwaziRajab 6 ай бұрын
Nimefiwa Na Mwanangu Kama Wiki Mbili Zilizopta Kama Kama Apo2 Unajua Mpango Huo Umepangwa Akuna Mke Na Mme Apo Wangetaja Maeneo Wanatoka Walio Na Ujilani Nao Wakometi Ukweli Wao Tunaweza Kuletewa Wakongo Wakenya Kutoa Ushuhuda Feki Bila Kujua Wawe Wanasema Wazaliwa Wawapi Kijiji Mtaa Mpaka Wajumbe Wa Nyumba Kumi
@SamwelJoseph-px6tc
@SamwelJoseph-px6tc 2 ай бұрын
NAOMBA MAOMBI JUU YA ELIMU YANGU YA CHUO NKAFANIKIWE KATIKA IMANI...AMEN🙏
@user-zo5ch5dg8m
@user-zo5ch5dg8m 2 күн бұрын
Nabiii uwaa by Leah lucas
@user-py3ks2ft1i
@user-py3ks2ft1i 3 ай бұрын
Mungu akubariki baba
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 6 ай бұрын
Naomba nyumba za wanangu zirudishwe mikononi mwao kwa jina la Yesu Kristo Aliye Hai
@user-xk3ue8yi3s
@user-xk3ue8yi3s Ай бұрын
Aslm naomba namimi unisaidie kweli mtumìshi wa mungu niko mbali
@MatildaaFrancis-wf9qm
@MatildaaFrancis-wf9qm 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba
@papaamishael4115
@papaamishael4115 7 ай бұрын
Naitwa Mishael . ninatatizo la kiuchimi napanda na kushuka sjajuwa tatizo Nini mtumishi...
@user-ec5gz9lb3d
@user-ec5gz9lb3d 5 ай бұрын
Naomba uniombee kazi ziende vizuri
@annastaziakalula1475
@annastaziakalula1475 4 ай бұрын
Nabarikiwa na mahubiri yako baba!ninaomba unifungue na maumivu ya miguu
@benardbemerengwe9332
@benardbemerengwe9332 4 ай бұрын
Amina pastor
@user-iv6lt4zi1j
@user-iv6lt4zi1j Ай бұрын
Nabii niponye na magojwa ndani ya familia yangu pia utukinge na wabaya woote
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 2 ай бұрын
Kiboko ya wachawi niombee nipate pesa kila siku na wachawi wote wafe amina
@NyiranezaWarda-bk1yn
@NyiranezaWarda-bk1yn Ай бұрын
Amen amen God bless you 🥰🥰🥰💯🙏
@ThadeusFrida
@ThadeusFrida 2 ай бұрын
Naomba unisaidie wazazi wangu wanakunywa Sana pombe na kaka zangu
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 6 ай бұрын
Nawaombea wanangu wa kiroho wapate fire fire fire wanipe mafungu ya Bwana Yesu Kristo wasilale usingizi
@user-rk6zq7hz5z
@user-rk6zq7hz5z 4 ай бұрын
Naitwa James massawe nifungue maisha yangu nabii
@masindikizingi
@masindikizingi Ай бұрын
Naitwa masinde niombee baba na ubarikiwe kwa huduma yako
@selinajacob-zk4cm
@selinajacob-zk4cm 3 ай бұрын
Naitwa Selina Jacob Nduru Amina mtumishi
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 5 ай бұрын
Nina ndugu yangu mwaka wa tano amefaliki lakini mbaka Leo tunamuota anasema yeye yupo ajafa da inaniumiza sana
@edwineMbuya-nd9gb
@edwineMbuya-nd9gb Ай бұрын
Naomba umuombee mdogo wangu anaitwa Daudi Maro
@StelaKomugisha-cb3zb
@StelaKomugisha-cb3zb Ай бұрын
Naomba umkomboe mama yangu SECILIA yupo KIGOMA
@innoprince3832
@innoprince3832 18 күн бұрын
Naitwa innocent,niko mbinga ruvuma.Nahangaika sana lkn sifanikiwi,na nimejaribu kuona wanawake wa2 naishia kugombana tyuu na wanaondoka wenyewe... naomba nijui shida nn?
