Shekh idi nashukuru watowa huja bila kutukana nitakufwatiliza kuanzia sasa mngu akuhifadhi
@jumaamohamed420311 ай бұрын
Marhabaaaaaaaa Unasomeka vyema sana mwamba wewe ni jiwe kubwa,,,,,, Lakin kua makini hao unao watoboa na huo uongo wao hao mawahabi ni matawi ya mayahudi kwahio usile nao wala usinywe nao kwa usalama wa maisha yako.
@mohamedomary288711 ай бұрын
Masha Allah sheikh endelea kutoa elimu Kwa mawahab
@ismailsoud363410 ай бұрын
Waislam, Mkitaka uhakika wa kila linalo wakwaza njooni kwangu. Masheikh, wanazuoni,, na wengine wote na madhehebu yote. Mimi nasoma habari zinazotokana na mbinguni moja kwa moja. Ila siwalazimishi. Ila yanayokuja mjuwe ndiyo yatakayo walazimisha. Nayo ni mwelekeo kuwa ile safari yetu imekaribia. Mimi si mwanafunzi wa yeyote miongoni mwao wanafunzi wenu. Ila ni HAKI INAYOKUJA KUITETEA HAKI ILI WATU WAIJUWE HAKI, PASIJE KUWA NA HOJA SIKU HIYO MBELE YA MOLA WETU KUWA HATUKUJUWA. Napatikana Toangoma Block 13 Plot 76 Mtaa wa Upendo No. 11.
@ashuraimani11 ай бұрын
shukrani sheykh.tunaomba ututajie namna gani tutapata vitabu hivyo
@alhabibymasoud344511 ай бұрын
❤❤❤❤ kwa ajili ya dini
@ArabiMuchande11 ай бұрын
Alhamdulillah jazaka llahu khaira tunapata uelewa kidogo kdgo inshallah
@mwalimjecha689311 ай бұрын
Uwahabi ni uasi
@zeitunMohammed11 ай бұрын
Shukran sheikh Muhammad eid.wallah Allah atakulipa.
@noorululaatv897311 ай бұрын
Shekh letu ABUU IDD .. Zidi kubwaga NONDO ..
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh11 ай бұрын
Shukran shukran sanaa sheikh kwa ubainifu mzuri
@IssaAbdallah-r9z11 ай бұрын
Ahsante sheikh Allah atakulipa na zitabakia hizi vizazi vitasoma
@JamalAbdallah-m1o11 ай бұрын
Maashaallah
@noorululaatv897310 ай бұрын
Allah akulipe.. yani nazidi kuwa mbali na hawa makafiri ( mawahabi )
@darajanida7 ай бұрын
ndugu yang nakuomba sana wacha kuwaita waislamu wezako makafir
@ramadhanomar8093Ай бұрын
Kafiri ni wewe jahil mkubwa
@ArabiMuchande11 ай бұрын
Alhamdulillah sheikh tunakuelewa vema kabixa
@bashirusalumbigapsana67311 ай бұрын
Tatizo unachelew sana kutoa mpaka tunasahau
@mohagurey221411 ай бұрын
Mungu ametuamrisha tusiitane majina ya kejeli kumbuka, dhambi kwako
@abiabi935311 ай бұрын
Sasa wapi sheikh kaita majina ya kejeli wakati sheikh kasoma kitabu hilo jina la mawahabi lilivyo tumika
@IsmailSanga11 ай бұрын
Unachoongea nikweli kabisa, Ila mawahabi wao ndo wakwanza kuwatukana wenzao.
@athumanimahunda654111 ай бұрын
Hakuna kejeli hapo. Hivyo ni vitabu
@jordan.310911 ай бұрын
Mashia hamna mpya nyinyi bana
@athumanimahunda654111 ай бұрын
Acha uchizi wewe. Sasa hapo kuna ushia?
@rashidyusuphmwatebela880211 ай бұрын
"فهم الإنسان إذا كان له هوى"
@habibuchakusaga798111 ай бұрын
Acheni kulazmisha mambo imetajwa kufunga we unasema kula
@abuunutsamuonlinetv270311 ай бұрын
Soma vizur wewe muhamad idd
@athumanimahunda654111 ай бұрын
Asome nini sasa. Kwani hivyo sio vitabu vyenu?
@noorululaatv897310 ай бұрын
Mawahabi akili zao ni mbovu wallah
@HamisaMiraji-q9f11 ай бұрын
Hivi kusema shekhe bangi ziko kichwani n katika sun pia,,
@matanohassan966711 ай бұрын
Wacha KUTUKANA kama huwezi sikiliza fuatilia Vitabu huwezi Wacha uchoko we vipi wafananisha bangi Na Suna yaani hii katika MITANDAO itakaa Hadi Kiama labda ufute ila kesho utaulizwa
@SalamaKhamis-un8vn11 ай бұрын
Mawahabi mupoo😂😂
@rashidikibuna857511 ай бұрын
Hao hata kwenye uwahabi wamepitiliza hao nimayahudi wao na wafuasi wao.
