Hongera sana sister Mungu akubariki na Mungu asikupungukie na wanaofikiri sister ni mke wa padre siyo kweli na siyo mpango wa Mungu, sister anaishi kama mchumba halisi wa Yesu Kristo Bwana wetu
@prosperjohn20473 сағат бұрын
😏😏😏😏😏😏
@junelizzy1684 Жыл бұрын
That's my niece. Am proud of u my toto. Mungu akupe nguvu uzidi kumutumikia💪💪💪💪
@CarenNarotso-oo8qd Жыл бұрын
My best friend in high school,iknew u would land here,very shy and humble,mungu akujalie Rose
@fredyledidi490824 күн бұрын
Kumtumikia Mungu ni jambo muhimu na la kipekee. Hongera sister na Mungu akubariki
@JuliusSwallo12 күн бұрын
Sister Rose jipe moyo uimalize safari ya wito huo mtakatifu.Mungu baba atamalaki maisha yako.
@rukobaannakletus3589 Жыл бұрын
Anajua analofanya,huo ulikuwa wito wake.hongera Sana sir.
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Hongera san sister MUNGU akuongoze kwa kila jambo🙏🙏🙏
@raphaeljulo3826 Жыл бұрын
Hongera sister
@rebekamwimi1394 Жыл бұрын
Hongera kwa uutumishi. Yesu awe Bwana na mwokizi wa maisha yako
@florentinigawday109425 күн бұрын
Uko vizuri sister,unastahili kuigwa katika jamii zetu
@marymimina Жыл бұрын
A very touching story indeed🥰 Mungu azidi kukuongoza katika huduma.
@jameswanyancha5940 Жыл бұрын
Hongera sana sister
@muchirijohn2034 Жыл бұрын
@@jameswanyancha5940 🙏🙏🙏
@SamwelMagala15 күн бұрын
Huyo ndio msimamo wa mcha mungu Asante dada mungu akubaliki sana
@stevenrevelian423814 күн бұрын
Hongera Rose.kumtumikia Mungu ni baraka.
@pamelacecilia1551 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana sister
@saimonjohnsumley9198 Жыл бұрын
Roho wa Mungu akujaze Sana!! Superwoman
@MagrethCostantine5 ай бұрын
Sister una msimamo hongera
@RoseKapembwaАй бұрын
Hongera wajina Mungu azidi kukuza kile alicho anzisha ndani yako
@aristocharles-cq2fd10 күн бұрын
Hamna kitu hapo La'ana iyo
@sylvestermakau3687 Жыл бұрын
Kazi ya mungu haina makosa sr rossyne Sylvester hapa mtumikie mungu kwake Kuna raha
@alexandermutakha882 Жыл бұрын
Hongera Robert Kwa uvumilivu na upole.
@renatusmahimbalipigahaosta4811 Жыл бұрын
Alimtafuna bhana
@baloz8974 Жыл бұрын
@@renatusmahimbalipigahaosta4811 🤣🤣🤣🤣 au sio
@Dismaskimaro15 күн бұрын
Mungu.azidi.kukupa.mguvu..sister..barikiwa..sn..
@kabelengegodfrey400914 сағат бұрын
Nakama mungeoana mungezaa watoto wacha Mungu waviwango vya juu sana
@mickThadon Жыл бұрын
Asanteni Sana Jugo Media 🙏🙏🙏
@eliudwakundu3726 Жыл бұрын
Very inspiring story of good redeñce
@benedettaochieng Жыл бұрын
Kazi ya mungu wa iendelee😮
@clianamwampamba38197 ай бұрын
Hongera Sana Kwa wito
@davidaguvasu4553 Жыл бұрын
That's how it should be. Rules must govern our relationships.
