Baba levo kama jina lako la levo umefanya jambo la uungwana sana kuishusha na kumuombea mdogo wetu msamahani nikupongeze kwa jambo hilo hongera sanaa baba levo
@derickmhapa53052 ай бұрын
All yanga funs tuje tugonge like hapa kwa babalevoo
@frankmlinda11812 ай бұрын
😂😂😂baba levo akili mingi good work bro.
@IsaacMwasenga-it1cl2 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 paka machozi yanitoka asamehewe Big up to you Baba level 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@patisondidas67202 ай бұрын
Umefanya kitu Cha maana Sana mwanetu B levo
@happysanga68462 ай бұрын
B levo wetu hoyeeee 💚💛💚💛 udumu milele yanga🙏🔥🔥
@michaelnzunda73472 ай бұрын
Baba levo kichwa kibovu akili mingi
@yassnarynaziru60782 ай бұрын
Wewe kichwa Safi nakuona😂😂😂
@magrethmalobola54702 ай бұрын
Ila baba levo kila anachoongea ananichekesha
@JustineMakame-i9r2 ай бұрын
Baba levo smart boy with big mind hahahahahahahahahah
@AllyRamadhan-cw8we2 ай бұрын
Jezi mbovuuuuuuuuuuu😅😅😅😅
@HarunaShabani-hy8mx2 ай бұрын
yan ww bb levo unasujudia watu mzze duniya hii kk inakikomo andaa kuwasujudia mbeleni
@prosperabison13682 ай бұрын
🔥🔥
@alibinali_2 ай бұрын
Nimependa sana kuna Baba Levo ameshinda Tuko 🎉🎉🎉🎉
@JumaMtwana2 ай бұрын
Huyo aly kamwe aombe mwenyewe
@gelardbalalu91192 ай бұрын
Baba levo nyoko sana
@lailatmalik75152 ай бұрын
We Baba levo umemzalilisha kamwe hajakosea bwana
@HarunaShabani-hy8mx2 ай бұрын
ni muha kweli mapuwa yamesambaa uso wote
@DavidJonathan-s6e2 ай бұрын
Amna apige alikamwe
@EGM-TZ2 ай бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh
@shaameshaame28372 ай бұрын
Mnaosema jezi nzuri tukazinunue ziishe. Hii TZ ukishamiliki sehemu ya kupatia pesa punguza kuingia kwenye malumbano yasiyokuwa ya lazima na pia utambue kwamba ukishaingia kwenye mpira na ukaegemea kokote kwenye timu hizi mbili amini kua utaambiwa lolote na wakati wwte bila kujali nafasi yko uliyonayo kikubwa uvumiliv
@AishshibnShibani2 ай бұрын
Wewe yani mtu atoke uko achafue kazi za watu siaiseme Simba na sio blandi ya watu
@anithawidambe75432 ай бұрын
NYIE WAONGO JEZI ZA SIMBA NI BORA SANA. HUYO MWANDISHI MWONGO SANA SASA HILO LINATOKEA WAPI? BABA LEVO UNACHANGANYA MAMBO
@sentalalikupija48192 ай бұрын
Hakuna haja ya kupiga magoti, hakuna hata senti atakayopewa
@IslamYusuph-s4v2 ай бұрын
Umenichekesha sana
@GenelivaSylvester2 ай бұрын
Yan mwenyew sion haja kabisaa baba levo naye kimbelembele si amwache aende akashitaki sasa kama mtu anatengeneza jez znafanana naye sie tufanyeje alaaa!!!
@MichaelEnn-h4f2 ай бұрын
Baba levo levo yako mbovu ach ujinga na uzaifu umefeli sana hapo broo
@OfficiallyGodfreyMteule2 ай бұрын
B levo mtaram fund majumba
@PierreBukasa-fu3yx2 ай бұрын
Baba levo nadhani sandaland amekuelewa,
@GenelivaSylvester2 ай бұрын
Ila hz jez!! Ila sanda!! Ila mo cola mungu anawaonen jmn nn hko mmefanya ona sasa wenyew yanawavuruga akili
@Tatty-u8p2 ай бұрын
Sanda namuombea msamaha alikamwe😂😂😂😂
@HarunaShabani-hy8mx2 ай бұрын
kuna watu wapumbavu mno kwa hii duniya mtu yupo radhi kumsujudia mtu.mbele ya watu kwa ajili2ya hii duniya wajuwe hawatakuwa na msaada wwt mbele ya mungu watu wenye mapuwa makubwa akili hamna
@JosephChrisant2 ай бұрын
Ally ana kosa gani? Aende mahakamani na sisi tutawabubuluza mahakamani Makolo kwa kuichafua brand ya GSM kwamba ananunua mechi na kuwahonga marefa.
