Mr Isaac this is hilarious, we are being blessed by your Melodies. Glory to our Lord and Saviour Yeshua 🎉
@johnpaul-c7u8mАй бұрын
nafarijika sana na wimbo huu kwa mungu unathamani nashuru walio andaa mungu awaongezee ujuzi zaidi
@JosephatNziku23 күн бұрын
Wooow wimbo mzuri mubarikiwe sana
@vennerandadonald25922 ай бұрын
Huu wimbo umekua favorite yangu, usiku kucha naweka uimbe na asubuhi naamka nao, kazini baada ya Rozari lazima nisikilize. Nani mwingine anafarijika na anapata ma tumaini akisikia wimbo huu. Let’s gather here.
@Dann-m8d2 ай бұрын
✋✋❤❤
@SimoniSalim-s4n16 күн бұрын
Nisadie kuupata yotubu siwez danilod
@monicakaranja268 Жыл бұрын
"Ingawa nanguka dhambini kwa Mungu ninadhamani" huu wimbo unaniongelesha❤
@EusilahRutto-h4q10 ай бұрын
Congratulations a beautiful song, indeed we precious before God amen.
@christina40mwangosi97 Жыл бұрын
Hakika kwa Mungu Una Thamani. Mmetutafakarisha sana Wapendwa.
@MegaAbby10102 ай бұрын
Wimbo wenye ujumbe mzuri wenye kujenga imani.
@pascalmsilombo672817 күн бұрын
Safi safi
@EliasMethod-t7n2 ай бұрын
Nawapenda sana elias method kutoka kwaya ya familia takatifu shinyanga mjini niwatakie utume mwema
@FeliciaMbonabucha Жыл бұрын
Nikisikia wimbo huu huwa nafarijika sana,pia unanifanya nijitabue kuwa nami kwa mungu ninathamani
@thrillingpoint21322 ай бұрын
Kwa Mungu nina thamani🙏🙏🙏🙏
@ernesthaonga7640 Жыл бұрын
❤❤❤❤tumeupiga mwingi
@PendoMakyao11 ай бұрын
Amina..wimbo unabariki sana
@WITNESSJAMES-lr6jz4 ай бұрын
Much love❤🎉
@PeacefulDaisies-jk2xq Жыл бұрын
Hakika kwa Mungu nina thamani
@EinothMollel-vb1tc Жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@lucasshirima28802 жыл бұрын
Usijishushe Dhamani yako kwa Mungu haiwezi kushushwa na Mwanadamu ...na wala hatukuumbwa kwa Bahati Mbaya...Asante sana kwa Zawadi ya Upendo.
@lucasshirima28802 жыл бұрын
INADHAMANI.
@estherwanjiru600111 ай бұрын
Wow ❤ I love your song
@gabrielsino23111 ай бұрын
Keep it up
@aikabernard Жыл бұрын
Nimesikiliza huu wimbo more than 10 times. Ujue katika ujana kuna mambo unapitia mpk unajiona huwez ata ingia malangoni mwa nyumba ya Bwana yani unajiona kama ata ukiomba Mungu hawezi kukusikia ila baada ya kusikiliza huu wimbo aloooh am so blessed na napata nguvu sana ya kumwambia shetani mm sio wa kwako kweli niliteleza ila mm nina baba yangu na anasubiri nirud kwake
@Mwita_Isack Жыл бұрын
Barikiwa sana 🙏
@ashrafmohamed7966 Жыл бұрын
Nimeutafuta sana huu wimbo hatimaye nimeupata,,,,, wimbo mzuri sichoki kuusikiliza unanitia moyo na kujiona wa Thamani
@PAULGATTI_21PG Жыл бұрын
Barikiwa zaidi na utunzi wa mwita isack hapa kzbin.info/www/bejne/kJzUlnZol82tqc0
@duobledrittedeoritte27877 ай бұрын
Wimbo unanitiaga moyo sana jaman mbarikiwe sana waimbaji pamoja na mtunz
@erastorichard82904 ай бұрын
Hakika ndgu
@peterhaki385311 ай бұрын
Waimbaji wote hongoreni sana sauti pia Zina farijinsana
@jamesmwita29952 жыл бұрын
Moja Kati ya tungo bora uliotunga ni hii ,, hongera sana mtunzi na waimbaji pia mpiga kinanda ,mmefanya kazi nzuri sana
@okumuobudho54953 ай бұрын
Properly composed be blessed.
