ALLAH S.W. AKUHIFADHI NA AKUBARIKI SHEKH WETU MAULANA ABUBAKAR....ENYI VIONGOZI WA BAKWATA CHOTENI ILMU KUTOKA KWA WACHAMUNGU KAMA SHEKH ABUBAKAR.
@ramadhanimrisho356Ай бұрын
Mashallah muft sap Abubakar ALLAH akuweke umri mrefu.Na elimu yko na muhanga ktk din na ALLAH kakutembeza ulimwengu mzima ktk dini lakini hujioni huna makuu ile siku sikuamini macho kama ungekubali ombi langu la kuja kufutar nami pale home Ilala Quters boma kwa kweli nilistaajabu vivile ukamfanyia daawa mdogo wangu. Hili tukio sita lisahau ktk maisha wangu.
@MASOUDYmandoty27 күн бұрын
Hana makuu Amiri sup wetu huyo wallah yaan daah❤❤❤
@KumbaAliyАй бұрын
Maashaa Allah Allah atufanyie wepesi wake huyu ana faa kuwa mufti wa tanzania kama una ungana nami weka leke yako hapo❤
@sharfumbarouk6168Ай бұрын
Ukiwa na taqwa na Imani SAHIHI ya dini hawakutaki Bakwata, Ni wababaishaji ktika Dini
@abdallahsaid8157Ай бұрын
MashaAllah!!! Allah akupe taufeeq ya kalima yako iwe na athar kwenye nyoyo za wasikilizaji. ❤
@HusseinAbdul-is9xqАй бұрын
Naam jazzakallahkhery
@MASOUDYmandoty27 күн бұрын
Maulaana Abubabakarii❤❤❤
@jumamohamed4808Ай бұрын
MashaAllah
@ShabaniIwata-lx1wbАй бұрын
MashaAllah jazakalaukher
@jafarihemedi3035Ай бұрын
Sheikh letu Tunakupenda kwa ajili ya Allah,
@HajiSultan-s6pАй бұрын
Mashaa Allahu nakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤❤❤❤
@Ahmadasshii-raazy8888Ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WETU NA AKUZIDISHIE MAARIFA YAKO
Daaah huyu shekhe ni msomi mpka basi halafu ana athari katka daawa yake, halafu ana taqwa ya kweli
@bashirusalumbigapsana673Ай бұрын
Uyu mimi ni mwalim nimchamungu sana
@hadijamandanje6189Ай бұрын
Shekhe Maulana huyu,ukiambatana nae wiki Moja unatamani Dunia yote waislamu tungekuwa hivi
@elhosnyfАй бұрын
Uyo ni Maulana Abubakar wa Markaz ya kiwalani, nilenda naye Makkah 2013. Toka siku iyo nilimkubali sana tena SANA, hawa ndio watu kuwa nawo karibu na tupende ku support kazi yao. Takbeer!
@rajabuabdulmsafiriАй бұрын
@@elhosnyfAllah Akbar
@JumaMwanga-xd9gyАй бұрын
Yan kusikiliza tu onaona moyo unayopata athari😢.ndio kipmo ch mchamung mneno yake ynagusa moyo hata kw neno 1
@sallyandmozachannelchannel37Ай бұрын
Shukran kwa Ukumbusho sheikh letu
@sadickbakari3678Ай бұрын
Maaashallah jazzakallah
@AdamDaudy-e6uАй бұрын
Nyinyi si mnasema tabligh hawakusoma jee huyu hajasoma???
@assalamtv8820Ай бұрын
Allaah amuhifadhi
@ShekhKinyogoliАй бұрын
Inshaallah
@RamaMkongweАй бұрын
DOOOOH,, ALLAH ATUJAALIE UKWELI NDANI YA NAFSI ZETU NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA
@muhammadshaka8414Ай бұрын
nakupenda kwa ajiri ya allah
@bashirusalumbigapsana673Ай бұрын
Namkubali sana
@maulidbinswalehАй бұрын
Maulana Abuubakar
@ShabanijumaShebbyАй бұрын
Alama za mnafiki ni 3
@khalifaallyibnadam9983Ай бұрын
TABLIIGH WOTE WAIGE hiviii ,,, على بصيرة
@husseinsuleiman4137Ай бұрын
Wewe je hutaki kuiga hivyo
@Abuuabdillah259Ай бұрын
Hili jitu la bidaa Allah aliongoze katika haki ni litabligh
@jumamohamed4808Ай бұрын
Allah akupe hidaya wew bado
@allyjuma1166Ай бұрын
😂😂 daah hivi unafahamu vizuri huyu mwamba?? yani unamuita kama lidudu flani hivi
@FariduBakanaАй бұрын
Umekosea saana ndugu..wewe una sunna ipi ambayo yeye hana.
@HamadiHussein-q5zАй бұрын
Mshamb tu ww kwend zko
@HamadiHussein-q5zАй бұрын
Nyinyi mawahabi mnao mshabihixh Allaah na vitu masalfy feki kasomen tauhid vizur kw sheikh nizar halabi رحمه الله