KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1

  Рет қаралды 149,558

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

5 ай бұрын

KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

Пікірлер: 658
@RamaMsimbe
@RamaMsimbe 10 күн бұрын
Kutakuwa na dhiki kubwa siku za mwisho manabii wa uwongo watakuwepo halo ndipo naamini masiha yupo karibu kurdi mungu tusamehe 😢😢😢😢😢😢😢😢
@DemetriaDomishen
@DemetriaDomishen 6 күн бұрын
Dady nakukubali,papaaa, niguse ktk nahitaji yangu, nimefukuzwa mkataba Lisa nimekutaja wewe, my dady
@ellymbwambo331
@ellymbwambo331 Ай бұрын
Piga KAZI mzee NEEMA ya Mungu ni kubwa
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 2 ай бұрын
Mungu ananusuru watu wake na siyo kuhuwa
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 5 ай бұрын
Bwana asifiwe sana ❤ Ila uandishi kwa mfano hajazaa huku imeandikwa ajazaa mwandishi angalia sana
@MarthaSulle-qr6lo
@MarthaSulle-qr6lo Ай бұрын
Baba Mimi Nina shida . Kwanza wazazi wangu wamenitenga nanimeolewa na wanaume watatu nakila mwanaume ninamtoto naye nawote wameniacha nimebaki na watoto maisha yamekuwa na msukosuko tu nausiku naota nakula nyama au nanyonyesha mtoto
@fatyherman9705
@fatyherman9705 29 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe,mimi ninashida naomba unisaidiye,uniondoleye mshawi anaye angaisha maisha yangu,heri ningekuwa dar ningelifika hapo shida niko Kenya.ubarikiwe
@princessezekiel1549
@princessezekiel1549 Ай бұрын
Ameen mungu azidi kukubariki mtumishi wa mungu
@SalmaYusuph-jb1sx
@SalmaYusuph-jb1sx Ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii ya kiboko ya wachawi nisaidie niongezewe mshahala wangu mwez huu wa sita npokee ela ya kuzid amen
@sospetermussa-ub3er
@sospetermussa-ub3er 21 күн бұрын
baba nimesumbuliwa na malaz kwa mda najisikia kufunguliwa maisha yangu na familia yangu tuondokane na Magonjwa pamoja na ugumu wa maisha yetu mungu akupe nguvu utusaidie Amen,
@JescaMpweza
@JescaMpweza 20 күн бұрын
Mtumishi wa mungu napenda sana maombi yako I receive i receive
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 күн бұрын
Sawa nendini mtajuta baadae aujawa kuiwona muijisa ya Mungu sio ya Mungu hii wanapotesa watu Mungu ila ngoja tu saa itafika mtafahamu ukweli niupi
@ClarrahGerrad
@ClarrahGerrad 5 күн бұрын
Amen mtumishi
@NyiranezaWarda-bk1yn
@NyiranezaWarda-bk1yn 3 ай бұрын
Mungu akazane kukupa uwezo zaidi ulliyonawo God bless you 1🥰 💯 🙏
@EufranciaNgombo
@EufranciaNgombo 29 күн бұрын
Naitwa Eufransia ng'ombo baba naomba uniombee familia yangu kiafya watoto 2 wafaulu mitihani yao pia tumeshuka kiuchumi na mume wangu biashara haindelei vizuri naomba unisaidie baba asante