@EmmanuelAndrew-e1p11 ай бұрын
congratulate to a good song
@bobrobert33742 жыл бұрын
Hongera kwa tunzo na sauti nzuri
@NazarKaduri2 ай бұрын
Wimbo huu jaman unanifariji mnooo hakika me niwathamani
@KizaSango-g6v3 ай бұрын
Ongera sana kwa aliyetunga hii wimbo,pia waimbaji ongrereni kwa kuimba wimbo huu vizuri sana MUNGU awabariki kwa kazi ya uhimbaji
@rahabkuria10643 ай бұрын
This is My favorite Marian hymn, thanks ms Bhakita
@ElvisNacham-eg8ep7 ай бұрын
Huu wimbo mzuri wakati upo chini kabisa unahisi mungu yupo karibu. Asanteni kwa wale walioimba mungu awabariki mguze nyoyo za watu
@thobiasluanda-mg4qf Жыл бұрын
Ni Mungu pekee aijuae thamani yako🙏🙏🙏
@anataliangalowoka3906 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana. Kazi ni nzuri mno
@aidandidace82072 жыл бұрын
Ujumbe mzuri unatia Sana Moyo, hata video nzuri, Kazi nzuri Sana🔥🔥🔥
@LadislausmzibaMhasa3 ай бұрын
Kwa kweli kazi ni nzuri kinoma nimekubali mungu awazidishie afya njema
Nauona uwepo wa Mungu kila Napo sikia Nyimbo hii. Hakika Mungu awabariki sana. Hio sauti ya tatu hapo mliniweza sanaaa. Be blessed
@SteveWakaba-ke7iz3 ай бұрын
I listen to the song every day. Pls nisaidie na notes ikiwezekana.
@DariaJosephat5 ай бұрын
Nahisi mtunzi alipokuwa akitunga huu wimbo alikuwa ameshukiwa na roho Mtakatifu hakika unanipa amani ya moyo na najiona Nina nafasi nyingine kwa mungu
@GasperTarimo-j2w5 ай бұрын
Samahani kwani ww ulianza kujifunza mwaka gani
@robertkyanzue99948 ай бұрын
kwa Mungu una thamani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@EdwardWankyo4 ай бұрын
Walimu kama wewe ni wachache sana mungu azidi kukupa uwezo wa kufikiria na maisha marefu mwalimu wangu
@martensnshimi36134 ай бұрын
Ooh Mtukanji na waimbaji Yesu tunaejivunia awazidishie vipaji na si tuzidi kufarijiwa na nyimbo zakumtukuza Mungu
@MathiasJohn-m6n Жыл бұрын
Mungu akuzidishie kipawa mzee mwita ,,,Mimi na kwaya yangu tunakupenda bure❤❤❤❤
@Mwita_Isack Жыл бұрын
Amina 🙏 sana
@tempochoir Жыл бұрын
Blessings.
@sarikasluvanga77803 ай бұрын
Wimbo huu hunipa hisia nyingi zenye kugusa maisha yangu mbele za Mungu kupitia kwa matendo yatupasayo. Hongereni sana waimbaji na Mtunzi. Baraka ziwe nanyi.
@jonaskweyamba9747 Жыл бұрын
Binafsi nawapenda kwa utume wenu mwema napenda pia utume wangu wa uimbaji.
