BABA YANGU KIPOFU Full episode /53/

  Рет қаралды 464,268

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@dadaamwazewe1299
@dadaamwazewe1299 2 ай бұрын
Ile kiusawa hii movie ilikua yiishie pale babakarobo kamuowa zuu wangap wanakubaliana na mmi😂❤❤❤
@Kanambiamwenda
@Kanambiamwenda 2 ай бұрын
Hii movie inazindi kuwa tamu zaidi endeleni mpaka episode 101❤❤wapi like Kama unakumbaliana na Mimi from Kenya alfu huyu kendi ni mkenya ❤❤😂😂
@dadaamwazewe1299
@dadaamwazewe1299 2 ай бұрын
@@Kanambiamwenda 😂😂😂😂😂😂😂
@noreennafula-zj8zp
@noreennafula-zj8zp 2 ай бұрын
Wazo langu pia jamani😂😂
@NasraHassan-u2y
@NasraHassan-u2y 2 ай бұрын
Mimi Hapa Naungana na wew ingeisha tu mana wameanza kutukela
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Nikweli ingeishiya palepale😂wakiona move nipendwa hawatamani iishe nibora waundeunde waendeleye kupata vyuzi upo😂
@denniebwoyy18
@denniebwoyy18 2 ай бұрын
Wenye mnasema movie ikiendelea itaharibika tumeshawasikia, acheni tuone vile itaharibika, mnyamaze sasa tafadhali💀😂😂🥱
@MacyShaz-u8z
@MacyShaz-u8z 2 ай бұрын
Exactly
@jamallnyello5743
@jamallnyello5743 2 ай бұрын
Baba karobo kapona malizeni movie mnakoelekea mnaiaribu kabisaaaaaaa
@Sheila1234.
@Sheila1234. 2 ай бұрын
Kabisa yani😢
@Al-farsy-l6p
@Al-farsy-l6p 2 ай бұрын
Nikupe like ngp, manake Sasa mafundi ni wengi
@nickkinyangai7521
@nickkinyangai7521 2 ай бұрын
Huo unaleta ni ujuaji sasa,kwani we unaju kinacho fata baadaya episode hii? Kwanini usitulize mshono? Je kama tunakoenda ndy kuzuru kuliko tulikotoka we unajuaje?
@SelinaWilliams-z7h
@SelinaWilliams-z7h 2 ай бұрын
Jamani atakae soma hii msg Mungu ampe hitaji la moyo wake
@EsterMwalongo-ox2sk
@EsterMwalongo-ox2sk 2 ай бұрын
Amina
@JedliahMwandawa
@JedliahMwandawa 2 ай бұрын
Amen
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 ай бұрын
Amiin
@MaryPendo-gy4yr
@MaryPendo-gy4yr 2 ай бұрын
Amen
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 2 ай бұрын
Amina
@LeyianSteven
@LeyianSteven 2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪. Mnipe likes za BABA KAROBO 🎉
@SemenMabala
@SemenMabala 2 ай бұрын
baba kalobo ikopow lakini wanako elekea mmm!! ataa! sikuzuli
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 2 ай бұрын
Hii movie inatosha sasa kama unakubaliana na mimi gonga like apa 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AspaIgnas
@AspaIgnas 2 ай бұрын
Kwakweriii inaendelea vibaya😊
@MariaFransis-g6l
@MariaFransis-g6l 2 ай бұрын
Kwakweli sahizi inaelekea kubaya haipendezi kabisa
@sophiasaitoti
@sophiasaitoti 2 ай бұрын
Ni kweli malizen movi mnaharibu bhna
@NduwimanavovobiVovobi
@NduwimanavovobiVovobi 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Blessed-shiru1
@Blessed-shiru1 2 ай бұрын
Kweli
@FurahaMKwenya
@FurahaMKwenya 2 ай бұрын
Kazi nzuri,ila mnakoenda sasa mnaharibu. Bora mngemaliza tu pale baba karobo alipoona na kuonesha jinsi alivyofanikiwa kimaisha tena.