@RashMash-l1b10 ай бұрын
Wenye akili timamu hawawezi shawishika na maneno hayo ,bali haki itabaki kuwa haki,alie zoeya kucheza Miziki na ngoma ndio anaweza shawishika, lakini haki ixha tambulika kitambo, uzuxhi utabaki kuwa uzuxhi,
@kimchinakucha83411 ай бұрын
Ndio mana tamta mana hajielewi watu wamekupuuza
@ismailmsangule138011 ай бұрын
Soma hivyo vitabu kwanza ndio umuone sheikh hana maana
@noorululaatv897310 ай бұрын
Tamta hawakumfukuza na mpaka leo ana wadhifa mkubwa pale Tamta .. na pia ana uongozi ktk kuiendeleza Tamta
@twalibmohamed249411 ай бұрын
Hoja Hizo tayari zimejibiwa kielimu. Kwani hajaziona?
@abiabi935311 ай бұрын
Ehe tufahamishe zimejibiwa vipi na nani
@ArabiMuchande11 ай бұрын
Mimi sijaona mwache aweke wazi kwakua ananukuu dalili kwenye vitabu vinavoaminika duniani
@IsmailSanga11 ай бұрын
MAWAHABI sasa bisheni tena vitabu hivyo hapo,Kumbe uwahabi ni dhehebu!!
@salimabddala375811 ай бұрын
USO WAKE NAANZA KUBADILIKA
@abuukarata965310 ай бұрын
Mbona shekh watu wanaachana na maulidi, huoni kuwa yanaenda yakifa shekh.
@noorululaatv89739 ай бұрын
Maulid huzidi na yataendelea kuzidi ilaa yaumil qiyaamah
@noorululaatv89739 ай бұрын
Wala usijitie upofu
@abuukarata96539 ай бұрын
@@noorululaatv8973 huoni shekh kama yanakufa. Tunataka yaendelee lakini sioni dalili shekh
@CivilTechTutor11 ай бұрын
mzee kafufuka tena
@asaakir-o8d11 ай бұрын
SIO kila kinachoongewa na shekhe ni sahihi kikubwa ni kuangalia namna walivyofahamu wema waliopita
@ArabiMuchande11 ай бұрын
Wema walopita ndo vitabu vinavotajwa hapo we fuatilia itikadi weka pembeni kwanza
Na ww umekubaliwa na nani? Maana mtume ndio ka toa tazkia sio ww
@abuuammar492411 ай бұрын
UMEOTOA NAMBA TUKUULIZE ALAF TUKIKUULIZA HAUJIBU
@A.a.m-b4y11 ай бұрын
Mwauliza kwa chuki za kiwahabi
@abuuammar492411 ай бұрын
@@A.a.m-b4y Km nyie mnavyojibu kwa chuki za kikhurafiy. Mm nimemuuliza ktk whatsapp kwa heshma na tawaadhui..na akaahidi atanijibu nami nikasema sawa shekh..lkn mpk leo hajajibu kitu Na hata ukimuuliza kuhusu vitab hajibu
@twalibmohamed249411 ай бұрын
Si umeshaambiwa bid-aa zinazogawika Ni bid-aa ki lugha?? Mbona huelewi WW Mzee? Ama kisheria Hakuna mwanazuoni aliezigawa HATA mmoja.
@abubakarhussein218611 ай бұрын
Wewe kweli hata uelewa mbovua yani hadithi inasema kila bidaa ww unasema bidaa kilugha kwan hiyo bidaa kilugha ipo nje ya kila bidaa??
@abiabi935311 ай бұрын
Wewe ni jahili wakiwahabi huna ujualo
@mhusinigau323111 ай бұрын
Hawa watu wajinga hawatakuelewa@@abubakarhussein2186
@asaakir-o8d11 ай бұрын
SIO kila kinachosemwa na shekhe ni sahihi kikubwa ni kuangalia ufahamu wa wema waliotangulia
@abuuuyaynah880111 ай бұрын
Mwambie asomee vizuri ibara
@twalibmohamed249411 ай бұрын
Kama utagundua HUYU Shekh amepuuzwa kabisaa kujibiwa Na mashekh Mana Hana jipya Ktk hoja
@niyonzimaaisha615911 ай бұрын
Mumemuogopa
@abubakarhussein218611 ай бұрын
Masheikh ni kwako kwtu sisi hatuwazingatii
@ibrahimsaad61711 ай бұрын
Chukua hivyo vitabu alafu wapelekee mashekhe zako alafu wamjibu
@abiabi935311 ай бұрын
Wewe amakweli unatakiwa upelekwe mirembe ukapimwe akili kama aliyozungumza sheikh si elimu
@IsmailSanga11 ай бұрын
Sheik katoa dalili ya vitabu, MAWAHABI ni dhehebu kaziyao nikutikana wenzao.