@martinabel38963 ай бұрын
Daah nimeurudia huu wimbo zaidi ya mara 100 lkn hamu haiishi kuusikiliza, barikiwa sana mtunzi na waimbaji wote
@aquenthony61995 ай бұрын
mi nilikua wapi jmn😢
@Kiza-m1l3 ай бұрын
Yaani huu wimbo unanitia moyo sana
@margaretwanjau26073 ай бұрын
Oh what a wonderful song! What a powerful message here! Asanteni sana Mwita and friends. I play this song everyday. It is so encouraging. ❤❤
@DennisDara-i4i5 ай бұрын
Huu ndio wimbo unanipa nguvu kwa maana unamafundisho ya kutosha
@carolineflueckiger74576 ай бұрын
Yesu nakupenda
@GasperTarimo-j2w7 ай бұрын
Hii ndio zawadi pekee aliyonipa mungu kusikiliza nyimbo Kama hizi
@christinaraymond1928 Жыл бұрын
Asante kwa nyimbo nzuri zinautukufu mnoo barikiwa sana Mwl
@Mwita_Isack Жыл бұрын
Amina 🙏
@josephmuthusi90554 ай бұрын
Una thamani. On endless auto-repeat this morning. I feel this is how music will be in heaven.
@AnethLebwanga Жыл бұрын
Jamni mnaimba vizuri naomba kuimba pamoja nanyi
@MaryNdondu Жыл бұрын
Hakika kwa mungu ninathamani kubwa ,hili tungo limenipa moyo sana
@EmmanuelMarco-v1q9 ай бұрын
Ok very nice
@antonymumo19762 күн бұрын
Woow.....very nice song ❤
@JohnMasondole-u9m4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Hadi nimependa jaman eee hongereeeni sema sasa unapatikana KZbin pekee ake mediaa nyingine hapana
@LudvicNgugi-kx5xb Жыл бұрын
Ahsanteni kwa wimbo huu wenye kutibu mioyo iliyovunjika.
@NicholasMutuku-rh6fz6 ай бұрын
Alleluia,"amina.
@monicakimario29104 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ni Baba yetu hata katika madhaifu yetu. Tu kweli wa thamani machoni pake
@lilianwillium8381 Жыл бұрын
Kiukweli ubarikiwe mtunzi na waimbaji wote nimefarijika mno hongera sana
@KulabaStephen4 ай бұрын
Huu wimbo ingekuwa utoaji wa tuzo for my deeply heart ungeongoza kuwa na tuzo kwanza inafundishwa,unaburudisha na unakufundisha kuwa mtu mwenye subira ambay hupaswi kukata tamaa amina sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@menancemhombwe2267 Жыл бұрын
Bonge moja la song. Mwita weee unajua aisee. Hizi ndio nyimbo sasa za kikatoliki
@kwayamalaikagabrielparokia5062 жыл бұрын
So Nice...Hatukuumbwa kwa Bahati Mbaya...
@lucasshirima28802 жыл бұрын
Mungu anaijua dhamani yako.
@Musadaniel-l7y7 ай бұрын
A very nice song, and it makes us feel God's endless mercy🙏
@IGNASMBILINYI-tl3mp Жыл бұрын
Kwa kweli hongera sana mtunzi nimebarikiwa sana na huu wimbo🙏🙏🙏
@Mwita_Isack Жыл бұрын
Amina sifa na utukufu vimrudie aliyetupatia hizi talanta
@despinae.mdende2 жыл бұрын
Asante Mungu Kwa wimbo huu mzuri. Unatukumbusha thamani yetu wanadamu.
@benardlameck73402 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎙️🥰
@norberttwamba84672 жыл бұрын
Despina, hatuwaoni siku hizi, nini changamoto. Tumezimis kazi zenu takatifu
@nellyogwang6320 Жыл бұрын
Asante kwa wimbo huu ina nipa nguvu
@dignakayombo74 Жыл бұрын
Hakika wimbo ni mzuri tena ubarikiwe sana mtunzi,kupitia wimbo huu nimefarijika sana kwa mapito ninayopitia
@Arati39 ай бұрын
Nice😊
@benomahema3011 Жыл бұрын
Kongole kwao kazi nzuri inatutia matumaini.