@VivvaaMgee
@VivvaaMgee Ай бұрын
Amina afu nyie mnaokaa nakusema watu wanadanganywa kwann nyny mnalazimishwa kusikiliza kama unaona kinacho hubiliwa wewe hakikufai unaweza kuacha kufatiria au nyie ndowale wachawi moto wamungu unawachoma mnaishia kutoa lgha chafu
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 2 ай бұрын
Nabii wa Mungu alieumba mbingu na nchi, mnaopinga hii huduma mnamapepo na ni makristo wa uongo
@AjayKorea-lf6wq
@AjayKorea-lf6wq 18 күн бұрын
Kwanini mnapinga huduma ya mungu wote mnaompinga huyu nabii mtakufa kama sisimizi wachawi wakubwa na mtakufa
@RebekaJohn-vt8xf
@RebekaJohn-vt8xf 2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi na bii ,mim naitwa rebeka msuya nasikiza mahubiri yako naomba unisaidie uzao wangu na mume wangu apate kipato kikubwa ,na mimi biashara yangu haiendelei naomba nisaidie asant sana baba
@ZakayoKalinga-nq5qy
@ZakayoKalinga-nq5qy 2 ай бұрын
AMEN nabii Kiboko ya Wachawi Mungu akubariki
@FadhilaMhando
@FadhilaMhando 4 ай бұрын
Mungu atusaidie Sana
@chrispineacademicus5784
@chrispineacademicus5784 2 ай бұрын
Yes huyu ni mtumishi wa mungu na siyo Mungu
@user-dp9pw9uu7z
@user-dp9pw9uu7z 2 ай бұрын
Ameen mtumishi wa mungu nafuatilia huduma zako nikiwa mwanga Kilimanjaro nimefungwa kimaisha na hata kuzaa naomba unisaidie past
@LuclaJohn
@LuclaJohn 13 күн бұрын
Naomba unisaidie nateseka sana mwanaume kanizalisha bado mtt hamtunzi nakuna dada alichukua pesa za watu kupitia mm kaniachia mm kesi nasumbuliwa nateseka sana mtumishi.
@MagretLukumay-bv6zq
@MagretLukumay-bv6zq 4 ай бұрын
Sema wabadilike
@agathakimatile4999
@agathakimatile4999 5 ай бұрын
Sema tupone baba🙏🙏
@festomaswaga-ht5yi
@festomaswaga-ht5yi Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa bwana🙏🙏🙏
@MonikaSaimoni
@MonikaSaimoni Ай бұрын
Ubaarikiwe
@user-bf7ce8tx2y
@user-bf7ce8tx2y 3 ай бұрын
Nahitaji Nimalize nyumba yangu kwa kina la yesu na nipate biashara kubwa sana mwaka huu
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 2 ай бұрын
Glory be to God for this man of God
@OlesailepuLesinoi
@OlesailepuLesinoi Ай бұрын
Mungu akubariki uwa ponye watu kwa jina la mwenyesi mungu
@hellenjohn3484
@hellenjohn3484 2 ай бұрын
Amen Amen Mtumishi wa Mungu naitwa Hellen John Mushi
@meshachkigumbi6034
@meshachkigumbi6034 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-zk8sg3iw1z
@user-zk8sg3iw1z 2 ай бұрын
Hellen John Mushi naomba kukufahamu zaidi Kwa kuwa nahisi kuwa wewe ni ndugu yangu!!! Coz na Mimi naitwa Selemani Thomasi Ringia Mushi! Je wewe ni Mushi wa wapi? Coz Mimi natokea kishumundu mtaa wa mararo matemboni!??