@anithamsery1720
@anithamsery1720 5 ай бұрын
Kweliu mungu akubarik San baba
@emmanuelbayda4640
@emmanuelbayda4640 3 ай бұрын
Ramli chonganishii hakuna cha Roho waMungu full comedian kama ni mimi hii kanisa ni ya kufungaaaaaaaaaa
@MamaKayolo
@MamaKayolo 2 ай бұрын
Naomba mungu uponye mwanangu devi anauvimbe kichwani
@user-he4wv9uo6i
@user-he4wv9uo6i 7 ай бұрын
Mungu atusaidie
@SwaumuRamadhan-yu5zn
@SwaumuRamadhan-yu5zn Ай бұрын
Bwanayesu asifiwe baba naomba nisaidie ndoa yngu Iko matatani.baba
@niyiesther6571
@niyiesther6571 5 ай бұрын
YESU KRISTO wa KIBOKO ya wachawi yupo kazini. Na Mimi anitumikie
@FatumaNyabange
@FatumaNyabange Ай бұрын
Naitwa fatuma, ninasumbuliwa na majini wa kutupiwa huu ni mwaka wa Saba sasa, naomba uniombee baba.
@user-pr3cz5vb3p
@user-pr3cz5vb3p 7 ай бұрын
Naomba mzaada baba mchungaji naandamwana yadunia
@VeronicaNgasama
@VeronicaNgasama 21 күн бұрын
Kiboko ya wachawi nisaidie nilisingiziwa kes Kam nmeiba hela laki saba Mwaka 2019 mm nakataa Mpaka Leo sijaiba Baba nisaidie mm jmn Huyu bos popote alipo anitafte arudishe Pesa aliyodai nmeiiba na akanilaza kituon Siku 2
@VeronicaKihwaga-ze8ss
@VeronicaKihwaga-ze8ss 7 ай бұрын
Amen baba
@MamaKayolo
@MamaKayolo 2 ай бұрын
Naomba mungu nisaidie nimalize madeni
@user-ys8hi7iy5j
@user-ys8hi7iy5j 26 күн бұрын
Yani nyie watu nawa ones huruma Sana hizi ninyakati zamwisho jamani shitukeni tunaishi kwaneema ya mungutu nabas Kama nikweli huyo mtoto afufuliwe Basi
@user-sr8il3um5g
@user-sr8il3um5g Ай бұрын
Shalom Nabii,nitabirie
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Ай бұрын
Jamani mbona mnaweka mziki mkubwa hatumsikii Nabii
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 7 ай бұрын
Amin baba
@happymkuu77
@happymkuu77 5 ай бұрын
Mziko uko juu. Hata hatuckii
@joelisaacthomas4705
@joelisaacthomas4705 26 күн бұрын
Nataka nimuone uyo mtoto next
@SaleheMkuza-tb4ss
@SaleheMkuza-tb4ss 3 ай бұрын
Naitwa Salehe Bakari maisha yangu yamekuwa magum mno
@sharifahood8734
@sharifahood8734 Ай бұрын
nabii niombee napata shida nna kitu cha ajabu mwilini sitaki wanaume
@user-fv4ek7wu7w
@user-fv4ek7wu7w 4 ай бұрын
Amina bab
@JaneLaizer-tb6zl
@JaneLaizer-tb6zl 23 күн бұрын
Kwakwel nife tu na shd yng Kwa hyu kweli siendi,itawakost jmn muwe makinii
@user-tv3yz4gp4e
@user-tv3yz4gp4e 6 ай бұрын
Nisaidie mm maisha yangu siyaelewi
@eliaezlom
@eliaezlom Ай бұрын
Wamejivika vazi la kondoo..kumbe ndani nimbwa mwitu...sikuzamwisho manabii wa uongo watakuwa wengi..tuwe makini wapendwa
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 3 ай бұрын
Nifungue maisha yangu nabii
@AsteriaJoseph
@AsteriaJoseph 16 күн бұрын
Baba naomb uniobeee baba naomb mim naagaik bab naomb
@man-chas3606
@man-chas3606 3 ай бұрын
Asante baba
@KorduniMolell
@KorduniMolell 20 күн бұрын
Wachawi wapo duniani kwl wemeisha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@GraceZachalia
@GraceZachalia Ай бұрын
Sms zote zinazotumwa kwa kumpinga nabii kiboko ya wachawi na kumsema vibaya zinatoka kwa wachawi,na wafe kabisa
@JuliasLukumay-dr6un
@JuliasLukumay-dr6un 2 ай бұрын
Amina🙏
@user-cx2ps9vs1v
@user-cx2ps9vs1v 6 ай бұрын
❤❤❤amina baba
@SalimKiba-vt3kn
@SalimKiba-vt3kn 3 ай бұрын
Naomba uniombee mtumishi wa mungu
@GeorgiaRweyemamu
@GeorgiaRweyemamu 6 күн бұрын
Baba naomba uniombee naumwa
@emapanga
@emapanga 7 күн бұрын
Nabii nakuomba nisaidie naumwa xan naiman nitapona kwa nguvu zako ya kiboko ya wachawi.