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v 2 ай бұрын
Kwel kabsa
@NduwayoLevis-k8b
@NduwayoLevis-k8b 2 ай бұрын
Unaco sema ni ukweli
@nemelachatanda9571
@nemelachatanda9571 2 ай бұрын
Haswaaaa! watu tumepoteza appetite
@rafiurashid1021
@rafiurashid1021 2 ай бұрын
wewe naslaa huna akili, umekaa na mumeo mmevuka mito na mabonde! afu leo hii unanganyika na kupandishwa ndege??? ila wanawake nyie hamridhiki kabisaa shwainiiiiiii
@JumaSaid-rw3dq
@JumaSaid-rw3dq 2 ай бұрын
Kweri kabisa nipo pamoja nawewe
@Hadija-o5b
@Hadija-o5b 2 ай бұрын
Ila nasra mzuri jamani ,mungu fundi
@JudyMassawe-n5c
@JudyMassawe-n5c 2 ай бұрын
dah!ndg zangu mpo chapu mda wote mnaichungulia kama baba karobo imetokaa😮😮.🎉🎉 hongera bb karoboo
@SaidMohamed-d9k
@SaidMohamed-d9k 2 ай бұрын
Baba kalobo au Baba Joan unajua ukiwa unamba asali,lamba kidgo ili baadae upate kuilamba itakukinai,movie ilikua nzuri n tamu sanaa ila unakoendelea ni upuunzi sasa umeharibu kila kitu
@jaycburundi257
@jaycburundi257 2 ай бұрын
Nimesha fika lakini baba kalobo ucunge vizuli uyo dada Usije unajuta badaye na ujue eti mke wako amekusaidia vingi na anapenda Mwanako Ila tuyitegemeye tu na jua ni filemu lakini musisahau kuonyesha upendo mukugonga likes hapa kwa hiyi comment mie mufana wa baba Joan kutoka burundi❤❤❤
@RamazaniMustafa
@RamazaniMustafa 2 ай бұрын
Iyii movie munaenda kuiaribu sasa tume ichoka kabisaa
@rafiurashid1021
@rafiurashid1021 2 ай бұрын
kendi ni Malaya huyoooo anahalibu move kashazoea umalaya huyoooo
@DanielyMligo
@DanielyMligo 2 ай бұрын
So lazima uingaliee bado tunaipenda
@jacklinesyombua9342
@jacklinesyombua9342 2 ай бұрын
Iko sawa usiwafunje Moyo
@IrenePeter-o7h
@IrenePeter-o7h 2 ай бұрын
Mkiwa na nani, Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 enjoying everything
@bayamgeni224
@bayamgeni224 2 ай бұрын
Drama zimekuwa nyingi sana.ifike kuwa mwisho sasa
@AbigailKibona-o6q
@AbigailKibona-o6q 2 ай бұрын
Hii movie iishe mana hapa hatupati funzo ila tunaelekea kupotezeana muda na mashabiki🎉🎉🎉🎉 kulingana na inako elekeaa
@elviskeiza6136
@elviskeiza6136 2 ай бұрын
Ati kupotezeana muda 😂
@popajr3228
@popajr3228 2 ай бұрын
Baba Joan,baba Joan,baba joan nimekuita mara 3 hii movie unaenda kuhiaribu fany kazi nyingi hii ishaisha
@swabrinamwaka2437
@swabrinamwaka2437 2 ай бұрын
Nasira sihapenda kwa kweliiii😢🎉🎉
@esthermsango5849
@esthermsango5849 2 ай бұрын
Wanaotamani mama karobo aumbuke weka tick
@SamwelMutembei-d6t
@SamwelMutembei-d6t 2 ай бұрын
Nomba likes zangu from kenya
@Dadaamwazewe
@Dadaamwazewe 2 ай бұрын
Tumewai leo more love team baba karombo 🎉🎉❤❤
@TanashaPamelah
@TanashaPamelah 2 ай бұрын
Kama unaamini mpango wa mama karobo hauwezi kufika mwisho gonga like tu
@LeonardMalulu
@LeonardMalulu 2 ай бұрын
Movie nzur lkn mmeiharbu
