BIBI WA MIAKA 120 ALIEHIFADHI QURAN NZIMA AFARIKI DUNIA

  Рет қаралды 56,515

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 263
@kudramzee4638
@kudramzee4638 3 жыл бұрын
Kwenye jambo la kher kama hili hakuna hata like nyingi ingekuwa jambo kifedhuri ongeona watu wanalike kwa wingi
@mussakimwaga5858
@mussakimwaga5858 3 жыл бұрын
Aisee hakuna mabakibaki hapo ya kuoa
@nikuzesada8253
@nikuzesada8253 3 жыл бұрын
Innalillah wa ina ilayih rajiuna
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Inna lilah wainna ilaih rajiuun Alhamdulilah kwa waliopo kwani hawa walio kuwepo ni neema ya ALLAH sheitwan ana mashabiki insha Allah awaongoze na wao
@aboubacarkillo5140
@aboubacarkillo5140 3 жыл бұрын
Allah amfanyie shufaa Bibi yetu na sisi tuwe kama yy,ampunguzie adhabu za kabri na moto kesho kiama,amiin
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Amuondeshee adhabu sio ampunguzie ndugu yangu
@jumamomba9502
@jumamomba9502 3 жыл бұрын
INNALILLAH WAINNA ILAHI RAAJUUN ALLAH AMJAALIE FILDAUSI INSHAALLAH
@aboubacarkillo5140
@aboubacarkillo5140 3 жыл бұрын
@@mamussi6872bismillahi rahman rahyim kwanza dua,huitikiwa,pili kumuombea mtu yoyote ni ziada baada ya yy kutangulua mbele ya haki,kila mja huenda na mizani ya thawabu au dhambi hili limefichikana ajuae ni Allah,mm nimemuomba Allah ampunguzie adhabu ya kabri,na ww omba amuondoshee adhabu za kabri,Allah atakujibu ww nami pia atanijibu,si kukosoana kwenye dua,umekosea
@salhakhalfan8696
@salhakhalfan8696 3 жыл бұрын
Hee jmn Kwan amefariki
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin yaraby
@mangapineema7652
@mangapineema7652 3 жыл бұрын
Mashallah,mola amhifadhi amuweke mahala pema peponi Amin
@kabyjxjrd9874
@kabyjxjrd9874 3 жыл бұрын
Yaa Rabbi ija'l Qabrahaa Raudhun Min Riwaadhil Jannah. AMEEN
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 3 жыл бұрын
Aamiyn🤲🤲🤲
@fatmas7338
@fatmas7338 3 жыл бұрын
Amin
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Inaalilahi wainaa lilahirajiuni mungu amrehemu amlaze mahali pema Peponi na ampe kauli sabiti amiina
@abubakarali3018
@abubakarali3018 3 жыл бұрын
Ameeen
@khulayfnassor6938
@khulayfnassor6938 3 жыл бұрын
Ammyn
@chamsiamahamoudou7986
@chamsiamahamoudou7986 3 жыл бұрын
Amine in'challah jahnnat firdaws a anla
@khadijamzee9967
@khadijamzee9967 3 жыл бұрын
Allah amerehemu amueke mahali pema palipo na wemaa peponi na ss tulioko nyuma atupe husnul khatima
@zuwenawazir1101
@zuwenawazir1101 3 жыл бұрын
Mashallah
@zuwenawazir1101
@zuwenawazir1101 3 жыл бұрын
Amina
@binrashid6908
@binrashid6908 3 жыл бұрын
Allahumma ghufrillaha warhamaha
@mizamiza6223
@mizamiza6223 3 жыл бұрын