@teclangalale9235 Жыл бұрын
Cjapenda coz huyo ROBERT now atakuwa na familia yake, na still unasema utamtumia hiyo Crip it means bado mnawasiliana hakuna mwanamke anapenda mumewe aendelee kuwasiliana na ex wake, utakuja sababisha mtafaruku kwenye ndoa za watu
@modestajamada3496Ай бұрын
😅
@aristocharles-cq2fd10 күн бұрын
Tabu sana hapo kaluka kipengele Cha kupiga shoo
@erastongede24444 күн бұрын
Hajamtaja bhana...akina Robert wapi wengi...angesema na ukoo wa Robert ndo ingekuwa mbaya
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Kutoka Burundi Nami ningeyaweza🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@simonzakaria477019 күн бұрын
Bora ungeolewa na Robert angetoa mahari ingemsaidia Mama kuliko kumpelekea sukari padre alambe bure
@moyolameck55516 күн бұрын
Unapata wapi ujasiri kuandika hivyo? Ulaaniwe ww na kizazi chako chote kuanzia baba yako hadi uzao wa watoto wako Zaburia 109 Isome ujue laana itakayokupata
@simonzakaria477015 күн бұрын
@@moyolameck555 tunaishi nao mitaani tunawaona na siyo masister tu hata mapadre wana na watoto mitaani kabisa na wanawake wamewapangia na nyumba
@femidayahaya929314 күн бұрын
huna adabu
@ClementWitsoni3 ай бұрын
Hongera sana sister
@Tumainy14 күн бұрын
Sister be the blesd maan nimependa saan maneno yako
@judithsimon789211 күн бұрын
Nyeupe nyeupe na nyeusi nyeusi sio kweli hawa hawaingiliwi maisha yao yote no nakata kata kata duniani mpaka mbinguni
@MrJevelson9 сағат бұрын
Mama ilikuwa ananiambia hongerasana mama nifikishie salama zangu kwa dada yake Na mjombawako
@ponsianpaschal-lz6wg Жыл бұрын
"Mungu akujalie moyo mkuu"
@comics3437 Жыл бұрын
Mh?? Kwa iyo amajitunza hajaguswa, safi sana
@mushken65 Жыл бұрын
Nimekupenda sister kwa kuwa dada aliyekuwa na misimamo isiyoweza kutingishwa na lolote. Barikiwa zaida maishani unapoendelea kumuhudumia mungu 🇰🇪
@RozaliaepimackАй бұрын
Ukimtumainia Mungu hakuna kisichowezekana kwake .
@josephturuthi1183 Жыл бұрын
Hiyo ni Kali, lakini kuna mashaka mahali Fulani kwa maoni yangu pengine hiyu kinjana alikua na msichana mwingine mahali Fulani, maoni yangu tuu.
@waltersesuru43 Жыл бұрын
Sister mungu akubariki %%
@maryflaviournafulasifuna6347 Жыл бұрын
Happy to see you Sr Roselyne 👏Homie 🙏🙏
@viviankakai512 Жыл бұрын
Webuye team tupo hapa
@bibianmumbe7464 Жыл бұрын
Mtawa hongera. Lakini iwapo baadaye ulivunja n.a. uko unajisifia public ju hatukujui Mungu akuhurumie
@kipkoechchepkinoiyo4124 Жыл бұрын
Hapo ziwezi,mwenye alifanya hivo alikufa 1996
@FrankDamiano-ll2xyАй бұрын
Ukipenda Mungu chochote kinaweza kutokea
@TomMulongo21 күн бұрын
We.are proud of you sister.
@ladislausshirima86320 күн бұрын
1Wakorintho 11:11 Yule mume Mungu alikuletea ili akubariki lkn mashetani wana nguvu ktk mwili sasa hakikisha unaokoka ama sivyo mambo ya dini na sakramenti havitakuoa na moto wa jehanamu
@WaweruG Жыл бұрын
Kiswahili kitamu...angelikuwa pia mwanahabari, mwalimu hodari.
@innocensiapius Жыл бұрын
Ni mwanahabari
@manasenaftal13 күн бұрын
Busara ni muhimu sana
@LucianDevenus6 ай бұрын
Hongera sana dada
@conjestinahmwanzui4247Ай бұрын
Sijapenda sister unayofanya.Natamani usingeyafanya kwa mtandao.