@allstarkata10-xy8ll
@allstarkata10-xy8ll Ай бұрын
@tonykonki1437
@tonykonki1437 2 ай бұрын
We we candy kazi yako kubwa ni kufurunga ndoa za watu umezidi mama
@Joy-k4t8y
@Joy-k4t8y 2 ай бұрын
Baba kalombo unajawa Cady vile anasubuwa Kwa house girl 😂😂😂 anajuwa kucheza card zake poa kuwa makini sana😅😅
@beatrice9186
@beatrice9186 2 ай бұрын
😂😂😂😂true
@Joy-k4t8y
@Joy-k4t8y 2 ай бұрын
@@beatrice9186 Cady ni sumu hatari 😂😂
@YunucKhalid
@YunucKhalid 2 ай бұрын
Umeonaa eeee
@Joy-k4t8y
@Joy-k4t8y 2 ай бұрын
@@YunucKhalid ya nimeona tena Cady ni moto wa kuotea ukiwa mbali hehe😂
@SophiaAlifa
@SophiaAlifa 2 ай бұрын
Ila baba karobo mnaenda na uyo dada ila sio kwazujati nawapenda sana ❤❤❤
@matihassanmwachigutu-hq7ei
@matihassanmwachigutu-hq7ei 2 ай бұрын
Hii movie naiishe jaman kama ni baba karobo alipona, huko mnakoelekea mnaharibu movie leten movie nyengine mpya😂
@PaasaPaul
@PaasaPaul 2 ай бұрын
Tena wanaharbu kwel ngoja tuone mwisho wao
@emmaemmaculate
@emmaemmaculate 2 ай бұрын
Baba Joan tuletee episode mpya mkuu,naamini kazi Yako ila episode ikiisha buni mpya,,,,hapa tunarudi nyuma.ni ushauri tu
@SalamaSalama-c1q
@SalamaSalama-c1q 2 ай бұрын
Hapo umesema
@VickyVictor-k2c
@VickyVictor-k2c 2 ай бұрын
Kweli kabisa unasema kweli
@AmirNgunde
@AmirNgunde 2 ай бұрын
Nikweli kabisa
@GraceMumbere-q7v
@GraceMumbere-q7v 2 ай бұрын
Mimi 🥰 burudani hapo mwisho fire 🔥kwa kweli unyama mwingi sana patronize ft zû
@Oneboy.t
@Oneboy.t 2 ай бұрын
KAZI KALI ILE MBAYA KAKA BIG SANA
@joaquinamididimididi8810
@joaquinamididimididi8810 2 ай бұрын
Kazi nzuri baba joan
@Bonh2herbert45
@Bonh2herbert45 2 ай бұрын
Cool baba Joan ❤❤❤❤🎉🎉❤❤
@Mumlion2624
@Mumlion2624 2 ай бұрын
Tunaomba huu mchezo ufike mwisho baba karobo
@JoshuaGodifrey
@JoshuaGodifrey 2 ай бұрын
Mshaanza kuzingua mkianza vzr lkn now unavuruga movie
@AzizaQueen-lr8oz
@AzizaQueen-lr8oz 2 ай бұрын
Jmn Leo nimewai kabisa like kwangu nawapenda team baba karobo mpo🎉🎉🎉❤❤😂😂😂😂😂
@ChristianKihindamuko-ke3lv
@ChristianKihindamuko-ke3lv 2 ай бұрын
Hâta nami nimehai kutoka Congo drc
@simonmaige3580
@simonmaige3580 2 ай бұрын
Mzee baba unakoelekea unaharibu ujumbe man
@ArakazaOdrick
@ArakazaOdrick 2 ай бұрын
Nayipenda ❤🎉❤🎉
@JohnAdam-m7o
@JohnAdam-m7o 2 ай бұрын
Penzi LA baba kipofu aliyeonaa na zujat 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌😥 Team Riyadh wap like zangu wamwishoo leo mm🇰🇪🇸🇦😂😂
@RonaldMibei-v2s
@RonaldMibei-v2s 2 ай бұрын
Mimi borake baba karobo amepona hayo mengine ni yenu🤠🤠🤠
@Esther01-g1h
@Esther01-g1h 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@karingtonisimwinga122
@karingtonisimwinga122 2 ай бұрын
kazi njema sana nawashangaa hata wanao sema iishe
@AMORICHIssame
@AMORICHIssame 2 ай бұрын
Daah me niwapongeze tu maana mupo chapu sana.