@ROSEJORAM2 ай бұрын
😅😅 unapajua mahakaman Aya tunasubili na ww ukawabuluze mahakaman
@MatandiMatandi2 ай бұрын
Hana jipya
@SamiraseifAlfan-ph4ke2 ай бұрын
Ss mbn na yy kamuita sanda 😂😂😂
@SarahPetro-w6o2 ай бұрын
Wana zarau sana hao yanga wapewe onyo akili ziwarudi
@JohnsonBagambi2 ай бұрын
Kwani yeye Ally awez kijiombea msamaa kama anaona yuko sahihi apelekwe mahakamani tu nilimsikia na baba yake Ally akizungumza alichozungumza namshauli mtani wangu peleka mahakani uyo bwege
@ROSEJORAM2 ай бұрын
Exactly kazid
@JosephMakolo-n9j2 ай бұрын
Achana nae huyo mjinga tu hana mtaji
@UmyMasud2 ай бұрын
Asisamehewe achaalipiwe naGSM
@LedemtusKalambo2 ай бұрын
Baba levo umechanganyika anasitahili Ali kamwe
@frankmlinda11812 ай бұрын
Ila mtamlaum bule sanda wa watu anatengeneza jezi inayoendana na sura yake nyie wengine msubili msimu ujao😂😂😂😂
@ilakozasembumende19752 ай бұрын
😂😂😂 kaka yangu ujue huyo😂😂😂😂
@MonaMbalike2 ай бұрын
😂😂😂😂😂nikajua nimeona pekee yangu kosa gani kumlazimisha mtu kukubali kosa bhana aje atushtak na sie bhac kichwa kama stafeli bhana
@GenelivaSylvester2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣@@MonaMbalikeumenichekesha balaa ya kichwa ka nn vile?? Au ndo maan analazimisha kuheshimiwa kwa lazima ety
@SamG-hs9xe2 ай бұрын
Yani wewe unaakili nyingi bro ndomaana utazidi kutushangaza bro Mungu azidi kukusogeza mbele
@BarbaraPatience-qt9cc2 ай бұрын
Wewe sandaland wachana na Ali kamwe wetu please
@FahadAbubakari-y3f2 ай бұрын
We ni mfanyabiashara?
@yusufufikiri50052 ай бұрын
HAKUNA KUSAMEHE. KWANZA HAPO SIYO MAHARA PAKE. ANGEKUWA KAFANYIWA GSM WANGESAMEHE?
@OS-pf6op2 ай бұрын
Hiyo kesi haina mashiko, Nina uhakika! Itamgeuka
@StephanoSamwely-vv5dw2 ай бұрын
Msenge huyo jezi mbovu,, anataka kumuuzia dg kwa billion3
@franklinmganga7362 ай бұрын
Kwahyo kama jezi mbovu wasiseme
@SaraRobert-io8xv2 ай бұрын
Kumbe ilikuwa kinki
@MauFundiElectronics2 ай бұрын
Jezi hawana simba ukweli usemwe tu japo mchungu.
@Nabiilkhamis2 ай бұрын
Uyo sie sanda lendi
@RukiaAbedi2 ай бұрын
Bila ya mwenyewe Ally Kamwe kuomba msamaha usimsameheeee yeye nani Hana mdomo au ndio anatiwa kiburi huko ofsn kwake?
@matrida.lunyilija51962 ай бұрын
Ana kosa gani ally kamwe acha ujinga wewe
@GenelivaSylvester2 ай бұрын
Na msamaha haombi ng'oo kwa lipi alilofanya?? Hao nao wanaombembeleza sanda n viherehere tu,mhusika anawazoom na vichwa vikubwa
@hirizonetz95582 ай бұрын
Aende mahakamani hana chochote cha kutufanya boya tu huyo
@mwitajohn48822 ай бұрын
Wewe boya tu
@matthewponera57012 ай бұрын
Ety hana cha kuwafanya...we nae ni nani
@maryfides5912 ай бұрын
Haibu iyo hachana na mtoto wawatu nawewe unamtoto kama uyo
@Rukaka_jr2 ай бұрын
Afu hawa ndo wanatak kuonesha umma jambo lionesses kuuuuubwa wakat ni utumbo mtu, aje ashtaki mashabiki wote wa yanga wanaokosoa jezi
@bbclondonulimwenguwasoka61262 ай бұрын
Ni kosa kisheria huwezi public kwenye vyombo vya habari , issue ni kukejeli SANDA tatizo cyo jezi, jezi ya Mnyama ni moto
@jacksonEmanuel-b7g2 ай бұрын
chawa uyo amna lolote
@maryfides5912 ай бұрын
Uyomzee hana haibu kugombana na mtoto mdogo kama uyo unajidhalaulisha bule
@AsiaBakari-b8d2 ай бұрын
Hagombani na mtoto huna akili ana Linda kibarua chake
@ROSEJORAM2 ай бұрын
na huyo mtoto mwenyewe Hana haibu kuongelea vibaya brand ya watu
Wanaojua kuna kesi wanamuomba kama wewe huoni kosa ni wewe
@eddsonjeremiah66692 ай бұрын
Hakuna kesi hapo iyo ni kiki tu Ila kiukweli jezi ni mbaya
@NtamamiloGibson2 ай бұрын
Wewe hujui maana ya brand fuatilia ile kesi ya 50 Cent alivyosema Coca-cola inajaza matumbo akaambiwa afute wimbo huo akapuuzia alipoburuzwa mahakamani ndipo alikutana na vifungu vta roba ya mbao. Sasa Ally Kamwe ni zaidi ya ile.
@AsiaBakari-b8d2 ай бұрын
Jichanganye
@DanieliGibson2 ай бұрын
Kwani niuongo majez yamedoda
@ahmadifataha66772 ай бұрын
Kosa gani kafanya na matambala yenu yale
@ROSEJORAM2 ай бұрын
kama mavitenge yenu kama geita gold
@GodsonLaizer-fx8by2 ай бұрын
Usimsikilize huyo chawa Peleka ndani ajifunze kambaaaf zaidi
@salmamlokela19872 ай бұрын
Na ahmed afungwe pia maan alisema maji ya gsm yana chumvi