Allah akubaariki aheikh! Nakupenda kwa ajili ya Allah
@abuuruqaiyya581610 ай бұрын
Allah akuifadh shkh
@FarajiAbdallah-yw2wn10 ай бұрын
mbona hataji qaaida hizo zipo wapi
@OmarAlly-iz8ot10 ай бұрын
Majibu yako wazi na yako ukwelini asilimia 100
@shazyahya412110 ай бұрын
Kitu kizuri Sheikh anakwenda na hoja na ushaidi toka kwenye vitabu
@HassanSalim-hl8qs10 ай бұрын
Huyu shekh Abu I'd Muhammad naona analalamika tu hana hoja ya kutetea
@IssaAbdallah-r9z10 ай бұрын
Duh
@Khamismagwiz10 ай бұрын
Tatizo kubwa huyu mzee ana naala ya shekh wake alkamadhiy wazee tanga bd wapo yupo shekh muhammad khatwibu kigoda mudir wa tmt kwasasa tutamuuliza tujue ni kweli abuu idd alifukuzwa tmt au wewe mzee umefikia kuadanganya mpk usio wa waweza
@makamekhalfan596810 ай бұрын
duh kwl huyu mzee hana kt
@aliyseif811410 ай бұрын
Tuone she huo ukanda
@JamalAbdallah-m1o10 ай бұрын
Bado sana we Mzee nenda kasome au ukauze ugoro.
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Maneno hayo hata mtume aliambiwa alilushiwa mawe na kuitwa muongo alitemewa makohozi usoni,na ndomaneno yaso penda hakki sikuzote
@aliyseif811410 ай бұрын
يوحى إليه. Atakua je kama ww au wapata wahyi pia
@shazyahya412110 ай бұрын
Acha hasira elewa somo
@mussakhamis-g8c10 ай бұрын
SHEKHE ULITUMIA KITABU CHA SHEKHE MUHAMMAD BURHAN KUWAAMINISHA WATU KUWA AMESEMA MAULID NI BIDAA NA SIO IBADA HIVYO UKAWAAMINISHA KUWA HAYAFAI!! KUMBE UKWELI ALIKUSUDIA KUONESHA HAQQI KUWA MAULID NI BIDAA NA SIO IBADA LAKINI YANAFAA YANAJUZU NA YANADALILI KATIKA DINI.
@shazyahya412110 ай бұрын
😂😂
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Dalili hiyo ulifunuliwa ww na shekhe wako muhammad iddi au
@mustaphamkali747610 ай бұрын
Inakuwaje sasa hata kama ukitumia maswdar halaf unaitia نصب baada ya حرمت sheikh!!?
@mussakhamis-g8c10 ай бұрын
SASA HUONI KAMA UNAJIZONGA HUKO MWISHO?? MWENYEWE UNASEMA YANAJUZU NA YANAFAA NA YANADALILI KTK DINI UNAJUA MAANA YA KUJUZU?? MTU AKISEMA KITU KINAJUZU UNAJUA KASUDIA NINI?! MBONA UNAPINDISHA PINDISHA?? KAMA KITU HAKIFAI HAKIWEZI KUAMBIWA KINAJUZU HATA SIKU MOJA.
@twaybaal-khalifah363210 ай бұрын
Group la Ubabaishaji la Mawahabi, hili group ni Kansa Kwenye UISLAMU, kwasababu hakuna katika UISLAMU Kulazimisha kufuata fikra na Ufahamu, Maswahaba walitofautiana lakini wala hawakufikia hii hali ya KEJELI kama ilivyo kwa sasa. Tuombe sana Allah Atuwafikishe..!
@Smart_jarm10 ай бұрын
Bidaa ndio sumu sheikhh
@JabirBakar-ys8dw10 ай бұрын
Je katika uislam kuna hukumu inaitwa bidaa @@Smart_jarm
@JabirBakar-ys8dw10 ай бұрын
@@Smart_jarmnijibu tafadhali
@abuushakiraddausiy866610 ай бұрын
Wewe ni nyokooo!!!!!! Hujuiii ....shekh hapa anaongea kumuweka sawa huyu juha Muhammad ied...
@twaybaal-khalifah363210 ай бұрын
@@abuushakiraddausiy8666 Wewe Hujui mambo ya DINI isipokuwa kufuata fikra za Khawaarij tu na تكفير المؤمنين Hakuna Dini ya kutukana Watu na Kukejeli Watu, Ambapo Muhammad Ishaka anamdhalilisha Sheikh Ayoub, na wewe hapo Unamwita Idd Juha, sasa huu Ndo mfumo ambao mnao Nyie Wahabi...Jitafakarini sana.
@mustaphamkali747610 ай бұрын
Shee huna kitu ukubwa wa bulee
@shazyahya412110 ай бұрын
Uzuri wake umeelewa somo message sent kazi kwako na maslahi ya kidunia
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wanatetea kitu ambacho hakiteteki maji na mafuta haviwezi kuwa pomona
@mustaphamkali747610 ай бұрын
Hehehe hata maneno madogo kama hayo unashindwa kuyaelewa محمد بشر لا كالبشر 😅 ww mtu na mtume s a w pia ni mtu kwahyo utu wenu unafanana???
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Kwahiyo so mtu ni mungu au malaika??
@saidramadhani86789 ай бұрын
Mzee mwamedi wewe ulikuwa Sufi mkubwa mpiga tari maulidini je kipindi kile unatuaminisha ulikuwa hauna elimu naje umetubia ile dhambi?😅
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Hata padre au mvhungaji anajuwa anapotosha lakini anakalia maslahi au ujinga tuu si ndo kahongoka Allah kamuongoa saasa ulitakaje mbona maswali ya kitoto hayo
@swalahudinmohamed266610 ай бұрын
MTUME SAW aliposema Fii mahajjatil baydhaa Jee KULIKUWEPO TAWHEED YA UTATU?? 😂😂😂😂😂 JEE MTUME SAW ALISOMA DUA YAKUHITIMISHA QURANI KATIKA TARAWEHE ??? MBONA HAYA HUYASEMI?? 😂😂😂😂😂😂😂 KUA MUADILIFU ACHA KUPITOSHA 😂😂😂😂😂😂😂 SEMA YOTE JAPO NI UCHUNGU
@abuushakiraddausiy866610 ай бұрын
Asa wewe suufiii hii sio hoja!!!!! Muhammad iid kawapotosha sana
@swalahudinmohamed266610 ай бұрын
@@abuushakiraddausiy8666 Ukweli siku zote hua unauma Pole Kwa maumivu Tupe Dalili basi kama si hoja Ni swahaba Gani alishinda katika MASHINDANO ya QURANI ?? Ni Dua ipi ilisomwa katika kuhitimisha QURANI mwezi wa RAMADHANI??? Jeee una Dalili hata kama ni maudhui munkar Yakuwa maswahaba walikuwa wakisoma juzuu moja katika TARAWEHE HADI kuhitimisha 😭😭😭😭😭😭😭😭 zama za SAYYIDUNA OMAR Jeeeee huuu zi uzushi mumeuzua 😂😂😂😂😂😂😂😂 Kueni waadilifu katika kuhukumu acheni parapara na ushabiki wakuhadaa umma Kwa ufupi sote ni wazushi Na Allah ndie hakimu