@sarikokiagape7685
@sarikokiagape7685 2 ай бұрын
Baba joan baba joan baba joan hii inaonekana kama movie mpya, tafuta title mpya maana binafsi baba yangu kipofu iliishia pale ulipoona.. Tunakupenda sana ndo maana tunafuatilia movie zako.
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 2 ай бұрын
Leo nimewai ndondosheni like hapa jamani jooni tusemesane hapa kusu mama karombo duh anavimbwanga huyu from Kenya 🇰🇪 ♥️ ❤❤❤❤
@maryammakata7849
@maryammakata7849 2 ай бұрын
Yee mwenyewe anatembea kwa miguu alafu amevaa yebo alafu yuko maeneo ya uswailini alafu atakupandisha ndege atakutoa uswahilini😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nimechea Kwa sauti
@franciscakija1702
@franciscakija1702 2 ай бұрын
Chezea wanaume wewe
@VeronicaMbula-rk7uw
@VeronicaMbula-rk7uw 2 ай бұрын
@@maryammakata7849 maajabu😭😭
@SalmaMkwenda
@SalmaMkwenda 2 ай бұрын
Nawapenda sana trem baba kalobo
@YvetteRolande
@YvetteRolande 2 ай бұрын
Îyi muvi muna iaribu sana tena sana bora iishe tuh Tume ichoka ss
@freddyplaniddy4571
@freddyplaniddy4571 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@SadaAthumani-d4w
@SadaAthumani-d4w 2 ай бұрын
Ngoja tu nitafute movie nzuri niangalie
@justusmusau2180
@justusmusau2180 2 ай бұрын
Mkosawa🎉🎉❤❤🎉🎉😮👋👋😮
@clémchoux
@clémchoux 2 ай бұрын
Baba kalobo usituaribishiye movie tunapo elekeya siyo pazuri
@Favouredone-c3p
@Favouredone-c3p 2 ай бұрын
Leta ya kwako tuichangamkie
@fortunegerishom1827
@fortunegerishom1827 2 ай бұрын
@@clémchoux ᴛɪʏᴀʀɪ ᴋᴀsʜᴀʜᴀʀʙᴜ ᴍᴘᴜᴜᴢɪ ʜᴜʏᴜ,,
@luciasaliboko1521
@luciasaliboko1521 2 ай бұрын
Movie nzuri saana 🥰 ila sasa maonjo yameanza kuzidi tena Uncle Rahasa na Nasra tuanze kuwazingatia hapana hitimisha🥰 🙌🙌🙌🙌
@samwelomachi7740
@samwelomachi7740 2 ай бұрын
From Kenya enjoying it
@LebonAlliance
@LebonAlliance 2 ай бұрын
Iyi movie naona inaenda kuwa yamapenzi ss sijapenda kiukweli baba karobo kama unakosa filamu yakusheza twabiye tutakusaidiya😊😊😊
@evangelistamenlufumapunda6645
@evangelistamenlufumapunda6645 2 ай бұрын
Mapemaa
@hemedmbaroukmwalim
@hemedmbaroukmwalim 2 ай бұрын
Hiii movie iishee jaman munako elekea munaharibu jamna mutapoteza kazi zenu
@EricMakanisa
@EricMakanisa 2 ай бұрын