@OscarKasalile21 күн бұрын
Anawafundisha wengine
@donatusalfred58228 күн бұрын
Ukijitoa sadaka,jitoe kweli na mtumikie Mungu kweli
@robertphilip38517 күн бұрын
Shida nikwamba wanaliwa na ma badree
@ennethnasimiyu2677 Жыл бұрын
Sio Robbery tu bali mimi nilikuwa na Kujua majina huyu mlulya kamili .ubarikiwe sana
@ngombegeorge3577 Жыл бұрын
Tafuta interview ya kufundisha neno la mungu wafundishe . Ni kwa namna gan mtu atapona na nguvu za Giza na masister wafundishe watu . Namna ya mtu kufanya maombi ya tofaut na vitabu. Muunin anawezaje kumshinda mganga ; mchawi: msoma nyota. Ww ukafika hatua tukakuandkia kua wema wenu ni uovu mbele yangu . Man achana na izo habar kabsa
@severimkatomutegeki69309 күн бұрын
Sister Mungu akubariki kwa msimamo wako( kweli tafuteni ufalme wa Mbinguni, hiyo ndiyo dili sahihi).
@severimkatomutegeki69309 күн бұрын
Sister Mungu akubariki kwa msimamo wako( kweli tafuteni ufalme wa Mbinguni, hiyo ndiyo dili sahihi).
@ngombegeorge3577 Жыл бұрын
Man achana na habar ya kuwaoji masister hao ni wanadamu akiteleza katika kuongea au akaongea uongo ni hatar Sana tafuta habar nyingne na ukiendelea kuwafanyia interview ni kosa mbele ya mungu' nakuhahid siku ukimfanyia sister interview ya namna hii tofaut na neno la mungu nitalituma neno la mungu likukumbushe-
@mercypeter162 Жыл бұрын
Midia hawawezi kumhoji mtu bila ridhaa yake. Yawezekana Sister mwenyewe ndio .amependa kushea Na watu. Lakini mtazamo wangu naona Kama huyu Sister anahisia za mapenzi au hisia za kuolewa. Na kama mawazo yangu yako sahii iko siku ataolewa na atazaa watoto wake.
@michaelmaja-1699 Жыл бұрын
😂😂😂
@barakandabunganie6585 Жыл бұрын
Nice story simama imara
@JulaiNgweta9 күн бұрын
Naomba kujua utawa linapatikana ktk kitabu kip
@onlyyoujesus82327 күн бұрын
Soma Injili ya Luka 18:18-30 zingatia hasa aya ya 29-30. Kwa neema ya Mungu utaelewa
@beatricenangale5439Күн бұрын
Hao ni mayowashi wa kujifanya wenyewe, Biblia inasema
@rumanyikajoe7038 Жыл бұрын
Hapo sijakuelewa sister. Hapo ulikuwa unachumbiwa ukiwa shule au ilikuwaje. Maana kisheria hairuhusiwi kuchumbiwa ukiwa mwanafunzi.
@othmarluwawilo8308 Жыл бұрын
Wewe siyo mwelewa, amesema Robert alikubali kumnunulia kila hitaji asome vizuri ili hapo baadae waje oana.
@muchirijohn2034 Жыл бұрын
@@othmarluwawilo8308 Asante kwa kumkosoa Robert.
@JumaMuhenga-bs8vm15 күн бұрын
Huyo FADHA ndio ALIEKUA anakutafuna acha uongo ukaona ili uwenaye KARIBU uwe mtawa
@flowinmilinga991115 күн бұрын
SAWA KWA MSIMAMO LAKINI MUNGU HAJAKATAZA MTU KUOLEWA AU KUOA 1 TIMOTHEO 4:1-5,NDUGU ZANGUNI WAPENDWA ASIYETAKIWA KUOLEWA NI YULE ALIYEKWISHA KUINGIA MBINGUNI NA KUPEWA MWILI WA ROHO AMBAO HAUNA KANUNI ZA KUOA AU KUOLEWA NA PIA HANA KANUNI ZA KUZAA.
