BABA LEVO AFICHUA "SHILOLE ALISHAWAI KUNITEGA MPAKA AKIWA KALEWA"

  Рет қаралды 78,257

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

#BabaLevo #Shilole

Пікірлер: 90
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 4 жыл бұрын
Watu ambacho hawakielewi ni kwamba hawa watu ni Best friends kwa muda mrefu Sana. Lazima amtetee...au kwa vile ni jinsia tofauti.!?
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Muna aibuu nyote ata shilole haoni aibu kuskia unavosema kua ushawahii kumuona akiwa uchii wa mnyama duhhhh aibugani mbele ya watangazaji
@vivianrweyemamu1555
@vivianrweyemamu1555 4 жыл бұрын
Yani hawa wameendana bora wangeoana
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 4 жыл бұрын
No wote vichwa vinapata moto na kupooza hawafai kuishi pamoja ,wanandoa lazima mmoja awe mpole
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Kuendana hakuonekani hadharani .
@mariamabdallah5224
@mariamabdallah5224 4 жыл бұрын
😂😂
@athumanimtajih
@athumanimtajih 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anatudhalilisha wanaume
@maryamselemanabdalah4086
@maryamselemanabdalah4086 4 жыл бұрын
Mimi sijui ana nyimbo gani huyu baba levo huyu kweli levo yake shilole
@athumanimtajih
@athumanimtajih 4 жыл бұрын
@@maryamselemanabdalah4086 ana mambo ya kike sana Tena ukike ule wa uswahili
@ypg144
@ypg144 4 жыл бұрын
Kama unahisi anaku dhalilisha huenda wwe sio mwanaume
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Njaa zinamsumbua anaona Bora wana ndoa waachane tumbo lake lishibe
@athumanimtajih
@athumanimtajih 4 жыл бұрын
@@mwanajumaomahundumla6504 ngoja akakutane na mwenye dunia yake
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Huyu jamaa chanzo cha mgogoro nafikiri, hapa hakuna cha udada wala nini, huyu jamaa alikuwa akimtamani tangia enzi za Nuhu
@joseboy1113
@joseboy1113 4 жыл бұрын
Baba revo. umevunja ndoa ya wa2 ili ufaidi ww? Ila mungu anakuona
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Hujakosea hilo ndio ilikua lengo lake kwakua anaona mwenzake Uchebe ana Kula bata Kwa mteremko 🤣🤣
@immaculeensabimana2097
@immaculeensabimana2097 4 жыл бұрын
Baba levo nakupenda bure 😂😂😂wakuache bana ushi 😂😂😂😂
@hellenashely2167
@hellenashely2167 4 жыл бұрын
Huyu niwivu ana mtaman shishi na ndo alo vunja ndoa skuwah msikiliz maan hua smuelewag lkn leo nmemskiliz kwa umakin yy ndo sabab na anataka kujulikana kupitia kiki hizo anamtumia ili ajulikane awekarib na masta wkubwa yake yaende lkn Daa shishi atakumbuka shuka kumekucha
@svt3
@svt3 4 жыл бұрын
Hellen Ashely Baba levo na shilole ni marafiki wa zamani hata kwenye ndoa ya Shishi na Uchebe baba levo ndio alisimamia Uchebe aliwakuta marafiki na amewaacha marafiki
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Baba levo Ni maarufu kabra hata ya hiyo ndoa sasa sijui umejifikiria Nini kuandika utopolo😂😂😂
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Kwa muonekano wanakulanaaa
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 жыл бұрын
Baba Levo hana kosa lolote shishi ndio aliye olewa na ndio alikuwa anapata maumivu ndani ya ndoa
@ustabdallahrsupia3166
@ustabdallahrsupia3166 3 жыл бұрын
Umetisha
@salisali3738
@salisali3738 4 жыл бұрын
Somo wa shilole
@masharubundevu3765
@masharubundevu3765 4 жыл бұрын
Huyo msenge tu mpk atatutia nuksi kwenye chama chetu
@jafarmohamed3016
@jafarmohamed3016 3 жыл бұрын
Nampenda
@jameslukumai8922
@jameslukumai8922 4 жыл бұрын
Okay
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 4 жыл бұрын
Hapo sawa baba levo .