@valentinaanthony
@valentinaanthony 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana, naomba namm nipate nafasi ya utabiri mana nimejaribu Kwa simu mara kazaa bila mafanikio
@user-js4bu1jp7n
@user-js4bu1jp7n Ай бұрын
Kauwa watoto kisa mwanaumeeeee mungu anatuhukumuuuu
@ezekealpaulo-ny7ox
@ezekealpaulo-ny7ox 29 күн бұрын
Nabii naomba uniombee baba mungu anibariki nifanikiwe haliyamasha yangu imekuwa ngumu baba nikipata pesa haikai nabii kilajambo nikifanya haliendi kabisa baba nashindwa kuelewa hata nimejenga nyumba yakuku nimehindwa kumaliza mtumishi naomba unisaidie baba
@PeterPeter-tb7nx
@PeterPeter-tb7nx 2 ай бұрын
Ameni mtumishi wa mungu
@FrankDeo-xu7zw
@FrankDeo-xu7zw 4 ай бұрын
eti mm nimkorofi aisee 😢Mungu nisaidie mm walai tena sio Tanzania wala kenya wala ulaya sijawahi kuwaamini hawa manabii wala mitume na sijawah kuwapenda wala kuwaelewa jmn au mm ndo natatzo ila siku za mwisho ndo hizi, mambo yanaenda kiganga gang tu
@mbwamboruth
@mbwamboruth 3 ай бұрын
Magumu hayakupata my dear ukiona mtu kaenda pale,huyo amepitia mapito sasa hana budi kufanya hivyo,Mungu atupe neema tu
@ZainabuOmary-nt7xf
@ZainabuOmary-nt7xf 2 ай бұрын
Kweli
@emmanuelmakenzi1830
@emmanuelmakenzi1830 Ай бұрын
kiboko ya wachawi. naombaunisaidie nasumbuliwa na magonjwa nina ngoli, bawa siri na mashine. yangu Iko lege lege sana
@Esmark-lp7hu
@Esmark-lp7hu 24 күн бұрын
Yaaani
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
Bwana Yetu atukuzwe sanaa.
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 күн бұрын
Wewe rebeka ndungu yangu iyo sio maubiri iyo nikupotesaa mudaa
@ibrahimswai8412
@ibrahimswai8412 22 күн бұрын
Mungu Ni mwema kila wkt...nipo Moshi
@eunice1552
@eunice1552 5 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe naomba msaada wa maombi mamaangu ni mgonjwa wa kukohoa na kutapika damu
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 3 ай бұрын
Yooooo aliwaua jaman
@FridaMtui-pp3lt
@FridaMtui-pp3lt 25 күн бұрын
Mungu niinulie mtu sahii, unipe kazi amen
@user-ql2rj2np1l
@user-ql2rj2np1l 3 ай бұрын
Nione na mim mtumishi ameeni
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 4 ай бұрын
Mmmmm kesi izo
@denisgroupfun
@denisgroupfun 5 ай бұрын
@ mungu nimwema kahusa
@JaneLaizer-tb6zl
@JaneLaizer-tb6zl 26 күн бұрын
Jmn ,si mnajua Mimi nilivutaga bangii kweli huu ni utmishi aina gani
@AggyEmmanuel
@AggyEmmanuel 21 күн бұрын
shangaa naww
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 8 күн бұрын
😂
@AnethRichard-gj6zn
@AnethRichard-gj6zn 20 күн бұрын
Naitwa Aneth Richard naomba niombee baba nipate support kwa mzazi mwenzangu.
@Duniawatu
@Duniawatu Ай бұрын
Amina pastor
@BEATRICEMASSAWE-oc1kc
@BEATRICEMASSAWE-oc1kc Ай бұрын
Amina bab
@fatyherman9705
@fatyherman9705 29 күн бұрын
Baba piya naomba uombeye family yangu piya uzao wangu piya mume wangu apate kazi nzuri kushinda aliyo nayo.asante
@edwinikalangula-sq8zh
@edwinikalangula-sq8zh 4 ай бұрын
mimi Edwin salim kalangula amina baba naona kazi zako nakufatilia sana
@BensonRichard-dl1gz
@BensonRichard-dl1gz Ай бұрын
Mungu atubarik sana
@FlorahKamayugi
@FlorahKamayugi 27 күн бұрын
Nakata chuma ullete nabi naomba nisaidie maisha yangu mimi na familia yetu ayaelweki