Mungu amjalie iyo quran iwe nuru katika kaburi lake Amin
@kudramzee4638
@kudramzee4638 3 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUPE KAURI THABITI
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 3 жыл бұрын
Allah amrehemu amlaze pahala pema peoni amiin 🤲🏻
@aboudal-nabahany5338
@aboudal-nabahany5338 3 жыл бұрын
Allah ampe qaul thabit na amueke pamoja na wema peponi na sisi tulionyuma yake wakati wetu ukifika atupe mwisho mwema. Ameen yaa raab 🤲🤲🤲
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 3 жыл бұрын
Innalilah wainnaillah rajiuun mwenyez Mungu ampe kauli thabiti yarabiy naamhifadhi kama alivyohifadhi yy Quran pole kwa familia Allah awape subra njemaa
@somoeismail9665
@somoeismail9665 3 жыл бұрын
Inalillah wainailaih rajiun Allah amjalie nuru ktk kaburi lake na amfufue hali ya kuwa amemridhia inshaallah
@salhidasuleiman6202
@salhidasuleiman6202 3 жыл бұрын
Amiin
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 3 жыл бұрын
AAmin yaarab nasi piya Allah atupe mwisho mwema in sha Allah yaarab 🤲🤲🤲
@HassanAli-jc3ps
@HassanAli-jc3ps 3 жыл бұрын
Aamin yarabbi
@belkeymmaka7288
@belkeymmaka7288 3 жыл бұрын
Mashallah
@kabyjxjrd9874
@kabyjxjrd9874 3 жыл бұрын
Mashallah bro. Hamza mtangazaji nakusoma apo Nakukumbuka kutoka Pande za Jazzar Vikindu.
@khadijaaliy9263
@khadijaaliy9263 3 жыл бұрын
MashaAllah "isomeni Quran kwani hyo Quran itakuja siku ya kiama iwe muombezi kwa watu wake"
@azizabdallah585
@azizabdallah585 3 жыл бұрын
Allah S.W. amweke pema kwenye mabustani yake akhera na amweke mahali pema peponi. Amin.
@chikumbarouk6013
@chikumbarouk6013 3 жыл бұрын
Innallilah wainnallilah rajiiiun.....Allah ampe makazi ya pepon Mashaaallah kwa kuhifadh Qur'an
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilaihi rajighun m mungu amlaze pema peponi bibiyetu
@jaafarjacka9272
@jaafarjacka9272 3 жыл бұрын
Allahumma ghfir lahuu warhamhuu waskinhu fil jannah
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Ma sha allah Allah amrehemu
@pazzyonlinetv7677
@pazzyonlinetv7677 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah, Allah ampe hifadhi kama alivyohifadhi Qur'an. Aamiin
@khulayfnassor6938
@khulayfnassor6938 3 жыл бұрын
Amiiyn yaarabbil aalamiin
@maulidkhamid7692
@maulidkhamid7692 3 жыл бұрын
Amiy allah ampe wazungumzaj wema ktk kabri
@ramaramadhan8125
@ramaramadhan8125 3 жыл бұрын
@@khulayfnassor6938 f
@ramaramadhan8125
@ramaramadhan8125 3 жыл бұрын
@@khulayfnassor6938 wef
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 3 жыл бұрын
Allah amlipe jannatul firdaus mzee wetu . Na sisi tuzingatie na sio kuangalia tu na kuitupa qur-an .