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 4 жыл бұрын
Kisheria kwa mujibu wa dini ya kiislam na ndoa waloifunga ikiwa huyu Shishi kma kaachwa kwa talaka kweli basi itakuwa yupo ndani ya edda na hii eda ya kuachwa ni miezi 3 na siku 10 sidhani kma imefika sasa shishi timiza ilo ktk eda yako na uchebe ufate taratibu za eda inavotutaka wanaume kwa watalaka wetu
@emmanueltheonas7130
@emmanueltheonas7130 3 жыл бұрын
Kama hujui lolote ktk dini ni bora kunyamaza au kuuliza kwa anojua NI KWAMBA EDA YA KUACHWA NI HEDHI TATU NA EDA YAKUFIWA NA MUME NI MIEZI MINNE NA CKU KUMI NA KINACHOTIZAMWA KATKA EDA YA KUACHWA NI MIMBA ILA ASIDHUMIWE MTOTO PAMOJA N.K
@bensonsalum9033
@bensonsalum9033 4 жыл бұрын
Huyu Jamaa nadhani Anashida Ya Kutumia Akili Zake Vizuri
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 жыл бұрын
Baba levo oyeeeeeeeee
@nuratamir6705
@nuratamir6705 4 жыл бұрын
Huyu baba Levo namchukia Kwa tabia zake, halafu wanakulana anamtaka shilole tu huyu mbwaaaaaa kwendraaaaaaaa
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Ukimchukia unampunguzia Nini kwanza hakujui😂😂😂
@James-y3j2v
@James-y3j2v 4 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa anamke?
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Yeye mwenyewe ni mke
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
Dinny nampenda
@alidullah207
@alidullah207 4 жыл бұрын
Mkosa akili..... 😂😂😂😂
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 4 жыл бұрын
Migogoro haiwezi kuishi maana kila mtu akipata mchumba ama mke au mume taarifa zooote ni kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii utadhani wao ndio walioanza mapema na khatma yake mwaka miaka miwili mapenzi kwishaa Muhimu kujifunza ili suala
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Wewe umeachana na mkewako mbona taarifa hatujaziona mtandaoni😂😂
@nuruchengula11
@nuruchengula11 4 жыл бұрын
Tutajifunza ujasiliamali kutumia mikono yetu na ulanguzi wa Mali za dukani kwa ajiri ya biashara Muite rafiki ako na rafiki yake tushikane mikono mafanikio hayaji pasi na ushirikiano,
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 4 жыл бұрын
Baba levo pombe nyingi
@ashaali7154
@ashaali7154 4 жыл бұрын
Hili dume halina haya shida ni kula kwa Shishi. Hili halina mke na hakuna mwanamke anaeweza kuishi na ukurutu huu. lakini yote hayo yana mwisho.
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Wewe mbona umeolewa na ukurutu
@mrsprophet2136
@mrsprophet2136 Жыл бұрын
​@@iffahbahet1499😂😂😂😂😂
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 4 жыл бұрын
ATHUMAN AKISHA LEWA LEWA ANASHINDWA KUJIELEWA LEWA .HIVI HUYU BABA LEVO NA SHILOLE HAWAJALEWA KWELI?????
@allydingofficial6248
@allydingofficial6248 4 жыл бұрын
Waha wabishi saana huyu baba levo anatia aibu
@ashakasikile2698
@ashakasikile2698 4 жыл бұрын
Siyo muha baba levo in mfipa ila mama yeke do muha
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
@@ashakasikile2698 ndo walewale kasolo tarehe limezaliwa kigoma, limesomea kigoma, limekulia kigoma, na udiwani likapata kigoma, sasa kuna nini tena huyo muha tu karithi umamani
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Bora ya kabira lake kuliko lako😂😂
@mapachawetuamazingflaterna2657
@mapachawetuamazingflaterna2657 3 жыл бұрын
Sasa waha hapa wanahusika vipi khaaah. Na huwezi mjua mbishi km ww c mbishi coz mbishi habishani na jiwe anabishana na mtu. So why muha akibishana na kabila jingine aonekane yy mbishi?? Ushamba tu
@goodmusickitaa7930
@goodmusickitaa7930 4 жыл бұрын
Anamsemea sana lkn
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 4 жыл бұрын
Km bwege flani ivi uyo jamaa
@piuslukanula4503
@piuslukanula4503 4 жыл бұрын
Huna mke, afu tena mpo nae mnaenjoy hiki kchwa knaamkiaga wap!!!! haaaaaahaaaaaa,,,,,
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 жыл бұрын
Ashageuza mtaji
@frankpetro6334
@frankpetro6334 3 жыл бұрын
Ww ndoumechangia ndowa kufunjika unamzambisana kwamungu
@ahz6907
@ahz6907 4 жыл бұрын
Babalevo anamtafuna shishi hiyo sio siri
@tehamazanzibar1951
@tehamazanzibar1951 4 жыл бұрын
HATA UCHEBE YUPO HAPPY WW ,KAKESHENI MUNJWE POMBE ,HATA UKILALA NAE UTASEMA
@samwelnyamkina2850
@samwelnyamkina2850 4 жыл бұрын
Dop
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 4 жыл бұрын
Shishi baba levo niwarika yako..munawwsana
@mamy8220
@mamy8220 3 жыл бұрын
Baba levo 😁😁😁😂😂
@nasriahmad5715
@nasriahmad5715 4 жыл бұрын
Mama levo sikupendi chawa wewe
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Kwanza hakujui hata usipompenda😂😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Wamependezana kwa kuoana
@olivadickson1466
@olivadickson1466 4 жыл бұрын
Shishi Yuko sheli hilo jicho nyanya
@aquarianknight
@aquarianknight 4 жыл бұрын
HUYU MTU MSENGE MMBEA KUENEZA UMBEA KAMA MWANAMKE, SHOGA MKUBWA ANA AIBISHA WANAUME KOTE⚠️
@nauthartwaha6424
@nauthartwaha6424 4 жыл бұрын
YANI KWA MTU ASIE NAA AKILI NDO ATAONGEA MANENO KAM YAKOOO FIKIRIA NDO UKOMENT WE UMPENDI MWENZAKOO ANAINGIZA PESAA😏😏😏😏😏ATA KAM WEWE UTAFRAH DAD AKO AKATESWE
@aquarianknight
@aquarianknight 4 жыл бұрын
Nauthar Twaha MMBEA MWENZIO, YAANI KUTAFUTA PESA NDIO SABABU YA KUONGEA UJINGA JUU YA WA2 !, KAVAE SKETI KAMA MWENZAKO UANZE UMBEA MTAANI ILI NAWE UPATE PESA YA KISENGE NA AKILI HIYO YAKO MINGI!