wa 42 leo munipe like namungu atawabariki nina mufatiliya baba kalobo jisi kendy anatamu changanya mara pili huruma mingi huwa ina haribu
@TatuMkeso
@TatuMkeso 2 ай бұрын
Malizen muv,hk inakoelekea itaisha vibaya sana
@kenyasloughinggags1553
@kenyasloughinggags1553 2 ай бұрын
Second to comment but malizeni movie mnaharibu sasa
@MaureenDeche
@MaureenDeche 2 ай бұрын
Hujalazimishwa kuangalia
@kenyasloughinggags1553
@kenyasloughinggags1553 2 ай бұрын
@@MaureenDeche na sijakuambia unijibu . Acha kiherehere on opinions of other fans. Kupanuka ovyo ni mbaya
@MaureenDeche
@MaureenDeche 2 ай бұрын
@@kenyasloughinggags1553 so ulikuwa wa comment bt hutaki kujibuwa bas hukecomment
@CarolineImbwaga
@CarolineImbwaga 2 ай бұрын
😊😊🎉wow ❤
@AbouQataadahNassoro
@AbouQataadahNassoro 2 ай бұрын
Leo mapema sanah
@SarahCharls
@SarahCharls 2 ай бұрын
Kwanza me nilijua itaisha baba karobo akishaona lkn mushaanza kuwaingiza visilani akina candy tena Mmm😮😮
@NduwayezuFiacre
@NduwayezuFiacre 2 ай бұрын
Burundi tupo kbx🇧🇮🇧🇮
@JumbeFamilySingers
@JumbeFamilySingers 2 ай бұрын
Baba karobo utaiharibu move inatakiwa iishee huku unakoelekea utapoteza mashabiki sio wote tunaopendezwa nahayo yanayoendelea ingepaswa kuwa imeisha
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 ай бұрын
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@sophiasaitoti
@sophiasaitoti 2 ай бұрын
Jaman mnaharibu movi bhna malizeni
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf 2 ай бұрын
Mambo yamepamba moto 🎉
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 ай бұрын
Yaan mshanza kunikera sasa meanza vizur mnamaliza vibaya san tena. San maan memleta hyoo mjawalana aliyeshindikana cend cend ni 🔥🔥🔥 nauku kwa nasrir ndyo hvyo
@StamiliAshery
@StamiliAshery 2 ай бұрын
Mama karobo 😂😂 mm nampenda jamani wanaompenda gonga like😂😂
@HabibaSelf
@HabibaSelf 2 ай бұрын
Utakua umejichanganya kuandika sio mm kalobo ni bb kalobo maayo
@RehemaKatana-hb4ei
@RehemaKatana-hb4ei 2 ай бұрын
​@@HabibaSelfkweli kabisa 😂😂😂😂
@deoselcom9701
@deoselcom9701 2 ай бұрын
4
@DanMark-jy2hk
@DanMark-jy2hk 2 ай бұрын
Baba Karobo add flavour kidogo kwa Mama Karobo ndo hii movie itakuwa tamu...