@user-gu3px5me6u
@user-gu3px5me6u 3 ай бұрын
Mkasome biblia mathayo 24 meeleza wazi kwa habari ya manabii wa uongo, Mwenyezi Mungu akatusamehe na atusaidie Sana
@user-sy5nk5mo3p
@user-sy5nk5mo3p 8 күн бұрын
Naitwa medard nipo mwanza Mungu akubariki pia nahitaji msaada wako
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 5 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu naomba uniombee napitia mapito magumu kimaisha kila kazi ya mikono yangu haistawi
@monicakiwia5649
@monicakiwia5649 4 ай бұрын
Kwasababu bado hujamjua Mungu ukimjua Mungu kazi za mikono yako zitastawi muombe Mungu akupe Neema yakumjua yeye
@winfridamalunguja3287
@winfridamalunguja3287 5 ай бұрын
Sema bhana unatumaliziaa mb zetu
@user-bv9ce5sd7u
@user-bv9ce5sd7u 4 ай бұрын
Hahahahahaha
@JumaKiondo-te2qc
@JumaKiondo-te2qc 2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe naitwa JUMA SAlDI KIONDO mtumishi nisaidie maisha yangu siyaelewi kila nnachofanya matokeo ni ziro afu siko dar Niko ARUSHA nisaidie baba
@petermbugi2579
@petermbugi2579 Ай бұрын
Yesu atakusaidia
@zakariamwamburi-7940
@zakariamwamburi-7940 Ай бұрын
Watching from kenya God bless you pray for my ministry
@niyiesther6571
@niyiesther6571 5 ай бұрын
Ameeen baba Siri zifichiliwe
@ChalesiArubin
@ChalesiArubin 21 күн бұрын
aitwa Charles arubini naomba uniombee maisha yangu niyaumasikini sana
@maxkidava2939
@maxkidava2939 13 күн бұрын
Fala wewe fanya kazi👎👎👎
@DM.2200
@DM.2200 Күн бұрын
Fanya kazi acha uvivu
@ShadreckMaombi
@ShadreckMaombi Ай бұрын
Semaaa baba
@hamzaahmed69
@hamzaahmed69 Ай бұрын
Naitwa Hamza hamadi hongera Sana nabii wetu naomba nisaidie uondoe Matatzo yangu yote
@MakaleJuma-go5kf
@MakaleJuma-go5kf Ай бұрын
mungu atusaidie waja wake
@adilimmuru9615
@adilimmuru9615 Ай бұрын
Nipo Moshi naitwa Adili nakufatilia mtumishi sijapata chance kuongea na wewe. Barikiwa sana
@swaynice1719
@swaynice1719 Ай бұрын
Amina🙏 mtumshi
@HalimaShabani-ij4mi
@HalimaShabani-ij4mi 2 ай бұрын
Mmmmmmmmmh!!!!!!!!!! Basi tu mungu ajueeeeeee
@rosemarysombe-es5gc
@rosemarysombe-es5gc 2 ай бұрын
Naomba kufunguliwa Baba 🙏
@FrankJoseph-ex8kl
@FrankJoseph-ex8kl Ай бұрын
FRANK SHAMBA MWANAFUNZI WA CHUO AMINA🙏
@user-hi5ch2lp3t
@user-hi5ch2lp3t 9 күн бұрын
Mungu akuinuliye nuru nabii
@vickyedward
@vickyedward 3 ай бұрын
Mungu aturehemu sana muwe macho mmh
@AgnethaGodfrey-dn7dt
@AgnethaGodfrey-dn7dt 2 ай бұрын
Naomba nipate kazi🙏
@felistermdeshi7013
@felistermdeshi7013 5 ай бұрын
Utusaidiemtuanaeuloga❤
@user-wy3gr4zj2s
@user-wy3gr4zj2s 5 ай бұрын
Mungu tuhurumie🤲🤲🤲
@InoccentLucas
@InoccentLucas 2 ай бұрын
Tabiri juu yangu baba
@user-pp6sz2uz8j
@user-pp6sz2uz8j Ай бұрын
Napokea uponyaji
@hillarycypriankimath7201
@hillarycypriankimath7201 Ай бұрын
God bless us
@ELIASEMANUEL-ku7eb
@ELIASEMANUEL-ku7eb 2 ай бұрын
Nakupata mtumishi
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 3 ай бұрын
Mungu turehemu seriously auwe watoto wote serikali ilikua wpi MUNGU turehemu jmani MUNGU wetu ni wa huruma na anatupenda kweli hizi ni siku zamwisho
@richardmakari3360
@richardmakari3360 2 ай бұрын
Naomba uniombee pastor nipate kazi ya kudumu
@elizabethwambura