@janerosezanzibar53722 жыл бұрын
Shukrani sana mwl nimekuelewa maana nilikuwa najua kama mchezo." Hakika unathamani"🙏🙏
@alphoncembassa64015 ай бұрын
Wimbo ni bora kabisa unatuamsha hautukatishi tamaa
@geofreydawa4399 Жыл бұрын
Daaaaaaa hongera sana mtunzi pamoja na waimbaji
@dianamseka12335 ай бұрын
Nilianza kusikiliza wimbo huu mwka 2022 nilikuwa kwenye mateso makali sana ya kimaisha na watu wa watumishi wa kazini kwangu,kila siku nikitoka kazini nilikuwa nasikiliza huu wimbo hadi leo hii.Nilipata faraja kubwa kupitia huu wimbo huu.
@waromokello8 ай бұрын
The greatest hit from Mwita....the harmony is so sweet
@CeciliaBeatus-i3t3 ай бұрын
Mungu awabariki ukweli nimepata Tumaini jipya kupitia huu mungu awabariki
@janemwangi6054 ай бұрын
Kweri wanakwaya wetu kwa mungu wetu tunathamani. Mungu awambaliki kupita kwa HUO wimbo una badili watu wengi sana. ASANTENI.
@HappyGoodluck-v3p5 ай бұрын
Mungu awalinde mwendelee kueneza injili ya mungu
@monicakimario29104 ай бұрын
Mungu akubariki mno Isack kwa hiki kipaji alichokupa
@Mwita_Isack4 ай бұрын
Amina sana
@PaulBulolo Жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji 👏👏👏
@LucyNyeura-op6mg Жыл бұрын
Mungu awabariki mno, kazi nzuri
@AlphoncinaCharles9 ай бұрын
Ongereni
@AndreaAbery6 ай бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yenu
@ephraimkashusha39872 жыл бұрын
Kazi Safi sana #Hongera sana Kaka Mwita Kwa Utunzi Mzurii..
@michaelmaige93002 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana barikiwa kwa hilo
@norbertsungu3922 Жыл бұрын
🙏
@janemusyoki5218 Жыл бұрын
Have been blessed. Kwa Mungu nina dhamani .Barikiweni sana . I love 😍 this song.
@edithamakanzo6023 Жыл бұрын
nikijihisi kukata tamaa nasikiliza huu wimbo unanitia moyo sanaa na kunifanya nipate nguvu mpya. sijaja duniani kuzurula ni kusudi maalum la Mungu niwepo hapa hongereni kwa kazi njema
@EmmanuelMarco-v1q9 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati kwa Mungu kila mtu ana thamani kwake
@SirJames0652 жыл бұрын
Kaka, wimbo nzuri sana na utunzi mahiri kweli..
@Mwita_Isack2 жыл бұрын
Asante sana mkuu
@fiderisbahebe4 ай бұрын
Kunanjia gan yakpata huu wimbo Jaman?
@MHOZYAKILIGI8 ай бұрын
Hakika kwa MUNGU Kuna thamani 🙏🙏🙏🙏
@REBECAMMUSA Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@peterhaki3853 Жыл бұрын
Hongera sana mwalimu
@AnithaModest-b5t Жыл бұрын
Kabisa!! kwa Mungu ndio kimbilio pekee
@AnithaModest-b5t Жыл бұрын
Nisikiapo wimbo huku nafarijika sana.
@dainesrhobi71722 жыл бұрын
Hongeren kazi nzuri Sana Mefurah Kukuona Dada yang Jenerose Zanzibar Sauti kinanda Umetiachia pengo Huku