@maulidkhamid7692
@maulidkhamid7692 3 жыл бұрын
Allah amuondolee kl zito ktk kabri lk na amjaalie kuran ndio mzunguzaji wk na atakapofufuliwa awekwe na watu wema AMMINAA YA RABIL-ALAMIN
@sophiaibrahimu8983
@sophiaibrahimu8983 3 жыл бұрын
Nuru ya allah iangaze kwenye nyumba yako ya milele amiiin inshaallah
@joharluul2677
@joharluul2677 3 жыл бұрын
Innalillahi wainailayhi rraji'un
@awadhhadi446
@awadhhadi446 3 жыл бұрын
Masha allah mwenyezimungu amsamehe na amhifadhi uko aendako
@I4mSaleem
@I4mSaleem 3 жыл бұрын
MaashaAllah ❤️ MaashaAllah ❤️ MaashaAllah ❤️ Innalillahi wainna ilayhi rajiun
@madinahemed3650
@madinahemed3650 3 жыл бұрын
Innah lillah wa inna ilayh rajiuun.. tunakuomba ya allah umsamehe makosa yake, ulijaze nuru kaburi, uiweke roho yake katika viwili vya miti mema na uje umfufue pamoja na waja wako wema.. nasi utujaalie mwisho mwema... amin
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 3 жыл бұрын
Mashaallah mung amuhifadh km alivyohidhi kitab kitukufu
@momatv2019
@momatv2019 3 жыл бұрын
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuun. Mwenyezi Mungu 1. Amsamehe madhambi yake 2. Ampe kauli thabiti 3. Amfanyie wepesi hesabu yake. 4. Ampe Nuur ndani ya kaburi lake. 5. Alifanye kaburi lake kua ni viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi. 6. Alifanye kaburi lake kua ni bustani miongoni mwa mabustani ya Peponi. 7. Na amuingize Peponi kwa huruma zake.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
ALLAH AMPE JANNAT FIRDAUSI YEYE NA WAZEE WETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI. AMIYN THUMMA AMIYN
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Allah ampe kauri thabiti bimkubwa.apumzike kwa amani.
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 3 жыл бұрын
Maashaa Allah Allah aku hifadhi
@mariamabdallah2698
@mariamabdallah2698 3 жыл бұрын
Mashaallah may Allah grant her janatul firdwous
@belkeymmaka7288
@belkeymmaka7288 3 жыл бұрын
Inn lillah wain ilaih rajuun Allah ampe kauli dhabit
@shionsaeed7338
@shionsaeed7338 3 жыл бұрын
Allah umjaalie Pepo na amsameh. Tuhifadhi na Tuifuate Quran.
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 3 жыл бұрын
اللهم غفرلها و رحمها واسكنها فى الجنة
@nasliasuleiman6954
@nasliasuleiman6954 3 жыл бұрын
Innalillahi wainnailaihi rajiun Allah amsameh
@miselemanchimvuno5978
@miselemanchimvuno5978 3 жыл бұрын
Mashaalla mungu akupe maisha mema
@sophiaayubu2049
@sophiaayubu2049 3 жыл бұрын
Mashallaah mashallaah Allaah mjalie mwisho mwema Allaah humma amiin
@salmasalim586
@salmasalim586 3 жыл бұрын
Innallillah wainna ilayhi rajiun, Allah alijalie kabur lake liwe ni miongon mwa viwanja vya peponi, Amiin
@abulali9264
@abulali9264 3 жыл бұрын
اللهم إغفر لها وارحمها واسكنها فسيح جناته مع الصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا
@supumoto6819
@supumoto6819 3 жыл бұрын
اللهم آمين ياربالعالمين
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
Allah amweke.mahali.pema katika jannatul firdaus
@zenanassor2716
@zenanassor2716 3 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun
@fadhiliaidin3082
@fadhiliaidin3082 3 жыл бұрын
Mashaallah
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Subhannallah Allahu Akbar...! Inna lillah wainna illah rajiyuna. InshaAllah Allah amuhifadhi ktk Pepo ya darja la juu. Inshaallah Allah atujaalie mwisho mwema.
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
Allah amuhifadhi pema Ammina in sha Allah nasi atupe mwisho mwema siku ikifika Ammin
@yusuphdaniel9399
@yusuphdaniel9399 3 жыл бұрын
Mashaallah allah amhifanzi Inshaallah
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajioun,Allah ampe kaul thabit inshaallah 😭😭
@saidswalehe2907
@saidswalehe2907 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah amrehemu na amuingize kwa pepo yake tukufu Aaamiin
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 жыл бұрын
Mungu amsamehe amjaalie janna
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 3 жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH AMJAALIE AWE MJA MWEMA KABURI LAKE LIWE MIONGONI MWA BUSTANI LA PEPONI KWA REHMA ZAKE ALLAH
@kuthlamyusuf7876
@kuthlamyusuf7876 2 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun. Maashallah, alikuwa anasoma vizuri Quran na umri wake mkubwa. Allah ampe Janna.