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Wewe jamaa unagubu Kama wamama wapaka Carolite😂😂
@aquarianknight
@aquarianknight 4 жыл бұрын
Iffah Bahet panty yako ulisahau kwake nenda akurudishie
@joycecollection6876
@joycecollection6876 4 жыл бұрын
Natamani kweli kujua huyu kaka ni kabila gani,
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 4 жыл бұрын
Muha Kigoma
@keiyalaitayo7903
@keiyalaitayo7903 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@josephfabiano3107
@josephfabiano3107 3 жыл бұрын
MAN STOPA M1OO FATA UPOTEE
@youtub8320
@youtub8320 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kama hana mke maana muda wote wpo na shlole tu hata muda wa kuspend na mkewe hana, nae kama dada yk au ni ndg au ni kiki, baba levo pia anaweza kua chanzo kikuu cha wivu kwa uchebe mke wa mtu unambanaaaa vp bwana
@salomemwalindu7674
@salomemwalindu7674 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@stanleywagana9346
@stanleywagana9346 4 жыл бұрын
Mambo
@rukyaabdilo7921
@rukyaabdilo7921 4 жыл бұрын
😀😀😂😂
@rachelkaymax547
@rachelkaymax547 4 жыл бұрын
TV..ime edit...ah ah ah
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Niukweli kabisa utapa aibu ata sasaivi umejawa na aibu mtumzima hasidi wavunja ndowa umbwa kasoro mkiya wewe shame on u 🤣🤣🤣🤣
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 жыл бұрын
Wewe kwendraaaaa
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
@@allymatilda7519 jihariye basi usonge mbelenbele uko
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Wewe yako Nani aliivunja😂😂
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
@@iffahbahet1499 alhamdulilah namshukuru Allah ndowa yangu iko imara🤪👈🤣🤣🤣
@jamesjr6086
@jamesjr6086 4 жыл бұрын
Naona nyota za watu hawa zaendana!.nahisi uchebe alikuwa anampiga sana shishi sababu ya wivu wa mapenzi kwake.labda alikuwa anawaona Mara nyingi na babalevo na huenda alimkataza lakini shishi hakuwa anasikia na huenda shishi alikuwa akimjibu jeuri maranyingi uchebe ndo ikatokea yalotokea.maana sisi wanaume huwa hatupendi dharau kutoka kwa wake zetu.unakuta mwanamke wako analeta mazoea sio,mizaha na utani au shobo za kijinga kwa watu wengine hadi kuchati kimapenzi na watu wengine mitandaoni afu ukimwambia au kumpa mipaka kama mkeo anakuja juu ndiomaana migogoro aiishi kwenye ndoa za sikuhizi za haki sawa.
@rashidseta3522
@rashidseta3522 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mpumbavu anasema walikaa wakakubaliana kikao cha ndani na shilole ili uchebe atoe talaka wanao mpa udiwani wafikili mara mbili
@jamesjr6086
@jamesjr6086 4 жыл бұрын
Bila shaka na Nina wasiwasi huyu jamaa anamla kisela shishi.hasara roho watu sikuhizi wanalewa umaarufu na ikiwa hata hawajui nini maana ya ndoa je wataiheshimu VP?.wamezoea kuoana kwa kiki tu ilimradi basi
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 48 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 11 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 68 МЛН
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05
Zanzibar lifestyle
Рет қаралды 87 М.
BABA LEVO afichua siri NILIWAONA NANDY na BILLNASS WAKIZAGAMUANA
8:36
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 48 МЛН