@user-dc8zw1lf1x
@user-dc8zw1lf1x 7 ай бұрын
Amina baba
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 6 ай бұрын
Hakuna kitu huyu mshenzi huyu tapeli mkubwa huyu
@faithndanu9546
@faithndanu9546 4 ай бұрын
Bibilia inasema ,siku za mwisho kutakuwa na wahubiri wa uwongo na na wataponya na kufanya miujiza wakilitumia jina la Yesu,Tuweni makini
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 Ай бұрын
Hayajakukuta ww ndo maana unaongea hvyo mganga unamwamini lkn mtumishi wa Mungu humwamini
@user-fv4ek7wu7w
@user-fv4ek7wu7w 4 ай бұрын
Mungu akubaliki sana baba
@MamaKayolo
@MamaKayolo 2 ай бұрын
Naomba mungu uponye mwanangu devi anauvimbe kichwani
@user-yc9bx5jx4e
@user-yc9bx5jx4e 4 ай бұрын
Mm George nachangamoto ya kiuchumi nombee
@benardbemerengwe9332
@benardbemerengwe9332 4 ай бұрын
Baba naomba nisaidie Sina kazi kwa sasa
@user-ry3fi8vl3c
@user-ry3fi8vl3c 2 ай бұрын
mungu wako kiboko chawachawi nataka aniponye koo rangu
@NdaloMkali
@NdaloMkali 8 күн бұрын
Nabii naomba uuniombee nipate watoto
@PeterMalamsha-zo8bg
@PeterMalamsha-zo8bg 7 ай бұрын
Naitwa Peter pasian malamsha nashida napamban nakaz sana Ila bado changamoto nitabirie pasta
@user-ix1xe7mh5w
@user-ix1xe7mh5w 6 ай бұрын
Amina
@Matayo-sh9xb
@Matayo-sh9xb Ай бұрын
Hakika unachosema nikweli kabisa nabii
@tumsifurudovikoNtakamulenga
@tumsifurudovikoNtakamulenga Ай бұрын
Baba naomba nisaidie ninashamba ramikaratusi ekari 3 ninamuteja ira siamini babanaombamusaada jumapiriyareo
@Vicentmaziku
@Vicentmaziku Ай бұрын
Baba niokoe mimi na familia yangu
@user-dc3ys1su3y
@user-dc3ys1su3y 4 ай бұрын
Amina baba nakusikiliza toka KIWALANI
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 7 ай бұрын
Umri wa mwanao huujui unasema ni kama miaka 12 yani huna uhakika, tena we ndie ulie mzaa yani mwanamke hasahaugi umri wa mtoto tena mtoto ni mmoja wangekua zaidi ya mmoja je?mmmh mapichapicha yapo MUNGU ATUSAIDIE SANA WANADAMU WA KIZAZI HIKI
@victoriajasson917
@victoriajasson917 7 ай бұрын
Yani wamama wanao sahau kuhusu kuzaliwa kwa watoto wao ni wengi Sana. Mm dada yangu ni msomi Sana tu ila linapofika suala la huko ofisini kwao wakihitaji data za watoto hajawai kumbuka lazima tu atatuuliza
@user-pu6kr4iq6r
@user-pu6kr4iq6r 4 ай бұрын
Naitwa bisura baba nilijikwaa mlangon nikavunjika mguu na pia nna matatitozo mengi tu hapa nipo kitandan siwez hata kunyanyuka
MTOTO ALIYE TOLEWA KAFALA NA BABA YAKE APATIKANA/MUME AM MSAMAHA KWA MKEWE NDOA IENDELEE
6:02
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 49 М.
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 25 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 52 МЛН
MAMA ALIEROGEWA FAMILIA YAKE NA MTOTO WAKE WA KWANZA ANAEMTEGEMEA KUTUPIWA JINI
18:03
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 84 М.
AMUAMBUKIZA VIRUSI VYA UKIMWI MPENZI WAKE/ATUMIA DOZI BILA KUMWAMBIA MWENZAKE
6:33
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 13 М.
Pius wilson vs Kiboko Ya Wachawi live performance ✨
1:43
Pius Wilson
Рет қаралды 7 М.
MWIMBAJI OBBY ALPHA AMPATIA KUHANI MUSA ZAWADI HII
5:46
FRESH SPRING FELLOWSHIP
Рет қаралды 1,8 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 938 М.
KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1
13:32
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 25 МЛН