@shekhallymgomy448
@shekhallymgomy448 3 жыл бұрын
Mashaallah mwenzi mungu akupe kauli thabiti Sada salum
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu nasi atupe mwisho mwema.
@asiakinia9344
@asiakinia9344 3 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiuun mashaallah Allah amjaalie pepo yaarabby
@yahayaali7970
@yahayaali7970 3 жыл бұрын
Inshaalllah jannah iwe makaz yake kwa fadhila na rrhema zake alllah
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 3 жыл бұрын
Innalilahiy wainna illahi rajiun Mwenye Enzi Mungu amsamehe madhambi yake na amlaze mahali pema peponi ameen
@Est1434-e7l
@Est1434-e7l 3 жыл бұрын
Mungu amlaze pahali pema mbinguni. Miaka 120 bado 105 hapo sawa. Ila Mungu ampe bibi yetu Heri . Hilo ndo la msingi.
@rashidally1149
@rashidally1149 3 жыл бұрын
Allahu Akbar hakika hakuna Shaka kua qur-an ni nuru kwani licha yakua na miaka zaidi ya 100 lakn Bado ana ona vizuri anasikia vzr na anafahamu vizuri hakika tuombe kwa Allah tuwe mfano wake In Shaa Allah Mungu ailaze roho ya marehemu pahali pema Peponi Ameen
@hawaamkubwa2020
@hawaamkubwa2020 3 жыл бұрын
inalillah wainailey rajuun Allah alie nuru kaburi lako na ss Allah atupe mwisho mwema
@mwachidzopoposalimpopo8890
@mwachidzopoposalimpopo8890 3 жыл бұрын
ALLAH amjalie Pepo mashaallah
@ahmedrashed7138
@ahmedrashed7138 3 жыл бұрын
Subhanallaa innalillaah wainalillaah rajiun mungu amradhe mahalipema pepon fill daus
@مريم-ه2ز9ق
@مريم-ه2ز9ق 3 жыл бұрын
Mashalllah hata humri aliyo nao lakini bado anaonekana kuwa na Nuru hata huso wake unaonekana Nuru Allah ampe amani katika kabri lake
@alaminimkindi5175
@alaminimkindi5175 3 жыл бұрын
Mash Allah
@mansourhubby7398
@mansourhubby7398 2 жыл бұрын
JazakaAllahu kheyr
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 жыл бұрын
Maashallah
@mzulamwadini8277
@mzulamwadini8277 3 жыл бұрын
Mashallah Allah Ampe Mamaetu Mwisho Mwema
@ommyhussen9631
@ommyhussen9631 3 жыл бұрын
Mashaalah
@mimah2543
@mimah2543 3 жыл бұрын
MashaAllah. Allah amrehemu
@omansinaw2848
@omansinaw2848 3 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@تقواللهحسنالاخلقة
@تقواللهحسنالاخلقة 3 жыл бұрын
Allahumma ghfirlaha warhamha wa Askanha filjanna
@halimahamisi9334
@halimahamisi9334 3 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun, Allah mfungulie milango ya firdous
@evacekasaija3912
@evacekasaija3912 3 жыл бұрын
Marshall mungu amuppe Janna
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 3 жыл бұрын
Mashaalah mungu amjaze kheirat.
