Poleni Sana Kaka, Mungu muweza wa yote awafariji kwa faraja kuu
@SaraRaphael-do8zpАй бұрын
Pole san baba mungu akutie nguvu
@EstapeterSandayАй бұрын
Pole sana kaka Moses
@henrychikafa28142 ай бұрын
You have finished the work my dear and now you are receiving your crown
@RehemaHilali2 ай бұрын
Mungu ndio kila kitu tumuombee mtoto wetu
@paschalinahharis96042 ай бұрын
Pole shemeji yangu Mungu awatie nguvu na familia! R.I.P. my son David
@setasanga2 ай бұрын
Mungu amlaze pema peponi kipenzi chetu daudi
@saralsamwel3532 ай бұрын
Ameeen
@JescaChaula-k7z2 ай бұрын
Daudi moses kaka yetu yupoo mikono salamaa lakini kuondoka kwake mapema ni kovu kubwa sanaa
@annashao29202 ай бұрын
Baba usisikitike kwa nini Daudi amekufa kwa njia hiyo, suala sio aina ya kifo ni anakokwenda ndio hasa kwa muhimu. Hata mitume na mashaidi wa Yesu Kristo wa zamani walikufa vifo vya kikatili sana lakini wote wako na Yesu Kristo mbinguni