@MaestroShekyaMs
@MaestroShekyaMs 2 ай бұрын
Mimi wa kwanza toka 🇧🇮
@NadiauweraUwera
@NadiauweraUwera 2 ай бұрын
Wapili kutoka burundi jameni nimecelewa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@CastoricMuro
@CastoricMuro 2 ай бұрын
Jaman kwel imeshapamba Moto hii movie sema had nataka kumsahau patronize Sema tu saut inafanya tusimsahau kazi nzuriiiiiiiiii🎉🎉
@NiyomwungereFlorence-q6q
@NiyomwungereFlorence-q6q 2 ай бұрын
Daaaa bola mbadilishe jina man sio baba kipofu tena
@ChristophaMaduhu
@ChristophaMaduhu 21 сағат бұрын
Kaka kazi zuri sana natamani kufanya kazi na wewe mungu ikimupendeza mungu akupe maisha mrefu yasiokua nakipomo
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti 2 ай бұрын
Movie ilishaish Lakin bado inaendelea mmh kunakoelekea ni movie kua mbaya na kukosa mvuto aisee
@TatuMkeso
@TatuMkeso 2 ай бұрын
Kabisa wanaendeleza muv bila sababu
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti 2 ай бұрын
@@TatuMkeso yaan mpk mtu unachok kuangalia maan zinaungan ungan mpk inakosa Radha kiukwel ilitakiwa amaliz alivyoona na alivyomuoa zuu
@MariamMchomvu-q3s
@MariamMchomvu-q3s 2 ай бұрын
Barikiwa sana karobo unandoto nzuri
@Lastborn_mhenga01
@Lastborn_mhenga01 2 ай бұрын
Mwambieni mwandishi amechemsha maji kwa moto was mshumaa hajui kuandaa series😮😮
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 ай бұрын
Toa iyo picha ya kolo kwenye profile yako 😂😂😂😂😂
@mwelusi2549
@mwelusi2549 2 ай бұрын
kwani kuna new characters are coming up again 😢
@SarahMpwehuka
@SarahMpwehuka 2 ай бұрын
​@@YusraSiyaleo-yk2fzwewe kiboko sikuweza nimeiona nikashtuka hata mm😂😂😂😂😂
@JosephMtukufu-h1b
@JosephMtukufu-h1b 2 ай бұрын
Bas andiken Baba yangu kipofu Senson Two maana nachojuwa senson one ishaisha mda sanaaa
@InnocentManirambona-w1q
@InnocentManirambona-w1q 2 ай бұрын
Wakwanza leo kuona movie basi munipeni like kutoka kwa baba karobo nawapenda sana❤❤❤
@CustomerTesting
@CustomerTesting 2 ай бұрын
Tunapendz sana.move zenu
@ZawadiWakubisha
@ZawadiWakubisha 2 ай бұрын
Kama unamkubal baba kalobo gonga like
@SalumuSefu-j1e
@SalumuSefu-j1e 2 ай бұрын
Vipi dada
@RahmaRashidi-ih9tk
@RahmaRashidi-ih9tk 2 ай бұрын
Safiii.omary.na.karobo.msome.sana.watoto.tunataka.mumwage.umombo?no.yes.haaa.tunawapendaaa???
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 2 ай бұрын
Hellow wapendwa tunashukuru kwa kutuletea kwa mda
@KaundaGeorge-g9t
@KaundaGeorge-g9t 2 ай бұрын
Baba karobo mnaharibu movie hii anae niunga a like❤❤❤😮🎉 Tanzania
@osmundmchunguzi
@osmundmchunguzi 2 ай бұрын
Wakwaza leo nipeni like zangu
@GuillaumeMusonerwa-it9sw
@GuillaumeMusonerwa-it9sw 2 ай бұрын
Rekana nokutuzunguruka mumutwe.mwahinduye Sujet ya Cinéma ? Vraiment ndunva mbabaye.hagarika Movie
@KarimAbdulNshimirimana
@KarimAbdulNshimirimana 2 ай бұрын
Kumbe huku kunawarundi
@deinndainofficial8837
@deinndainofficial8837 2 ай бұрын
Nimewahi leo
@yasminmcwaih6445
@yasminmcwaih6445 2 ай бұрын
Taqbeer allah akbar mashaallah tabarakallah baba karobo 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤️ 🎉
@alfrednyambane4772
@alfrednyambane4772 2 ай бұрын
Ak mnajua kutegea
@WasilHassan-g6b
@WasilHassan-g6b 2 ай бұрын
😢 nimechokaa kuangalia hii movii jmnii haiishii tuu mm nishakerekaa na nishaichukiaa kbsaaaa by da waa from Zanzibar
@Redmpg34
@Redmpg34 2 ай бұрын
Nice
@dhahabukalama2635
@dhahabukalama2635 2 ай бұрын
Wanaume waongo paka waongo tena 😂😂😂😂😂eti nikiwa na wewe takubadilishia maisha. Kwani wewe ni Mungu 😂😂
@Mwakulaza
@Mwakulaza 2 ай бұрын
Wakwanza leo mnipee likes zangu kutoka Congo
@CosmusNgowa-c6s
@CosmusNgowa-c6s 2 ай бұрын
Hiii movie walah ni nzur congrats Kila mshirika
@jacksonchingwaba1626
@jacksonchingwaba1626 2 ай бұрын
Nasra naye kulikon Kiukwel mnataka kuharbu kaz
@FAIZAWESAAMANI
@FAIZAWESAAMANI 2 ай бұрын
Mnsiharibu movie 😂
@carolyneliona9866
@carolyneliona9866 2 ай бұрын
Baba karobo hapo ba hug unasingua 😢.