@elizabethwambura 2 ай бұрын
Bwan yes naomb uniombee mtumshi wangu naitwa Elizabeth wambura
@DsMnyama
@DsMnyama 20 күн бұрын
Tabiri juu yangu
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 5 ай бұрын
Mungu yupo afichuaye jamn
@Esmark-lp7hu
@Esmark-lp7hu 24 күн бұрын
Mungu wangu,uwiiii
@cyruskarimi8837
@cyruskarimi8837 4 ай бұрын
Amen Amen 🇰🇪
@Lucyluucie
@Lucyluucie 28 күн бұрын
Nabii naomba nisaidiwe maisha yangu yafunguke
@josephinastanley8531
@josephinastanley8531 2 ай бұрын
Nisaidie mm baba familia yangu wajomba wote wameisha mm mwenyewe namàtàtizo chung mzm
@NoraMsangi
@NoraMsangi Ай бұрын
Naomba mungu anisaidie nimalizie jengo langu na biashara zangu zsimame
@user-gf4dj8uv3f
@user-gf4dj8uv3f 5 ай бұрын
Nabii tusaindie baba mungu akukumbuke
@mkubwakasim1470
@mkubwakasim1470 Ай бұрын
Ndugu zetu kweli mabomu
@happynesjoseph-qs1dv
@happynesjoseph-qs1dv 18 күн бұрын
Tabiri juu yangu pasta
@yahayafikiri6395
@yahayafikiri6395 2 ай бұрын
Amina baba
@GalganoPasian
@GalganoPasian Ай бұрын
mungu naomba umponye mama mkwe wangu
@EufranciaNgombo
@EufranciaNgombo 29 күн бұрын
Mektidis mkapa changamoto yangu mtoto wangu mchawi mumombee haache naali iyo nakwaupande wauchumi wangu zio kabisa
@alfredtem591
@alfredtem591 Ай бұрын
Ubalikiwe xana
@andreajohnmzigula2089
@andreajohnmzigula2089 3 ай бұрын
Andrea John Nipo Mkuranga Pwán Amen
@user-ql2rj2np1l
@user-ql2rj2np1l 3 ай бұрын
Mim nnashida nyingi sana naomba uniombee maisha yangu yapo mashakani
@elizaedward2152
@elizaedward2152 4 ай бұрын
Amina
@user-km5iy6wd8c
@user-km5iy6wd8c Ай бұрын
Naomba uniombee na mie,nifanikiwe.
@samsonikomba777
@samsonikomba777 3 ай бұрын
Naitw samson komba naomba namimi uwangalie maisha yangu nilimo pitia kunanini changamoto ni nyingi sana kwangu
TAZAMA DADA ALIYEZIKWA NYOTA YAKE TANGU ALIPOZALIWA
12:02
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 8 М.
MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
12:39
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 87 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,5 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 188 МЛН
MTOTO ALIYE TOLEWA KAFALA NA BABA YAKE APATIKANA/MUME AM MSAMAHA KWA MKEWE NDOA IENDELEE
6:02
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 50 М.
Aogeshwa na Kupandishwa Mamba Mto Malagalasi Akitafuta Maisha Bora | USHUHUDA |
13:02
BWANA UTUHURUMIE.Misa yenye hisia kali.
2:42
Tyson Kisogole
Рет қаралды 7 М.
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 482 М.
MAGONJWA YA KUTENGENEZA part 1 - Bishop Gwajima
21:04
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 185 М.
ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU
10:32
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 45 М.
HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA  AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA  PART-1
15:52
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 40 М.
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 874 М.
MAMA MICHAEL ALIEKUWA AKILOGWA NA DADA YAKE MBELE YA MWANAE ATABIRIWA MAKUBWA
9:46
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 27 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,5 МЛН