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Mashallah bibi mungu akulaze jannat firdaus
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 жыл бұрын
Mungu amuweke mahali pema peponi amuepushe na azabu ya kaburi inshallah
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 жыл бұрын
Allah amlaze mahala pema peponi bibi yetu aamiin
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ampe kauli thabit
@fatmamwishehe8771
@fatmamwishehe8771 3 жыл бұрын
Inalilllah wainaa illayhii raajiuuun
@mwanamkasinyumbwe8314
@mwanamkasinyumbwe8314 3 жыл бұрын
Ma sha llah
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 3 жыл бұрын
INNALILAH WAINA ILLAHRAJIUNI Allah akupe Jannat frdaus
@darenymsham2467
@darenymsham2467 3 жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuon,,,allaah amuhifadhi bi sada mahala pema inshaa Allaah.🙏
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 жыл бұрын
Innalillhi wainna ilaihi raajiun..Allaah amueke mahali pema peponi..Amiin
@kitamarya7375
@kitamarya7375 2 жыл бұрын
Allah Akueke n waja wake wema peponi amiin
@abdulazizitwalib5859
@abdulazizitwalib5859 3 жыл бұрын
Mashallah jazaka allah
@zahorsalum663
@zahorsalum663 3 жыл бұрын
Yaallah msamehe makosayake yt.
@zakariasuleiman4113
@zakariasuleiman4113 3 жыл бұрын
Mashaallahu wainnaaa lillahi wainaa ilai raajiuun
@sheila6476
@sheila6476 3 жыл бұрын
ALLAH amlaze penye wema peponi. Aameen Thumma Aameen Yaa Raab
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 жыл бұрын
Inna lillahi waina illihi rajiun poleni sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@phatmarashid3182
@phatmarashid3182 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah amuhifadhi
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 3 жыл бұрын
Allah alaze mahala pema peponi allah ampe nuru kwenye kabur lake
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Allah amrehemu amueke pamoja na wema peponi
@hashimbirigigi3825
@hashimbirigigi3825 3 жыл бұрын
Allahu Akbar Allah mrehemu mjaa wako nasi tupe kumfwata Rassul kitabia.Amiin
@salameali5713
@salameali5713 3 жыл бұрын
Inalilahi wainaileihi rajiun. Allah amjaze mahali pema peponi Ameeeen. MashaAllah amehifadhi Quran nzima MashaAllah
@alaminimkindi5175
@alaminimkindi5175 3 жыл бұрын
Allah amhifadhi pema
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 3 жыл бұрын
MashaAllah , Allah ampe kauli thabit
@jaafarjacka9272
@jaafarjacka9272 3 жыл бұрын
Allah Allah Allah
@sameersaid9166
@sameersaid9166 3 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajioun Allah ampe kaili thabit
@fatmazena8886
@fatmazena8886 3 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah raj'uun.Allah amjaalie pepo pamoja na sie
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 3 жыл бұрын
إنّا لله وإنّا إليه راجعون اللّهمّ غفر لها وارحمها، وعافها واعف عنها، اللّهمّ ثبّتها بلقول الثاّبت آمن يا رب 👏👏🙏🙏
@aminajumaa9876
@aminajumaa9876 3 жыл бұрын
Innalillah wainna illahii rajiun Allah amsame kaburi lake liwe makazi mema amiin 🤲
HUKMU YA KUVAA PETE
8:58
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 87 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 173 М.
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3 МЛН
Get Deep Sleep and Cure Your Insomnia Disease with Beautiful Quran ✦ NOOR
1:10:29
SH  KIPOZEO   IOGOPENI SIKU YA QIYAMA
56:07
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 191 М.
ZAFA: Maawal Isilam Viti - Lushoto
4:26
JAMII TV
Рет қаралды 29 М.
Episode 01 ☪️ In tha name of Allah 💖 #islam #love #ramzan #quran #quotes
48:48
Geethamma & Sarathkrishnan Stories
Рет қаралды 515 М.
MAAJABU YA SHEKH MWAIPOPO ASIMULIA YALIO MKUTA SOMALIA
21:23
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 142 М.
Robber’s dance part 3🗿💯
0:16
Kan Andrey
Рет қаралды 6 МЛН
#реальнаяистория
1:01
Доктор Фрог
Рет қаралды 7 МЛН