@evanschaedirectoreffortcon6264 Жыл бұрын
The SR seems to to have some family feelings, at one time she might get married. Watch the space
@alexanderbalars18 күн бұрын
Basi mtangazaji,kamtafte robert tuskie side yake ya story
@daudichoghoghwe5035 Жыл бұрын
Mm nisingeweza kabisaaa
@veronicarotich9615 Жыл бұрын
Hizo ndizo masharti nilimpatia mwenzangu wa ndoa kabla tuoane. Nilienda kwao kujua tu watu wake na sikulala kwa ile nyumba yake ya vijana pale kando! Alikubali.
@andrewoloo2169 Жыл бұрын
Sister read the bible 1timothy 4:1-4 unafaa uoleke dini imepoteza wengi
@PhilipOmondi-qb6my3 ай бұрын
read Matthew 19:12 "For there are different reasons why men cannot marry: some, because they were born that way; others, because men made them that way; and others do not marry for the sake of the Kingdom of heaven. Let him who can accept this teaching do so.”
@erastomwakalukwa3946 Жыл бұрын
Life is by chance and choice 🙋💐🔥
@brigidnafula6096 Жыл бұрын
Mahojiano mazuri
@godwinkileo770213 күн бұрын
Hivi sasa kuna mtawa bikra?
@smithkiratu4806 Жыл бұрын
Let us anandagama Against Rains!!
@martinmaina9777 Жыл бұрын
Maria alikuwa sister
@bakarithegeoinformatician740616 күн бұрын
Wazungu wamewazeza sana! Ukiachana na ushoga hii pia ni njia moja wapo ya ku control population!
@MushiVicentАй бұрын
KWA NJIA YA KUSALI SANA INAWEZEKANA
@bakarimhina4133 Жыл бұрын
Umemdhulumu Robert Huoni Unalo Deni la Duniani Hadi Akhera. Mlipe Thamani ya Vitu Alivyokuletea Kwenu Hapo Kidogo Utakuwa Umetenda Haki.
@wycliffenyamweya.w Жыл бұрын
Mwenyewe kajulishwa ulikuwa mchezo wa pata poteza, sasa basi ingekuwa balaa ikiwa hangeambiwa hili tangu mwanzo.😭😂
@MelkiadiBahadi18 күн бұрын
Robert hupo wapi Kwa sasa
@francismkenda Жыл бұрын
Hii ya sister ni kwa sabab alitaka awe mtawa ila kinyume na hapo hamna ambaye angehangaika kukufuatilia eti
@MichaeliLushinta20 күн бұрын
Mimi ninaweza
@AbdulkadirAbdullah-y4z19 күн бұрын
Hutakiwi boy friend wala garl friend hakuna hayo mtajuana siku yakuoana no zinaa no kukaa na mwanamke ndio utakuta wanawake kwetu wengi ni bikra hawajaingilua lakini wapo wameharbikia lakini inakua aibu ukuolewa ushaingiliwa unasemea na mpaka mnyama
@HmashaAlly-m6h9 күн бұрын
We wamuekea vikwazo MTT wawatu inamana we N I bikra toka hapa umeshatolewa usichana mwehu we
@violethbosha1666 Жыл бұрын
Umekosea sana sikupenda
@emmanuelpeter5686 Жыл бұрын
Mimi siwezi
@michaelmaja-1699 Жыл бұрын
Hahaaa kwa nini hujapenda
@baloz8974 Жыл бұрын
Samahani ningefanya nini my violeth?
@AhadiGhumbo6 күн бұрын
Ukisikia mtu kasoma halafu hakuelewa ndo hawa wapumbavu, me mkwe wangu aliachilia mbali uo upumbavu nasas anajivunia watoto zake nakuwajutia wenzake,mana hao wanaliwa na viongoz wao kila siku kwazam naakipata mimba huamishwa nakupelekwa kwenye vituo maalum,akijifungua tu mtoto hiondoshwa nakulelewa kusikojulikan nandio bas tena
@gastonmbilinyi3822 күн бұрын
Una ushahidi wa hili unaposema? Kumbuka usingiziaji ni dhambi kama dhambi zingine.
