Wallahi usisikitike mwanadamu wapi like ya sheikh wetu Masha Allah
@mashangojumaa86892 жыл бұрын
Ddduuhhh hakika qaswida hii yanikumbusha mbali sana wakati Marehem Sheikh Issa Shaban Bun Simba atoka India kukatwa mguu anaimbiwa hii qaswida analia sana Allah amhifadhi Sheikh wetu
@selemansalum10 ай бұрын
Qaswida yng pendwa kabisa,ina faraja na mafunzo mengi mazuri sn ukiisikiliza
@BakariMussa-to2me5 ай бұрын
Maashaallahu allah awalipe kwa jumbe nzur awape mwisho mwema
@ShekhaIssa-pg7uu5 ай бұрын
Allah akuhifadhi mashaallah ❤
@hateebjrpresenter0014 жыл бұрын
Mashallah Qaswidaa hii imenitoaa chozii snana nilipoisikizaa imejaa mafunzo kibao
@makulaikuku69094 жыл бұрын
Swadakta
@antarsangali44563 жыл бұрын
Allah amlipe wingi wa fadhila na thawab sheikh Ali Mzee Comorian
Hakika mashairi yamejaa hekima na mafunzo.....Allah atupe subira kwenye mitihani
@johnabdillah95314 жыл бұрын
MashaAllah. Imeniliwaza pamoja na mengi magumu ninayoyapitia
@ibrahimkiwia68993 жыл бұрын
Mashallah sheikh Ali mzee
@nagmahmohamed9559 Жыл бұрын
Mashaallah Allah Allah
@FahadMasoud-io4mb2 ай бұрын
Suratu tawbah
@fatmasaleh80273 жыл бұрын
Mashallah..Mashallah..Mashallah Allahu-akbar..ni Qaswida iliyobeba ujumbe mzitoo sana Subra ni wajib kwetu kwa kila tunachopitia ktk mitihani aliyotupa Allah (s w) hakika wenye kufaulu ni wale wenye kuwa na Subra na imani mbele ya Allah (s w) Allah jaalia imani izidi jaa ndani ya vifua vyetu hakika sisi kwako ni dhaifu sana tupe radhii zako ya Allah
@sadikidaudi5552 жыл бұрын
Assalamu alaykum
@haithamdahillard87463 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah.
@hawahussein20562 жыл бұрын
MASHAALLAH hii qaswida inanipa elimu kubwa sana
@hawahussein20562 жыл бұрын
Ninapopatwa na mitihan nikiiisikilza hii qaswida basi nask
@nagmahmohamed9559 Жыл бұрын
Twayyiiiiiiiiiiib
@fatihiyajuma63193 жыл бұрын
Nzuri sana
@muniramasoud67833 жыл бұрын
lazima ulie tu shukran kwa ujumbe mzuri
@salumkitunda91494 жыл бұрын
Ni qaswida yenye ujumbe mzuri na mzito kwa kila hali tuipatayo maana wengi wetu tunajisahau sn ya kuwa shida zikizid tunaona km tunaonewa na Allah,hapana wote ni mtihani ili tupate kufaulu maana hata tukijaaliwa vzr kuvimiliki navyo pia ni mtihani vile vile........ Inanifariji na kuniongezea kitu ndani ya moyo wng hii qaswida,Allah awafanyie wepesi watunzi wa mashairi haya na ndg zng wote wenye kila aina ya mtihani insha'allah amin.
@aminakalufya28644 жыл бұрын
Allah Amrehem Shekhe Ally na Umati Muhammad Awatie Nguvu Madrasa Yake Wapate kuendelea Inshallah
@hemedlwambo57523 жыл бұрын
ماشاء الله
@wazirimasoud34683 жыл бұрын
Mmmh Mashallah Mashallah Ndivyo Mwlm Umepita mapito Yandani Hasa
@aminakombo29692 жыл бұрын
Mashallah
@zuhurazuberi97204 жыл бұрын
Nimefarika Sana kusikiliza kaswida hii imenifunza
@hemedlwambo57523 жыл бұрын
ماشاء الله
@fuwadali50854 жыл бұрын
ما شاء الله عليك أخي وصديقي عبد الوحيد صوت جميل جيدا ما شاء الله آلله يحفظك أخوك فؤاد من دبي
@abousaeed3tvonline964 жыл бұрын
اللهم آمين يارب بارك الله فيك اخي الغالي
@mahmoudsaidsakrani43734 жыл бұрын
@@abousaeed3tvonline96 Hongera sana Brother.. MashaAllah Version nzuri, sauti Jameel..