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 ай бұрын
Cend cend ww ushazowea kuaribu ndoa za wezako roy mwezio fasheni ana demu zaidi yako ww maan kila anapo tuogozq anakataliwa kaona arudi kwa mshanganzi wakw roy😂😂😂😂
@ZamzamAbdulnuru
@ZamzamAbdulnuru 2 ай бұрын
Leo nimewahi😂
@phylisnthenya5238
@phylisnthenya5238 Ай бұрын
Aki malisirni hii movie jameni malizeni mna bore sasa tulikuwa tuone baba karobo akiona na ameona
@KisKabamba-dw1bu
@KisKabamba-dw1bu 2 ай бұрын
Wapili mimi hapa nipeni like zangu
@KisKabamba-dw1bu
@KisKabamba-dw1bu 2 ай бұрын
hasate
@AdelaideWanyonyi
@AdelaideWanyonyi 2 ай бұрын
Mm nakupenda sana kalobo 😊
@kenedymkwawa6978
@kenedymkwawa6978 2 ай бұрын
Maliza movie unaharibu sasa
@ProKakan
@ProKakan 2 ай бұрын
@Babajohn ebu ii movie iishe jamani musha anza kwaribu jamani toka RDC congo
@nazar-moussofficiel6711
@nazar-moussofficiel6711 2 ай бұрын
Wakwandza leo mnipee likes za Baba karobo
@CynthiaIrakoze-g5x
@CynthiaIrakoze-g5x 2 ай бұрын
Aaaaa marafikiza nimecherew rajin musifik mbara ngonja tufatiriy tuwon bitayishiy wp mana mimi nawonakabxa inaanza nicangan na baba karobo awe makin san nahuy kisikorokwiny muombaomb asije akajutiya burundian🎉🎉🎉🎉
BABA YANGU KIPOFU Full Episode  /54/ #love
27:41
BabaJoan
Рет қаралды 450 М.
MREMBO NYOKA | ep 01| SEASON TWO
31:17
BabaJoan
Рет қаралды 476 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Prophet Stories In English | Story of Prophet Musa (AS) | Stories Of The Prophets | Quran Stories
48:21
Stories of the Prophets - Quran Stories
Рет қаралды 6 МЛН
WATOTO WANGU FULL MOVIE /BONGO MOVIE / BONGO FILM
2:40:33
BabaJoan
Рет қаралды 166 М.
Wamesema Ugali kidogo, Mboga Miiingi🤣
4:02
Awinja Nyamwalo - Jacky Vike
Рет қаралды 703 М.
Anaconda Snake Attack On Village Boy In Forest | Card Playing Time
5:27
Sayon's World
Рет қаралды 19 МЛН
WAFANYAKAZI WA BENKI WALIVYO MDHARAU MTEJA WAKIDHANI NI MASIKINI
4:53
Swahili Animation
Рет қаралды 122 М.
4x400m mixed RELAY:Mary Moraa anchors team to Gold, Olympic trials 2024
10:26
Kenyan Athletics TV
Рет қаралды 504 М.