@violethbosha1666 Жыл бұрын
Usinge kubali kuyaongelea kwenye mitandao
@Faya88426 күн бұрын
🙏🙏🙏
@abduljabbarmohammed4188 Жыл бұрын
Hayo masharti naweza kuyatimiza
@AbdulkadirAbdullah-y4z19 күн бұрын
Hayo kwa uislam nimambo yakawaida waislsm asilimia 90 hawafanyi hayo kabla ya kuowa mtajuana siku kuowana sisi ndivyo tunazingatia
@isaacmissoy3522 Жыл бұрын
Robert where are you??. I think you still have a chance
@trecygohy784723 күн бұрын
Stop having a foolish mindset wakati wewe n msomi
@mikedan174814 күн бұрын
Na tazama kutoka Stockholm..Upplands -Väsby....ecce sacedot magnus ,,,qui ediebus suis!
@Maiko-t2j18 күн бұрын
Uongo ni mbaya?
@benjamintinega3836 Жыл бұрын
Kwa hivo Robert aliwaste mda na hela zake ni sawa tu
@mosesmdemwa566518 күн бұрын
Mpaka unasimulia ni wazi inakuuma hata Leo umemuumiza kijana wa watu sikuungi mkono
@LambethMvile9 ай бұрын
Msimamo unatakiwa katika maisha
@honorathampemba539211 күн бұрын
Hilo ni fundisho kwa wachumba .Subira inaleta heshima kwenye ndoa
@evanskipruto9613 Жыл бұрын
Congratulations sister vs robart
@samwelsammy1121 Жыл бұрын
Hivi bible imeandikwa wapi huo utawa
@piusgadau6328Ай бұрын
sio lazima kuzaa mkuu wala kuolewa au kuoa sio lazima na hakuna dhambi kutokuwa na ndoa
@aurickyenze5780 Жыл бұрын
Mtawa? I believe it's much better to serve God in marriage than being a childless nun. To me, this beautiful lady is a wasted resource. You were meant for Robert but you let him down. Utashangaa utakapofika mbinguni na kupata jina lako halipo mle...na nimeenda......
@edsonnelson44644 ай бұрын
Mtazamo wako ni sawa na wakwangu
@msemwawalter837Ай бұрын
Amechagua kumtumikia Mungu. Hii ndiyo akili.
@boazgodfrey86525 күн бұрын
Wewe mbn hukufanya hivyo?@@msemwawalter837
@MussaEdward-wy3gr21 күн бұрын
Mbona unaleta unamaana ga😊😊
@ramadhanzenj911112 күн бұрын
Hawa huwa ni wazinzi sana sema wanatoaga mimba na kumeza vidonge MA Sister wengi wanatoka mikoa furani ambayo kwanza inasifika kwa wadada kutokuwa na subra/ ukitaka kujua hao ni vimeo tafuta Padri yeyote aliyesitaafu uone anao watoto au hana jina wanao Shenzi kabisa
@robertadrian25599 күн бұрын
Jina lako tu linatupa maono kwanini ume comment upuuzi
@simonjoel6633 Жыл бұрын
Nilipe MB zangu aisee ujinga tu
@OlafMichael-u5i5 күн бұрын
Kweli ndoto yako ilitimia
@paulvimbamvula950813 күн бұрын
Shemeje kwajiri ya shopping ,kweli sisi maskini hatuta enjoy hapa dunia
@ChristinaKembe2 ай бұрын
Huyu namjua sana na picha zake
@joshuac.mashida137825 күн бұрын
Iyo ngumu sst
@japhetnyese228517 күн бұрын
Sister rozi mbona yesu alizaliwa? Na maliamu si mtakatifu , je mngekuwa wote watawa ingekuwaje Leo? Maswari 3 hayo
@sirjohnnewton167913 күн бұрын
Ivi ma sister wote ni ma bikira kama siyo wote basi watolewe wabaki wenye nazo